Тёмный
Vuga Online Tv
Vuga Online Tv
Vuga Online Tv
Подписаться
Join this channel to get access to perks:
ru-vid.com/show-UCkMCUYICrpyPsPNkSmbT3jAjoin
Комментарии
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Час назад
Daaah ni maneno yalotukuka kwa kwelii
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 13 часов назад
Hii press kali sana,Mh Othman kawabomoa kweli kweli Polisi,vikosi na madhwalim ccm.Naamini huu udhwalim unaondelea kufanywa ccm iko siku utawagharimu,ccm wametufanyia mabaya mengi sana Wazanzibari,na wanaendelea na ubaya wao mpaka sasa.
@AshuraVuai
@AshuraVuai 16 часов назад
Mungu ni mwema hakika Mr Omo mungu katupa kiongozi sahihi Wazanzibari mungu akuongoze n akuweke salama
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 16 часов назад
Hilo jesh unalosema ww sio hili .. na hapa hatuna jesh tuna vikosi vya majambaz vinavo tumika na watawala wa ccm kufanya mapinduz Kila uchaguzi.. ili muwe na jesh kwanza muwe na uhuru wa kweli sio huu wa kitapeli.. laana ziwashukie wote wanao sapoti ccm na kizazi chao..
@salyali7807
@salyali7807 13 часов назад
Allahumma ameen
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 16 часов назад
Hatutaki kupiga kura siku 2
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 17 часов назад
Jeshi la polisi linajizima data, halitakiwi kuchagua upande wowote linatakiwa kuwa nitro kwenye utendaji nichombo huru kilinda raia na haki na malizao.🎉
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 19 часов назад
Kupiga kura siku mbili ni hila na hadaa ya kuiba kura ccm Zanzibar na sheria hiyo ilipitishwa baada ya ccm kuona hawa uwezo wakushinda uchaguzi Zanzibar wakaona ndio njia sahihi kwao wanaiba kura siku ya kwanza
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 19 часов назад
Tena hussein mwinyi anajisifu kushinda uchaguzi kwanini hatekelezi makubaliano aliyo kubaliana na marehemu seif sharif kama kweli hana nia ya udanganyifu
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 19 часов назад
Police ccm wanatuma kwa ccm na wanaheshimu sana kuliko kula ccm na wanyenyekevu kwa ccm.kuliko mfumo wamaisha ya kuishi kwao wowote na polisi ipo km kikundi kinatumika tu kwa kulinda ccm mingine wanafanya nikuongeza tu kazi kidogo lkn ni ccm tu kazi kuu .but we are as Kenyan we are following closer siasa zenyu wapinzani na za zile ccm na polisi yao
@jaysullman3697
@jaysullman3697 16 часов назад
@@labunaabouna6122 Exactly 💯 is like flagging follow the wind 🌬️ They are nothing New from the Party and followers wherever is! There depends on the boss every corner they're not limiting of what they are doing or saying ☝️ Rules of CCM meaning is:- (Continuous Control Monitoring) Whatever happens there are ready for Violence either Massive Killing or Taking away by forcing!!!
@NoufelSalim
@NoufelSalim 20 часов назад
Polisi wote wapo kwa niaba ya ccm tu ,ACT sjaona matusi ,ila CCM Wana matusi ya nguoni kabisa na dola ina walinda.
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 20 часов назад
Police wote ccm na wapo kwa ajili ya kuilinda ccm
@salyali7807
@salyali7807 21 час назад
Hata mama Samia alitukanwa kamishna wa Police wamenyamaza kimya ... sasa karibu ya uchaguzi wanataka kumlinda bwana wao
@masoudkhamisthaiboxing1011
@masoudkhamisthaiboxing1011 21 час назад
masage sent
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 22 часа назад
Polisi wanatumika na ccm , bado wanafuata mfumo wa chama kimoja , sheria zote zinafaa zibadilishwe nchi inaendeshwa KIDIKTETA.
@rayamgeni9772
@rayamgeni9772 20 часов назад
Hakika
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 22 часа назад
ZANZIBAR hakuna mamlaka halali, kuna mamlaka HARAMU iliyoyokana na Uchaguzi wa mwaka 2020 , kuanzia Tanganyika mpaka Zanzibar uchaguzi ulitokana na DHULMA na MAUWAJI.
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 3 дня назад
ACT-Wazalendo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@binrashid1638
@binrashid1638 3 дня назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@VillaBoy-fv2zw
@VillaBoy-fv2zw 3 дня назад
Watatuuwa haw ccm pesa hap na makod kil kukich ya zidishw
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 4 дня назад
Tanganyika bila Zanzibar haiwez kwenda .. Zanzibar ndio Kila kitu Kwa Tanganyika hawako tayar kuiona Zanzibar inawatoka.. 😂😂😂😂😂😂
@dadymanzy1068
@dadymanzy1068 4 дня назад
Waelimishe baba
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 4 дня назад
Hilo nalo neno umeme sasa hiv hatar
@msabahaali758
@msabahaali758 4 дня назад
Nimependa uungwana wa Mazrui
@EddyMo-ss1ow
@EddyMo-ss1ow 7 дней назад
😂😂😂😂😂😂 uyu jamaa anachekesha kwel
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 12 дней назад
Hapa leoo nitachangia kuhusu clip ya MAKANGALE hii taarifa naipeleka kwenye chama cha ACT hassa hassa namtaka makamo mwenyekiti kuaa mbuge anajisahau uko makangalee mheshimiwa makamo mwenyekiti ISMAIL J. LADU. mshughulikie huyo mbugee munatukera hawaoni hawasikilizi alioomba kura waliomueka madarakani vp hendi jimboniii vp watu wa makangale watasema upinzani basii kuna nini apo
@dadymanzy1068
@dadymanzy1068 12 дней назад
Act yetu dira madhubuti
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 12 дней назад
Ccm ili wapate watu wende wakakodi
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Uposasahihi sas
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Wamefanya kama pemba hakukaiwatu hawa CCM
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Ilaujipange zidi ya ccm muishimiwa na CCM ila vijana tumechoka na ccm sisi jema hatuja onakwetu pemba tumezidi hasa
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Ww liazishetu vijana tupo tumechoka na CCM
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Omo nakuomba usije kuwa kama maalim kuwa tuongeee sisi hatataki tena omo twakuomba vijana ww liyazushetu
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Omo sisi ccm hatuitaki hiii marahiii iwe fainal twakuomba omo tumechok na CCM
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 13 дней назад
Muishimiwa omo mm ni ACT ila jipange sasa na CCM ww s😢sisi vijana tupo njuma ukiliazisha sisi tuna maliza omo
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 14 дней назад
Wewe mbetooo mwache ajibu mwenyewe mwinyi mbona unamjibia wewe ?
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 15 дней назад
😂😂😂mguu supu hawana haya wala aibu
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 15 дней назад
Wanajitipambani tu!
@HidayaHassan-ln6ig
@HidayaHassan-ln6ig 18 дней назад
Aaa nimemuelewa
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 18 дней назад
CHOWEA MPAKA AKWE CHUCHULI CHA MKURANGA Wanaochaka usichowee, usidumbe mkapa adumbe Kichuchuli Kulawiya Kae na Kuvitia Mtende Mpaka Kwao Mkuranga.
@habibhamed1587
@habibhamed1587 19 дней назад
Mnaturusha steam kwa music imekuwa mingi tunataka kusikia message bwana
@user-ne4zg3vo8i
@user-ne4zg3vo8i 21 день назад
CCM HAINA WATU LAKINI WANABUNDUKI .
@omarsaid6059
@omarsaid6059 22 дня назад
Pemba hakuna ccm
@user-ib7kn6fs4x
@user-ib7kn6fs4x 22 дня назад
Acheni kuwapandisha mama kwenye jikwaa mimi nipo oman nangaliya
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 21 день назад
Sasa kama upo Omani inahusiyana na nini mama kupandishwa kwenye Jukwaa acha ushamba
@user-sh2os4yh5l
@user-sh2os4yh5l 22 дня назад
❤❤❤❤
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 23 дня назад
Ccm kwel hawana watu
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 23 дня назад
Mashallah
@baraghash4964
@baraghash4964 23 дня назад
Mh. Othman jinsi alivo na weledi wa mambo na kuyaelezea, unatamani ata muandishi asimuulize bali amuache tu atiririke. Maa Shaa Allah
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 23 дня назад
Umeshafika home
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 24 дня назад
Hahahaaaaaa mwinyi kesha
@saeedqaseem3172
@saeedqaseem3172 26 дней назад
Tanzania Ina watu wa maana sana shida hatuwatumiiii kwann? Kwa haya madini...Hawa ndio wanaotakiwa kuunda tume ya mipango wakitoka na taarifa inatoboa tu