Тёмный

VITASA | Ibrahim Class vs Said Chino | KAZI IPO 27/05/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 197 тыс.
50% 1

VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino.
Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako...
#KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight

Спорт

Опубликовано:

 

26 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 264   
@abdulburaheze9582
@abdulburaheze9582 Год назад
ibrah anafurahisha jukwa kwa upiganaji mashabiki wa ibraha gonga like hapaaaa👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪
@curleskennedy2218
@curleskennedy2218 Год назад
Hili shindano ni la level mbili tofauti, Kuna vitu unaona Ibra anauelewa na anajielewa strength zake na anazitumia haswaa. Oponent nadhani aliambiwa una ngumi nzito then akaingia kwenye mchezo, Class ametengenezwa
@jaybee3429
@jaybee3429 Год назад
IBRA CLASSIC ANA MCHEZO MZUR...HARD PUNCHING....JABU NYING...KAMA UMEELEWA WEKA LIKE
@alekasm
@alekasm Год назад
ffgvvvvvvvfbvvffvfjghggfgfhggggggggggfggggggcvggvvfvbggvbhhgvbbvbjhvbgjfncgjhvgjghvbkgjvggfgvgvvcdrrrhfvggcgvdvvvggbbcvgcccvcfvcvggfbcvgvfhcjffhcvfjgffhgkgggiggfgggcgcgjfbvvjfcjgcgjgvvvfdddfffffvbhfffggfhdddfgfvcccvbrfjhrrgrfffnvfbvvvfgvfd
@YustoMlay-is8ed
@YustoMlay-is8ed Год назад
Sana sana
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Год назад
Watu wengi wanasema Chino anarusha Makota..sio kweli! Chino anarusha ngumi zilizonyooka kabisa ila Ibrahim Class jamaa ni Class kweli...anashambulia na kutoka haraka hivyo ngumi za chini zinaonekana kulenga tofauti na alipo Class hivyo kudhaniwa ni makotakota!!! Kwa hakika Class ni The most skilled boxer in Tanzania...
@princeking7042
@princeking7042 Год назад
True✊🏿✨💪🏾💪🏾🔥🔥
@boniphacechiwambo1011
@boniphacechiwambo1011 Год назад
Yuko vizuri saana
@boniphacechiwambo1011
@boniphacechiwambo1011 Год назад
Team Class 🎉🎉💪
@SamsonAndason
@SamsonAndason Год назад
lbrahimu class Ana onekana anacheza kwa makini san
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Год назад
Umenena kwel kaka, IBRA anacheza vizuri mpaka raha yani
@chuxdampa8664
@chuxdampa8664 Год назад
class unajua xan chino kapigwa roundi zote Yan class anaamua afanye nin kw wakat gani. (Big up Ibrahim kazi nzuri)
@modestsharia7127
@modestsharia7127 Год назад
Unajua kaka watu wengi hawajui ngumi huto class ni bondia wa kiwango cha juu sana huyo dogo bado atafute mwalimu mzuri
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Ibrahim Class ni professional boxer, round ya 10 ameonyesha yeye ni boss wa mchezo, big up sana Class, Wonderful boxer✓✓
@vitalesmgenge9774
@vitalesmgenge9774 Год назад
Huyu mbena wa iringa ni fundi sana Hana hasila Hana papala japo upinzani kauona kweli chino co wakubeza akiongeza juhud tz tutakua na bondia wengi sana wenye uwezo,hongela clas ww ni teachel kweli👏👏👏👏
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Год назад
Ndio maana akaitwa classic 😅
@jusamsaid1746
@jusamsaid1746 Год назад
Pambano zuri sana katika mashindano maneno ya majigambo muhimu Safi Sana Chino uko vizuri mno unless Ibra ni Next level uckate tamaa kikubwa kujituma
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Huyu Chino si bondia mbaya,,,dogo yuko vizuri sana, head movement, footwork yupo vizuri, mwili wake umechangamka kila mahali, tatizo hajapata kocha mzuri wa kumjuza mbinu sahihi za utupaji ngumi pamoja na namna sahihi ya kutupa ngumi pale anapokuwa anakwepa
@jeniferjonas9348
@jeniferjonas9348 Год назад
Ibrahim king class is next level uwezi faninisha na chino japo akipata mwalimu mzuri ni bondia mzuri anaweza kua bondia mzuri sana ila Kwa Sasa Ibrahim class is just like bush 🔥🔥🔥🔥
@dicksonmswigebisile7676
@dicksonmswigebisile7676 Год назад
Ibrahim Classic is CLASSIC.
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 Год назад
he is indeed.He has very good defensive skills. He needs to up his punching power though
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 Год назад
Ibra classic kama Bongani mchezo mzuri sana
@josephgama7810
@josephgama7810 Год назад
Haujakosea kusema hivyo nakubaliana na wewe.
@shundathegreat1988
@shundathegreat1988 Год назад
👋👋👋
@user-yv7zv3cw8m
@user-yv7zv3cw8m Год назад
Huyu mwamba kujiita class ni sawa kabisa. Anasababishu enjoy kuangalia ngumi.
@mlekwa
@mlekwa Год назад
Wameonyesha mchezo mzuri wote naeakubali💪🏿
@abdulrahmanmohamed6135
@abdulrahmanmohamed6135 Год назад
Ibra yuko vizuri ila angelimaliza hili pambano mapema kama ange badilika na kupiga body punches ..otherwise future face of boxing in Tanzania ibra ❤❤
@mudriqhamidu871
@mudriqhamidu871 Год назад
Kbra anapigana km Lenox lewis hatumi nguvu sn anatumia akili sn ktk kupìgana hii nimependa safi sn hawajakumbatiana hata mara 1 ❤❤
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Год назад
kwakweli ibra class ni bondia mzuri sana. ipo siku atafanya makubwa sana
@dicksonmswigebisile7676
@dicksonmswigebisile7676 Год назад
Ibrahim Classic the Lennox Lewis of our age.
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
Ibra unaweza Kaka Mungu akusmamie uwe salama tu ktk mashindano yako
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 Год назад
Chino kanisuplies ni mzuri sana ila sasa kakutana na Bondia mwenye akir nying class ongera sana maana kumpigia chino kwa point sio mchezo bondia asie na akir kwa chino aendi hata round 5
@bakariathmanathman2187
@bakariathmanathman2187 Год назад
Ibra yuko vizuri Kwa sisi wakenya tunge kua na bondia kama huyu tunge jivunia hongera ibra
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Yupo vizuri ni talent by nature ana akili ya ngumi
@naimabdul1231
@naimabdul1231 11 месяцев назад
Daah aliekupa hili jina ibra kakosea angekuita ibrahim quality unapiga ngumi za kwenye video kaka big up sana, side chino next time umeonyesha uvumilivu mkubwa bro pambano la kibabe sanaaaaaa
@nikky4757
@nikky4757 Год назад
KUNA WASHABIKI HUMU HAMNA KITU KWA PAMBANO LILIVYOENDA CHINO HAYUPO LEVEL YA CLASS NA UZURI CLASS NI PRO AKUTAKA KUBISHANA KWA MDOMO KABISHANA KWA MKONO NA WOTE TUMEONA
@user-kn2nj4jo7p
@user-kn2nj4jo7p Год назад
Naomba namba ya simu ya mlundwa,uyo alikua mwalimu wangu wa ngumi Kule mpanda mwaka 92 na 93 kwa bahati mbaya aliangukiwa na ukuta wa nyumba apo ndio ilikua mwisho wangu wa kucheza ngumi,kipindi hicho alikuwepo na omary yazidu,naomba Sana namba ya mlundwa
@maandaziimakavuu3790
@maandaziimakavuu3790 Год назад
Ibrahim class uko vizuri sana una uzoefu wa kupigana umeshinda kialali!!!!
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Год назад
Ibra class ajawahi mwacha m2 salama🤗✌️
@user-du5sf9zk5h
@user-du5sf9zk5h Год назад
Azam tv waambie aidan n mwenzie wakiwa wanatoa tthimin waccimame upand mmoja
@samuelpaul5733
@samuelpaul5733 Год назад
Point Aisee hii sio kitu kizr sikuzote huwa wanafanya hvo ibra ibra ibra ibra mwingne hasifiwi sio pow wakosea
@abdulburaheze9582
@abdulburaheze9582 Год назад
ibraah imenifurahisha sana piga mazoez sna pambano taaaaam sana
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 Год назад
Ibrah class amestahili kushinda✨️
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
kaz ya jab 1- kumstopisha adui 2- kumfanta adui ashndwe kukuingia 3- kumfanya mpigaji apate nafas nzur ya kuamua lkn wote n wazuri sana tu Kwa kweli tunajifunia watz kuwa na mabondia wazur na imara kama hawa.
@calvincletus5233
@calvincletus5233 Год назад
Mzee ww unajua ngumi
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 Год назад
Sasa uongelee nn wakati mazingira ya kuongea yanaletwa na ibra, sasa huyo dogo utamuongelea kipi ikiwa anapigwa.
@champtynasser7372
@champtynasser7372 Год назад
Nyongezaa..... Naamini Rematch ikitokea kunaweza kuwa na matokeo tofauti thats why CHINO HAKUWA MDHAIFU SANA Alidhibitiwa tu game styles zake na IBRA
@petermabale4320
@petermabale4320 Год назад
Hili ni pambano bora sana, hakuna kukumbatiana round zote
@mudriqhamidu871
@mudriqhamidu871 Год назад
Inatembea punch t hpo vitendo vya mikono ni vingi sna mpk raha kuliangalia hili pambano
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 Год назад
Kabisa hadi raha kuangalia
@asyahkimangale6785
@asyahkimangale6785 Год назад
Fight ngumu sana IBRA anaspeed CHINO anapower na hicho ndo kimempa ushindi CLASS.ila wote wanajua.
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Год назад
Watangazanji hapo mezani hamjitambui hata kama mna mapenzi lkn sio kwenye public space... Alafu Hawa kina Class husifiwa tu lkn kiukweli kabisa .. Mchanjo na Mchanja Hawa wanatakiwa wapongezwe sana Tena sana
@Tzn255
@Tzn255 Год назад
Kweli kabisa
@barakamgongolwa5137
@barakamgongolwa5137 Год назад
Mm sijaona upendeleo wowote Ibrahim class amecheza vzurii tuachee uongoo
@duniayetutz4424
@duniayetutz4424 Год назад
Kwa utaalm wangu wa mchezo Wa ngumi,Chino ni bondia mzuri Sema Hana balanc na ngumi zake yaan akitupa ngumi ikitokea amemkosa ibra bac a nakosa stamina, ibra anacheza kipro but hili pambano kwake halikua rahic hata kidogo ngumi zake hazna power tofaut na za Chino na kama angekua na ngumi kama za Chino hili pambano alikua anamaliza mapema
@alleyd.alleyd
@alleyd.alleyd Год назад
BRO HONGERA SANA..UNAZIJUA NGUMI...
@lullebolle808
@lullebolle808 Год назад
Alafu jamaa anasema kaonewa acha uongo umepigwa wewe chino
@ramakwio6480
@ramakwio6480 Год назад
Ibra classic 🔥🔥🔥
@user-tz2os5fj7e
@user-tz2os5fj7e Год назад
Unyama mwng ibra yupo vzr sn namkubali sn mwamba huyu
@kiya0910
@kiya0910 Год назад
Hongera zao wote wako vizur kabisa
@iwishtv7907
@iwishtv7907 Год назад
Hawa wachambuzi hawajui ngumi hasa huyu Nasib Ramadhani na Patrick Nyembera Walau huyu Mchambuzi mmoja kidogo Aana mwanga, Jab ni ngumi muhimu sana kwa ajili ya kutenganisha Umbali, kuset trap na kumvurugia mipango mpinzani wako lakini sio ngumi yenye points nyingi, Strong jab ndio huwa na points kidogo, Jab nyingi alizorusha Ibrahim Class zilikuwa hazifiki kwa Chino na sio effective ingawa bado Ibrahim Class ameshinda kihalali
@jofuprince2294
@jofuprince2294 Год назад
Huko sahihi kabisa mkuu
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 Год назад
Wachezaji wote mko vizuri
@gbetter4713
@gbetter4713 Год назад
Ibra noma sana anapigana ngumi ambazo hazina papara kabisa huyo jamaa mwengine inaonesha anafosi ushindi lkn Hamna kitu
@chazp6436
@chazp6436 Год назад
Chino naye bondia mzuri sana
@babalaocollectionnoumasana
@babalaocollectionnoumasana Год назад
Yeah hayo ndo maneno upinzani kauonyesha sio mbaya Chino nae mtu
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Год назад
Ibra outboxed Chino in every round!!!
@denisclement4828
@denisclement4828 Год назад
Classic bwana Yuko smart,namkubali_ Rahaa
@omaryally5555
@omaryally5555 Год назад
Huyu chino anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yani anaenda kupambana kinguruengurue
@esthercharles5945
@esthercharles5945 Год назад
Ni kweli kabisa
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Год назад
🤣
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 Год назад
😁😁😁
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Kabisa ana kwendakwenda kama mnyama wa mwituni na kichwani mixer ganja nyingi dah kapigika arafu mwishoni kashangilia sana dah ndumu kweli sio nzuri 🤣
@shaabanali4869
@shaabanali4869 Год назад
Well played ibra class, big hand for you.
@user-pk3uc8gf2n
@user-pk3uc8gf2n 11 месяцев назад
Kiukweli wote mko vizuri ila kwenye ushindani lazima apatikane mmoja bingwa ivyo saidi chino usikate tamaa
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 Год назад
Clss ni level kubwa sana,, mwenye namba yake anitumie nimpe hata ef 10 tu. Kishow love
@kassimsalum1479
@kassimsalum1479 11 месяцев назад
Huwasichoki kuangalia hili pambano big up ibra kutoka 🇧🇷🇧🇷👍
@eliamaguchi10
@eliamaguchi10 Год назад
What a fight ❤❤ fantastic
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Год назад
Round ya pili haiingii hz kauli za mashabiki kiko wap😂😂😂unaweza fia ulingon kisa mashabik, hongeren mabondia nyote mmefanya kaz ni ujuz tu kutofautiana
@user-pe6kc7tm1g
@user-pe6kc7tm1g Год назад
🎉hamna kama class bongo tz
@harunimfaume2121
@harunimfaume2121 Год назад
IBRA CLASSIC APEWE MAUA YAKE YANI ANA HESABU NYINGI SAANA HALAFU WOOTE KWENYE UPANDE WA LEDE LEDEE WAMETOKA HAWASHIKANI KAMA WALE AKINA FLANI NGUMI ZIMENYOOKA 👊👊
@fredrickkomba4449
@fredrickkomba4449 Год назад
Ubora wa class; mwepesi sana, anatarget ya kupiga kwa point na anatembea
@jumahashimu3647
@jumahashimu3647 Год назад
Kukupenda tu munyarukolo vangu ibra nakukubali sn 💪💪
@tonyshineafrica8278
@tonyshineafrica8278 Год назад
point mbona kama uongo hv chino Kazidiwa sana kuscore
@user-el3mo4bu7h
@user-el3mo4bu7h Год назад
Ibrahim nakupenda xana. 🎉 Mtoto tuuuu uyo ❤❤❤❤
@SudiKama-ok9eh
@SudiKama-ok9eh Год назад
One love class ❤❤❤❤
@josephbundala-rs2cs
@josephbundala-rs2cs Год назад
Ibra apewe pongezi ❤😂🎉😮😅
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Год назад
IBRAH Kaka ushauli wangu fanya km mwakinyo usipiganetena nawa tanzania wenzio lengolao kukushusha hapo ulipo.tumia akiliyako vizuli epuka mijitu yenye rohomba
@HassanMasasi-gg5rs
@HassanMasasi-gg5rs Год назад
Nakubaliana na ww ibra asipigane tena na watanzania watamfelisha
@user-el3mo4bu7h
@user-el3mo4bu7h Год назад
One love ❤❤❤❤❤
@BilobzBzee-ed5jy
@BilobzBzee-ed5jy 11 месяцев назад
Ibra classic Yuko vizuri Sana ngumi zake huwaga zimetulia Sana ataacheze na Nani? Kama atapigwa namaa atapiga huko vizuri na pia kulitazama binafsi napenda
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 Год назад
Watangazaj mnaboa ni wapinzan amtakiwi kua upand mmoj
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 Год назад
Chino ibra kakupa jina kajipange nimeona fght mwanzo mwisho hongera kwa kufanikiwa umemaliza kwa maumivu ila haukumdondosha ibra ulikanyaga mguu
@abdimsagati9667
@abdimsagati9667 Год назад
Ibra yupo vizuri
@haidarkitwana6783
@haidarkitwana6783 Год назад
Ibra anatumia mavimenti nyingiza muhamme ali chunguza
@user-vd1ym2ss5v
@user-vd1ym2ss5v Год назад
MNATANGAZAJI NA WACHAMBUZI MSHACHAGUA UPANDE NA HII NI MALANYINGI NAIONA. HAWA WOTE NI VIJANA WA KITANZANIA MSIWE NA USHABIKI MNAKOSEA SANA TANGAZENI MNACHOKIONA NA SIO KUPAMBA BONDIA MMOJA WAKATI MECHI BADO HAIJAISHA HUU NI UJINGA MNAFANYA
@hassanomari4575
@hassanomari4575 Год назад
Wadumishe michezo .
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 Год назад
Nyie watangazak mnaushabik wakisenge, wote wasenge nyie mmeniudh utadhan nimtu wannje ,, ndy maana tz nishanba labb
@muhandoally6501
@muhandoally6501 Год назад
Ibrahim class bondia mzr sana anapigana ngumi za akili sana sio papara
@kibwanambelwa8352
@kibwanambelwa8352 Год назад
Naungana na chino kwa sababu nae angeamua kukaa mbali basi isingekua box mchezo mtamu kama huo Ibra yuko vzr sn game ilikua tamu
@user-jr9rv6cg8p
@user-jr9rv6cg8p Год назад
Nice classic
@hallowkij5677
@hallowkij5677 Год назад
ibrahim clasic
@pharidashabani-zg4qy
@pharidashabani-zg4qy Год назад
Chino amejitahid sana pamoja na kua hakushonda
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
YES NI BONDIA MZURI SANA KAMPA UPINZANI MKUBWA IBRA
@atigeedee7766
@atigeedee7766 Год назад
Ibra upo vizuriii
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 Год назад
Watangazaji watangaza kishabiki ibra akipigwa wakaa kimya😂😂😂
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Год назад
Tangaza ww
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Год назад
Clasicc Nibondia Mzuri Afanyie Mazoezi Kubadilisha Miguu Na Nguvu Za Mikono Jifunze Kuficha sura kutumia mikono yako Speed imempunguzia Nguvu umefanya vizuri.....Na Kuhusu Chino ongeza Speed ya miguu mchanganyo wa ngumi zaidi ya tatu kuendelea fanya mazoezi yakukimbia huku unatupa ngumi hewa utakua bora zaidi Brother nimvumilivu unanguvu Bondia Mzuri ....Mchezo mzuri Nikilipoti Kutoka PWANI BAGAMOYO Mimi NIBONDIA WA UZITO WA JUU......
@Khery-hi7rg
@Khery-hi7rg 4 месяца назад
aise ni hatarii sana aise ibra Yuko vzr na anapiga ngumi za ufund
@mtausi6995
@mtausi6995 Год назад
Ibrahim classic uko vzr sana
@djinnobwaytz9631
@djinnobwaytz9631 Год назад
WATANGAZAJI WAPUMBAVU WANAONGELEA UPANDE MMOJA TUU
@RICHARDDONARD-bh3ol
@RICHARDDONARD-bh3ol Год назад
Namtakia Ibrahim classic ushindi
@NuruSanga-yo2sl
@NuruSanga-yo2sl Год назад
Nakupenda mnyakukolo
@hamzamakame-fy6yp
@hamzamakame-fy6yp 6 месяцев назад
Si tunapenda kusifia class yup sw zidi ya chino kweli hii fight kasulubiwa kweli halafu hana mbini hapa
@ddontz
@ddontz Год назад
Huyo mtu mfupi akajifunze ngum kwanza hawezii miziki ya ibra yan mtu anapigwa kama ngoma😂😂😂
@gerardmbise8224
@gerardmbise8224 Год назад
Good 👊👊👊👊👊
@rama-sa-4856
@rama-sa-4856 Год назад
Class big class
@saidkizota3595
@saidkizota3595 Год назад
Watangaxaji machawa wa classic
@dadimtipodadi2259
@dadimtipodadi2259 Год назад
Wee nae mtangazaji chenga una upendeleo tu kwa Ibra ila chino yuko vizuri mno
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Год назад
Tatizo ni kutumia nguvu nyingi kuliko akili lkn chino ana ngumi nzito ila tatizo ni akili ya namna ya kuzitumia nguvu hizo katika ku score. Ikumbukwe boxing ni mchezo wa kutumia akili na nguvu kiasi ili uweze kujibalance katika kumaliza round za mchezo na ikitokea umemtwanga kisawasawa opponent wako either kwa knockout basi pambano linamalizikia hapo hapo. But all in all boxing ni akili zaidi ili uweze kuscore points za kukupa ushindi na sio kupigana pigana tu kikubwa ni points za ushindi. Ila kama wangeamua kupigania mtaani mtaani tu hapo sawa kule uchagui pakupiga wewe tu na nguvu zako baaaasi.
@user-js8zk6mb9w
@user-js8zk6mb9w Год назад
Mnaegemea upande mmoja bana….mmemtafutia ubingwa ibra kwa maneno yenu
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 Год назад
Ula goloveka umwana vavene ibra maana apyufile
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 Год назад
Ibra ni noma sana
@user-js8zk6mb9w
@user-js8zk6mb9w Год назад
AZAM inabd muangalie kwenye swala la macommentetor kubase upande mmoja
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Год назад
The battle of power vs speed
@salubrown4013
@salubrown4013 Год назад
Tatizo Rachino Ate mbey Najabu vizuli mkono wake Au nyo oshi vizuli Ana ru husu masha mbulizi sana Aturii Ana tumiA nguvu sana bira Akiri Aki jire kebisha Ana fika
@bosssalum1037
@bosssalum1037 Год назад
Fanya namna L iwepo kichwa mwako
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Год назад
Mdogo wangu kweli umemfundisha ngumi mdogo wako JAB hailali.Chino kapigwa na jab tu.Sema nilipenda Sana utulivu wenu.Kunamuda nilikuwa namuona Naoya Inoue.
@champtynasser7372
@champtynasser7372 Год назад
Pia MNAFANYA IBRA AONEKANE KWELI BONDIA WA MEDIA NI KASUMBA HIZO So ni mapema mbadilike katika hilo kulinda BRANDS ZA BOXER maana hizo NEGATIVE PERCEPTIONS zinaweza kuonekana kweli kupitia kama kwa COMMINTORS pia, kuchagua upande mapema kbla pambano kutamatika. Hususa kama hivi local game ya boxers wa kibongo kwa kibongo, tumieni kidogo professionalism. #Resist_Biases like kama upo kulinda brands kwa boxers
@nikky4757
@nikky4757 Год назад
Kama mtu anafanya vitu vizuri watu wasiongee ?? Ww inaonekana ulikuwa upande wa Chino unaumia maana hamna kilichokuwa kinazungumzwa ambacho tulikuwa hatukioni mtu akifanya vizuri watu wanasifia
@champtynasser7372
@champtynasser7372 Год назад
@@nikky4757 sikia hatuzungumzii suala la IBRA hakutakiwa kuzungumziwa au kusifiwa ila kama utafatilia vizuri video au clip nzima utaelewa kinachozngumza zaid kwa IBRA bila kusifu pia Stregthns aliyoonesha CHINO, AF Pia CHINO simjui nd kwanza nmemjua kupitia hilo pambano na ibra ni bondia mzuri sana zaid ya huyo CHINO Kwa tachnique lakn CHINO katika round 1 na 2 , alimuuliza sana maswali IBRA. HATUJADILI USHABIKI HAPA, TUNAJADILI KUONESHA USAWA PIA KWA BONDIA OTE CHINO HAKUWA BONDIA KIAZI WEWE.
@champtynasser7372
@champtynasser7372 Год назад
Cos TUNAVYOMJUA IBRA HUYO CHINO KAMA ANGEKUA KIAZI UNGEONA HATA ROUND MOJA ANGEHESABIWA, husicheck sana personal attacks mie siyo shabiki wa bondia fulani, Mimi nachozungumzia ni kutoonesha Upande kwa COMMENTORS.
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 Год назад
Sio media ibrah ametengeneza fanbase tayar na chino naye afanye kazi kujenga fan base. Wengi tulikuwa hatumjui chino. Achukie hili pambano kujitangaza na kujifua ashinde mengine
@heimkon7236
@heimkon7236 Год назад
@@champtynasser7372 jombaa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Tunasikia kwa media kila siku Messi na Ronaldo wakisifiwa kwa soka coz wamejisimika haswa kwenye game zao, hata wakikosea bado hutaacha kuwasifia. So Chino ajifue na ajijengee brand yake ili akubalike. Class hajaomba Bali uwezo umedhihirisha na akapata Mashabiki.
@louizedes8509
@louizedes8509 Год назад
IBRA CLASSIC international boxer
@abdulrahmanramadhanabdul-wv1jb
Nakukumba mwanangu chino
@user-mc5dg1xw3m
@user-mc5dg1xw3m Год назад
Maoni Yetu watangazaj wabadilishwe wanabez upande mmoja
Далее
Все кругом Миланы... 🤣
00:12
Просмотров 213 тыс.
When Referee Makes a Right Decision👏
0:19
Просмотров 11 млн