Тёмный

VIJANA WAWILI WATEKWA na WATU WASIOJULIKANA DAR - SIKU ya 11 HAWAJAONEKANA - MOCHWARI -POLISI HAWAPO 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

VIJANA WAWILI WATEKWA na WATU WASIOJULIKANA DAR - SIKU ya 11 HAWAJAONEKANA - MOCHWARI - POLISI HAWAPO...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Nimtihani wakidunia ,ila vijanawetu wanasiri nyingi wanazoshiki bila wazaz kujua ,ila Mungu atusaidie nahii mitihani ,Amiin
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 месяца назад
Au jamani wale wanaoiba watu Na kuwatoa viungo wamekuja Tanzani jamani. Hayo mambo yalitokea Kenya Vinatishaa poleni sana mungu awasaidie wapatikane.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 месяца назад
sio kenya tu na tanzania yalikuepo awam ya kikwete watu waliuzwa sana viungo hadi ma albino waliuzwa sana na watanzania watoto kwa wakubwa wamepotea sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Subuhanallah.
@AshelyMbegu
@AshelyMbegu 2 месяца назад
Hakuna ni police ukiwa unanunua simu za wizi au mwizi BC wanakuchukua na hautoonekana Kaka angu alikuwa ananunu simu za wizi hatujamuona miezi 3 ila nguo simu zimekutwa chalinze na alifatwa na gari la police 😢i​@@aishaalbalushaishabalush8291nchi inatunyoosha
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 месяца назад
Poleni sana wazazi wenzetu mtt anauma sana sana
@PatrickDavid-l3p
@PatrickDavid-l3p 2 месяца назад
Tena sana kabisa ataingekua mtoto wajiran lazma ulie
@LameckLameck-v9r
@LameckLameck-v9r 2 месяца назад
Nchi iko vibaya sababu ya haki kutoweka na sisi wananchi tumeruhusu haya jb ni moja tu kushirikiana mfano aliyesema kuwapoteza yule alitakiwa atupe majb yote ilituwajue watekaji ni akina nani? Mungu tusaidie kazi tunayo binadamu wabaya sn
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 месяца назад
Maombi ni muhimu mno nchi Iko kubaya utu umeondoka chuki tuu imetawala
@AwaziRajab
@AwaziRajab 2 месяца назад
Sielewi Kwanini Aya Mambo Yanakua Asikali Wamesomea Upelelezi Kwanini Aya Mambo Yako Nchini
@demicratia4071
@demicratia4071 2 месяца назад
Polisi wangewasaidia kuulizia polisi stations nyingine kuliko wa mama kuhangaika hivyo jamani
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 месяца назад
YAA RABBY TULINDE TULINDIE WATU WETU PIA Na sote
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 месяца назад
Pole mama mungu atatusaidia ataonekana kua na subra waulizeni hao vijana wenziwao watakupa ushirikiano
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 месяца назад
Jamani Tanzania yangu tunakwenda wapi jamaniiiiiiii 😭😭😭😭
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 месяца назад
Tujitaidi pia kuchunguza tabia za watoto wetu hasa vijana tufahamu wanashuulika na nn ili kuwe na mwanzo mzuri wakuanzia, tusiilaumu tu serikali😢😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Hapana hawawatu spesho wanaifanyahi kazi kunakitutu tz hapo. Nasiyo waalifu hawawanachukua watowowotetu
@LameckLameck-v9r
@LameckLameck-v9r 2 месяца назад
Tusilaumu tu hilo ndy oni lako ni sawa lkn inshu yetu sisi ni watekaji hata kama hao vijana wanamakosa sheria zipo wapelekwe police sio kwenda kuwaua mm naamini yote hayo tatapita tu haya yote ni nchi bado inajitafuta ktk kujitafuta mengi tunashudia ukiangalia hata viongozi wetu wa kiafrika hawachaguliwi kuongoza nchi ball kuiba ni wezi sn wote wakubwa kwa wadogo so nichangamoro sn kunawakati nafikiri bora kuwa na Rais wa mkataba mwanauchumi tunampa tunachokitaka anauwezo anapewa nchi lkn nchi inakuwa mikononi mwa jeshi na mkataba ukiisha hajafanya aliyotuahidi afungwe iliwasikimbilie sn Ikulu kwani hiko wanaenda kuiba tu hawana kz nakujigeuza miungu taboa hoi tunayo sn waafrika pumbavu zet.u
@wilbertkemeli8869
@wilbertkemeli8869 2 месяца назад
Hapo unaona kwa akili zako umetoa maoni? Hii nchi ngumu sana kwakweli!
@binsherbal6089
@binsherbal6089 2 месяца назад
We Sada kua na Akili japo kidogo na kama huna la kusema ni Bora ufunge Bakuli lako. Hata kama tabia za Vijana ni mbaya na iwe wameiba kweli, ni jukumu la Polisi kuwapeleka Mahkamani na sio kuwapoteza kama hivo. Nchi yetu inaendeshwa Kwa kumfuata Sheria. Inaonesha hujui Uchungu wa Mwana wewe pumbavu zako wewe.
@celinamosha9420
@celinamosha9420 2 месяца назад
Yaani umeandika pumba kabisa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Subuhanallah. Wasiojulikana. Ila Mungu anawajua. Nawao sikuyao ipo mojatu. Watamjua tyalowaumba kujakutekawenzao huku Duniani ukali wake. Kwakuwazurumu watu nafsizao Duniani. Sijui wanajiamini nini maana nawao punzinzao amemiliki Mungu. Tu nimmoja. Sasa nae mungu akiamua.lake sijui nyue mtasemaje. Msiyojulikana
@yassirsamir5110
@yassirsamir5110 2 месяца назад
Inshaaallah Biidhini lahi Qareem hapo tusomeni ALBADIRI Watawaachia wenyewe Inshaaallah🙏Allah awalinde
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 месяца назад
Na ss raia tujifunze mkiona gar inawachukua watu kwann msihoji kwann msipige kelele jmn? Hv watapotea wengi mana ss kwa sisi hatuna ushirukiano
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 2 месяца назад
Mmmh mkuu muda mwingin wanakuja na mashine gun
@KhadijaKiwambu-qx8qh
@KhadijaKiwambu-qx8qh 2 месяца назад
Hee mungu hii dunia sijuwi tunaekerekea wapi Mana Kira siku majanga yani ukirara ndani ukiamka sarama mshukuru mungu mana binadamu tumekuwa kama wanyama mauwaji yamezidi watu wanatekwa onvo ivi mungu akushusha raana tutasema anatuonea au mana tumezidi jamani
@SistaSelemani
@SistaSelemani 2 месяца назад
Pole dada nakupoterewa na mwanao mpendwa
@GamanielKatani-nw8ll
@GamanielKatani-nw8ll 2 месяца назад
Jamani tuna kwenda wapi tAnzania ni aibu kubwa sana tuishi maisha ya hofu Kwa nini nini
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 месяца назад
Pole Mwanamke mwenzangu' nafahmu ni maumivu gani unayopitia
@monalisaally4387
@monalisaally4387 2 месяца назад
Pole sana jaman huruma
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Pole sana mamaaangu pole mungu atasimama
@faithpashua649
@faithpashua649 2 месяца назад
Dah pole Sana ndugu yetu mitihani mizito
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w 2 месяца назад
Mungu akupe subra yaarabi. Allah hakem Karim. Tunaomba allah afanye wepesi apatikane.
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 месяца назад
Mmmmhhh je kwann amkuchukua namba ya gari?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 месяца назад
Serikali jmn nchi imekuwa nahofu kwamambo yautekaji.Tusaidieni jmn watu wamekuwa sio waoga jmn.Tutatakwisha,tusaidie jmn wananchi wenu.Mama Samia tusaidie watanzania wako.
@navioma4882
@navioma4882 2 месяца назад
Mama samia tusaidie😢😢😢😢
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 2 месяца назад
Mhh
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 месяца назад
Acha niandike kwa upole.serekali na police tunaiomba jamani.huu utaratibu wa kusema ukaripot baada ya masaa 24 ni mgumu sababu wakati unasubiri massage 24 mambo yanazidi kuharibika.kutake action mapema inaweza kuokoa roho za wengi jamani.ebu tuseme labda usiku huo huo wangeanza kutrack hiyo gari barabarani ingeweza kuwa habari nyingine.
@HamisiForogo
@HamisiForogo 2 месяца назад
Watu wasiojulikana wanatokea wakati wa uchaguzi
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 месяца назад
ndo ushangae sasa jamani
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Wakati ule walikuwa msingizia shujaa wetu
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 2 месяца назад
Mama samiya na majeshi yake hili sakata lakupotrya watu ovyo walichunguze ili litokomee maana itakuwa nchi haina amani
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 2 месяца назад
pole sana
@usher_bambi94
@usher_bambi94 2 месяца назад
Huu mchezo wa kutekana Kuna mwanang makasi ametkwa mpk leo hajulikan alipo na walikuw wawil alikuj kuchukuwa vingngt.... Walikuw na gar imekutwa mkuranga imetelekezwa .. Mm nahis vijana wanakusanywa na kutolew nje ya miji Kuna kitu wanafnyishwa sio bure kwann wote njia ya huko vitu vyao vnakutwa?????
@latifamubba100
@latifamubba100 2 месяца назад
Mpk Leo amja wapat
@tato8979
@tato8979 2 месяца назад
Pole sana mama 😢😢
@ZalkhaRawahi
@ZalkhaRawahi 2 месяца назад
Poleni ndugu zangu yani roho zetu zipo mkononi kwa vijana wetu
@PatrickDavid-l3p
@PatrickDavid-l3p 2 месяца назад
Jaman nanyiny majangiri mutuachie watoto wetu jaman
@BizzBoy-g4o
@BizzBoy-g4o 2 месяца назад
kama Asimwe alipatikana na hawa kupatikana inawezekana
@DottoRajab
@DottoRajab 2 месяца назад
Pole sana swali ssna fanya nyiradi amka ucku usimame
@rosemkeleja7768
@rosemkeleja7768 2 месяца назад
Inauma
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 2 месяца назад
Sasa mbele za watu na watu wanaangalia ifike mahali wananchi wachue hatua mkononi
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 месяца назад
jamani watu wote waliokua hapo wameshindwa hata kuivamia gari kwel dar sasa hiv kuna ishu ya kukamata watu wanapelekwa kutolewa Figo inauma
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 месяца назад
Mtihani
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 месяца назад
Tutauliwa. Sana maana tumezoea kila kitu tumuachie mungu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 месяца назад
Kwa nini polisi iswe na mawasiliano na polisi nzima Kwa muda wa nusu saa wakatoa taarifa ili umma yote ishiriki kuharakisha kwa ujambazi kama huu ukomeshwe badala ya kuchukua poa tu. Polisi ni chombo cha haraka kikiwa na mtandao mkubwa wawajibike vipasavyo. Si kumwachia mzazi majukumu yote.kwa nini watu wasipige mayowe jambo kama hili linavyotokea?. Huko nangurukulu kumepelelezwa?kati ya umati mzima asitokee hata mmoja kuipiga gari picha. Mafunzo yatolewe kwa umma.
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 2 месяца назад
Baaadae ndio tutasikia oooo,,wale walikuwa viongozi wa panya road na matukio yao tunaambiwa waliyo yafanya na baadae majirani wanajitokeza kupongeza serikali kwa kazi nzuri
@teedullah5708
@teedullah5708 2 месяца назад
Pole jamani uchunqu tunayo sikiya sisi kina mama mungu ndo yuwajuwa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 месяца назад
Hajuna polisi nchi hii.
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 2 месяца назад
Subhannallh 😢
@aloycekomba1
@aloycekomba1 2 месяца назад
Ukitafakari vizur utakuta hyo ni sawa na ile ya SATIVA
@IddyZohan
@IddyZohan 2 месяца назад
Yani watu wameshindwa hata kunasa namba za usajili za hiyo gari?
@DafrozaJohn-zq8bd
@DafrozaJohn-zq8bd 2 месяца назад
Poleni sana jamani mung atafanya wepesi
@MishiPapalan
@MishiPapalan 2 месяца назад
Pole sana selekali yetu inajali kula pesa tuu na familia zao hakuna ulinzi wala za laiya wa tz mungu tuangalie kwa mala ya pili tunateseka
@faithpashua649
@faithpashua649 2 месяца назад
Pole Sana Kwa kweli Una maumivu makali Sana jamani tuvae viatu vya wahusika
@celinamosha9420
@celinamosha9420 2 месяца назад
Mimi Shem wangu amepotea toka mwezi wa kwanza mpk Leo wako wawili siasa msemwa na Ally mtonji tz tunateseka mno na Hali hii
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 месяца назад
Asilimia kubwa porisi wetu ndio vinara kwa utekaje
@josephsokhia
@josephsokhia 2 месяца назад
Watanzania tumekuwa wapole saaaana na kama tusipoona tatizo la mwenzetu ni letu basi kupona ni kaz sana
@aminamareta9297
@aminamareta9297 2 месяца назад
Kwani watekaji wanatokea wapi kirasiku wanatekwa serekari iko wapi maana siyo mara yakwanza wara yapiri
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 месяца назад
Mungu atakusaidia ataonekana kua na subra vijana wengine huwa wanakwenda ubaharia sauz afrca hawaagii
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 2 месяца назад
Mmh 😢
@teedullah5708
@teedullah5708 2 месяца назад
Mungu atamleta
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 2 месяца назад
Pole dads
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 2 месяца назад
Duu yamerudi tena yalee ya miaka ile Mungu tunusulu waja wako
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 месяца назад
Watu wanajulikana ni askari wa serikali, wakati wa magufuli ilikuwa ni kawaida ya kutekwa watu.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Mbona hawawateki watu maarufu Tz?wanatekwa walalahoi
@FatmaAbdulhalim
@FatmaAbdulhalim 2 месяца назад
Hmmm
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 месяца назад
Msihangaike ni CCM ndo watekaji, nendeni lumumba chomeni moto
@Official83640
@Official83640 2 месяца назад
Watoto wa Temeke wanaisha kutekwa kila leo yaani mtu ht km hana matukio anatekwa na police wanasema hawajawaona sasa Serikali yetu sijui inalinda nn
@shabanihamis7110
@shabanihamis7110 2 месяца назад
Uyo ramadhan nimesoma nae😢
@Official83640
@Official83640 2 месяца назад
@@shabanihamis7110 Shule gani?
@shabanihamis7110
@shabanihamis7110 2 месяца назад
@@Official83640 miburani ipo temeke hospital Barabara ya kuelekea manispaa
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 2 месяца назад
Mmmhhh natamani kuandika lkn Nami nina watoto nisije kuwaponza buree😢
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 месяца назад
Kwani inakuaje fremason inau
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey 2 месяца назад
sasahivi hatuwogopi wanyama tunaogopa binadam nawosiwegineni askarijamani. yanihawanahofuya mungu
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 2 месяца назад
UKWELI HII SIKIA TU KWA MWENZAKO USIOMBE IKUKUTE KWENYE FAMILIA YAKO. LKN KWANN WANATEKWA WATU WA KAWAIDA TU KWANN ASITEKWE NA MTOTO WA KIONGOZI YEYOTE😢😢😢😢...... INAUMA SANA. KILA SIKU WATU WASIOJULIKANA HV KWELIIIII😢😢😢
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 месяца назад
Angalia mwanamke mwenzako anavyolia kwa uchungu unayaacha maviongozi majizi maslah binafsi yanatesa wanyonge jiulize wako akitekwa itakuwaje
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey 2 месяца назад
hichondokimabikikwasasa wamaishapelekwa uwawanakutupwaporini waliwe na. wanyama hayondo maishayetuyasasa
@HappyFarmhouse-bo1tc
@HappyFarmhouse-bo1tc 2 месяца назад
Eeh mwenyezi Mungu tujaalie wapatikane waki wai
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 месяца назад
Kutekana tekana ni mambo ya kishamba mbna kipindi cha Magu haya Mambo hayajakuwepo mama punguza misele nchi yako inaoza huku ww upo tu na ndege..... Kaaa uangalie shida za wananchi wako nchi inaoza hiii mama unawachekea Sana uliowapa mamlaka ya kupambana na hzi inshu 😢😢
@omarkapula588
@omarkapula588 2 месяца назад
Hi i ya polisi kusema hawaabdikishi taarifa mpaka masaa 24 yapire haiko sawa
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 месяца назад
oh magu aliteka watu na hata hao watu hawakuwa wametekwa sasahivi wanatekwa vijana wakimasikin bila sababu wanasiasa na watanzania wajinga wapo kimya wanamlaumu marehem magu kwa mema yake wao yanawaumiza
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Yaani acha tu
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 2 месяца назад
Inatisha kwa kweli
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 месяца назад
Poleni watanzania lkn sisi tunajua uko kuna amani sana inakuwaje tena mambo ayo
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 2 месяца назад
Sizani kama mama huyu anakula na kupata Usingizi. M-Mungu atunusuru
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 месяца назад
Lia tu ndugu yangu lakinibusifikirie kama kuna serikali itakuunga mkono katika jambo hilo. Allah ndiye mjuzi na mweledi atatoa haki. Na wao wanachukuliwa kwenye hadhara ya shighuli kwanini wasipige makelele raia wakaivamia.
@yahyaally-gy7lz
@yahyaally-gy7lz 2 месяца назад
Kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba ,weka bunduki chini tubishane kwa hoja maana lengo letu sote kuijenga Tanzania Moja
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER Месяц назад
Huyu mama bhana unamwomba fisi akusaidie kumpata kondoo et police wamsaidie kumtafuta mwanae utasubiri sana, mlilie Mungu mama yangu hao ni fisi. mmmmm😢!
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 2 месяца назад
Matukio ya utekaji yamekuwa kitu cha kawaida watuwamesha zoea kwamaana uchunguzi haujawai kufanyika na majibu yakapatikana kwamaana hiyo wananchi wanamashaka na wachunguzi wa matukio hayo
@deogratiascharles6432
@deogratiascharles6432 2 месяца назад
Ariechoma picha ya raisi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
MAMBO MENGINE POLISI YA TANZANIA YAKIAJABU MWANANCHI KAPATA TATIZO ZITO USIKU ANAHAMBIWA AJE SIKU YA PILI POLISI WA TANZANIA USIKU HAWAFANYI KAZI????😢😢😢😢
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 месяца назад
Serekali tunaomba msaidie kupatikana hawa vijana warejeye kwenye mikono ya familiya yao. Hii ni uchungu kabisa 😭😭😭
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Pole sn mama hp kutakuwa na mtu kawachoma hao wtt wange iitrak iyo namba ilipo kuwa ikiiita
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 2 месяца назад
Umeambiwa haijawah kuita
@Wakateezo
@Wakateezo 2 месяца назад
Tanzania ebu simameni pamoja acheni uzembe hii sio Sawa selikali ya hovyo kabisa pata tokea
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 2 месяца назад
ROMA MKATOLIKI tusaidie nawewe ulikua mhanga wa hili jambo ( ulishawahi kutekwa )
@hafsasaif8004
@hafsasaif8004 2 месяца назад
Ndo Mtaijuwa CCM Wamesema wakiwapoteza msiwatafite
@halimakihame1744
@halimakihame1744 2 месяца назад
Kumekucha kumekucha kumekucha watoto.wetu wako hatalini
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 2 месяца назад
😢huij. Bu ji 9 arac 5:30 5:30
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 2 месяца назад
Sasa kama pikpki inaonekana inavyo tembea kwann wasifukuzie au kufatilia huko ilipo huo uzembe sasa
@HaulSidney
@HaulSidney 2 месяца назад
Shida askari wa nchi hii wako kulinda masilahi ya viongozi,wakati wao pia ni maskini,
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад
dar Salam inawatu kama 12 milioni sasa kwanini wakamatwe hao2 ila hawa mijana pengine wanamatukio ya uhalifu polisi hawezi2 kuanza kukufatilia bila tatizo ila kama sio wahalifu watarudi2 ila mama aseme mwanae anafanya kazi gani ashakuaga Namatukio ya uhalifu au laaaa watu tuache kuropoko watu wanakabwa wanachomwa visu harafu polisi wakifanya kazi mnaraumu tena
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 2 месяца назад
Watu hawajalaumu kukamatwa ila polisi wanatakiwa watoe taarifa Ili ndugu wasiwe na wasiwasi..
@Official83640
@Official83640 2 месяца назад
Kwahy police ndy wameruhusiwa kuficha wahalifu au kuwaua kuwa na mdomo mzuri yakija kukuta na ww uongee hivi km unaweza
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 2 месяца назад
Tufnye kama kenya vyenginevyo tunajidanganya
@DaheerK
@DaheerK 2 месяца назад
Sin lakusema mm juu ya hili ila magu ulale pema peponi ila mambo huko changanyiken tunakukumbuka baba
@surusuru1994
@surusuru1994 2 месяца назад
Yanarudia jamn
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 2 месяца назад
Hata hii kuchukuliana wanawake inaweza changia Sana mtu kukufanyia ubaya anakuwekea kisasi
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 2 месяца назад
Acha ouwaga😂na mahusiano yako hao watoto na mahusiano wapi nawapi
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 месяца назад
Sasaivi usiumize kichwa unaingia chaka huko unaipiga arbadili unasukuma na jini juu kama wamemuwa na wawo unawapukutisha wote kudadeki hao polisi tu ndio wenye mambo hayo
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 2 месяца назад
Kituo cha tandika kina laza? hapo sijaelewa
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 2 месяца назад
ninachojua watoto wa dar waswaili wanamambo ya ajabu kwa hili kuna Siri kubwa wa zazi acheni kufigiawatoto kwenye Barbara chunga mwanao kwakua usalama wap ni mzazi
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 месяца назад
Hii usikie kwa mwenzio tu
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 2 месяца назад
Sasa mnauliza nini wakati sativa ashawaambia alitekwa na polisi kwa hiyo wanaoteka watu ni polisi au usalama wa Taifa
@SabihaRajab
@SabihaRajab 2 месяца назад
Watu wasio julikana walimteka mauzinde lakini mwenyewe anasema walikuwa na smz
@TamilNado
@TamilNado 2 месяца назад
Nenda Tazara police station
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 месяца назад
Mmi ndiomana polici siwapendi abadani. Watabia mbaya mbwahao
Далее
Семья с двойным дном. Рассказ
2:45:06
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 743 тыс.