Amina mtumishi huwa ninakufuatilia sana. Mimi nilishashindwa kuwasikiliza wasabato kwakuwa zamani nilikuwa ninapenda kuwa nao karibu kwakuwa wenzetu wanafundishwa sana biblia. Ila changamoto yao wanakiburi mno ukiwa nao mahubiri yao yanahusu tu siku. Lakini wengi wao wanazungumzia siku tu ila kwa matendo mengine maovu huwa hawana hofu kwenye kutenda. Mungu atusaidie kuona boriti kwenye macho yetu.
Oh Mungu wangu ama kweli tunazidi kupata Elimu mpya inayotufungua macho karibu katika kila hubiri tunabarikiwa sana barikiwa sana Pastor Mmbaga na jina la BWANA Mungu litukuzwe ssna
Good bless you father Good job nimejifunza pakubwasana na nitaenderea kufatilia chaneliyako napenda unavo fundisha ukweri wachungajiwengi wasasa wanaogopa kufundisha ukwerii ubalikiwe Sana na nakuombea mwishowako uwe mzurii 💞💞💞
Amen Pastor, hata hiyo unazungumuzia hapa, sisi wasabato tumekuwa wanafiki sana, hata pia wachungaji wengi dhambi hii ni ndani mwao. Augustin toka Goma, DRC
Mungu akubariki Sana pastor,hata kama hatujuani,kwa hakika sijawaiamini pastor mwingine lakini mahubiri yako nayaamini Sana napenda kuyadownload ,natamani uniombee pia
Mimi naeka bando zaidi ya 15 tena naomba Mungu aniwezeshe nizidishe mana nabarikiwa kwa mahubiri yake kwani naona Mungu atanibadilisha kupitia mahubiri yake
Mfalme wetu YESU KRISTO na asifiwe Sana milele na milele. Ninajisikia kuendelea kumpenda MUNGU wetu Sana Kwa sababu yako Mchungaji Mbaga. Huwa na furahiya sana tena sana ninapo kuwa nasikia jinsi MUNGU wetu anavyo kuwa na kutumiya Kwa Muhubiri ujumbe wake. Na ubarikiwe na Bwana wetu YESU KRISTO na MUNGU wetu awabariki Sana na wale pia ambao wanafanya Tuwe naona na kusikia haya Mahubiri mazuri ya BWANA wetu YESU KRISTO.