Тёмный
No video :(

Viongozi wa dunia wafunguka kuhusu jaribio la kuuliwa kwa TRUMP 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@wakayakaya6
@wakayakaya6 Месяц назад
😂😂😂😂nyoko wamefeli wanajikanyaga ngoja ashinde uchaguzi
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Месяц назад
Mashoga walokuwa wanafiki eti wamefarijika yupo salama uku kwenye myoyo zao wakisema daaah deal limefeli sasa tumekwisha mazima
@JOHN-ep5fg
@JOHN-ep5fg Месяц назад
😂
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Месяц назад
Km yule wa Ukrain
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 Месяц назад
Mbabe ni mmoja tu na ndo maana wanamuandama kila kukicha## Russia 🇷🇺
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Месяц назад
😂😂😂 wamarekani kama wamekuwa wakiabudiwa saivi maaana kama lingetokea kwengine Hilo jambo Wala lisingekuwa kubwa kiasi hicho🙌🙌🙌
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw Месяц назад
Kwany Trump mtu mdogo
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Месяц назад
​@@eleven-in5qw vipi wale watu 71 waliokufa gaza, mbona hawaongelewi?
@mubarakahussein9950
@mubarakahussein9950 Месяц назад
Wanafiki tu Macron Zelenskyy na wenzie !
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 Месяц назад
Nakemea vikali jaribio hili lkn mungu mpe ushindi Trump ili akomboe vurugu za Aina hii zisijitokeze tena duniani mungu hupanga hupanga ushindi sio mauaji ya yule atakae shinda kwa kuchaguliwa na mungu kama Trump
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 Месяц назад
wacha nao waone walicho kua wakifanyiwa viongozi mashuuri wa Africa🌍 kua ni uonevu
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Месяц назад
Ingekua kiongozi wa Africa wangeongea??😢😢😂😂😂😂😂 wajinga tu ao wazungu
@danielnyangasi8808
@danielnyangasi8808 Месяц назад
Namuona Putin anaandika anafuta 😂😂
@MwajumaEsube
@MwajumaEsube Месяц назад
😂😂😂
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u Месяц назад
Wewe kiboko😂😂😂
@user-jf1xj4kr1s
@user-jf1xj4kr1s Месяц назад
😂😂
@RynoFiree
@RynoFiree Месяц назад
Ni wanafiki sana
@noonelike6382
@noonelike6382 Месяц назад
Please please SNS na dj smaa na brothers wengine hapo studio shalom/bwana yesu asifiwe, Aisee brothers tunahitaji uchambuzi wa mahojiano aliyo fanyiwa yule kijana Joshua okayo raisi wa baraza la wanafunzi chuo cha KSL, mahojiano aliyofanyiwa na kituo cha NTV, baada ya kutekwa na kupatikana. Please please hile interview inavitu Naona Ndani yake. Please please.
@HashimOlomi
@HashimOlomi Месяц назад
Lakin kumbukeni Irani walishatoaga listi ya viongozi wa marekani wanaotakiwa kuuliwa
@paulhema5713
@paulhema5713 Месяц назад
Ivi nan ni muhusika apo....akili yang inasema biden au nakosea 😢
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Месяц назад
Inside jobs hizo, kama John Kennedy
@RynoFiree
@RynoFiree Месяц назад
Biden hawez hiyo ingeongeza asilimia za yeye kushindwa, marekani inamatajiri wengi ambao Trump akipita atawabana Sana ko hapo kunakamchezo Biden anaweza asihusike kabisa
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Месяц назад
Shehbaz Shariff nayy eti anakemea Machafuko ya Kisiasa waktk Wazir mkuu wa Zaman wa nch hyo hadi leo kamuweka Gerezan
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Watu wanafika hatua wanachoka na hili haliangalii wapi na nani. Tuombe sana tusifikie huku
@juliusmwanyonga2877
@juliusmwanyonga2877 Месяц назад
Siasa za kichovu zinaelekea kujirudia huko marekani. Mfano mzuri uko wapi iwapo taifa kubwa kama marekani linaendeleza siasa chovu. Tupigane kwa hoja kwa faida ya maendeleo ya watu pamoja na taifa. Ukiona kiongozi anatumia mtutu wa bunduki ujue hakubaliki na ni fisadi katika taifa husika.
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Месяц назад
Sio viongoz wote wa Dunia maana Mh dk Samia suluhu sijamsikia
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 Месяц назад
Yeye sio
@RizikiQueen
@RizikiQueen Месяц назад
Samia Sio wa dunia niwa Tanzania 😂😂😂
@SalumKhalfan-np5vb
@SalumKhalfan-np5vb Месяц назад
Katangaze wewe wewe si upo
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Месяц назад
😂​@@RizikiQueen
@abdallahmohammed6865
@abdallahmohammed6865 Месяц назад
Angekua na jina la kiislamu angeitwa Gaidi
@salumyusuph6633
@salumyusuph6633 Месяц назад
Umenena sahihi, hawa si watu wa kuaminiwa na walimwengu, wana chuki mbaya sana isiyo na sababu ya kweli
@disanatv4485
@disanatv4485 Месяц назад
This is not a dream to say you will forget in the morning when you wake up, I think that is something that Biden should understand.
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 Месяц назад
Kazi ipo
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Месяц назад
Waongoao waliomba afe
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. Месяц назад
Seen by me kaka jambazi usa 🇺🇸
@JamesJ-b2h
@JamesJ-b2h Месяц назад
Duuh
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Месяц назад
Wabongo tunapend ushabiki kila jambo ,tuache shobo za kijinga kam.unfk ubaki kwetu hiz nchi hazituhusu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Месяц назад
Africa hatupo au
@USDisdoomed
@USDisdoomed Месяц назад
Hawa viongozi waagharibi niwanafik sana akiwemo Zelensky....wanajua kinacjlhoendelea .....Hii nikazi ya NATO
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Месяц назад
Zelensky mutu wa maana sana
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 Месяц назад
Wanafik hao
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Месяц назад
Pumbavu wote hao, Wapalestina wanauwawa kila kukicha wala hatusikia hatua zozote kuchukuliwa kusitisha mauaji
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b Месяц назад
Wame shupa wengi ingekuwa Congo awangesemaukweli
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Месяц назад
Hizi ni dalili ya ushindi. Mungu mponye haraka raisi trump. Mipepo hiyo
@user-hi7ry5bc9t
@user-hi7ry5bc9t Месяц назад
Mbona sijawasikia kulaani motukia km hayo yaliyotokea afrika na kwengineko au afrika ni watoto wa kando...
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Месяц назад
Trump atashinda uchaguzi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
✌️👊🙏.
@billskeez92
@billskeez92 Месяц назад
Wanafki tu Hao
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr Месяц назад
Acha wauane wenyewe kwa wenyewe
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 Месяц назад
Na tunaitaka AU itume team ya wachunguzi kuchunguza tukio hilo. Hii sio democracy tunayoitaka na tunayoitangaza kila siku😂😂😂
@wolinet1
@wolinet1 Месяц назад
Kwa jeuri ipi
@amraniamuri3080
@amraniamuri3080 Месяц назад
Trump simuanmini uyo 😂😂😂
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j Месяц назад
Ni wanafk wote wanaojua njama hio
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Donald trump💪
@user-lv3de1pi7j
@user-lv3de1pi7j Месяц назад
Kwanin hajadedi mshenz huyo
@kassimbayuu
@kassimbayuu Месяц назад
Bado mzee wa putin hajasema, Leo nimejua amerika ni father halafu urusi ni grandpa
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 Месяц назад
Huu upepo ndio utamsaidia zaidi Trump kushinda.
@antonyelias866
@antonyelias866 Месяц назад
Acha wauwane kwan mbona wananyonga viongozi wenzao
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Месяц назад
Hawa wote ni vigagura
@totonata5384
@totonata5384 Месяц назад
Mbona hakuna anayeongelia miili inayoopolewa kenya?
@sailortraveler9880
@sailortraveler9880 Месяц назад
That is life trump s the best
@baizoboy1719
@baizoboy1719 Месяц назад
Wahaya wote wanalaani tukio la Trump kushambuliwa
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e Месяц назад
😂😂😂Kyoma Bana😂😂
@Yayouselim
@Yayouselim Месяц назад
Zelensky kachanganyikiwa nn
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 Месяц назад
SAWA SAWA TU ACHA NA WAO WAONJE ADHA YA MACHAFUKO WASICHOCHEE VURUGU NCHI ZA WENZAO ZICHAFUKE NA WAO WABAKI SALAMA WAONE MAUMIVU YA MACHAFUKO
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 Месяц назад
Wazungu ni wajinga sana ni bora wauwane wenyewe
@Ankobiotics
@Ankobiotics Месяц назад
TEFLON DON
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Месяц назад
Wacha tu afe wengi wanakufa , hajafa leo atakufa kesho,
@aminaali792
@aminaali792 Месяц назад
Mbona hawaoni kama Palestine watoto na wakubwa.., huyo trump ndo wamemuona mtu kuliko maelfu ya watu wanaouliwa kisa kugombea nchi yao🙄ALLAH atawashinda yaa Rabbi 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼
@deniseliuter3002
@deniseliuter3002 Месяц назад
Trump ndo mtu mwenye siasa zinazolenga kumaliza huo mzozo wa gaza
@ce-08
@ce-08 Месяц назад
​@@deniseliuter3002 anaweza kumaliza mzozo wa Ukraine na Russia sio Israel na Palestine
@abdallahmohammed6865
@abdallahmohammed6865 Месяц назад
Amesema atamaliza wa Ukrain sio Palestina
@aminaali792
@aminaali792 Месяц назад
@@deniseliuter3002 huyo ndo anaona kaam wanachewa kuwamaliza wa palestine anataka wawauwe wote kabisaaa 🤦🏽‍♀️
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 Месяц назад
Mungu mbariki Donald Trump apone na ashinde Uchaguzi.
Далее
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21