Dada hongera sana unaimba nyimbo za utukufu kwa Mungu sio nyimbo za mipasho tafadhari usibadirike dada hata kama wapambe wako ni wachache kwa kuwa unaimba kweli ya Mungu subiri ujira wa Mungu wanadamu hatuna mbingu wala hesabu yako hutoitoa kwetu .
nakufuatilia sana shemeji, hakika MUNGU aliye juu akuinue ktk uimbaji na uinjilisti. ufike mbali mno, big up na mpe salamu mdogo wangu Nazareth, mwambie kaka yako anakupa hai
Ujumbe wa kwangu huu Baba. Asante kwa Neena na rehema zako Mungu. Hakika haulinganishwi kamwe. Vyote vya kibinadamu havidumu wala kuwa hai Milele..ila wewe no mwanzo Leo na hats Milele. More grace sister 💗💗