HUO NI UONGO NYIE MNAMSHAWISHI KIJANA AFANYE HIVYO. MNAMPELEKA NJE ILI AKAUWE KIPAJI CHAKE ULIZENI KWA WALE WALIOENDA NJE. MSIMSHAURI VIBAYA MNAMHARIBU MCHEZAJI.
Costi mna tamaa za kilofa Kuna watu wanamfundishen huo ulofa hapa tukamalizane fifa hakuna Cha kusubili Kama kukosa kupata ni fifa wao wataamua Sasa Mambo ya kijingajinga hakuna Tena😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫
Mnafanya Mambo ya kitoto hiyo barua mmemlazimisha kuandika ili mumpeleke ulaya,viongozi wa hovyo sana.yani mnatakiwa moose vyote hela na mchezaji kwa ujinga wenu.