Тёмный

VIDEO: Floyd Mayweather amfukuza refa katikati ya pambano lake kwenye raundi ya pili kisa faulo hii 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@chongerayassini978
@chongerayassini978 18 дней назад
BROTHER SKY TUNATAKA KUMUONA HUYO MTANGAZAJI KWENYE GPS
@johnmike6059
@johnmike6059 18 дней назад
Sasa iyo ni box au upuuzi bos anakuwaje uyo uyo anaepambana ujinga gani uo
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 18 дней назад
Refa mwenyewe boss wake ni may weather sasa kunaushindi hpo
@kwisa4899
@kwisa4899 17 дней назад
Hivi ndio ccm inavyo fanya kuhusu uchaguzi na kuteua
@sabbichristopher3613
@sabbichristopher3613 16 дней назад
We nae hujaelezea vzur umeelezea jujuu tu, watu wafikiri n pambano rasmi, floyd mayweather alishasitafu ngumu kitambo, hilo lilikuwa kama bonadha tu, la kutangaza chapa ya kampuni, na pia hakuna mpiganaji wa ulingoni akaamru refa kuondoka ulingoni. Na kingne angalia umri Mayweather miaka 47 anayepigana nae miaka 31 hakuna wiana hapo na hawezi kufanya pambano la uzito wa juu kw tofauti hiyo ya miaka.
@ankalmzito254
@ankalmzito254 17 дней назад
😂😂😂wacha nicheke tu maana hapa inaonekana kama muvi za kina bimbo na kingwendu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 18 дней назад
Sasa hapo kuna pambano au unaenda kupigwa tu
@twayzo12
@twayzo12 18 дней назад
Kama ela zinamuuma akae ale bata
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 17 дней назад
Mywedher choko moja tu
@abiiclevertz
@abiiclevertz 18 дней назад
Wala sio foul ilikua ni right hook
@abiiclevertz
@abiiclevertz 18 дней назад
Japo kitendo alichokifanya sio cha kiungwana
@PauloMasai-b1z
@PauloMasai-b1z 17 дней назад
Sio kiwiko sisi machampion hio tunaesabu kama faul zingine maana kisogo ni hatari na hamn bondia anaruhusiwa kumpiga mwenzake kisogon
@lucasbatano333
@lucasbatano333 18 дней назад
Anapiga kisogoni
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 17 дней назад
Jamaa puuzi kichizi yani
@juniorgodfrey1527
@juniorgodfrey1527 16 дней назад
Msishangae mwakinyo kupoteza mambele 😂😢
@samuelbenedict1721
@samuelbenedict1721 17 дней назад
Kampiga kisogoni hairuhusiwi unaweza kumletea matatizo makubwa tofauti nahayo anayopigwa kwenye mwili
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 15 дней назад
Hiyo ni kama sparing tu!!
@LemgohaSamwel-ws4td
@LemgohaSamwel-ws4td 18 дней назад
Ngumi za mchongo
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 18 дней назад
😂😂😂😂Mkorofi sana
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 15 дней назад
iyoo sio faulo iyoo ni ngumi mpya
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 18 дней назад
Jamaa ndo michezo yake, anapiga kisogoni..
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 18 дней назад
Na pia ana hasili ya uoga uoga
@partnersah8802
@partnersah8802 17 дней назад
Sio muoga ni ndege furani anarukaruka
@user-gs9mt1vp7i
@user-gs9mt1vp7i 17 дней назад
😂😂
@lewismpangala927
@lewismpangala927 17 дней назад
Mwongo wewe aliambiwa amempiga kisogoni akasema ni hook
@alonerider7164
@alonerider7164 18 дней назад
Huyu ni black lakini ni ms*** ms*** sana,,sasa kama ana power na yupo juu ya power iyo ni kwanini apigane serious sasa,nadhani afanye for funny tu.
@sabbichristopher3613
@sabbichristopher3613 16 дней назад
We nae acha makasiriko, floyd mayweather alishasitafu ngumu kitambo, hilo lilikuwa kama bonadha tu, la kutangaza chapa ya kampuni, na pia hakuna mpiganaji wa ulingoni akaamru refa kuondoka ulingoni. Na kingne angalia umri Mayweather miaka 47 anayepigana nae miaka 31 hakuna wiana hapo na hawezi kufanya pambano la uzito wa juu kw tofauti hiyo ya miaka.
Далее
Faites comme moi
00:14
Просмотров 1,3 млн
BANGI NIBANGUE
15:27
Просмотров 183 тыс.
USIKU WA VITASA: KIDUKU VS SIRIMONGKHON
47:34
Просмотров 594 тыс.