Omo aiambia Zanzibar kero za muungano ni 42 na amezisema na kuzitangaza moja baada ya moja na wananchi kuzihesabu mbeto anatuambia 19 zimetatuliwa tunaomba ututajie na tuzihesabu kama alivyofanya omo hapo ndio tutafahamu nani anajaribu kutudangaya kama hukuzitaja na kuzihesabu tutafahamu ww huongo
Alipo acha ubunge mkuranga na kuja kwahani alikuja kwa lengo kwamba anania ya kugombea urais Zanzibar sasa alikuwa anajisafishia njia ili aonekane m zakendoen na atakapo kuja yeye awe anauwezo wakukusanya mspato ndio maana akataka baadhi ya mambo zanzibar iachiwe ili akija yeye awe na wepesi wakuongoza
Mbeto hii clip yako sio relevant..Sasa hivi yeye ni Rais mbona hasemi mbona hahoji haki za Zanzibar ndani ya Muungano? Unatuletea clip ya kwenye Bunge la katiba.
KUTOKA RAIS KARUME HADI RAIS HUSSEIN ALI Tuliambiwa Rais Karume, Mzaliwa Nyasaland (Sasa Malawi) kazaliwa Zanzibar. Rais Ali Hassan, Mzaliwa wa Tanganyika aliletwa Zanzibar kusoma Uislam. Mwanawe Rais Hussain, Mbunge wa Mkuranga tunapotoshwa alizaliwa Zanzibar. Ni kweli mama yake alizaliwa Zanzibar.