Тёмный
No video :(

VITUKO Vya Diamond na Zuchu wakifanya PHOTOSHOOT ZUCHU AGOMBANIWA 

Mwendokasi Tv
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 171 тыс.
50% 1

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 2 года назад
Simba utakuwa umefanya jambo la maana kumuoa zuchu. Maombi yangu. Kuona tu umefunga ndoa. Very happy for both of you.
@susankimani147
@susankimani147 4 года назад
Buh mboso khan luks dope.who else agrees wit mi,
@zenabibie5033
@zenabibie5033 2 года назад
hawa walipenda kitambo kumbe😀😃
@nantalialeonady8915
@nantalialeonady8915 Год назад
Na Mimi Leo ndio naon
@salmamwangoka8126
@salmamwangoka8126 2 года назад
Nawapenda 💯✔️
@ritahbanksug4263
@ritahbanksug4263 4 года назад
Balaa duniani hmmm 💪💪💪
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 года назад
Zuchu kumbuka kuna mungu anakuona unachokifanya tahadhari kabla lathari. Nguo fupi unapiga picha na wanaume kibao utafikiri snema hasara mmke ni kujisitiri. Mmungu akusaidie unakokeenda. Amin.
@user-gl8bg7or5w
@user-gl8bg7or5w 6 месяцев назад
Nawapenda sana 👌
@chiefdarwizziy9518
@chiefdarwizziy9518 4 года назад
Simba kama Simba 🔥🔥🔥🔥🔥
@marlonxander3559
@marlonxander3559 3 года назад
i guess Im kinda off topic but does anyone know a good place to watch new series online?
@ibrahimloy6560
@ibrahimloy6560 4 года назад
Soon ataitwa shemeji mda siyo mrefu
@priscillahmwangi4561
@priscillahmwangi4561 4 года назад
Zuchu apendeza daaaaah
@puritymurithi3785
@puritymurithi3785 2 года назад
She's cute
@dapiliharun7978
@dapiliharun7978 4 года назад
Ivi wasanii wakike mkivaa nguo za kustiri uchi wenu hamtakua star au ndo nini mapaja yakiwa nje. ???
@hanifahassan9138
@hanifahassan9138 4 года назад
Wanatudhalilishatu
@shafeqal-mahbashi5057
@shafeqal-mahbashi5057 4 года назад
Sasa dini iko wapi
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 года назад
Ndo wao na kitu mtu anapenda swali ilo kawatafute uwaulize
@zalhatamakange2627
@zalhatamakange2627 4 года назад
Shangaa na ww ndugu yangu maana najiuliza usanii ni kukaa uchi ama ni mashairi na tungo pamoja na uimbaji mzuri maana kila ajae paja lazima liwe nje inachosha!
@rashidmbaruk5166
@rashidmbaruk5166 4 года назад
Kuna wakati mamake alihojiwa kwa nini amempeleka zuchu kwa diamond na inasemekana ni Freemason ? Mamake alijibu " mziki ni shetani , na hakuna asiefanya Kazi shetani , yale mashamsham na Mori jukwaani huwa shetani ndie anaamrisha " Kwa hiyo usitegemee kuwaona wanavaa mavazi ya kujistri kana kwamba wanaenda msikitini ama kanisani na wakati wanenda kufanya Kazi ya shetani😁
@mukaplatnumz2313
@mukaplatnumz2313 4 года назад
SIMBA BABA LAO😁😁😁
@munaosomar2355
@munaosomar2355 4 года назад
Seems as if dai has design on Zuchu
@billohabdallah860
@billohabdallah860 2 года назад
Platinumz. Mwanangu inabidi Sasa utulie wongo mbaya mtt ni kiichwa
@chiefdarwizziy9518
@chiefdarwizziy9518 4 года назад
Mkn 🔥🔥👍
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 4 года назад
Simbaaaaaa wcb for life
@zainaburashid6637
@zainaburashid6637 4 года назад
Unajishika shika nin si unevaa mwenyew matangazo Ayo loh
@minzaahmada4787
@minzaahmada4787 4 года назад
We pumbavu usituchafulia
@user-hh1nm5qb6h
@user-hh1nm5qb6h 8 месяцев назад
Wow❤
@minzaahmada4787
@minzaahmada4787 4 года назад
WCB long life😎
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 4 года назад
Mh queen dorline hiyo nguo uliovaa mbona niyakipindi cha baridi au mwenzetu unasikiq baridi jmn
@zaynabb7899
@zaynabb7899 4 года назад
Kwani hiki ni kipindi gani?
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 4 года назад
We unaona nikipindi gani
@zaynabb7899
@zaynabb7899 4 года назад
Cha baridi
@hudamtumbo4790
@hudamtumbo4790 4 года назад
🤣🤣
@kilimanjarojjcarhire240
@kilimanjarojjcarhire240 4 года назад
Simbaaa mwenyeww
@masoudjuma7461
@masoudjuma7461 4 года назад
Nakubal chama lawana
@heriholder1625
@heriholder1625 4 года назад
Simba nakukubali balaaaaa
@michaelchddy8415
@michaelchddy8415 4 года назад
,Hongeleni jmn WCB
@evelynesimbagoye193
@evelynesimbagoye193 4 года назад
Naona mambo yako sawa
@KWALUNGAMedia
@KWALUNGAMedia Год назад
Nice
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 4 года назад
Zuchu taratibu taratibu utazoea nguo fupi mwanzo mgumu kiasi.
@thureiyaally4363
@thureiyaally4363 4 года назад
Hiyo suruali ya lukamba 😂😂
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 4 года назад
Zuchu hayuko comfortable
@msanaboytz2282
@msanaboytz2282 4 года назад
Safi
@husseinallly9681
@husseinallly9681 3 года назад
Top
@olgacaleb6822
@olgacaleb6822 4 года назад
Wanaume nimependa suti zao ila uyo sijui chuchu mmmm sio mtumba iyo khaa
@ariscletha3110
@ariscletha3110 4 года назад
Bonsoir CFR gege
@mozam4496
@mozam4496 4 года назад
Mbosso kapendeza💕💕💕💕💕💕💕💕💕👌👌👌👌👌👌
@emableelias6691
@emableelias6691 4 года назад
Chuchu hatari
@mauwaryam5560
@mauwaryam5560 4 года назад
Mboso kadamshi kuliko wote 😘💕
@joycenyakiha8121
@joycenyakiha8121 4 года назад
Mbosso mzur
@nammytwinsisters6503
@nammytwinsisters6503 4 года назад
@@joycenyakiha8121 kwanini avae nguo fupi halafu anaivutavuta
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 4 года назад
Hadi raha
@sophlin_beauty
@sophlin_beauty 4 года назад
Mbona uvae nguo fupi ushinde ukiivutavuta......iache chenye kilikuwa kionekane acha kioneka...jst be you zuchu
@kenditerrylito8805
@kenditerrylito8805 4 года назад
Uyu demu amekua Star haraka sana after jeje ,nakwambia tembea na simba utambulike,
@rahmaramadhan2476
@rahmaramadhan2476 4 года назад
Umagharibi utatuumbua
@dangotebitaliho4633
@dangotebitaliho4633 4 года назад
Nguo fupi zinakupa tabu dada angu zuchu. ila utazoeya mwaya.
@billohabdallah860
@billohabdallah860 2 года назад
Platinumz tulia umepata Chanda chema
@johnsilima1629
@johnsilima1629 4 года назад
Rayvany hayupo
@johnsilima1629
@johnsilima1629 4 года назад
Kumbe 4to shoot ndo inakuwaga hivi
@iam-rosetyris3610
@iam-rosetyris3610 4 года назад
Wapy vanny jaman
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 4 года назад
Hivi waeza dhani mboso ndio boss hapo
@daimually4865
@daimually4865 4 года назад
Iyani yoyote yule akishajenga imani na simba lzm awe boss
@sumuyaodawayao7511
@sumuyaodawayao7511 4 года назад
Chakula cha simba huyo
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 года назад
Mond kama ww na zuchu mambo flani simbaaa eeh ntakupigia badae simbaaa simbaaa simbaaa simbaaa
@gsfhhshb4176
@gsfhhshb4176 3 года назад
❤️
@wasilaahmad3528
@wasilaahmad3528 4 года назад
Simba kavaa koti la Tom and Jerry
@ipyanaamos5105
@ipyanaamos5105 4 года назад
😁😁😁😁😁
@sharonamwai8990
@sharonamwai8990 2 года назад
Mugu ni, za mwiko ya kusonga ogali ana ka vibaya akuna ata gwo ina mupendezanga
@lucymwende4827
@lucymwende4827 4 года назад
The dress is too short for Zuchu, she doesn't feel comfortable.
@twalhamatunda846
@twalhamatunda846 4 года назад
Nc
@imanikaduma13
@imanikaduma13 4 года назад
Zuchu pole maana haupo huru na iyo nguo, ama umelazimishwa?
@judithkajuna6833
@judithkajuna6833 2 года назад
My
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 года назад
Ila chuchu na mondi wamependezana
@shafiisaid3320
@shafiisaid3320 4 года назад
Duh simba ana,angaika huyo kam siyo simba bhn
@aimeelacongolaise5881
@aimeelacongolaise5881 4 года назад
Nini kitafata baadaye?
@dangotebitaliho4633
@dangotebitaliho4633 4 года назад
Mbona kila mtu anataka kupiga na zuchu? Utadhan nikama wote wamepiganae.
@mwanaishafarhan9124
@mwanaishafarhan9124 2 года назад
Zuchu we hujielewi unachokifanya ,umeshemsha mno
@munaibrahim8829
@munaibrahim8829 4 года назад
Nguotu umebugi my
@lm6373
@lm6373 4 года назад
Nimeona kiatu cha diamond kuna mahinda urefu hivo viatu wana vaa watu warefu sio wewe.😂😂😂
@jamesyuda5073
@jamesyuda5073 4 года назад
kwani mond mfupi???
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 года назад
Wapopo ndio hupenda viatu hivyo kkkkkkkkk
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 года назад
Mbona mond mrefu au unataka awe na kimo cha thabit hashim 😬😬😬😬😬😬😬😬
@saimoniboniphace2839
@saimoniboniphace2839 4 года назад
So Leo wewe ndio unamfundisha mond kuvaa acha huo ujinga bc
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 4 года назад
Huyo chuchu atakuja kutafunwa na Simba !
@bintykigan6236
@bintykigan6236 4 года назад
Hahaaaaaa
@kakadkarima2448
@kakadkarima2448 4 года назад
Hahaha
@carlosleonard6050
@carlosleonard6050 4 года назад
We unafikiri had now bado au unataka wapost video
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
@@carlosleonard6050 hapo chacha. Lakini jamaa hupenda weupe😂
@zulphaiddy1191
@zulphaiddy1191 4 года назад
@@damariszuckschwert9489 we unadhan hata weus anawaacha bac
@andrewnyaemo9635
@andrewnyaemo9635 4 года назад
Where was Rayvanny
@evelynesimbagoye193
@evelynesimbagoye193 4 года назад
Wanaume wanavaaga mavazi mazuri kuriko wanawake?mukiva nguwo ndefu hamuwezi pendeza?
@getitdone5238
@getitdone5238 4 года назад
Simba kashatomba
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 года назад
she's trying so hard to be comfortable in that short dress """zuchu""but anyway,she looks good though.
@aishasalim5957
@aishasalim5957 4 года назад
Uvae nguo mpaka ukitaka kujamba huez duhh mtihani huu
@delayaayubu2268
@delayaayubu2268 4 года назад
Hahaaaaa
@rashidikindamba7700
@rashidikindamba7700 4 года назад
Zuchu nakupenda dada ila usipende kuvaa viguo vifupi kwani at a ndefu unapendeza tu
@salumumgaya6911
@salumumgaya6911 4 года назад
Diamond ni SIMBA lakini ana nyota ya EAGLE kama unabisha mchunguze eagle awezi kutazama sehemu moja lazma atembeze macho uku na kule kwakugeuzageuza kichwa na diamond hivyo hivyo
@saumally1041
@saumally1041 4 года назад
Hii nguo vp kwan kuishusha shusha iache tu
@aishaamadi4605
@aishaamadi4605 4 года назад
Simba
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Zuhura nguo Fupi zinakupa tabu bado aujazizoea
@lutifiaussi3728
@lutifiaussi3728 4 года назад
Na amuachie nandy
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
@@lutifiaussi3728 kwakwel
@dangotebitaliho4633
@dangotebitaliho4633 4 года назад
Kabisaaa
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 года назад
Uyo Nandi alikuwa ivoivo
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
@@zulekhaally3524 sasaivi Kawa mwalimu
@djjonasjohn1334
@djjonasjohn1334 4 года назад
Djjonasjohn9 ndokaziyangu
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 года назад
Nguo fupi mpaka unapata nayo tabu ya kushusha kwani lazima muvae vinjunga
@rhamartame2547
@rhamartame2547 4 года назад
Rayvanny alikuwa wapi
@teresiawanjiku9522
@teresiawanjiku9522 4 года назад
We zuchu unaaibisha wasichana sasa hiyo ni nguo umevaa heri uitoi yote upigwe uchi
@salimsadik6761
@salimsadik6761 3 года назад
Sasa ndo mavazi gani haya? Allah atusamehe jamani
@daughterofziontv530
@daughterofziontv530 4 года назад
Zuchu unapendwa
@florakisosi7351
@florakisosi7351 Год назад
Wame pendeza
@lm6373
@lm6373 4 года назад
Vuatu vina mchinda urefu
@lm6373
@lm6373 4 года назад
Sasa inebaki photo chop na zuchu kawa mweupe kwa mekup na sura ya kibembe ha ha ha
@marykaish7979
@marykaish7979 4 года назад
Diamond na zuchu ni wachumba. Wapeeni muda kiac tu kila kitu nitakuja kuwa wazi
@nantalialeonady8915
@nantalialeonady8915 2 года назад
Kqe
@nantalialeonady8915
@nantalialeonady8915 2 года назад
Kweli ulisema nimeanini
@sharonamwai8990
@sharonamwai8990 2 года назад
Ochawe yako elikutuma kumaliza wanawake
@costantinomwanyika578
@costantinomwanyika578 4 года назад
Bola at a unge vaa suluali badae utakua na watoto watakua wanaingia mtandaon una wafundisha nin jamanii
@ramadhanmohamedi5781
@ramadhanmohamedi5781 4 года назад
xhida nn wew
@martinmwendwa6656
@martinmwendwa6656 4 года назад
huyu mtoto mnamsumbua na hizi nguo fupii🤸🤸🤸
@gospelgal9059
@gospelgal9059 4 года назад
Hahaha
@martinmwendwa6656
@martinmwendwa6656 4 года назад
ur drtfying ths gal......bado mbichi ...🤣🤣🤣🙌🙌
@almasijoan985
@almasijoan985 4 года назад
minute 2.47- 3.10 when the boys are busy catching up and you have to wait and keep your self busy with pauses...dear put on a dress you are comfortable. sio kuvuta vuta
@hawaomary2782
@hawaomary2782 2 года назад
Namuonea huruma huyu mtt bora andele nakazi sio mapenz na Dai awaulize wezie uwiiiii
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 года назад
Uyu simba atakua ameshamtomba uyo mtoto
@kingbashar4293
@kingbashar4293 4 года назад
🤣🤣 Watanzania balaa kweli
@sadilpho9978
@sadilpho9978 4 года назад
Fedilia Ulomi 🤣🤣🤣
@annikhaoya470
@annikhaoya470 4 года назад
True
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 4 года назад
Labda
@zulekhaally3524
@zulekhaally3524 4 года назад
We si ulikuwa mshika upaja
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 года назад
Binti asee iyo nguo waislam alfu
@OmanOman-lr4of
@OmanOman-lr4of 4 года назад
Wa Zanzibar tena.
@OmanOman-lr4of
@OmanOman-lr4of 4 года назад
Wa Zanzibar tena.
@evalynewangari6978
@evalynewangari6978 4 года назад
try to dress well 😎😷
@millipeter7290
@millipeter7290 3 года назад
She was so dull
@emilymaina5642
@emilymaina5642 2 года назад
Baby mama no 6.The worst of all.
@susankimani147
@susankimani147 4 года назад
Baba tee, jus give those lips some vaseline blueseal, coz for my point of view they r the only thing u r uncomfortable wit, lol
Далее
Diamond na Zuchu Walivyoondoka Usiku Wa Manane
8:13
Просмотров 14 тыс.
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 5 млн
Zuchu - Honey (BEHIND THE SCENES PART 1)
21:58
Просмотров 53 тыс.