Тёмный

Taarab: Siadhiriki 

Swahili Taarab
Подписаться 187 тыс.
Просмотров 1 млн
50% 1

Taarab Music of Zanzibar

Видеоклипы

Опубликовано:

 

26 ноя 2014

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 657   
@asmaaswadik5511
@asmaaswadik5511 5 месяцев назад
Basi mimi nipo hapa 2024😂😂😂😂😂
@Slama-jg9wn
@Slama-jg9wn Месяц назад
Tupo pamoja
@jibrilzaitun9981
@jibrilzaitun9981 4 года назад
Nani anaskiza 2020 👍
@salmasuleyman2978
@salmasuleyman2978 3 года назад
Nimetaka kwajili ya harusi jamn🥰
@judymrosso2725
@judymrosso2725 Год назад
2023 2023 2023 STILL TOUCH MY HEART AND SOUL long life zuhuraaaaa💖💖💖💖🥰🥰
@Maiya-cg8cy
@Maiya-cg8cy 2 месяца назад
Nyimbo yangu pendwa 2024❤❤❤
@emmysiwiti876
@emmysiwiti876 3 года назад
Kitu paaambe 👌👌 hizi ndio zilikuwa nyimbo jamani mpaka nimetokwa na machoz 😭😭😭😭,, wale wa tunao sikiliza 2021tujuane
@mariamatieno6613
@mariamatieno6613 Год назад
2022
@lyamcyjunior2812
@lyamcyjunior2812 Год назад
TUPO 2022 DECEMBER 😂
@zainabmasoud6909
@zainabmasoud6909 Год назад
T
@zainabmasoud6909
@zainabmasoud6909 Год назад
Tttttt
@ruwaidahamad6598
@ruwaidahamad6598 Год назад
Yuko pamoja
@esthermutali7270
@esthermutali7270 7 месяцев назад
Mola amenistiri kwa kweli
@rehsanhassan8141
@rehsanhassan8141 Год назад
Still rocking with this classic song 2023❤❤❤❤
@mwalimuhindo5740
@mwalimuhindo5740 2 года назад
Wow!! The song my late mum used to listen..humkumbuka nkiuskia..r.i.p mum😢
@dojabia2918
@dojabia2918 10 месяцев назад
May her soul rest in peace🙏😔
@ashasvlog9246
@ashasvlog9246 3 года назад
Nyimbo hii yanikumbusha nikiwa ndogo jamani I miss my Dad 😥.Mungu aekaze roho yake mahala pema
@aishagungo4511
@aishagungo4511 2 года назад
Pole sana
@khadijaabubakar5135
@khadijaabubakar5135 2 года назад
Me too I miss my dad😭😭😭😭
@zenabali568
@zenabali568 2 года назад
Amiin rabillah amiin inshallah
@dojabia2918
@dojabia2918 10 месяцев назад
May his soul rest in peace🙏
@bintichitwanga7435
@bintichitwanga7435 4 года назад
Nani anasikiliza wimbo huu mwaka 2020 dondosha like yako
@paulina3281
@paulina3281 3 года назад
Mimi napenda
@maimunamussa1575
@maimunamussa1575 6 месяцев назад
Muna
@maimunamussa1575
@maimunamussa1575 6 месяцев назад
Ndio
@bahatiyussuphu4407
@bahatiyussuphu4407 5 лет назад
Hatari sana mama hizi ngoma hazichuji kabisa hata 2030 ukisikiliza kama umetoka jana.
@adamliverpool167
@adamliverpool167 4 года назад
Kama tupo wote tunasikiliza nyimbo hii 2020 gonga like
@salimaomalishaibu6001
@salimaomalishaibu6001 4 года назад
Mlitaka niadhirike kusudi lenumcheke likini mola maanani kaninusuru mja wake🙏🙏🙏
@wistonsanga6361
@wistonsanga6361 7 лет назад
Naupenda sana wimbo huu Siadhiriki wa Zuhura Shaaban. kwani binadam wabaya hawana shukran acha tu.
@HassanHassan-dk5db
@HassanHassan-dk5db 3 года назад
Nilikuwa simjui ila big up
@faroukmahmoud8111
@faroukmahmoud8111 2 года назад
she once performed this song at KICC Nairobi,cant forget that night.
@aumaachieng5105
@aumaachieng5105 3 года назад
Nimekuwa nikiutafuta huu wimbo kwa muda. Old is gold.😍😍
@rukiasalum9535
@rukiasalum9535 Год назад
P
@anthonychombocho3673
@anthonychombocho3673 Год назад
Sawa hii ndo nyimbo
@sakinaabd5898
@sakinaabd5898 9 лет назад
Na wala hamuniwezi mtapanda mkishuka namuamini mwenyezi wala hana mshirika yeeeeeeeeeeeeeeba maneno matamu dada mtanzania ahsante sana
@umardatydaty.4377
@umardatydaty.4377 8 лет назад
lovly nic song..heko mamaa.
@JPrime-tu3ux
@JPrime-tu3ux 5 лет назад
Mtamuù
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
Yani Wimbo Kama Umetoka Leo, Jamani Zilipendwa Tamuuu Hongereni, Sauti Maa Shaa Allah. Ndani 2020.
@nellyndowa5642
@nellyndowa5642 3 года назад
Konkiii 26/12 naenda kuwaimba watu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
@@nellyndowa5642 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@altaafkassu2171
@altaafkassu2171 2 года назад
Old is Gold 👌😘
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 2 года назад
@@altaafkassu2171 Nakwambia Yani Ndani 2021 Wimbo Unawika Bado.
@csngobeni6098
@csngobeni6098 2 года назад
Yani nautazama na kuusikiiza saa 6 usiku nmetulia najikuta natamani kulia nikikumbuka way back
@michaelmartin2462
@michaelmartin2462 3 года назад
Nani anaangalia 2021 like hapa twende sawa
@latifakingogo4287
@latifakingogo4287 3 года назад
Mm hp
@mariampembe604
@mariampembe604 3 года назад
Atarii
@sikudhanijumla8885
@sikudhanijumla8885 3 года назад
Mimi jaman
@carrikmunirocarrikmuniro7156
@carrikmunirocarrikmuniro7156 3 года назад
One more
@rosechild5021
@rosechild5021 2 года назад
Me from uk 🥰🥰🥰🥰
@maduhusalumu3148
@maduhusalumu3148 2 года назад
Taarab siadhiriki wimbo huu umfikie mke wangu kipenz akiwa. Ukerewe rose maduhu
@jacksondismas4109
@jacksondismas4109 Год назад
2023 bado tunasikiliza mambo ya pwan
@NeemaMngongo-fw3ku
@NeemaMngongo-fw3ku 6 месяцев назад
Jmn mimi siompenzi wa taarabu lakini kwenyw huu wimbo nilijikuta naupenda sana nahizi ndiyo zilikuwa taarabu.mashallal
@zahramunir8596
@zahramunir8596 7 лет назад
Naishi kwa nguvu za Mungu..kumbe watu waumia.!!! true dada.!!!
@zaitunihusseni6521
@zaitunihusseni6521 5 лет назад
Nani anasikiliza wimbo huu 2019 tarehe 12/1/2019
@aminaadam6013
@aminaadam6013 5 лет назад
Mie
@zaitunihusseni6521
@zaitunihusseni6521 5 лет назад
Amina Adam pamoja
@jumatwaha3189
@jumatwaha3189 5 лет назад
daah zuhura kaenda haki
@RioIpo
@RioIpo 5 лет назад
Riziki mafungu saba langu hamtoliziba anaetoa ni Mola hawezi kuingiliwa....
@aishahakizimana5868
@aishahakizimana5868 5 лет назад
Zaituni Husseni 26/03/2019
@user-yt6ip5gr9w
@user-yt6ip5gr9w Год назад
Hu wimbo mi mzuri sana unanikumbusha mbali sana 10/07 2023
@muhammadomar1787
@muhammadomar1787 Год назад
Huu wimbo umefanyiwa covers na wasanii wengine hata wasanii wa kubwa lakini hakuna aliyewahi kuitendea haki kama Zuhura alivyoitendea haki.this will remain to be the best of the best
@SaidSaid-rb3jw
@SaidSaid-rb3jw 11 месяцев назад
Original ni original siku zote ila kwenye kuutendea haki sabaha salum kauimba vzr mno
@rahimaally6471
@rahimaally6471 5 лет назад
Hawana wema Wala shukurani binaadamu kweli wabaya 😍😍😍
@lilywei3672
@lilywei3672 5 лет назад
Riziki mafungu saba anaetoa ni mora hawezi kuingiliwa❤️🙏🙏
@ronarona2200
@ronarona2200 6 лет назад
Enzi za taarab sio ss hv naipenda hii ngoma.
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
I miss East African Melody especially mr Haji Moh’d rest in peace. I miss you all 07April 2020
@me0059
@me0059 3 года назад
Yaani hongera kwa mtunzi 2021 till forever.......
@faidhaseleman3482
@faidhaseleman3482 4 года назад
Huu mwimbo ni mzuri sana unanikumbusha mbali sana
@abuzamahadh98
@abuzamahadh98 4 года назад
Naupenda sana wimbo huu ukiimba mwili wangu wanisisimka,kweli wastara hasumbuki nazidi kupata neema nimesafi roho yangu hta mkinichukia hupakata yaso yangu na kashfa kunikalia
@sakinaabd5898
@sakinaabd5898 9 лет назад
binaadamu hawana wema wala shukrani,nazimudu shida zangu rizki najipatia, ya shari mnayonitafutia Mola atanistiri, madhila hayanifiki, kaniangazia nuru gizani, hamuniweki, mlitaka niadhirike, mambo yangu yafujike, wastara hawazimbuki,nazidiki kupata neema ,nimesafi moyo wangu hata mukinichukia,siadhiriki miye bure mkiniandama heko mama mtanzania mola hana mshirika
@aminamrisho7925
@aminamrisho7925 6 лет назад
Mashaallah
@kichwakibovu1174
@kichwakibovu1174 5 лет назад
huu wimbo yaan ukopoa
@hadijamashauri7983
@hadijamashauri7983 4 года назад
Nyimbo nzuriii Sana unatamani kuisikiliza kila wakati
@aimardede3585
@aimardede3585 5 лет назад
Nausikiliza kila siku jamani maana mambo yanayoendelea ndio yapo ktk wimbo huu
@zaynabkalombi1579
@zaynabkalombi1579 4 года назад
Hunishindi mpaka 2020 nipo nayo tuuuu
@salmasamad8172
@salmasamad8172 2 года назад
Kweli kbs
@asnathyasin3092
@asnathyasin3092 Год назад
Jamn huu wimbo naupenda sana❤️
@nairobianbullet
@nairobianbullet Год назад
Ridhiki mafungu 7 langu hamtoliziba anyetoa ni mola hawezi kuingiliwa ♥️
@RioIpo
@RioIpo 5 лет назад
Nazimudu shida zangu riziki najipatia! Nashangaa walimwengu ya shari mwajitafutia... Mola atanisitiri madhila hayanifiki kaniangazia nuru kizani hamuniweki...
@mohamedmpembule6136
@mohamedmpembule6136 4 года назад
Poa nasiki maneno ya kibinaadamu
@salimaomalishaibu6001
@salimaomalishaibu6001 4 года назад
Mlitaka niadhirike kusudi lenumcheke likini mola maanani kaninusuru mja wake 🙏🙏🙏11/4/2020
@jumabomba4316
@jumabomba4316 5 лет назад
Try 31/2/2019 gonga Like km unapenda vya kale nidhahabu tujuwane
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 4 года назад
juma bomba nakubali juma yakale no moto
@jumaamilly7736
@jumaamilly7736 4 года назад
Naziku bali sana
@ubwasaja1416
@ubwasaja1416 4 года назад
Rehema saja
@ubwasaja1416
@ubwasaja1416 4 года назад
Penda sana vya kale
@zawiakinyasi2112
@zawiakinyasi2112 4 года назад
Woyoooo
@aliyambarak5024
@aliyambarak5024 4 года назад
2020,are together 👍
@akbarbakar6525
@akbarbakar6525 7 лет назад
Namuona mzee yussuf kwa mbali
@septeseleman2110
@septeseleman2110 3 года назад
8u2 w"
@husnaabdarasuly4370
@husnaabdarasuly4370 4 года назад
Ahsantee kipenz kwa kuniliwaza nikiwa ktk wakat mgumu siachi kusikiliza vipande vyako Mollah atanisitir madhwila hayatanifika swadacta 🙏🙏
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y Год назад
Mashaalah wimbo wenye mafunzo na ukweli mtupu swadakda mamaa naskiliza mara kumi kumi
@ngalowoka
@ngalowoka 4 года назад
Naupenda sana huu wimbo 11/09/2019
@mustafanyapara2723
@mustafanyapara2723 Год назад
07/12/2022 @3:44 am! nauskiza
@omaryhussein8317
@omaryhussein8317 6 лет назад
binadam kweli wabaya mashaalla
@shakilamohamed7943
@shakilamohamed7943 3 года назад
I will always listen to this 1000 times over n over kweli wabaya wanadamu
@maftahgerald4872
@maftahgerald4872 4 года назад
I still listen to this beautiful song in 2020
@allymwinjuma1291
@allymwinjuma1291 4 года назад
Hii ngoma tamu sana...
@alhadkatundu9688
@alhadkatundu9688 8 лет назад
wabayaa kweri wabayaa binadamu kweri wabaya asante dd zuhura
@salmakhalid5300
@salmakhalid5300 8 лет назад
zuhura unaimba vizur sana mimi katika taraab napenda sana nyimbo zako
@mustafanyapara2723
@mustafanyapara2723 Год назад
nyimbo zake na za sabaa salum, zanitoa machozi nikizikiza, tangu 2001 nikiwa Chuo Kikuu!
@abdallahdula6573
@abdallahdula6573 8 лет назад
Hii song inanikosha sana kwa kwel
@zainabuferrous3482
@zainabuferrous3482 2 года назад
Hongeraa
@ZAMDAHOSSENI-ih2cg
@ZAMDAHOSSENI-ih2cg 8 месяцев назад
Wimbo umebeba ujumbe mzito mno .... Hizi ndo nyimbo Sasa pongezi nyingi kwa mtunzi❤️❤️❤️
@rajabmohamed9930
@rajabmohamed9930 6 месяцев назад
hatar saaaaaana hii nyimbo
@hamisihassan9018
@hamisihassan9018 5 лет назад
Kama unaikubali hii nyimbo gonga like
@nurually1734
@nurually1734 4 года назад
naitwa abdillahi vunja nimeikubali sana hii nyimbo
@nurually1734
@nurually1734 4 года назад
inakumbusha mall
@mariamiddi3024
@mariamiddi3024 4 года назад
Naipenda Sana jamani Wala haichuji
@catherinecharles6986
@catherinecharles6986 4 года назад
Jamn nakumbuk tang 🎵🎵😍😍😍😍😍
@rahmachacha3347
@rahmachacha3347 3 года назад
Naukubari wimbo huu
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 года назад
Huyu ndiye hasswa alistahiki kuitwa Malkia wa Taarabu na si mwingine.
@benjaminmwaria238
@benjaminmwaria238 Год назад
Niseme nini? Beautiful song, beautiful singer, fantastic rythem. Mashalla.
@maryammadodo8837
@maryammadodo8837 8 дней назад
Yaani naujua siku nyingi huu winbo ila kwa yaliyonifika now umeni touch kwa kweli 2024
@waviwangotv1924
@waviwangotv1924 4 года назад
Mashaa Laah 5/10/2019 Haiishi Ladha.
@abuzamahadh98
@abuzamahadh98 4 года назад
Nikisikiliza Nyimbo hii mwili wangu wanisisimuka kweli binadamu wabaya
@sharifaabdullah9345
@sharifaabdullah9345 6 лет назад
Nzuri sana dada
@hamzahaji438
@hamzahaji438 11 месяцев назад
I can't get enough with this song..
@vangakingsptyltdvangakings7305
@vangakingsptyltdvangakings7305 11 месяцев назад
I want to get married to this woman so she could just sing to me all day long and night.
@kineromakame7295
@kineromakame7295 Год назад
Kweli wabaya sana binadamu hawana wema wala shukrani jamani mama 😢 😭 🙏 😞
@naimahnuhu4319
@naimahnuhu4319 Год назад
Nyimbo zilikua zamni jmnii ❣️❣️ zuhura katika ubora wake
@rehematawakali4462
@rehematawakali4462 Год назад
Mashairi mpaka leo yanaishi big up kwako zuhura Shaban
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 лет назад
When Taarab was real...big up le madame
@dzamecbc2859
@dzamecbc2859 6 лет назад
mm bado naskiza aki ni message......naskizia saudia
@mustafanyapara2723
@mustafanyapara2723 Год назад
when taarab used to console & soothe my heart after tarmacking all day but no job!
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 2 года назад
Nyieeee nyimbo tamuu
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 года назад
Uko vizr yaani ka song pambeee 👌👌👌 Hakichuji haadhliki mtu
@michaelkalunga5305
@michaelkalunga5305 4 года назад
Jmn umeonaaa eeh ila ana sauti kama khadija Yusuph jmn
@sitintsoholi8350
@sitintsoholi8350 9 лет назад
J'aime beaucoup african melody modern taarab mon premier groupe préféré et Jahaz modern taarab et TOT !!!
@faoufaouzia7273
@faoufaouzia7273 7 лет назад
que des belles paroles 😊😊
@emmanuelshaban6142
@emmanuelshaban6142 6 лет назад
siti ntsoholi meci
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 года назад
Congratulations
@OmarMohamed-cb1tu
@OmarMohamed-cb1tu 3 года назад
Ngoma zilikua izi 18 Oct 2020...mambo n 🔥🔥
@hajramohammed1104
@hajramohammed1104 5 лет назад
Izi ndio za kusikiliza mashaallah ,
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 5 лет назад
nani naangalia nyimbo hii 2018 mwez wakumi namoja🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@khalifasaidkhalifa7093
@khalifasaidkhalifa7093 4 года назад
Penda sanna hii nyimbo 2020
@rahimmaumba5364
@rahimmaumba5364 3 года назад
Asante kwa load huu mziki kumbukumbu itabaki daima..ujumbe wake mpaka leo unaishi.....
@iddyissa3109
@iddyissa3109 Год назад
Mbona naona coment za jana, inamaan watu bado mnaufatiliag wimbo huu 🤙
@sofibaby1800
@sofibaby1800 2 месяца назад
Yes mm hapa
@anethfrolens5425
@anethfrolens5425 3 года назад
Riziki mafungusaba langu hamtoriziba, hanaetoa Ni mora hawezikuingiriwa.Asante sana kwawimbo mzuri utafikiri umetokaleo
@abuymchina3646
@abuymchina3646 5 лет назад
Inankumbusha miaka ya 2000 hv lkn ukiiskia km imetoka juz hongera bibie Zuhura.ila bd npo nayo 2019
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 4 года назад
Wimbo unanikumbusha mbali sana
@missmanaal6320
@missmanaal6320 Год назад
siadhiriki enyi walimwenguuuu.... enyi walimwengu yangu yaniendeaaaa.... na ishi kwa nguvu za mungu kumbe nguvu za mungu na zimudu shida zangu rizik najipatia.... nashangaaa enyi walimwengu ya shari mwanitafutia.... mola atanistiri madhira hayanifiki.... kaniangazia nuru gizani hamniwekiiii....
@maryamali8585
@maryamali8585 4 года назад
2020 tukiwa bado na siadhiriki ya zuhura shaabani... tujuane..
@alawichiano2943
@alawichiano2943 4 года назад
Niatari sana
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 лет назад
Sichoki kukusiliza mwanana.!!😘
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 8 лет назад
popoh mwaguzo. kweli binadamu wabaya hawapendi zuri la mwenzao asaantaaaaaa bibie
@gervascharlesmwatebela1421
@gervascharlesmwatebela1421 6 лет назад
Tupo wengi tunausikiliza ya Kale ni Dhahabu
@mussampalo9454
@mussampalo9454 5 лет назад
kweli ya kale dhahabu. real a good song.
@zuwenaabdillahzanzibar5670
@zuwenaabdillahzanzibar5670 5 лет назад
nani asikiliza namimi huu wimbo mwaka 2018 Augost au hayupo maana mtamuuuu
@priscalyimo5804
@priscalyimo5804 5 лет назад
zuwena Abdillah Zanzibar tupo zuwena mashairi yamekaa utamu Atari
@zuwenaabdillahzanzibar5670
@zuwenaabdillahzanzibar5670 5 лет назад
Prisca Lyimo tenaaa umeona eee mi shuti yananikuna rohoni Wallah
@joyceandrew5682
@joyceandrew5682 5 лет назад
😂😂Mimi apa mwaya Nipo dada zuwena abdillah Zanzibar
@zuwenaabdillahzanzibar5670
@zuwenaabdillahzanzibar5670 5 лет назад
Joyce Andrew tenaaaa tupo kumbe
@mimahsaid2326
@mimahsaid2326 5 лет назад
tupo wengi september 2018 hatariii
@ahmedjay7725
@ahmedjay7725 5 лет назад
Oh my goodness!! I can remember this song since I last listen to it was 2002..what a memory!!😂👍👍👍👍
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 2 года назад
Ahmed Jay@Even me too naikumbuka hii song 2001 to 2002 ilipoingia tukienda harusini inawekwa lol!😀Naikumbuka haswaaa miaka hii.
@sakinaabd5898
@sakinaabd5898 9 лет назад
Mlitaka niazirike sijui yameanzaje binaadam mumezoa khasama, riziki mafungu saba langu, hamtoliziba binadamu, hawana wema wala shukrani heko mama mtanzania usemayo ni ukweli but never mind dunia ni round , mpanda ngazi huchuka mama
@radhiakabaka4360
@radhiakabaka4360 4 года назад
Wimbo mtamuu nan anaangalia 2020 like twende sawa
@kadabramts1435
@kadabramts1435 3 года назад
Tko pamoja
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 года назад
Mie mmoja wao nipo 2020
@paulina3281
@paulina3281 3 года назад
Naupenda sana
@jisismusa5834
@jisismusa5834 3 года назад
Tb
@husnanyundo110
@husnanyundo110 Год назад
Nyimbo hii tamu kweli .ni kweli bina damu hatuna wema
@zuwenasalum836
@zuwenasalum836 2 года назад
Nakupend Sana dada zuura
@zulphahassan1100
@zulphahassan1100 6 лет назад
❤❤❤❤❤💖💖💖💖💋💋💋💋😘😘😘😘😘ful makopa kopa
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 3 года назад
Bado nipo hii nyimbo ina ujumbe mzuri...
@KulwaMizungumiti-wj5uc
@KulwaMizungumiti-wj5uc Год назад
Zamani kulikuwa na taarabu bhana, album yenye nyimbo hii ilipigwa Sana home kwenye harusi yangu january 01, mwaka 2000, daah kumbukumbu nzuri mno
@salmamasoud6055
@salmamasoud6055 7 лет назад
teeenaaa nashangaa inakuaje binadamu tunaroh dhaifuu penda hii tarabuu
@alir6599
@alir6599 7 лет назад
Mh uko sawa
@realboy8771
@realboy8771 7 лет назад
Nice hakuna kama hii
@tawfiqsuleiman521
@tawfiqsuleiman521 5 лет назад
Real Boy87 ijjjohhiyjoiiijjjhjh Bkjjkk
@neamusic2601
@neamusic2601 8 месяцев назад
Nyimbo nzuri na hta wapokeaji wameipokea vzuri naona watu wanacheza kiungwana.
@abdulrahmanlutenga5119
@abdulrahmanlutenga5119 4 года назад
Alhaj mzee yusuf enzi hizo akipiga kinanda kabla ya kuwa muimbaji ni mwaka 2001 leo hii ameacha taarab anaimba qaswida
@QOOQ8808
@QOOQ8808 8 лет назад
Alisema kama miaka ya nyuma waliweza kupiga muziki wa kiasili wa taarab na kuongeza madoido kidogo, haoni kwa nini wasiendelee kufanya hivyo kwa sasa ili wasipoteze asili ya taarab. "Siku hizi waimbaji wa taarab hawaimbi, wanapiga kelele,"alisema. Kwa mujibu wa Zuhura, wapo waimbaji wengi wazuri hivi sasa kuliko hata enzi zao, lakini wanakosa miongozo mizuri ya kuimba nyimbo za muziki huo kwa namna ya kuvutia. Ameutaja wimbo ambao anaamini aliutendea haki katika kuuimba na hadi leo bado unamvutia kuwa ni 'Siadhiriki', aliourekodi wakati akiwa katika kikundi cha East African Melody
@nyabisemaro5574
@nyabisemaro5574 5 лет назад
Abarikiwe kweli aliutendea haki
@mustafanyapara2723
@mustafanyapara2723 Год назад
kwa ukweli huwa nashangaa akina Leila Rashid wanaimba au makelele!
@hajimahamudu7059
@hajimahamudu7059 Год назад
❤❤❤haiwezi kuchujaa hiingoma
@baflegyahya9191
@baflegyahya9191 2 года назад
Old is gold nice song,Zuhura Shaban
@shabaniselemani9159
@shabaniselemani9159 3 года назад
Nani anasikiliza wimbo huu mwaka huu 2022 gonga like
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 года назад
Mimi apaa
@nasraalharthy1338
@nasraalharthy1338 8 лет назад
I like your songs
@salimmoine1424
@salimmoine1424 7 лет назад
brings back de memories so long time i say remind me tukiwa maskani kila saa ya saa kumi kahawa uchungu uji wa ngano vishete na viazi bajia shantini so far wallai i don't think wy dis time will rewind a gain i say
Далее
Taarab: Viumbe Wazito
17:01
Просмотров 1,2 млн
Taarab: Sibadiliki
17:16
Просмотров 952 тыс.
SICHAGUI SIBAGUI - ZANZIBAR TAARAB
14:17
Просмотров 1 млн
SWABAHA SALUM = SIADHIRIKI REMIX. AUDIO | MARJAN SEMPA
14:45
Taarab: Debe tupu
19:22
Просмотров 1,4 млн
Taarab: Fisadi Kiwembe
18:48
Просмотров 408 тыс.
TAARAB: Zuhura Shaaban - Sifadheheki . AUDIO
12:56
Просмотров 740 тыс.
Siadhiriki - Khadija Yusuf with East African Melody
13:29
Taarab: Wa Mungu uwazi (Full HD)
15:27
Просмотров 2 млн
LANGU JICHO - ZANZIBAR TAARAB
15:18
Просмотров 521 тыс.
Arshavir Martirosyan - Voroshel em  chspasem
4:16
Просмотров 601 тыс.
Artur Arakelyan - Ser Ka
3:02
Просмотров 766 тыс.
5УТРА - Белая полоса
3:13
Просмотров 467 тыс.
Shoxruxbek Ergashev - Alam ekan (Official Music)
4:37