Тёмный

Viongozi katika chama cha ODM wazidi kukinzana kuhusu serikali mseto 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Nyufa ndani ya chama cha ODM zimeendelea kushuhudiwa huku mirengo miwili chamani humo ikiendelea kukinzana peupe kuhusu mapendekezo ya kujiunga na serikali ya rais william ruto. Kundi moja linaloegemea upande wa katibu mkuu Edwin Sifuna, linapinga kujiunga na serikali ila mrengo unaoegemea upande wa mwenyekiti John Mbadi, ukishabikia kuingia serikalini.

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 2 месяца назад
Sifuna you're a gentleman, keep strong
@silviamwaura1570
@silviamwaura1570 2 месяца назад
Sifuna keep it up,
@omarndege811
@omarndege811 2 месяца назад
Sifuna jiunge na kalonzo...2027, coverno nrb achana na odm dead
@abdullmumtaz7736
@abdullmumtaz7736 2 месяца назад
Yaani ODM imekuwa na confusion moob shindwe !!!
@jullostephen9090
@jullostephen9090 2 месяца назад
Wanasiasa wa Kenya ni shida tupu,kila mtu anangalia tumbo lake
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq 2 месяца назад
Papa l can't believe ukistajabu ya musa utaona ya birahuni
@johnonkoba740
@johnonkoba740 2 месяца назад
Huyu jaa mbadi mafi sana
@thomastemu3332
@thomastemu3332 2 месяца назад
Tena ni kidheri kabisa
@rebeccabrown5135
@rebeccabrown5135 2 месяца назад
Sifuna be strong
@diolencekadzo4289
@diolencekadzo4289 2 месяца назад
No ODM this the end of Raila
@AliceNduluMusau
@AliceNduluMusau 2 месяца назад
Wao ni watu waodm. Watajua ruto achesi anatumia akili mutatumiwanyote kubeda vya bure.
@mercyknight9529
@mercyknight9529 2 месяца назад
Advice the president to consider appointing directors in the positions of cs since tjey understand the ground better
@usuribeatrice1258
@usuribeatrice1258 2 месяца назад
Tumeweka macho
@elizabethobai63
@elizabethobai63 2 месяца назад
For all people kalume odm is finsh lets move out people are dieing others are fighting for sets in gover!!!!
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 2 месяца назад
ODM inakufa
@salimadiyo9442
@salimadiyo9442 2 месяца назад
Siasa za matumbo
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 месяца назад
Baba no diougle😂🎉
@AliceNduluMusau
@AliceNduluMusau 2 месяца назад
Sifuna wa chana na masiwalala usingie kwa UDA.
@linu0720
@linu0720 2 месяца назад
Where is my hero babuuuuuu
@mntobaitenjuri5949
@mntobaitenjuri5949 2 месяца назад
Edwin sifuna ni simba
@Danwangila-uo3bl
@Danwangila-uo3bl 2 месяца назад
Kaluma want positions ujinga mutupu
@aaronmutua
@aaronmutua 2 месяца назад
End of ODM is near 😂
@AsiilQorane
@AsiilQorane 2 месяца назад
Kaluma you will go before 2027
@titus1846
@titus1846 2 месяца назад
So raila😂
@Ushuhuda-or5vb
@Ushuhuda-or5vb 2 месяца назад
ODM hizo viti mmekalia join the government and come 2027 zitakuwa zimekaliwa na UDA. ruto he is smart anavunja hiyo chama juu ndio kubwa kwa azimio. he did the same to jubilee and now he is doing the same to ODM. wake up before its too late and stop being gready
@KenOriga-zx1wj
@KenOriga-zx1wj 2 месяца назад
ODM is now confusing us n we don't know where we r heading to
@thomastemu3332
@thomastemu3332 2 месяца назад
Hand shake 😅😅😅
@JoyceAntony-gm1rs
@JoyceAntony-gm1rs 2 месяца назад
Anyway ODM members of parliament are not voted by wanjiku discussions Raila Ondinga points them without wanjiku making decisions 😅😅😅😅
@ntegrity277
@ntegrity277 2 месяца назад
You cannot teach an old dog new tactics
@mercyknight9529
@mercyknight9529 2 месяца назад
Duale..reject,resist
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 2 месяца назад
ODM cows
@wycliffechwala4233
@wycliffechwala4233 2 месяца назад
who doesnt know raila
@mercyknight9529
@mercyknight9529 2 месяца назад
U are behaving like a defiant child...
@usuribeatrice1258
@usuribeatrice1258 2 месяца назад
Dhineji kucha
@chrispinesimiyu
@chrispinesimiyu 2 месяца назад
Wakwende wakwende we are behind Edwin sifuna Kaluma kwendeni peke yenu wewe na Mbadi you cannot abuse Sifuna Team Mafisi kwendeni guys who are used to hang on babas coat we have some mens in ODM behaves like females.Even the likes of our Mama Milly Odh, Gladys Wanga, Bensouda,Mishy,they are far better than some of the men in trouser I ODM.hawa wamama nawapa kongole they are real you will never see them being Mafisi like some Men in ODM and am asking Baba it's time we give the Mamas to get some position like chairlady to lead the party.And stop kutishia Edwin Sifuna in the party.Stop Stop Tuhamie wiper, au tuambie Ruto abadilishe rangi ya chama Cha UDA kutoka yellow to ikue purple tuhamie msitu wa Kila aina ya tabia😂
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x 2 месяца назад
Wakora tupu
@ongedoosungawanangayo3055
@ongedoosungawanangayo3055 2 месяца назад
Sifuna refuse, this Odinga is a vulture who eats mizoga all the time
@johnonkoba740
@johnonkoba740 2 месяца назад
Hawa tuliwajia odm. Ujinga ulio kwa odm ni utoto, na umafi tu
@BillyOduor-et2li
@BillyOduor-et2li 2 месяца назад
Very foolish I have never seen such a comfus
@omondiwilliam9407
@omondiwilliam9407 2 месяца назад
Mbadi. Kaluma, and other tumbo, crats, waende waanze ODM Yao. Orengo is a man enough and can lead the Sifunas. Babus and those who stands with GenZ. Kaluma does not hear the ground Bure kabisa.
@mamakedenique
@mamakedenique 2 месяца назад
Sifuna you're a gentleman,keep strong
Далее
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25
Raila Odinga awasilisha maombi ya uenyekiti wa AUC
2:28
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24