Тёмный
No video :(

VIDEO: TAZAMA VIVUKO VYA AZAM VYAANZA KUVUSHA WATU KIGAMBONI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 78 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 138   
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 года назад
Dah safi sana Azam mungu azidi kuwafungua na muende mikoa ya Kanda ya ziwa...
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Azam ongera sana mwezi mungu akulinde sana wewe na familia yako na iendelee na moyo huo huo wakutusaidia.
@saidmdoe2332
@saidmdoe2332 2 года назад
Shukrani zangu za dhati ziende kwa Mamlaka na usimamiz wa bhakhresa napia kushukur serikar kumuubga mkono ili kuendeleza uwekezaji huu.Kiufup nijambo zuri sana.🙂😁👏👏
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 года назад
Nchi kwa sasa fursa kwa wawekazaji. Hapo mnalipia kivuko bl bado serikali inalipia cha juu. Je mnajua kiasi gani analipwa? Na analipwa kwa kikotoo gani? Ukiwa kama mlipa kodi ina haki ya kujua. Tunataka wawekazaji sio kwa mchongo wa wachache. Mkiongezewa kodi mnapiga kelele. Wakati umefika sasa wa kuona kodi zetu zinatumika vizuri.
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 2 года назад
Angalia engines za hizi tax boat alafu angalia engines za panton zetu, yet serikali imekosa pesa ya kutengeneza hizi tax boat zinaziweza endeleza utoaji wa huduma kipindi cha dharura (where is business continuity plan ya temesa kwenye vivuko vya kigamboni?) Pia tujue hizi panton zetu zinakufa hasa kwasababu ya ukosefu wa oil. Oil hazibadirishwi kwa wakati yaan the time oil inakuja yaan Chombo kinakua tayari kimekufa prematurely.. sasa oil tu ya bei rahisi inafanyaa serikali inaingia kwenye garama za matengezo makubwa kwasababu ya processes za manunuzi ambazo ni bureaucratic in nature, na kua na viongozi wasio jua wanaongoza nini..
@paciensmartin6139
@paciensmartin6139 2 года назад
Nawakubali sana azam ndio tajili namba1 tz ametubeba sehem nyingi sana alafu hana Kelele yeye kimya kimya tu
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 года назад
Mbona sielewi hapo. Yaani kuna gharama TAMESA wanamlipa Bakhresa. Kwa nini watumiaji wasipe yote tukajua moja. Na kama serikali wanalipa wanatumia formula gani. Hapa kuna ufisadi. Na hivi vivuko vilikuwa vinatumika wapi?? Watanzania tufungue macho. Hapa kuna mchezo mchafu wa kula kodi za wananchi. Naomba serikali iamue moja, kama mnabinafisha. Maana nchi imekuwa ya Wawekezaji. Sisi yetu macho 😵‍💫
@dazookman6417
@dazookman6417 2 года назад
kivuko ni huduma,ndio maana tunachangia kiasi kidogo
@tawboka5864
@tawboka5864 Год назад
Yes
@anwary_sultan
@anwary_sultan 2 года назад
Maashaallah..hadhaa Minfadhir Rabbi...
@raujohn8238
@raujohn8238 2 года назад
Aya ndio mliokuwa mnayataka kumuuwa magufuli hili mfanye biashara zenu kwa kujaza matumbo yenu na uyo mama yenu mungu hana muona sijuwi kama mwenyezi mungu hana yapenda hayo mambo yake
@HassanHassan-eb7oc
@HassanHassan-eb7oc 2 года назад
Tutampa nchi baba ako ww atuongoze tuone km atawafurahisha watz wote km unavofikiria ww mpumbavu mkubwa usiejielewa
@rehemamajaliwa
@rehemamajaliwa 2 года назад
@@HassanHassan-eb7oc 😂😂
@florianmangasini1269
@florianmangasini1269 2 года назад
Kumbe haya mambo yanawezekana. Mungu ibariki tanzania.
@Tee-King
@Tee-King 2 года назад
Tumetumia hivi vivuko kalb mwez 6 mkavitoa 2017 sasa mmevileta tena wapen wa2 binafs hizi kaz mana Sa hz panasumbua sana
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 2 года назад
Upigaji hoyeeeee ! Nawasalimu kwa jina la Zamani 🖐️
@zuwenamwambungu3982
@zuwenamwambungu3982 2 года назад
Dakika kadhaa tuu unakuwa umevuka !nimepanda Sana kwakel Leo Safar yangu nimeona fupi!🥰
@fifilomo
@fifilomo 2 года назад
Ni njema sana
@poperare6058
@poperare6058 2 года назад
Hiyo nayo ni maendeleo nzuri pia
@janetdaniely7945
@janetdaniely7945 2 года назад
Kaz nzur mbarikiwee 🙏🥰🇹🇿🇹🇿
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Jengeni daraja lianzie Azania front lipite juu ya marine lishukie lango la jeshi chuo cha Mwalimu Nyerere ndo jibu na sio maferi. Bora daraja mtoze sh 200 watu watapita kwa wingi
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 года назад
Haito tokeaaa hyo milelee
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Kwa watanzania walivyo corrupt watakuwa wanaviharibu vivuko vya Serikali ili wapate 10% , ni JPM tu alikuwa anajua jinsi ya ku deal nao mafisadi WaTanzania yaani ni kama nyani ukimchekea tu unavuna mabua
@azizakitele9165
@azizakitele9165 2 года назад
Hivi vivuko vya Azam mwanzo vilikuwa vinafanya shughuli gani? Maana isiwe ni mchongo wa watu kula 10% wakatulia!
@abdulkadirissamahmoud4236
@abdulkadirissamahmoud4236 2 года назад
Hivyo vilikua muda mrefu vimepaki mtoni marine na mwaka 2017 kilikuepo kimoja wakat mv magogoni lipo matengenezo
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 года назад
@@abdulkadirissamahmoud4236 serikali wangewaza maisha na maendeleo ya wananchi zile hela walizonunuwa ndege gharama ya kununuwa bombardier moja hata kama bomberdier ni ndege ndogo ingeweza kununuwa vivuko vingi sana na hela zingebaki hapo panahitaji vivuko 12 viwili KGMBN posta viwili KGMBN ferry viwili TIPA posta viwili TIPA ferry viwili kurasini posta,ferry, viwili mji mwema ferry posta viwili kawe ferry posta huku Australia 🇦🇺 wazungu wameendelea sana hiyo meli ntekundu ya baressa hiyo huku Australia 🇦🇺 ndio pantoni kama MV KGMBN tena ziko kibao tena kali kichizi
@AbdulHamid-qd9ji
@AbdulHamid-qd9ji 2 года назад
Hivi vilikuwa vipo mtoni marine verde special kusafirishia watali kupeleka visiwani
@nassormohammed8706
@nassormohammed8706 2 года назад
Wampe na mwendokasss serikali zao kodi na c biashara
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 2 года назад
Unaona kwanza zilivyo frank zinaitwa sea taxi.Tuendelee
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 года назад
Hapo sasa tunakoelekea vivuko vya Serikari vitakufa vyote,ili Azam aendelee kuwekeza
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 2 года назад
😃😃 tusiwaze hivyo.. naamini haiwezi tokea maana hata yeye faida anayopata hapo Ni Kidogo Sana kulingana na uendeshaji kwa mtazamo wangu Lakini
@goodteam7890
@goodteam7890 2 года назад
Frank hujakatazwa ww pia unaweza kuekeza
@ummatchannel4300
@ummatchannel4300 2 года назад
Hata hapa napo husda imeingia. Akiendelea kuwekeza ni dhambi?
@triplea3463
@triplea3463 2 года назад
@@ummatchannel4300 Watu wa ajab sana wanadhani hivi vivuko uendeshaji wake kama boda boda au
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 2 года назад
Frank ngoloka kwa nchi zilizoendelea huduma haitolewi na serekali.Bora hata hiviii serekali itafanya mangapi.Dunia ya leo serekali ikusanye kodi tuu.Sekta nyingi bora ziendeshwe na private kwanza ufanisi utakuwa mkubwa.Private ni efficiency ya karibu mnooo.Serekali ina mengi it's high time sasa serekali ipunguziwe mzigo.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Yan n kwel kabisaaaaa
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Kweli kabisa inahitajika mambo mengi ya kihuduma yafanywe na private companies yaani umeliona hilo ndugu yangu na hapo ni kweli wataipunguzia mzigo mkubwa serikali na ufisadi utapungua kwasababu kampuni husika ndio zitashughulika na wafanyakazi wake katika suala la wizi. Lakini wapewe makampuni ya wazawa sio ya wageni na bahati nzuri Tanzania wapo matajiri wengi tu wazawa wanaoweza kutoa huduma mbalimbali za kijamii kutokana na uwezo wao.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
@@jambo3751 na hajira ztaongezeka
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 года назад
Sio kweli
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
@@uledimtumwa2406 sio kweli kivipi? Kwanza ujue hata Dar to Zanzibar ni ferry boat. Zamani ilikuwa meli za serikali mv maendeleo na mv mapinduzi lakini baada ya kuruhusiwa kampuni binafsi imerahisisha sana usafiri. Serikali kama yetu ya Tz ilikuwa iachane kabisa na huduma hizi kwenye bahari maziwa na hata mito mikubwa iachie makampuni binafsi. Serikali ibaki na meli au boti za jeshi, Mali asili, polisi na vyombo vyengine vya ulinzi na usalama kwasababu ni muhimu sana. Na pia serikali ijitahidi kujenga madaraja kwenye mito ili kuwarahisishia wananchi kwenda upande wa pili.
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 2 года назад
TEMESA Mshindwa kuendesha hivyo vivuko.mnatupa tabu kila siku..Kwanini msimuachie Azam afanye hiyo huduma
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 года назад
Nchi imefika pabaya sana hii yajayo mungu ndo anajua haiwezekani kwa miaka ya vivuko vilivyofanya kazi na pesa inayoingiza kila siku tangu vianze kufanya kazi hakuna mfuko ambao ulitengwa KWA ajiri ya kufanya matengenezo NI WIZI TU WATU WEUSI NA UBINAFSI #ripmagufuli
@williamkisaka9272
@williamkisaka9272 2 года назад
Acha tu.
@thegiv3711
@thegiv3711 2 года назад
True...
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 2 года назад
Hivi vivuko sio mara ya kwanza kufanya kazi 2017 viliwahi kufanya kazi hapo,halafu mwekezaji akifanya kazi hiyo kuna shida gani? Serikali itakusanya kodi tuache mitazamo ya kijamaa ya kila kitu ifanye serikali mbona meli kutoka dar hadi zanzibar na maeneo mengine wanafanya watu binafsi?
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 2 года назад
Wanachuki binafsi mbona huyo azam ameajiri watu kibao mbona awachukii. Kaja kuokoa kusaidia hapo kutokana na dharula maneno kibao. Mbona 2017 amkusema tena alikuwa anavusha kwa 500 na kulikuwa kimya. Leo mapovu yanawatoka. Acheni chuki binafsi kisa rais mama jamani
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 года назад
@@nurualamoody4305 hakuna anaemlalamikia bahkresa kwa kufanya anachofanya bhali serikali japokuwa kupokea MAPATO mengi kutokana na kivuko hivyo KWA miaka mingi ila imeshindwa kutenga PESA ZA ukarabati
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc 2 года назад
Tangia mzee Magu amefariki nchi imeyumba inamaana serekali inshindwa kutengeneza vivuko shame
@h.rukuba7464
@h.rukuba7464 2 года назад
Pole sana kwenu mbezi stendi Kuna mabasi ya serekali yanaenda mikoani . Ukerewa mbunge aliwaambia meli mbovu serekali ya awamu 5 walimpuza adi meli ikazama ikauwa watu
@thegiv3711
@thegiv3711 2 года назад
Noma sana yaani 😤
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 2 года назад
Mziki upo hapo pale askari anaefungua lango abiria apite maana idadi hapo sio poaa
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 2 года назад
Fresh Sana hii
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Jaman Sasa idadi izingatiwe wanaweza ingia mpaka zaid ya idad maalum
@maulidmwegio5704
@maulidmwegio5704 2 года назад
JESHI Pekee Ndio Tegemeo La Wananchi Duniani Ktk Uzalendo, Kulinda,Kuzuia, Kuongoza, N.K, Kwa Hari Hii tunaomba liingilie Kati katika Kuangalia Masuala Mazima Ya Manunuzi Ya Serikari na Utunzaji na Matumiaji Wa Mali Serikali na Wananchi Maana hali Hii haiashrii Vizuri, Eti Boti zote Mbovu!! Eeeeh!!!
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 года назад
Aya
@fashionkiller360
@fashionkiller360 2 года назад
Dope
@vibetz9991
@vibetz9991 2 года назад
Angalau maana kutoka kigamboni hadi posta ,hakukua na tofauri na kutoka tegeta posta....
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
Bakhresa akili nyingi kuliko serikali yetu
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 года назад
Acha Ujinga.....fikiri kwanza kabla Ujaropoka...
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
@@husseinshabani9522 ebu nitokee hapa mwehu ww mm na ww hatufanani akili stupid kabisa mxueeee eboo
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 года назад
@@salmaathuman9156 Na nikweli Atufanani...Coment yako inaonyesha Mwisho wa Upeo Wako....Pole.
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 года назад
Mwaka mmoja tuu tangu aondoke magufuli nchi imerudi nyuma miaka 30 ,RIP magu wetu tz yetu inaendelea kuoza
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 2 года назад
Umeoza wewe na si Tanzania
@bakariamour6024
@bakariamour6024 2 года назад
Mbona nyinyi mnapenda kuongea uwongo 'Ni kitu gani kikubwa alifanya ?
@amourmdetele1498
@amourmdetele1498 2 года назад
Kwani serikali yaonaje kujenga daraja???
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Bora viwe kila ck kuliko hvy ambavyo kila ck unasikia vinatengenezwa lkn mambo hy hy hamna mabadiliko
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 2 года назад
Ha ha ha, daraja la kigamboni vipi, Pia vivuko vya selikari vipi,, yetu macho na masikio, tangu lini mtu mmoja aizidibselikari ?
@rashidiwahi1533
@rashidiwahi1533 2 года назад
Nibora serikali imkabizi azam afanye kazi
@abdulsuleiman1244
@abdulsuleiman1244 2 года назад
Jengeni barabara chini ya bahari kama vile china na nchi zengine walivyofanya kwa makilomita tele apo tu mita chache inashindikanaje. Tz shida.
@zulfikarali9945
@zulfikarali9945 2 года назад
Ni modifications ya boti za sea express ambazo zilikuwa zikioza Azam kaamua kuzigeuza kuwa taxi, serikali kweli inafeli hata kwa vitu vidogo kama hivi.
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 2 года назад
Duuuh angekuwepo Magu mambo ya kipuuz Kama haya asingeyakubali Kabisa,huu ni uvivu wa kufikiri kwa viongoz hasa wazir husika... Hapa ni mchongo wa kupiga pesa tyuuuu...
@ayoubbilal3319
@ayoubbilal3319 2 года назад
Sisi wenye magari inakuaje naona hiyo panton haiwez kubeba gari
@triplea3463
@triplea3463 2 года назад
Daraja lipo Joke 😅
@devidpanja115
@devidpanja115 2 года назад
Rip JPM
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Viongozi wa kiafrica awajitambui hii aibu sasa c bora mumpe uyo azam alete vyombo vya kisasa kuliko izo takataka kazi yao kwenda Nnchi za watu kusifia apo ata magari ayapiti ujinga mtupu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Ivyo ni vivuko au takataka za vivuko inna lilah wa inna ilaih rajiun em nendeni uturuki mkaangalie vivuko kama Ivyo aibu tupu jiji kama la Dar
@masundelwa
@masundelwa 2 года назад
Serikali imkabidhi tu bakhresa hii kazi
@azizakitele9165
@azizakitele9165 2 года назад
Tujiandae nauli kupanda soon
@juliusmawimbi1789
@juliusmawimbi1789 2 года назад
Sasa ndiyo kilichokuwa kinatafutwa watu wale inchi hii kwa muchongo ninoma sana
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 2 года назад
We kenge sio kila kitu unaona ni uwizi kabla wewe kuja dar na fuso la ngombe hizi vikuku vya azam vilikuwepo hata kuna kipindi cha utawala wa jpm mv magogoni ikikuwa mbovu azam wakawa wana vusha watu
@batromeombogo297
@batromeombogo297 2 года назад
hivi kwanini asinunue na mabasi ya mikoani
@issazalala4907
@issazalala4907 2 года назад
Nime ipenda hiyo vivuko vyaki SASA kama hivyo ndio Safi serikali yetu ijifunze kuleta vitu vya kisasa
@zuwenamwambungu3982
@zuwenamwambungu3982 2 года назад
Viko speed mpaka raha
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 года назад
Maashaallah
@MULTNAIRE
@MULTNAIRE 2 года назад
Huu wizi unaoendelea hapa, magufuri angekuepo asingeruhusu ili jambo kabisa, TEMESA wanamlipa Bakhresa kiaje? Af kama management anapelekeaje vivuko vyote vitatu kwenye matengenezo, ikiwa inajua wazi kabisa kua hakuna kivuko kingine cha kuwasidia wanainchi, mbona tunatafunwa mchana kabisa. TEMESA ameshindwa kua at na kivuko cha emergency kama hizi za Azam
@azizahmwimbe8548
@azizahmwimbe8548 2 года назад
Yetu 😳😳macho vivuko vya serikali havifanye kazi, azam piga kazi🚣‍♀️🚣‍♂️🤸‍♂️🤸‍♀️🥳
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Vivuko vya nini nani kawaambia mjenge daraja mbali mnajenga kurasini badala ya kujenga feri.
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 года назад
MELI ZITAPIAJE SASA HAPO KATI KUBWAGA MAFUTA
@abdulabdul6370
@abdulabdul6370 2 года назад
Jay Z ni mambo ya muziki tu. mambo ya constractions achana nayo
@elite_nat8731
@elite_nat8731 2 года назад
Daraja la kujengewa apo ni suspension bridge ambalo meli zinaweza pita kwa chini ambalo nalo pesa yake ni ndefu kidogo
@triplea3463
@triplea3463 2 года назад
@@elite_nat8731 Exactly
@masanjamasunga4019
@masanjamasunga4019 2 года назад
Hv kabla ya hapo vilikuwa vinafanya kaz wapi au vilikuwa vimepakiwa tu
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 года назад
Huku Zanzibar tuleteni japo 1 kuna visiwa vidogodogo Kama tumbatu inafaa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Afazali.
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 2 года назад
Ujinga mtupu, inchi imejaa majiz hii🤣🤣
@swahilimoves3348
@swahilimoves3348 2 года назад
Hao watu ni 250 tuu kwel
@josephluvanga5233
@josephluvanga5233 2 года назад
Acheni Bakhresa atengeneze pesa
@Directortomwillz
@Directortomwillz 2 года назад
Kama ni vivuko vya mda co mbaya ila kama vikifanyw vya kudumu imekula kwe2 maan hizo ni sea taxi na hazina huduma zote yaan ht ukiwa na pikipiki haupand apoo ww zunguka kule daraja la nyerere
@abras3479
@abras3479 2 года назад
Usalama upo vipi? watu 250 akiwamwaga baharini ni bonge la ajali. Usalama wa hawa sabiria upo vipi?boti ni ndogo watu ni wengi, hii idadi ya watu 250/trip inafanyiwa ukaguzi wa mara kwa mara?
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 2 года назад
Acha kuzungumza ujinga!
@rahmaabubakarisaanatu1961
@rahmaabubakarisaanatu1961 2 года назад
Wana wa ADAM hatuna jema kbs. Tunafanyiwa muhimu tusikae kitako maneno teele khaaa jmn!!!!
@beatricemsophe9839
@beatricemsophe9839 2 года назад
Nchi imeuzwa
@teresiapetro2548
@teresiapetro2548 2 года назад
Ndio walichokuwa wanataka. Yani vivuko vyetu vimekufakufa hovyo hovyo kumbe tulikuwa tunaandaliwa kisaikolojia.
@johjohns4021
@johjohns4021 2 года назад
mimi yuleeee🤣
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 года назад
Tayari tumeliwa kwenye vivuko
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 2 года назад
250×200 =50,000.. serious?? Naamini Temesa inabidi imlipe pesa ndefu Sana mwekezaji.. Kama anapata 50k tu kwa trip... Duuuuh kajitolea
@poperare6058
@poperare6058 2 года назад
Kwelie
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 года назад
Hata mimi nashangaa
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 года назад
Si kweli
@humphreypeter5641
@humphreypeter5641 2 года назад
Sasa ni umbali gani? Ulitaka apate ngapi per trip? Trip moja haifiki hata 1 kilometre urefu wa hapo ni kama 300 metre tuu na anaweza pata zaidi ya milion 2 a day kwa kila kivuko
@poperare6058
@poperare6058 2 года назад
Anatudanganya aisee
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Sioni tahadhari yoyote ikizingatiwa hata life jackets sizioni
@triplea3463
@triplea3463 2 года назад
Kwani yale ya serikali kulikuwa na life jacket 😲
@abras3479
@abras3479 2 года назад
Hizi boti za bahresa zilikuwa wapi? kwa umbo lake haziwezi kwenda Zanzibar. Is it coincidence boti za serikali zinaharibika baada ya bahresa kuleta boti zake? Yaahhh Allah, ewe Mungu isaidie Tanzania
@allanandy2424
@allanandy2424 2 года назад
Lolote linawezekana,ila nadhani kuna kampuni Tanzania inatengeneza na kuuza boti....
@franktangeki9342
@franktangeki9342 2 года назад
SERIKALI INGEKUWA NA WATENDAJI WENYE AKILI ISINGEACHIA ATA SENTI KUMI IENDE KWA WATU BINAFSI NA KUPOTEZA AJIRA ZA WATANZIA.HAPO NADHANI VIVUKO VYA SERIKALI NDIO KWAHERI VIMEENDA NA MAGUFURI
@mathiasmageni8568
@mathiasmageni8568 2 года назад
Chaka lingine la kula
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 года назад
Mwaka mmoja tuu tangu aondoke magufuli nchi imerudi nyuma miaka 30 ,RIP magu wetu tz yetu inaendelea kuoza
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 2 года назад
Wewe bila shaka ni sukuma gang.
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 2 года назад
Magufuli sio mungu aliivuruga nchi akapora akajenga airport kwao sasa inamsaidia nani kwanini asiboreshe airport ya mafia ufisadi lkn kwa ujinga wa wajinga hawaoni madhara alioyofanya magufuli engekuwapo mpaka leo nchi ingekua taabani lkn mungu anajuwa kuwanusuru waTz hata uchaguzi alivuruga na kuuwa waatu leo unalia
@arubakarkada837
@arubakarkada837 2 года назад
Magufuli aliwahi kununua kivuko kigamboni au wewe wakuja
@captioncapition2574
@captioncapition2574 Год назад
Kila kitu kwetu wa Tz ni makosa mh
Далее
Congo, Thrill of the River | Deadliest Journeys
49:39
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 7 млн
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 9 млн
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 5 млн
F-16 Viper Demo Wings Over Houston 2022
50:42
Просмотров 31 млн
MTOTO WA BAKHRESA AUNDA BOTI YA KIFAHARI TANZANIA
6:43