Тёмный

VIDEO KUTOKA OMAN: KUTANA na SAID MTANZANIA WA KWANZA ALIYEANZISHA MAMBO YA BENDI - TAARABU OMAN... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@taliyagogo1481
@taliyagogo1481 7 дней назад
Nippon Muscat .. Mimi ni momani na pia Mtanzania na ninaishi hapa. Nilimpenda Bwana Saeed ikiwa hakuwa ameowa ☺️☺️ Niambie
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 24 дня назад
Kwa mama Fatu vizuri sana my sister Kaz mzuri ma Sha Allah
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 24 дня назад
Changamoto zinaweza kuwepo, lakini ubaya ni kuongeza chumvi kupita kiasi kwa kusema uongo uliopindukia. Hii inapotosha. Mfano hizo stori za kulazimishwa na mbwa. Nahisi ni vizuri huyu mama Global kaja nae afanye tathmini yake.
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 17 дней назад
Hapo ndio tatizo, madada wengi wanapenda umaarufu, na ndio maana huwezi kumsikia kijana anakwenda vyombo vya habari kulalamika
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 17 дней назад
@@majaliwamussa9268 Kulalamika kama kaonewa au kadhulumiwa sio tatizo. Ana haki ys kugombea haki yake. Lakini tatizo linakuja kuwa kusema uongo tena uliopindukia kuwachafua wengine hiyo tena sio haki. Anakuwa anadhulumu haki ya wengine na kuharibia wengine ya ama watapata toga usio kweli kuwaharibia rizk wengine. Tuwe wakweli kama alivyosema Raisi magufuli “ wasema ukweli ni wapenzi wa Mungu”
@mohamedkhalifa5764
@mohamedkhalifa5764 19 дней назад
Nimefurahi sana kumuona huyo Dada wa Global kutembelea Oman Mtembezeni kila sehemu aone wanadharau sana waarabu
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 24 дня назад
Waooooh da Zari mashallah 🙏 🙏 karibu Oman natamani ningekuona live
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 18 дней назад
Nimependa mkaka ameelezia vizuri mashallah changamoto sijambo la kawaida tupo omani takribani miaka kumi ss hila tunakomaa
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 24 дня назад
Arikheri marini ma Sha Allah ❤❤❤
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 23 дня назад
Oman 🇴🇲 karibu sana dd zai😊
@reformerthrone972
@reformerthrone972 24 дня назад
Kabla ya miaka 5 nyuma alikuja msichana kutoka Burundi na mimi ndiye niliyempokea alipofika hapa Oman akawa ananihadisia kuwa nasikia waarabu watu wabaya wanapiga na wanatesa na wengine wanaweza kukuuwa yeye ananihadisia hivyo Sasa nikamwambia kama wewe hizo ndio fikra zako Sasa vipi umekubali Kuja??!! Mimi nikamwambia Kuna waarabu wema na Kuna waarabu wasio kuwa wema na hii ndio kila pahali duniani ipo.. Nikamwambia je wakumbuka vita vya wahutu na watusi huko kwenu baina ruwanda na Burundi vipi walikuwa wakipigana??!! Na silaha gani wakitumia ilikuwa mapanga visu bunduki na kadhalika nikamwambia je wale walikuwa waarabu???!! Hakuweza kunijibu na hakua la kunijibu. Kwa hio ukiambia kitu lazima na wewe ujiambie na upime na kutumia akili yako
@omanoman2044
@omanoman2044 23 дня назад
Kabsa wanatuharibia tuy mbon oman nikuzur tuy hakun shida shida wanajitakia wenyew wanataka kuzurura kufanya zinaa kam wanazo fanya kwao ndo shida ya wa TZ AMBAO WAPO OMAN LAKIN OMAN NIKAM TZ TUY KWAN TZ SII WANATESWAA KWA HIYO DUNIA NZIMA WATUY WAKO HIV KUNA WAZUR NA WABAYA PIA NIKUSHUKURU TUY
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 24 дня назад
Zari karibu kwetu 💕💕
@chikujuma18
@chikujuma18 24 дня назад
Tena hao wanasema kulala na mbwa wanamkufuru mungu kwa kweli kutangazia waarabu tena wasiirud kufanya kazi Oman wafungiwe kabisa
@Bahati47
@Bahati47 24 дня назад
Mbwa wapo Oman Tena mpaka wale mbwa wa kizungu wanafuga ndani ya majumba yao wanalala nao mpaka vitandani mwao kama vile wanavyofanya wazungu mm binafsi ninapo fanya kazi mwanae mmoja ane yule wandani wanaitwa Papp kutwa Wana mpakata Tena Wana lala nae kitandani kabisa na kumwengine anao wale wakubwa jamani mbwa Oman wapo na Wala msibishe Oman ya Leo imetawaliwa nanuzungu watu wanaiga uzungu mpaka wanasahau dini yao
@naimajuma647
@naimajuma647 24 дня назад
Oman ni kubwa na sio waomani wote ni malaika ni binadam kama walivyo wengn na wapo wazuri wapo wabaya wa roho kuna nyumba nzuri sana kiheshima /wastaarabu Sana na zipo washenzi wa tabia so yasemayo yapo kwa walikutana nao wanakosea tu pale kujumuisha waomani wote kwa kosa la mmoja. Na kwa mimi sioni sababu ya wao kubwabwaja kwasababu hawakurazimishwa kuja oman na wasiwaogopeshe wengn wanao taka kuja kila mtu na bahati yake ukianfukia pabaya Allah anakusudi lake ivyo jitathimini.
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 23 дня назад
Mbwa wapo na watu wanalala na mbwa wala usinidhee halijakukuta wewe
@mamialsawafi8020
@mamialsawafi8020 11 дней назад
​@@Fathasssane-vs2thkumbe ww ulishalala na mbwa basi ukiitwa sehem husika toa ushahidi na unyeshe nyumba yenye mbwa binaadam nyie mnakazi kwakweli hivi mbwa wakufuga ww unaweza kumsogelea au unaropoka tu siatakukata tako kabla hujamgusa hata mbwa chokoraa akiona mtu anakimbia acheni unafiki mashetani msio na fadhila kwanza mbwa wa njiani kila leo wanauliwa na police
@mamialsawafi8020
@mamialsawafi8020 11 дней назад
​@@Fathasssane-vs2thkwanza umejibebea umbea tu pengine hata Oman hupajui pakoje mtakufa na chuki zenu Oman nchi yenye amani nawatu wanafaidika wenye chuki mtakufa maskini kwa roho mbaya
@HappyHiker-nz9vg
@HappyHiker-nz9vg 24 дня назад
Dada umependeza hio abaya mashallah ❤🥰
@MashavuMussa-f3r
@MashavuMussa-f3r 24 дня назад
DA ZARI UMENOGA HATARII. ISHI OMAN. MAANA IMEKUPENDA SAANAA
@Sweetdays88
@Sweetdays88 23 дня назад
Sigikitu kama hayo yote ni sahii maana tunakavo elewa kuna baadhi ya familiya yako ya dam wanalia na njaa kila mtu anakielewa hicho na kwanini hukurlezea kuhusu watoto wako una idadi ngapi ya watoto na wanaishi wapi na vipi maisha yao kabla ya kujisifia.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 19 дней назад
Said Assalaam Aalaykum muda mrefu sana tulionana hadi nakuona tena leo takriban miaka 14 sasa big up Brother Said kidowa
@FattiHassan
@FattiHassan 24 дня назад
Hello zari umefika salam vip hali ya hewa mlivyo iona haya nakupa hai mie niyule nilio kusalimia juma pili pia hongera sana kwa kujituma kipenzi
@McT-m1m
@McT-m1m 24 дня назад
Zari nakupenda sana kwa ajili ya allah
@zainab-yb7tt
@zainab-yb7tt 24 дня назад
Said yupo Sahihi
@meowzna
@meowzna 24 дня назад
Thank you🎉🎉
@BibiClassic-rl2jo
@BibiClassic-rl2jo 17 дней назад
Mashallah SAID amefafanua vzr sanaa Sisi WATANZANIA NA WAOMAN ni ndugu Mtanzania ni mama kwa muoman Na muoman ni baba kwa mtanzania ALLAH AKUHIFADHI Said 😊
@saidalghafri3111
@saidalghafri3111 16 дней назад
Ameen
@lenniefei6710
@lenniefei6710 14 дней назад
Kam kweli ndugu "Mapinduzi"(Mauwaji) yalitokea vp ?!
@SalmaAlly-dg3xn
@SalmaAlly-dg3xn 14 дней назад
Mwambie kasaidi namie nataka naimba Old tarab
@BibiClassic-rl2jo
@BibiClassic-rl2jo 14 дней назад
@@lenniefei6710 unaona ajabu ya ndugu waliochanganya damu kutokea mapinduzi na mauaji na kufanyika biashara ya utumwa enzi hizo ..Ni vitu vya kawaida ktk maisha. Hata mapacha waliolala ktk mfuko mmoja tumbo moja hukosana, hufarakana hadi kuuana kwa vitu vya kidunia.. palestina na Israel leo hii wanauana mtu na binamu yke ukipatikana wasaa watu wanasameheana na maisha yanaendelea
@lenniefei6710
@lenniefei6710 14 дней назад
@BibiClassic-rl2jo Kweli kabisa ila wanasemeheana baada ya aliyefannya kosa kukubali kosa lake na kutubia ila kila mwaka tunaona aliyefanya kosa analisherehekea na kuzidi kujinaki kwa kosa lenyewe. Hio imekaaje nayo ?!
@MARYAMShija
@MARYAMShija 24 дня назад
Dada zari ❤❤❤❤njoo
@AminaSendekwa
@AminaSendekwa 24 дня назад
Dada zari mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉
@zainab-yb7tt
@zainab-yb7tt 24 дня назад
Kweli Tuna Miss Matunda
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 24 дня назад
Kweli kabisa mfano nzuri ni wafanyakazi wa ndani wafiripini na TANZANIA mishahara ni.tofauti Sana na kazi nu hizohuzo za ndani kweli kabisa
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 24 дня назад
Ww unajua maisha ya Philipino unasema tu maisha yao magumu pesa yao ni ndogo matumizi makubwa zaid na la pili hwa wanafundisha watoto destur na tabia sasa nyie wengine mwafundisha nn zaid kubinjua midomo na ujeur na wao wanapenda watoto sna sna
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 24 дня назад
​@@RitbayRitbay😂chefuuuuuu
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 24 дня назад
Inauma sana
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂 Nauliza Waomani wanapewa mamilioni pia wewe unalalamika tanzania mfanyakazi mshahara ni elfu 30
@fatumashebila910
@fatumashebila910 23 дня назад
@@dorcaskidoti249😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sisi ndio tuko
@bas2823
@bas2823 24 дня назад
👍❤OMAN IS GREAT👌😆😄😃😀🤩😍😘🥰😄👏🙏👍
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 24 дня назад
❤❤❤❤❤Zari upo vizuri❤❤❤
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 24 дня назад
Hongera dd Zari hila ukweli kira nyumba inachangamoto yake na kira binadam ànaroho yk jinsi gn kaumbwa kwaiyo changamoto zipo na wapo wanaopitia achana na hizi ndg ndg za kuchambwa kwa kitu kdg sa ingine waaribu watt wao hila ytaonekana ww na matusi juu azitusumbui tunàpambana nazo yt yaende
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 24 дня назад
Zari karibu kwetu
@SalmaAlly-dg3xn
@SalmaAlly-dg3xn 14 дней назад
Kaka nimenataka passport yangu ninayona weza kuimba old tarabu
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 17 дней назад
Nisahihi wa Oman wana matatizo yao, lkn ni watu wanafata sheria, na hawana makona
@SalmanSaid-zk3pb
@SalmanSaid-zk3pb 24 дня назад
❤❤❤
@MARYAMShija
@MARYAMShija 24 дня назад
Njoo kwangu dada nisalimie jamani😢😢😢
@FatmaAlabri-lz2cw
@FatmaAlabri-lz2cw 23 дня назад
Kidoa kama kidoa shogaangu
@TaraKh-jw1pd
@TaraKh-jw1pd 16 дней назад
Sasa unasema wasichana wengi wanapitia changamoto wakidai hivyo mbna hamuwahoji hao wasichana sasa mnawahoji waliojipata jaman aaa😂😂😂
@sasmgeituff9586
@sasmgeituff9586 24 дня назад
Akhui Said kidoti hebu nitafute tafadhali.
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 23 дня назад
Huyu Zari sio professional journalist...nadhani ni wale wa habari udaku. 1) Kabla hajafika Oman hakuna research yoyote kafanya kuhusu idadi ya WaTz waliopo Oman angalau official data toka Uhamiaji 2)Anapohojiana na baadhi ya vijana lengo kuu ni kutaka kujua unyanyasaji wa wasaidizi wa nyumbani hapo kapoteza mwelekeo. 3)Ubalozi wa Tz upo Oman hakufanya juhudi yoyote kuwauliza ni changamoto zipi wanazopitia WaTz hapa Oman Angefaa pia akapitia sheria za Kazi za Oman ili apate mwanga nini inahitaji WaTz wanaotegemea kuja Oman kikazi wakitegemee kisheria. Bado ana kazi kubwa uelewa wake ufanikiwe.. Naomba kuwasilisha..
@FatmaAlabri-lz2cw
@FatmaAlabri-lz2cw 23 дня назад
ingekuwa audio ningekuelezea vizuri kwa sbb gani wanapitia kuhoji sehemu kama hizi,wanajua wakiwaruhusu kuhoji wafanyakazi wa ndani mengi yatagundulika
@AhamedAl-y4b
@AhamedAl-y4b 19 дней назад
Hapo dada zari ungeweza kuwapitia wa Dada ambao Wewe mwenyewe ulipewa changamoto zao ila kiukweli Oman asikwambie mtu kunachanga moto nyingi mno na kwakweli hatuna mtatuzi ila kama Wewe umefika jifuze wakupeleke kwenye nyumba zenye changa moto Kwanza Oman mabosi wengi hawafati mkataba pili mfanyakazi akiumwa hawajali utapewa Panadol na pia utaentelea na Kazi Kwa hiyo utajifuza hukuhuku
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 18 дней назад
Uyo sii muomani muomani hapigi mziki huyo ni mswahili tena namuomba waziri amrejeshe tanzania atakuharibieni vizazi vyenu
@monirangerera7155
@monirangerera7155 4 дня назад
Ni muoman upo mama yake muoman baba yake muoman kama umjuwi mtu nyamza funga domo lako kama bakuri la kunawia maji shughulini mty umjuwi wajiropokea msanii alikuimbia nyimbo wewe uyo ndo said kidoa mwenyewe mwingine hakuna Oman
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 24 дня назад
Mbona kama awa madada wanao piga kelele kama wanazidisha kidogo naona Waomani ni watu poa tu
@AbeleBausingi
@AbeleBausingi 23 дня назад
Said kidoa 😆 danga langu alkua 😂
@Latifa-ns7os
@Latifa-ns7os 23 дня назад
Hoji na mashaghaala waliokk hapo ubalozin mana wao ndio wanapitia changamoto kubwa saana
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 23 дня назад
Wakuitwa said kidoa mtoto wa mama fatu
@SharifaAli-l2q
@SharifaAli-l2q 3 дня назад
KIDOA UKO P0A RAFIK apa ulionipaga zawad nimpelekee mkeo tz uliniletea kwa sele jiongeze bas
@KkhamisKha
@KkhamisKha 24 дня назад
Akitolewa huyo bijoha patakia shwar lkn kama wataendela kumlea pale ndio sababu ya wadada weng kuingia mitaan
@piliramadan875
@piliramadan875 24 дня назад
Saidi upo sahihi
@KkhamisKha
@KkhamisKha 24 дня назад
Yupo huyo bbu joha ndio tatizo ubalozin yy anaangalia maslah yake tu
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 17 дней назад
Binafsi na viomba vyombo vya habari vya Tanzania hasa Global tv, wapunguze kuwa karibisha na kuwahoji mabinti wanao shindwa kazi na kurudi kisha kuja kuongea utumbo, tulioko huku wote tunaonekana vilaza, pakiwa na tatizo lolote kwanza waripoti polisi au Ubalozi
@KkhamisKha
@KkhamisKha 24 дня назад
Hapo ubalozin ndio Kuna ajenti msumbufu sana
@FridanyoniFridanyoni
@FridanyoniFridanyoni 24 дня назад
Mm kuna rafiki yangu yupo huku oman anaamka saa 10 kila siku muda wa kupumzika hana usiku kulala saa 5 na wakichelewa kula usiku hata saa 5 usiku anaamshwa kuosha vyombo huu ni unyanyasaji asubuhi kwani hawezi osha wakati anaamka saa 10 alitaka kutoloka nimemsihi usitoloke omba msaada ili usaidiwe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 24 дня назад
Huyo qnataka mwenyewe kufqnywa hivyo. Kwani si hawakatqlie. Vituvingine mwenyewetuunaweza kuwaweka sawa waarabu ukiwaogopa ndiyo. Yanawakuta.
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 23 дня назад
Kwani hapa Tanzania hayo unayoyasrma ya unyanyasaji hakuna?km kuna unyanyasaji kwa nn umekwenda kunyanyaswa usibaki kwenu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 23 дня назад
@@salimali-rf9er hayo siyo majibu mazuri kwani yeye yamemkuta siyolengolake kunyanyaswa. Kwani hata kama tz wapowanyanyasaji ndiyo hakiyake hiyo. Siyovizuri hataww ungekua unanyanyswa nazani using e vumilia tuangalie namajibu tusijione sstumefika. Kwani wanyanyasaji wowote watahukumiwa Na. Allah. Je kamani hakiyake kwanini Allah atampaaAbu. Intakillah wwe
@omanoman2044
@omanoman2044 23 дня назад
Yy ndo aliwaendekeza naakaleta uoga ndo maan anafanyiw hivo mbon kwa maajent tunaambiw mwisho saa nne ni yy amejoachilia maradhi yakuamshwa usiku nauoga wake
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 23 дня назад
@@omanoman2044 umeonaee. Uwoga.unamponza akiwachenjia watanyooka tuwenyewe
@piliramadan875
@piliramadan875 24 дня назад
Mambo yapo moto moto
@rayahamisi118
@rayahamisi118 24 дня назад
Sasa unashangaa besa zamahar ww ss unatuzalau kln kutembea kusoma tosha 😊😊😊😊 fika mpaka katar ndio utashaanga sana
@rayahamisi118
@rayahamisi118 24 дня назад
Zali kilamtu anaakili zake kama nyumba uiyelewi sheria zipo
@piliramadan875
@piliramadan875 24 дня назад
Nakukubali zari
@saidal-hadhrami
@saidal-hadhrami 23 дня назад
Sasa wewe dada hayo mambo ya mahari yanakuhusu nini? Nyinyi ni watu hamjielewi , kuna baadhi ya mambo yanawahusu watu wenyewe tu , Mkaja wa bibi na kitenge kwani upo Tanzania, watu wana tamaduni zao haziwahusu
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 17 дней назад
sema simpo tu nikama kufanya kazi muomani na mzungu mnafanya kazi moja kazi iyo iyo mzungu anapata mshahara zaid ya muomani muhar mengi ni ujinga tu dini aikusema kabila flani mahar iwe nying kabila flani mahar iwe ndogo ujinga na tama za kidunia na binadam ndo maana ndoa nying hazina barka sababu ya tama dini aikusema ivyo jikune unapo weza sio kuka lifisha nafsi yako
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 24 дня назад
DADANGU ZAI NIKIRUDI TANZANIA Nita kutafuta ila ukweli nikwamba HUKU WANAFANYAKAZI wanao tumia changamoto wapo sana tena sana tena sana ila watu unao wafanyia mahojiano hawawezi kwambia ukweli Kwa kuofia kufukuzwa kazi Mimi mmoja wapo niliyo PITIA changamoto na Oman Ili uweze fanya kazi ujifanye huna akili timam zaidi ya hapo huto weza fanya kazi
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 24 дня назад
Sasa uwogope kufukuzwa kazi wakat riski ipo kila sehemu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 24 дня назад
@@RitbayRitbay Sasa hiyo ndio sababu ya kweli ndio mana mtu akiwa nchini KWAKWE Huwa huru Kuna watu Wana chukia ukweli ila ubaguzi upo na watu wanao pitia mateso wapo NILIPENDA SWALI LA DADA ALIPO MULIZA YULE JAMAA YAONYESHA PICHA YA NYUMBA YAKE ALIYOSEMA KAJENGA KISHA KAHEPA😂😂😂
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 24 дня назад
Huo ni uongo mbona urudi kwenu kama unachangamoto yanaotokea mnayofanya na ubaya Unajulikana
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 23 дня назад
@@hamidaalhabsi8568 wewe Huku Oman kwenu ???
@KkhamisKha
@KkhamisKha 24 дня назад
Balozi fatma aliangalie hilo. Da zari
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 24 дня назад
Yan da zari upo al hali ninapo kaa hata kunambia nije nikuone tu ikusalimie nakaa karibu na hapo sun of africa
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 24 дня назад
MO OMANI HAPENDI. UWONGO
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 24 дня назад
Hata wale wanaosema eti wamebakwa ni uongo kabisa wanakuja kufanya umalaya na sio kazi
@sophiaselemani2474
@sophiaselemani2474 24 дня назад
Yanakula kenge hao mabedui ushahid ninao picha na video
@jjjhhb4300
@jjjhhb4300 24 дня назад
Sio kenge kenge mkubwa wakula bedui kwenye kitabu kararishwa kuliwa
@sasmgeituff9586
@sasmgeituff9586 24 дня назад
Masikini hujui kama huyo ni halali kuliwa na sio kenge huyo anaeliwa na waarabu dada soma ujue au uliza
@SadaHasimu
@SadaHasimu 24 дня назад
Nikweli unakuta wafilipina na wabagradeshi wahindi wanakipwa mishahara mikubwa kukiko sisi waafrika Kenya Ethiopia burundi Uganda Tanzania mishahara midogo sana arafu kazi ndozile zile pia waafrika ni wasafi tunajituma kwa moyo mmoja asikwambie mtu wahindi Filipino wachafu balaa Yani hatari
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 24 дня назад
We acha inauma
@saidal-hadhrami
@saidal-hadhrami 23 дня назад
Hata maofisini Waphilipine wanalipwa mshahara mkubwa kuliko Waomani , fanya utafiti utajua hilo msikae mkasema watu kwa mambo msiyoyajua
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 23 дня назад
@@saidal-hadhrami he tunachambwa huku
@MroseMcho
@MroseMcho 24 дня назад
Sele amekuletea Oman upite kwa nyumban za watu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 24 дня назад
Warabu awapendi ushenee
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 24 дня назад
MPEMBA KASHAKUWA KWA OMAN😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤔🙄 KAWADANGANYENI MAZUZU WENZENU HUKO.....HOVYOOO!🙄😏
@rayahamisi118
@rayahamisi118 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 24 дня назад
❤❤
Далее
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 258 тыс.