Тёмный

VIGOGO WA MADINI WACHANGIA KANISA MAMILIONI MIRERANI WAUNGANA NA WAZIRI MAVUNDE KWENYE HARAMBEE. 

MOTIVE TV_TANZANIA
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 633
50% 1

Wakazi wa Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wametakiwa kulinda amani ya nchi katika eneo hilo ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa kushirikiana na kupendana lengo likiwa moja tu kutaka wafanyabiashara wa Madini ya Tanzanite katika Mji huo kufanya kazi katika mazingira Salama yenye kuvutia wawekezaji kutoka nje ya nchi.
Akitoa Rai hiyo Waziri wa Madini Antony Mavunde katika Ibada ya Uzinduzi wa Usharika wa Songambele uliopo Mirerani wa Kanisa la Kiinjili ya Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Mashariki ambapo Waziri huyo na Wafanyabiashara wa Tanzanite walichangia harambee ya upanuzi wa Kanisa hilo kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 91 na kufikia asilimia 90 ya malengo ya kukusanya shilingi milioni 160 ya upanuzi wa Kanisa na ununuzi wa gari la Mchungaji Kiongozi.

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 2,1 млн
Obby Alpha - Kijito cha utakaso ( Official Video ).
6:01
HOUSE GIRL EP 21 | S3 | Love Story 💕💞
22:20
Просмотров 7 тыс.