MASHA ALLAH,Allah awafungulie riziki za kheri kaka zetu na wengine pia wafate mkondo huu huu kama kule likoni pia twawaombea kwa Allah nao wabadilike inshaallah...Yani nimefurai sana kwa kuwajali vijana wetu,Mungu awabariki sana
Mungu atazidi kuwaongoza nawawe na baraka Katika kazi zao namungu atawalinda Amin nawote ambao paka Sasa wapo bado pia mungu awaondolee zahama wamkumbuke mungu wao wawe na Imani .
Alhamdullilah watoto wetu twawashkuri na uamizi huu meema mungu awe radhi nanyi murudi kwa mungy mule jaoo ndururu but ya halali twawategemea nyinyi vijana wetu wapendwa nyinyi ndio ma baba wa kesho inshalla muwe na mungu na mungu hatowatupa
Waongo hawo wanadanganya bado wanakaba Na wanapora Ni juzi Tu Mzee wa watu alipigwa Na kuporwa kila kitu Sasa hawo Mimi nasema siku Yao ipo wasijesema tumewasahau walioyafanya
Bullshit! Bullshit! Bullshit! What about those of us who have suffered in the hands of those terrorists??? Where do we get justice?? Mimi nikapata nafasi nzuri namaliza hao mikora kabisa, nkt! Still feeling the pain I went through in the hands of those thugs.
Kama mungu unamkosea kila leo na bado anakusamehe na unavuta pumzi zake na siku ukiomba msamaha anakusamehe ww kiumbe wa mungu kwanini usisamehe na kuacha yaliopita maana chuki na kiswasi haviishi unapolipiza na wao watalipiza je kumepatikana amani hapo? Kama ww ni muislamu ama mkristo then dini zote mbili zinatufundisha kusamehe na kusimamisha amani.