Тёмный

VIDEO: BIG JOE KUSAGA AFUNGUKA, 'MILLARD ANAWEZA KUNILIPA MSHAHARA MIMI, TUMIA HUO MLANGO' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Ni Agosti 2, 2024 ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya MALKIA CHOICE FM, Ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CLOUDS MEDIA GROUP (CMG), Joseph Kusaga amefika katika uzinduzi rasmi wa Radio mpya iitwayo Malkia Choice Fm 102.5, uzinduzi huo umefanyika Hyatt Regency Jijini DSM
Akizungumza katika hafla hiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Malkia Choice FM, Joseph Kusaga alisema
'Malkia Choice FM ni kituo cha kwanza cha redio kinachoongozwa na wanawake nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla, lengo kuu ni kuwezesha na kuonyesha kazi mbalimbali za wanawake kote duniani ikiwemo masuala ya kifedha, kiuchumi, kisiasa, na kijamii ili kuongeza kasi na ubora kwenye maendeleo yetu na taifa letu kwa ujumla'- Big Joe
Kupitia video hii utasikiliza yale aliyoyazungumza Joseph Kusaga kuhusu Radio hiyo mpya na mengineyo tusiyoyajua kuhusu vijana aliowashika mkono.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,6 млн