1. Muda 2. Unyenyekevu 3. Usikivu 4. Man of Numbers 5. Anajifunza (ready to learn on each details) 6. Kila kitu ni fursa 7. Budgeting and limit of expenses 8. Delicate of power/ tasks 9. Leveraging 10. Every cent count Somo zuri sana! Keep teaching us!! Bless up!!
you all probably dont care at all but does someone know a way to get back into an instagram account..? I somehow lost my account password. I love any assistance you can give me!
Nakumbuka ,even I nshawai kuvunjavunja kilimo cha maharage,kwamba mbegu ya harage moja itatoa mbegu ngapi ,nlimeasure ad space (within haker) 😀 Eg.kilo 40 za maharage ,tukisema mbegu za izae mbilimbil then ntapata kilo mara mbili yaan kilo 80😅😅 ,am proud mpk saiv najiamin mm nna IQ nzury tu ,and I never doubt that
I just thank God for keeping you alive ! Utakua msaada mkubwa sana kwa walio tayari kujifunza na kubadilika !!! Coming from your twitter thread about your journey 🙏🏽
Nilchokigumdua ni kwamba kupitia ile competition Mo aliweza kupata businesses mpya kwaajili ya kampuni zake kwa kutumia presentations zenu za biashara boss
Dah kilaaa nikipitaaa nilikuwa cjuh kinini kinazungumzwaaa lakn Leo umenifumbua asantee mzee ngojaa nianzee kujaribu saiz sasa ndio nita like n comment kaz zako
Uko vizuri, ila punguza kuzunguka kwenye point na punguza story ambazo zinawapunguzia focus watazamaji, mfano hii video ulitakiwa uipresent kwa dak 2-3 tu
Safi sana bro but naitaman forex kuijua ila cna wa kunifundisha na co mim tu tupo wengine so tuijua VP kak please help us hata kwa kusoma kupitia video zako au kutufundisha online
Nigusie kidogo hapo kwenye budgeting... Vijana wanapoteza pesa nyingi kununua bidhaa cheap... As always tunaambiwa cheap is expensive... Kwa kuwa na LV belt ama AX t-shirts inamfanya yeye kuendelea kudunda bila kuingia gharama za mara kwa mara... Jambo jingine hata gari anayotumia is expensive and much of quality.