Тёмный
No video :(

VITASA | Fadhili Majiha vs Jamal Kunoga |  

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

USIKU WA VITASA: Icheki hapa TKO aliyokula Jamal Kunoga kutoka kwa Fadhili Majiha katika pambano ambalo limeishia raundi ya pili, Jamal akikubali yaishe….
Ni pambano la utangulizi kuelekea pambano la Kidunda vs Mukadi katika usiku wa vitasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
#UsikuWaVitasa #VitasaNight #NgumiJiwe #Boxing #JamalKunoga #FadhiliMajiha

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 4 месяца назад
Fathiri majiha stopa we Ni Bonge Ra BondiA Naku Bari sannaaaa🇹🇿👏👏👏
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 Год назад
Bado tuna huruma sana kwenye ngumi za kulipwa.Ile cutting japo ilikua kubwa lkn bondia mzuri anacheza nayo akaweza kumaliza na hata kushinda.bado bondia alikua na nguvu na uwezo wakucheza kwakua hakua ameelemewa nakua hoi kihivyo.
@liisamaisha2188
@liisamaisha2188 Год назад
Kweli kabisa,safari bado ndefu sana
@bernaberna4159
@bernaberna4159 Год назад
Hii michezo mingine mimi hpn kwakwelii😮😮mmh
@yussufpazzi6715
@yussufpazzi6715 Год назад
Mbona mchezo wakawaida
@charlesmazige
@charlesmazige 11 месяцев назад
majiha noma
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 Год назад
Nilitamani sana fight iendelee ili kuuona uwezo mkubwa alionao mkongwe fadhili katika Ring na ufundi wa Jamali ambaye alionekana kua anaweza kuminyana nae
@AllyHabibu-fp1ew
@AllyHabibu-fp1ew 6 месяцев назад
Yaaa ni fight inayohitaj marudiano, fight nzur ila imeixh kimiyeyuxho
Далее
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
MPOKI NA BABA YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI
8:04
Просмотров 23 тыс.
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 17 тыс.