Тёмный

TAZAMA BONDIA HASSAN MWAKINYO ALIVYOMPIGA KO MAYALA WA ANGOLA BILA UBISHI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 666 тыс.
50% 1

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ameshinda mkanda wa WBC Africa wa uzito wa super welterweight kwa kumpiga kwa Knock Out (KO) round ya 9 Bondia wa Angola Antonio Mayala

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 460   
@islammedia5812
@islammedia5812 3 года назад
Mwakinyo kwa sasa anahitaji m2 jaman sio kama hawa wa kuoza now anapiga kila staili kama umeona hilo hebu nipe likes zangu
@mirajisalehe742
@mirajisalehe742 3 года назад
Mkakamavu ,huyu si mazoezi tu pia ni mtu wa jembe mkulima.
@kapilimaibra2540
@kapilimaibra2540 3 года назад
Upo Sahii kabisa.Tena gemu hii naona ameongeza maarifa zaidi na ametumia vizur Sana mkono wake wakushoto
@shakilam6320
@shakilam6320 3 года назад
Kbs pia mm Nimependaa
@fransissamwel1648
@fransissamwel1648 3 года назад
pole mwanasimba tp pamoja ww ktk kipindi kigumu
@abdalaahnaziru7315
@abdalaahnaziru7315 3 года назад
bora wewe unae akili
@cleverboy3812
@cleverboy3812 3 года назад
Ongera mwakinyo... Umeonyesha uwezo.. Ila sasa jitaidi kukuza nidhamu yako.. Unanidhamu mbovu.. Mfano hapo mwisho wa pambano hukuonyesha uwanamichezo kwa kumpa mpinzani wako mgongo huku ukikatika kiuono.. Ulitakiwa umpe mkono alafu mkumbatiane kwa upendo..
@goodluckjohnpaul1518
@goodluckjohnpaul1518 3 года назад
Pengine alimpa ila haijaoneshwa cz video ni fupi
@tomchiwalala8507
@tomchiwalala8507 3 года назад
Clever Boy umenena maneno kuntu!
@successpathnetwork
@successpathnetwork Год назад
Sahihi....💪🏾
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 года назад
Hongera sana mwakinyo kazi nzr ila wasiwe wanakuvalisha kofia ya kimexico sisi wabongo vaa hata kofia za makuti tu
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 2 года назад
😂😂😂😂
@Ahmedyallytv12
@Ahmedyallytv12 2 года назад
Huyu mwakinyo fundi kweli sio kwa mkono huo du bigp sana Tz one
@abbyclassic8464
@abbyclassic8464 3 года назад
Kupitia title aliyopata mwakinyo amepata nafac kucheza WBC kumlinganisha na wengine ni sahihi tatizo kila boxer na mtazamo wake na lengo alilojiwekea kuna wanaoforce game na... Kwanza rank tofaut pili uzito na wao waji brand wakashinde away waje na title co kumtaka m2 kwa chuki tu. Good job champez
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 3 года назад
Mimi nawashangaa wanaotaka kupigana na mwakinyo badala ya kuji brand ili wajitangaze wanaishia kutaka kumfanyia njama mwakinyo anayefanya vizuri kutangaza nchi hii,tunawajua majaji wa Tz wakipigana tu watamwaibisha mwakinyo.
@DavidNzilee-nf2dg
@DavidNzilee-nf2dg 8 месяцев назад
Champion wangu kinyo niatali mno💪
@sarafinakadege3269
@sarafinakadege3269 3 года назад
Jaman mwakinyo nilikuwa nikiombea katk pambano lako hongera sana mdg wangu
@SAM_163
@SAM_163 3 года назад
Tofauti ya mwakinyo na hao sijui kina Kiduku, ni moja tu. Mwakinyo ni INTERNATIONAL & PROFESSIONAL BOXER Wengine ni wapiganaji wanaojitahidi kufikia level za Mwakinyooo.😁😁😁😁😁
@hamisigalyncha8223
@hamisigalyncha8223 3 года назад
Kama wewe simfananishe kiduku na shoga mwakinyo
@isihakaramadhani8005
@isihakaramadhani8005 3 года назад
Kweli he is professional
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 3 года назад
Ah sjaelewa vipi Hassan anamtolea matako huyo jamaa imekuwaje hapo ?
@yehoshafatimayala4563
@yehoshafatimayala4563 3 года назад
Nilkua natafta comment kama hii nilijua lazima niipate
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 года назад
Shoga
@Tanzania12
@Tanzania12 3 года назад
Alitaka Ambebe Kuwa awezi kutembea Mwenyewe Ndio Maana yake
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 3 года назад
Mganga wake kamwambie afanye ivyo la sivyo jamaa angeweza kukata huyo... Japo tanga nao hawaaminiki 😂😂😂 sijatengemea uno la baikoko aisee
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 года назад
Huyu jamaa kuna ustaarabu anatakiwa afundishwe hasa napohojiwa na tabia baada ya mchezo kuisha kuonyesha uugwana kwa mpinzani wake kwa sababu mchezo si uadui na kushinda leo haimaanisi kesho hutashindwa ajaribu kujibadili kutoka uswazi alikolelewa na kuwa wa kimataifa
@peternyambui7492
@peternyambui7492 2 года назад
Mwakinyo ni boxer haswaaa.... Hongera sana sana from..U.S.A
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 3 года назад
BIG UP MWAKINYO UMEONESHA UWEZO MKUBWA......UNAHITAJI PONGEZI SANA...UMEUWAAAA....
@pizohunter7703
@pizohunter7703 3 года назад
Hatushindanii magari bro next level
@nasracorea1283
@nasracorea1283 3 года назад
Alafu yanatokea majinga yanasema anabebwa dah
@pizohunter7703
@pizohunter7703 3 года назад
Ni ushabiki usio na maan sasa hivi level ya Hassan kumshindanisha na kidugu ni sawa na mchezaji wa nje kumleta acheze ndondo cup
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 3 года назад
NIMEAMINI MUONEKANO WA MWILI SI NGUVU, SAFI SANA MWAKINYO, TZ OEEEEEE......💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 года назад
Mwakinyo kazi yako ni nzuri. Na una washabiki wengi maanacdunia inakujua ila jiheshimu utatuboa hapo mwishoni miono yako kama watu wako wa karibu wakushauri utuombe radhi washabiki
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 3 года назад
Mwakinyo ni professional boxer, ila Wale wengine ni ma vocal fighters ..!!! Kutwa kucha kutuimbia singeli ...!!!
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 6 месяцев назад
sifa ya mwakinyo akipigana na boxer mara nying anawakalisha chini.... huu uwezo mkubwa katika boxing 🥊 ❤
@mussafredy3228
@mussafredy3228 3 года назад
N vtu vdogo sana anakosa mwakinyo ili awe bondia namba moja Tanzania
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 3 года назад
Kama nini ?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 года назад
Mwakinyo kila siku anaimprove,Yan huyu jamaa anajua anachokifanya...big up kwake
@davidnkongoki8679
@davidnkongoki8679 3 года назад
Hongera sana kwa kutupa heshima watanzania
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 года назад
Asante Mungu asante Mungu nikilikua naanza kulia najua mwakinyo ashindwa asante Mungu honger kaka
@kborn3145
@kborn3145 3 года назад
You are the best
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 3 года назад
Huu ndo ushindi KO siyo mambo ya points! Hongera sana
@latifasaid4590
@latifasaid4590 3 года назад
Hongera kaka
@binbaya923
@binbaya923 3 года назад
Hongera bro. Respect
@mohamedikilua1582
@mohamedikilua1582 2 года назад
🙌🙌🙌🙌🙌 congrats Mwakinyo home boy
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 года назад
Safi sana bro wauza mataulo nimda wakujitangza Sasa mvalisheni mtaulo mwakinyo acheni ujinga
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 года назад
Twaha kiduku ndio komesha kutana nae uone
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 года назад
Hongera umbuje
@SalminSaid-u9r
@SalminSaid-u9r 6 месяцев назад
Good kaka
@hamisiamani9539
@hamisiamani9539 3 года назад
Hongeramwakinyo
@jbizzojungle5437
@jbizzojungle5437 3 года назад
Big up kwake mwakinyo yuko vzur ila mnao chukua video mnaboah matukiomengne mnachukua vbaya mda mwng mnachukua marefalee mgongo
@athumanabubakary5930
@athumanabubakary5930 3 года назад
Sasa hiv mwakinyo anapigana Ki professional ameivaaa
@geraldpaul738
@geraldpaul738 3 года назад
Hapa namuona mwambea abedi makubeli na magoma shaabani kwenye mtu moja hujaiangusha Tanga big up
@hemedishabani3360
@hemedishabani3360 3 года назад
Good job kaka
@matatasaid733
@matatasaid733 3 года назад
Unapomtaja magoma malizia na R.IP
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 года назад
Hongera sana Mungu azidi kukupigania ufike mbali zaid
@johngabrielz5904
@johngabrielz5904 3 года назад
hongera Ila Bado Sanaa bro, Rudi gym
@malickabubakari2179
@malickabubakari2179 3 года назад
Acha majungu kaka
@johngabrielz5904
@johngabrielz5904 3 года назад
Usiridhike kiraisi huu mchezo Makini Sana... Maboxer wengine wameenda mbele wamepigwa.. Rudi gym bro sio Kwa ubaya.. stay ready
@peternyambui7492
@peternyambui7492 2 года назад
Such a professional boxer!! MWAKINYO..TZ
@vinniechymall9801
@vinniechymall9801 3 года назад
Huyo Jamaa Anajua Sana
@SAM_163
@SAM_163 3 года назад
Home Boy wote hapaaaaaaaa TANGA NDO 🏡🏠
@ramadhanmpungwe9014
@ramadhanmpungwe9014 3 года назад
Honger
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 года назад
Asa mbona kamkatikia😂😂😂😂😂ila hongera kwa ushindiii
@djrichsingelifreva8245
@djrichsingelifreva8245 3 года назад
Japo kashinda ila mwakinyo Ana uzaifu na mkono was kulia bado autendei haki anatakiwa afanye Sana mazoezi pia pongezi kwake
@nirerehadidja8266
@nirerehadidja8266 2 года назад
Salute mwakinyo
@subiraboi9397
@subiraboi9397 3 года назад
Pambano gumu cna hili masha Allah kka hingera
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 года назад
Naomba kwa mungu mwakinyo Awache mchezo huu.ni hatari kwa afya yake
@kakamkubwa3210
@kakamkubwa3210 3 года назад
Twaha kiduku tulia 2 huu Moto wa mwakinyo ni wamagogo😂😂😂
@saidseleman6004
@saidseleman6004 3 года назад
Mimi ndo namuweza mwakinyo😀😃😀😃🏃🏃
@ShaibuKilindo-nu1jk
@ShaibuKilindo-nu1jk 4 месяца назад
Ni mzur Broo ila sipende kumpa mpizan wako nafas ya kipiga gad .mwengine anakuwa na ngum mzito
@YakoboJames-xg8gv
@YakoboJames-xg8gv 5 месяцев назад
Good fighting
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 года назад
Hapo sawa ulifanya poa hakuna ubishi umekuwa Kama Simba hakuna ubishi Sio Kama yanga kagori kamoja kukataliwa kelee Hadi leo mwenzao japiga 3
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 3 года назад
Milla uwe unatafuta Angle za juu kuipata ile movement nzuri
@eliya56richard96
@eliya56richard96 3 года назад
Yeah itakuwa poa zaidi.
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Point 👊🏽
@narymwamba7723
@narymwamba7723 3 года назад
kabisa
@bonshag1
@bonshag1 3 года назад
Home boy kama anapiga punching bag 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
@davidnkongoki8679
@davidnkongoki8679 3 года назад
Hongera sana umetupa heshima watanzania
@hemedytengu5718
@hemedytengu5718 3 года назад
Mwakinyo ndio umefanya nini kuhusu hicho kiuno☹️☹️ halafu siku nyingine asitafutwe refa bonge maana anatuzinga hatuoni vizur ,
@mishram2293
@mishram2293 3 года назад
🤣🤣
@petermtey5508
@petermtey5508 3 года назад
Tanga jirani na mambasa
@dullahditali2654
@dullahditali2654 3 года назад
Atamimi cjamuelewa baada ya kushinda anamkatikia kiuno aya mambo cyo
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
@@dullahditali2654ni kama dhihaka fulani kwa mpinzani wake ila mawazoni alifikiri jamaa bado yuko chini kumbe ameinuka ndo ikawa vile dhihaka ikawa fedheha kwake.
@charlesackim4233
@charlesackim4233 3 года назад
@@dullahditali2654 kabsa yan
@rahelkiteka
@rahelkiteka 3 года назад
Good job my bro, ..from home land Tanga Tanzania!!! Hongera sana bro, ...navyokupenda sasa raund ya kwanza huwa unatupa burudan af raund ya 3 ni udhindi😘😘
@shabanisteveni691
@shabanisteveni691 3 года назад
Vp
@joshhatz0099
@joshhatz0099 2 года назад
Nakubari
@zuushine1817
@zuushine1817 2 года назад
Nkupebda Sana mwakinyo unanikosha
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 года назад
Hongera Sana Ndugu yetu Mtanzania Mwenzetu kwa kutuwakilisha Vema
@elibalikimrema5316
@elibalikimrema5316 3 года назад
Muhammed Ally wa Bongo Hassan Mwakinyo Le champion 💪💪💪💯💯💯💯💯💯🇹🇿✔️
@saidmzee4107
@saidmzee4107 3 года назад
Camera Angle mbaya muwe mnatumia hata drone tuone kwa juu
@shabanhafidhu1951
@shabanhafidhu1951 3 года назад
By the way unapaisha vizuri flag yetu ya Tanzania much respect to you Bro
@mohamedhashim3235
@mohamedhashim3235 3 года назад
Twaha kiduku Usitake kupambana na mwakinyo Sisi tunataka ww na mwakinyo muwapige watu muweke heshima nje ya Nchi.
@iddymiraji7183
@iddymiraji7183 3 года назад
Kaz Kaz
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 года назад
Safii Sana kinyo endelea kulinda heshima yako
@rajabubuffalo2705
@rajabubuffalo2705 3 года назад
Hongera sana
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 3 года назад
Aisee watu watanga hata awe star haachi asili Sasa kumnengulia kiuno mwanamme mwenzio unamaanisha nini🤣🤣😄 duu
@josephmeshack3147
@josephmeshack3147 3 года назад
Hahah nmechoka assee
@peterjohn1019
@peterjohn1019 3 года назад
Bondi's Ndizi Kabisa
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 года назад
I like Mwakinyo how is confident and enjoying the game ,May God bless you.ameena
@shabanisteveni691
@shabanisteveni691 3 года назад
Vp
@felichinakilumile116
@felichinakilumile116 Год назад
Mwakinyo ana nizamu mbovu kabisa
@mtumbad89
@mtumbad89 2 года назад
Motoo
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 3 года назад
😂😂😂 umempiga kisha umempa mgongo mugongo hataweza kweli kucheza kwenyewe na majebu yale 😁😁😁 big up TNG 💪🔥
@OverdozClassic
@OverdozClassic 3 года назад
Meona nije kuchekea hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪
@mosongatz4534
@mosongatz4534 3 года назад
Huyo bondia sio saiz ya mwakinyo amepewa bondia laini laini sana na umri wake ushaenda
@braytonyofficially7362
@braytonyofficially7362 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍👍👍👊👊👊👊 mtu kawaka ulingoni😂😂😂😂 xaf mwakinyo
@jastinlunguya2658
@jastinlunguya2658 3 года назад
mapenzi
@chrispinmramba7660
@chrispinmramba7660 3 года назад
Daah hawa nao wanazingua camera moja tyuu
@galusmbele5410
@galusmbele5410 3 года назад
Aiseee nimeshangaa sanaa
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 3 года назад
I like how Hassan he is confident and enjoying the game...Congratulations Mwakinyo💪
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 3 года назад
Hongera Ankali. Tanga line
@obadiaemacha5292
@obadiaemacha5292 3 года назад
Bravo bravo brother
@radiIbrahimnuhu
@radiIbrahimnuhu 3 года назад
Noma
@radiIbrahimnuhu
@radiIbrahimnuhu 3 года назад
Nimetoka kuangalia highlight za mike Tyson ,nikakutana na video Hii
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 года назад
Ilantaivoo uyu jmaaaa mwengne yupo vizrrr asaaaaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 года назад
Uyu jamaa Siyo mtu wa Mchezo inatakiw Ujipange ukienda kupigananae
@tomdee7504
@tomdee7504 3 года назад
Kazi kazi
@nathankihiyo2854
@nathankihiyo2854 3 года назад
Hongera Ila punguza dharau pale unapomshinda mpinzani wako
@amirikhamis7059
@amirikhamis7059 3 года назад
Hongera tanga boy
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 3 года назад
Mweee huyu mwakinyo ss siyo mtu mzur atakuja kuua mtu.... yn mwanzon kamlembalemba mwenzie na kisha jamaa alivyolegea akampa za kumalizia pambano😂😂🚶‍♂️🚶‍♂️
@martinajames4956
@martinajames4956 3 года назад
Saf Sana kaka tunajivunia kwaajili yako MUNGU azd kukutia nguvu naafya tele kwakweli umekua kunifurahisha
@godfreyapollo1864
@godfreyapollo1864 3 года назад
Mwamuzi sijamuelewa ingawa isingebadilisha matokeo ..Ila hakumtendea haki aliyepigwa .LAIT KAMA ANGALIESABU SINA MASHAKA KAMA ANGESHIDWA KUENDELEA. kwa nilichokiona hapo. Kingine I wish kocha wa Mwaikinyo asome hii... KIJANA WETU ANAHITAJI 'HAND SPEED' TUU KUTOBOA LEVEL ZOZOTE ZILE ZA HIGH LENK
@geraldpaul738
@geraldpaul738 3 года назад
Hongera kwa kuwaenzi wakina mwambea
@bukaone7507
@bukaone7507 3 года назад
Good
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 3 года назад
Game Hilo ndio umecheza vizuri bro ongera xana
@FrolahDavid
@FrolahDavid 4 месяца назад
Champez wetu ni mmoja tuuu..
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 3 года назад
Safiii wakwetuuuu
@njeyabox7788
@njeyabox7788 3 года назад
Safi mwakinyo...legwork imekubali sasa
@justinefelis8772
@justinefelis8772 3 года назад
Aliye Rudi huku baada ya kundi kiduku kuhisi wanamuweza huyu mwamba tujuane kwa like.
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 3 года назад
Uyu ndiye bondia wakisasa Nimeafiki kuwa Anafaa kutuwakilisha watanzania Xhuklani mwakinyo
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 3 года назад
Bondiya Nadhifu Anaipenda kazi yake Usela uuni uja njaujanja ameweka pembeni
@erickkuziwa6620
@erickkuziwa6620 3 года назад
Much respect wanyumbani
@aronesteven1154
@aronesteven1154 3 года назад
Kweli kaka, Hassan ni bondia makin anajua nn anaenda kufanya ulingon
@daudisoniyamsonda7096
@daudisoniyamsonda7096 3 года назад
Love seeing this !! HONGERA MWAKINYOOOO
@mirajimnangwa4955
@mirajimnangwa4955 3 года назад
Hatariiii
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 года назад
Mi huwa wananifurahisha mashabik etu mchumba tu uyo
@ridhiwanitwaha7533
@ridhiwanitwaha7533 3 года назад
Safi sana
@babusadala5732
@babusadala5732 3 года назад
Mwaki yupo vzr sema anainama inama sana anampa hadui mwanya wa kumsumbua 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@athumanabubakary5930
@athumanabubakary5930 3 года назад
Una enjoy kuangalia pambano lake
@officialxule2674
@officialxule2674 3 года назад
kweli tanga hamuwachi asili yenu 👌👌🤣🤣 sasa uno lanin
@mowales8040
@mowales8040 3 года назад
yanii kaenda kumpigia Uno tenaa sijaelewa ile shangilia aisee
@mkwawaaziz6295
@mkwawaaziz6295 3 года назад
Hata mm sjaelewa kabisa
@ADRIANAKOMBA
@ADRIANAKOMBA 3 года назад
Mimi pia sijaelewa
@yunusali7617
@yunusali7617 3 года назад
Akaa wallah yakhe vipi mwakinyoo hahahaha nyonga
@davidcornel9545
@davidcornel9545 3 года назад
Namwona Mohammed Ally wa Tanzania
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Ndugu zangu msije mkafikiri Bondia wetu mchicha mwiba kwa hilo uno hapo mwisho ni kwamba alitaka kumdhihaki mpinzani wake sasa mawazoni akafikiri jamaa bado yuko chini kumbe jamaa keshainuka mwisho wa siku dhihaka ikawa fedheha kwake but anyway yote ni furaha hakuna baya.
@flashazzy
@flashazzy 3 года назад
Sasa angalau nimeelewa Mana nilikuwa katika Hali ya sintofahamu kwakweli... anyway ahsante.
Далее
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02