Тёмный

Shambulio kubwa la kimtandao laipiga Benki Kuu ya Iran na benki nyingine za Iran 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@florencemeza6540
@florencemeza6540 26 дней назад
Israel ni nomaa
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 26 дней назад
Akili nyingi 🇮🇱, good job!!
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 26 дней назад
🇮🇱Tena noma sanaaa😂
@Laughter_man
@Laughter_man 26 дней назад
Kwan hukusikia udukuz walofanya Iran kuwa gps zote za Israel zilikua zinasoma mitaa ya Iran ndo ujue vyote vya wezekana
@Mumewangu
@Mumewangu 26 дней назад
@@RoseMayige-gn9qb Iran juzi amewadukuwa kampeni za marekani
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
​@@Mumewangu hawasemi maana ad Trampo analalamika huko kuwa Iran watamuangusha et
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 26 дней назад
Dahh sio pouwa inaumiza Sana mungu awepe nguvu iran
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 26 дней назад
Amin
@MoodtzJuma
@MoodtzJuma 14 дней назад
Shida ya ndugu zetu wakristo mwisrieli wanamuabudu sana wanaona ndo mungu wao wakati mwisraeli hamtambui yesu
@medadisamson8440
@medadisamson8440 26 дней назад
I heard of Israel cyber army japo haijawekwa wazi bado. Taswira ya vita imebadilika sana mwenye teknolojia bora ana nafasi zaidi.
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 26 дней назад
Asante sana Ali Masubi kwa kutuhabarisha
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 26 дней назад
Wakati unawaza cha kufanya unashangaa umedukuliwa
@asumanideo2405
@asumanideo2405 26 дней назад
Nimeliya sana 😢😢😂
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 26 дней назад
😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 25 дней назад
😂
@veeJesus
@veeJesus 25 дней назад
😂😂😂
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e 25 дней назад
Acheni vita na Israel nyie watoto wa nje ya ndoa mtakufa
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 25 дней назад
Alafu ukizaa nje ya ndoa wanasema auwawe wao wanajitoa ufahamu wal8toka kwa mjakazi hajiri kutoka misri Mana yake ni Sara 😂😂😂😂
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 26 дней назад
Kazi ya MOSSAD
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 25 дней назад
Israel 🙌
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 26 дней назад
Sio ajabu Korea kaskazini waliwahi kuidukuwa Bank ya marekani na Kuiba madola ya fedha
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 26 дней назад
Never, never wanadukua kwenye nchi masikini Kama Bangladesh na n.k.
@emmadora7848
@emmadora7848 26 дней назад
Whata? Una masihara wewe 😂😂😂😂😂😂
@user-rt1wf6se5f
@user-rt1wf6se5f 26 дней назад
Musibishe walidukua dolla billion mbili
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
​@@GeorgeAkasha-zx2rj we huna ujuwalo nenda kasome group hatari zaidi duniani la Korea kaskazini linaitwa room 39 au GPS watuwekee makala kuhusu hilo kundi Marekani wameibiwa mabilion ya Madola na hilo group na pia wakatengeneza dola fake zilizotumika duniani miaka 20 pia wakawa wanatengeneza bidhaa na kupiga chapa ya Marekani na China na kuuzwa dunia mzima na nikupe faid hilo kundi la ROOM 39 KAZI YAKE KUBWA NI KUTENGENEZA AU KUPATA PESA IWE HALAL AU HARAMU Marekani kuja kugundua hilo Kiduku akakataa tatizo we akili yako inasema Marekani hashindwi na kitu soma habari na usisome chanzo Ki1 nenda leo kasome kuhusu ROOM 39 utawajuwa ni nan hao hatari hao dunia mzima hakuna Juzi hapa Kiduku amepost gari toleo jipya la kimarekani na Marekani hawajuw amenunua wapi ad sasa
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
​@@emmadora7848 tusiende mbali kazi ilifanywa na group hatari linaitwa ROOM 39 ukweli wote upo hapo wao walitengeneza dola fake zikatumika miaka 20 tatizo hufuatilii na unasoma habari hapa GPS na unakuwa mbishi nenda kwenye hilo group room 39 utajua nn kazi yao hao Mbwa ni hatari sana
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 25 дней назад
MUNGU BARIKI ISRAEL
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 26 дней назад
Hawajatulia wamepewa jingine
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 26 дней назад
Marekani hana huo uwezo huyo ni muislaeli
@pinielefraem4159
@pinielefraem4159 26 дней назад
Wakati Bado ujui chochote nivyema kunyamaza nawaonea Iran uruma wanataka kuwaingiza wananchi wake kweny matatizo😂
@magorymara5515
@magorymara5515 25 дней назад
Usikubali kuonewa kwa ajiri ya vitu vya Dunia pambana ili taifa lako liwe imara
@raymrash
@raymrash 23 дня назад
😂😂😂😂
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 26 дней назад
Suala la udukuzi kwa kipindi hiki siyo ajabu sanaa kwanii nchii zilizoendelea ambazo zinatumia teknolojia linakumbana nalo hawaripoti sema tu kwa Iran linatumika kama propaganda. Marekani, China, Urusii, Uingereza, Korea na Hata hao Izrael mnaosema wako vizuri ktk mtandao wanadukuliwa sanaaaa
@salimmadafa4840
@salimmadafa4840 26 дней назад
Toka wamuue Rais things are falling apart.
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 26 дней назад
kama ua unaiombea israel gonga like apa👍
@fakijecha
@fakijecha 26 дней назад
Shetani ww
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 26 дней назад
@mussammanga7791
@mussammanga7791 26 дней назад
Atakuunga mkono shoga mwenzio.
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
@hazygardmericho9571 kwa lipi kwann yaan mtu muuwaji nimuombee kwamba nafurahishwa na uhuaji wake kwa kipi labda watu hata Yesu hawamtaki kusikia watu wanasema kama wewe siyo Muisrael halal kuuwawa
@raymrash
@raymrash 23 дня назад
😂😂😂😂
@jaymandy8136
@jaymandy8136 25 дней назад
Dah waarabu wanaonewa sana aiseee
@Yayouselim
@Yayouselim 26 дней назад
😂😂😂imenibidi nicheke 2 ila dah ni noma sana
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 24 дня назад
Hatar sn yan
@angelsulle7177
@angelsulle7177 25 дней назад
Iran mlitangaza kwa kishindo kikubwa kuishambulia Israeli haya sasa akina Goliathi ninyi. Maadui Wa Israeli. Wadhoofike
@veeJesus
@veeJesus 25 дней назад
Iran ni taifa dhaifu mno. Wana piga biti tu mtandaoni
@CantonaKunona
@CantonaKunona 26 дней назад
Bado hawajasemaa 😂 dadekii
@RehemaAmour
@RehemaAmour 26 дней назад
Korea kaskazin pia ashawah kudukua Bank ya marekani na kuiba billion of dollars
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 26 дней назад
iran ni mashia na mashia sio waislam mnaoishabikia iran jitambueni
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
@HalfanHemedi-r8z kwahiyo Shiha ni Wakristo na je ibada yao ikoje wewe usitudanganye Shiha ni wahislam wenye msimamo mkali wale ni Waislam wanaadhini wana soma surat fatha kama kawaida hakuna walichobadilisha acha kudanganya watu wewe
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 25 дней назад
@@fadhilngalanda7520 unajua kama shia wanawatukana baadhi yamaswahaba wamtume muhammad swallalahu aleyhi wasalam kwasiku wanaswali swala mara tatu baada yatano wanamambo mengi mazito fuatilia na uwasome shehe musikurupuke
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
@@HalfanHemedi-r8z sasa hao Shiha wenye kuwatukana maswahaba kidini siyo waislam muislamu ni yule anayo amini uwepo wa Allah mitume ya Allah vitabu vyake na maswahaba na kuna watu pandikizi kutoka Israel wamesoma dini na wanaipotosha kuwa nao makini hao kila muislamu ni hamsa salawat
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q 25 дней назад
Waludi darasan waache ushamba
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 26 дней назад
Israel noma
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 26 дней назад
Yani tokea afe yule rais wa iran basi matokeo yanajitokeza
@kingcole60
@kingcole60 26 дней назад
Mnaosema USA anamsaidia sana Israel hii sababu kwa nini USA yupo sako kwa bako na Israel
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 25 дней назад
Hivi hawa Jamaa wanamtafta nini huyo mzee maskini yani hata huku Africa majirani tunao yani mtu Anakuchokoza kimaksud ili mpigane ila hutaki yaani wanadamu bhna
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 26 дней назад
YAWEZEKANA HATA HICHO KIBURI CHA IRAN NI KWA SABABU YA 10% WAISRAEL. MBONA NCHI ZINGINE ZA KIARABU HAZINA UJANJA WOWOTE WA TECHNOLOGY
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 26 дней назад
Irani sio Waarabu…
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
@@godfreymbwambo4460 hata Uturuki sio Waarabu watu hushindwa kutofautisha
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
@@godfreymbwambo4460 ndio hivo
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 26 дней назад
​@@BarnabaBuhomaIran kuna jamii nyingi ikiwemo waajemi wamedi na wayahudi
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
Inchi zingine kama zipi Saudi Arabia Marekani mapema yupo pale kama kibaraka ndio maana haisemi lolote inchi zingine amezipiga Syria Iraq Marekani anaiogopa Afghanistan kisa ina Nyuklia yupo pale kuweka urafiki kuna kitu muhimu kinaitwa depromasia au interigence hivyo ndio unaona inchi kama Jordan ipo upande wa Israel na Jordan ni msaliti alifanya Israel ishinde vita mwaka 78 dhidi ya Syria Misri na Jordan
@serijofesto9068
@serijofesto9068 26 дней назад
Haha,taabu Sana hii
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 26 дней назад
Sasa kama adui yako anakuzidi kilakitu akili mpaka maalifa unapata wap nguvu za kupambana nae kama sio upuuzi kamiri
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 26 дней назад
Mossad
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 26 дней назад
Marekani na israel vita ya propaganda wanaweza.media zao
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 26 дней назад
Shida ya irani ni kujitambua
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
@@bakariyusuph-uf7nc Irani baaaado Sana kelele na tantalila nyingiiii hakuna lolote
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 26 дней назад
@@annasolomon9855 wanaopiga kelele ni mashoga sio mujemi na swala la kuuwawa kiongozi wa hamasi sio ishu mbona marekani kashauwawa rais wao na mpaka leo wajui nani kamuua
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
​@@annasolomon9855vita haipo hivyo wewe yaani anachofanya Iran basi ni bora zaidi kuliko hata akiwashambulia kuna mitambo huko ya ulinzi kutoka Marekani inadumia mamilion ya dollar kwa siku ili iwe active na Iran anajua kuwa inchi kubwa zote zipo attention kumlinda Israel so kwanza wanaingia hasara ambayo hawakuitegemea sawa na wewe mtu akuambie fanya maandalizi ya kuoa alafu hujuwi lini utaoa ndio kilichopo
@emmadora7848
@emmadora7848 25 дней назад
​@@bakariyusuph-uf7ncwamekuambia kuwa hawamjui?😂😂😂
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 25 дней назад
@@emmadora7848 kwani we unamjua 😶
@salimmadafa4840
@salimmadafa4840 26 дней назад
Reaction ya Iran itawaghalim sana.. Wareact faster
@RamadanPaul
@RamadanPaul 26 дней назад
Iran inaenda kudondoka nahisi.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 26 дней назад
Hata mim nahis hivyo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 26 дней назад
@@muhammadmbaraka4515 huenda ndo ile hadith ya mtume juu ya dajal ni baada ya nchi yenye nguvu ya kiislamu kudondoka, nahisi hiyo inakaribia kutimia.
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 26 дней назад
LAZIMA WATU WAELEWE KUNA KARIBIA 10% YA WAISRAEL NI WAZALIWA WA IRAN!
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 26 дней назад
Ivi hawa watu waudukuzi ndo hawa watu waliosoma computer science??
@pmm255
@pmm255 26 дней назад
yeyte anaeijua computer vzri anaweza fanya udukuzi
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 25 дней назад
Mnawadharau Jews ✡️ subiri utanielewa kwanini mbuyu ulianza kama mchicha
@naqiahmad26
@naqiahmad26 26 дней назад
ukishakuwa ni hasimu na Marekani na wapambe wake, jiandae kwa lolote. hata hivo iran wanajitahidi.
@ShafiiDauda-mh9ju
@ShafiiDauda-mh9ju 26 дней назад
Block chain technology Iran inawahus waitumie
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 25 дней назад
Block chain Ni decentralized system pili kumbuka myahudi kawekeza zaidi kudevelo Block chain mbili maarufu Etherium na Solana
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 26 дней назад
Iran mbona mko wa zembe ivo jmn shtuka
@RamadanPaul
@RamadanPaul 26 дней назад
😢😢 yaani mimi inaniuma sana. Mi ninamashaka na huyo raisi mpya wa iran
@damaschosen
@damaschosen 26 дней назад
😂😂😂
@israelmwasota
@israelmwasota 26 дней назад
Sio wazembe ila people wako na akili kupita
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 25 дней назад
​@@RamadanPaul Kweli kabisa
@user-fs7bs6gy4z
@user-fs7bs6gy4z 26 дней назад
Hawa wairan cjui kwnn wamekua km kwny shamba la njugu ! hata ujifiche vp ndani yke adui yko lazima atakuona tu .
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 26 дней назад
Hyyo ni marekan na sio israel
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x 26 дней назад
Makofi matatu kwa netanyau
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
😂😂😂❤
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 25 дней назад
Dini aluusu kisasi waslam wana dini kile kikundi cha majini tu
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 26 дней назад
Hivi mnakumbuka hotuba ya Netanyahu akiutubia Bunge la Marekani alisema Marekani mnatupa Siraha sisi tunawapa ujuzi.. Hivi unapochagua mke si unachagua mmoja si kwamba wengine hawafai bali ni uchaguzi na maamuzi yako. Basi ndivyo Mungu wa Mbinguni alivyolichagua taifa la Israeli ni taifa Teule.
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 26 дней назад
Teule 😂😂😂😂 labda la Lucifer, itokotee leo USA na UK zidondoke kiuchumi au zisuse kumsaidia uone km Israel itamaliza hata wiki kwny uso wadunia
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
Huyu hasa shubwada teule kateua nani kwa lipi iweje lini aliteua alimteulia nani wapi alisema kuwa naliteua hili taifa ushahidi wa uteule huo upo wapi? 😅😅😅😅 We jamaa acha ujinga soma vitabu fuatilia vizuri kuhusu hao wayahudi ujuwe ni watu gani watu waaina gani na alipo myahudi nenda kamuambie lolote kuhusu Yesu utajua uteule wao upoje pambafu unaongea uongo hapa
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 25 дней назад
@@fadhilngalanda7520 hawa ni brain washed tu 😃😀😀🤣
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 25 дней назад
Ao niagaidi nato izirael
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 26 дней назад
Irani wakubaritu alieju hawejutu mbaka wakati wake ukifka kushndana naye hatapata hasala na hatalud nyuma kwa kias kikubwa undo ukweli anaye bisha shauliyake irani sawa namtu anaye tafta hela yakula halaf hanafosi maendeleo na ushndan
@IreneIssaya
@IreneIssaya 26 дней назад
Huna fact unaandika upuuzitu kama huna uelewa na jambo jitulizetu
@IreneIssaya
@IreneIssaya 26 дней назад
Huna fact unaandika upuuzitu kama huna uelewa na jambo jitulizetu
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 26 дней назад
Bonge la fact bingwa
@user-od7os6gg7n
@user-od7os6gg7n 26 дней назад
Halafu Andika vizuri basi!!!
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 26 дней назад
@@user-od7os6gg7n hayakuusu fanya yako
@salumft661
@salumft661 26 дней назад
Israil na marekani inalazimisha vita na iran.. mana nchi pekee ilokuwa haijavamiwa kivita na marekan ni Iran tu kwa ukanda wao..
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
Na Iran anajua kuwa hapa siyo Israel na Marekani yupo nyuma na lengo lao ni kukwamisha ule mpango wa uzalishaji wa Nyuklia pale Iran sasa Iran anajua hilo
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 26 дней назад
Israil inachokoza kila sehem alafu akitaka kushambuliwa anamwita bwana wake😂
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 26 дней назад
Mpk mtakapoelewa kuwa Hakuna Mungu kama wa Israel😂😂
@aishaarusha894
@aishaarusha894 26 дней назад
Ina maana duniani kuna mungu waweizrael tu wewe huna mungu staghafiruallah
@JosephSeleman-t9r
@JosephSeleman-t9r 26 дней назад
Akili kisoda
@Pablolookman
@Pablolookman 26 дней назад
Tanzania inawajinga wengi sana ila sishangai wazazi na WA chungaji wamechangia kiasi kikubwa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
​@aishaMungu wa Israel ndo Mungu wa kweli sio Mungu jini kama wengine wanaomwabudu.. mfano Waarabu wanabu Mungu jini.. lIsraeli wanaabudu Mungu muumba Mbingu na nchi.. Mungu wa vyote vilivyoko chini ya jua na Angani.. arusha894
@nizarrama225
@nizarrama225 26 дней назад
mijinga ni mingi duniani hapa, liache lijinga​@@aishaarusha894
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy 24 дня назад
Mjue kila kitu kinamwanzo na mwisho, nyie endeleni kuwasifia Israel na hao marekani, time will tell. Siku itafika kipindi atakapo jificha myahudi kwenye jiwe, na jiwe likasema ewe mtu mwema njoo umuuwe Yuko hapa. Ukicheka Leo Kesho utalia wewe
@GabrielSky64
@GabrielSky64 26 дней назад
Israel wanai control Iran
@isihakaliyuma1848
@isihakaliyuma1848 26 дней назад
2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52 2:52
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 26 дней назад
Hofu Bado kubwa kwa Israel hivyo wanataka kuchonganisha raia wapate sababu ya kuingia humo kwa kisingizio Cha amani. Huo ujumbe uko wazi nani mtendaji. Hakunaga ustaarabu. Ukipigwa piga muheshimiane kama kiduku.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 26 дней назад
duniya umeisha na israili wakati ni wachokozi nnaimani umefika wisho wake
@zumemooha6504
@zumemooha6504 25 дней назад
Iran wajinga wacha wapigwe
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 26 дней назад
Hyo ni marekan na sio israel
@raymrash
@raymrash 23 дня назад
Kwa nini siyo Israel
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 26 дней назад
Sasa hao Iran mbona wanazubaa sana? Wanakosa je ulinzi wakiwa na maadui kibao hivo??
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 26 дней назад
Iran bado haijawafikia nchi za magharibi kwa teknolojia. Wenzao wameanza siku nyingi yeye ameanza juzi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
@@rumdeesonsoa1811 lakini anakelele nyingi za kuitisha Israel
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 26 дней назад
Naam Israeli kazini 😂😂😂sijui kama hawabeba ela zote
@aishaarusha894
@aishaarusha894 26 дней назад
Wabebe wasi bebe wataacha tu siku moja
@aishaarusha894
@aishaarusha894 26 дней назад
Unafurahia zulma
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 26 дней назад
😅😅😅😅
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f 26 дней назад
Wanabebaje bro
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
​@@aishaarusha894Kila mtu ataacha .. hata wale ambao hawajazibeba wataziacha 😊
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 26 дней назад
Hawa wa Israel 🇮🇱🇮🇱 kwenye masuala ya kimtandao wameshindikana
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
Kiboko kuna hao watu wapo Korea kaskazini ad Marekani ameibiwa na hao watu
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 26 дней назад
makosa ya warabu kila kitu wanataka wafanyiwe sasa system zao zote huendeshwa na israil ndio maana israil wanafanya watakavyo😂😂
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 25 дней назад
Siyo kweli umetudanganya sema Israel anachawa wengi inchi zote za kiarabu ndio maana anafaulu missions zake
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 26 дней назад
UYU MTANGAZAJI WAGA ANAPENDA KUSKIA TAARIFA MBAYA KWA ISRAEL, ILA AKISKIA TAAARIFA MBAYA KWA IRAN NA MAGAIDI NA PUTIN, ANATANGAZA KINYONGE SANA,😂😂😂
@antipascann2797
@antipascann2797 26 дней назад
😂😂
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 26 дней назад
Ujinga tu , kila siku Iran
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 26 дней назад
Iran sawa na tanzaniatu sematu wao labda wametuzd kutengeneza tu Dron masi na vilipuzi
@Williamstozzo
@Williamstozzo 26 дней назад
😂😂na rangi
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 26 дней назад
😂😂😂​@@Williamstozzo
@veeJesus
@veeJesus 25 дней назад
😂😂😂
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 26 дней назад
Iran inateswa 😂😂... Hawa jamaa huwa ni kelele tu na vitisho baridi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 26 дней назад
Kama unaona vita ni mchezo kapigane wewe
@sonnyr1899
@sonnyr1899 26 дней назад
Yani toka Rais aondoke duniani Iran imegeuka kuwa shamba la bibi. Iran wana ma snich wengi ndani yao
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 26 дней назад
Ila media za magharibi kuwa nazo makini,wanaweza kukuza Mambo mpaka uhalisia ukapotea au jambo kuliweka katika mrengo wao.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
​@@GeorgeAkasha-zx2rjhawezi kusema bila uhakika wamejihakikishia .. usibishe Irani imekombwa Hela Tena aliyechukua hizo fedha ni anko NetaNyau 😅😅😅
@annasolomon9855
@annasolomon9855 26 дней назад
Hata angekuwepo wangefanya tu Israel ni watu wengine kabisa.. hapo wannafanyaga mambo yao kimya.. alafu Huwa hawakanushi Wala kukubali kama no wao au sio wao..
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 26 дней назад
Hyyo ni marekan na sio israel
@emmadora7848
@emmadora7848 26 дней назад
Vyovyote unavyowachukia Waisrael ila wako mbele sana kwenye mambo mengi ,hasa teknologia ,huyo marekani mwenyewe anawategemea sana hao kwenye mambo ya technology
Далее
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 905 тыс.