Тёмный

VYANZO VYA MAJI VYALIPUKA MOTO, WANANCHI WAPATA TAHARUKI MTWARA 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

WANANCHI WA KIJIJI CHA MNYUNDO HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA MKOANI MTWARA WAMEINGIWA NA TAHARUKI KUBWA BAADA YA VYANZO 2 VYAO VYA MAJI WANAVYOVITUMIA, KUWEZA KULIPUKA MOTO NA HIVYO WAMEIOMBA SERIKALI KUTUMA WATAALAMU KUCHUNGUZA HALI HIYO YA MOTO KUWEZA KUWAKA KWENYE MAJI NA UBORA WA MAJI YENYEWE KWA MATUMIZI YA BINADAMU.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our RU-vid Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 2 дня назад
Baada ya kukosa watafiti mwenyez mungu kaamua vijitokeze vyenyewe Tanzania bado sana .iyo mikoa ya kusin ata muitenge vp ila ndio kitovu cha uchumi Tanzania
@PetroMollel-t6c
@PetroMollel-t6c 3 дня назад
Huenda kuna gesi inay sapot moto kuwaka natoka ardhini Tanzania tajir sana hi
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 3 часа назад
Genius wa LY Big up
@victorjames3730
@victorjames3730 20 часов назад
Natural gas ⛽
@FrankMpembu-l7z
@FrankMpembu-l7z 19 часов назад
Waafrika ni matajiri sana yani, ila daaa nashindwa ata nisemeje. Urusi kupitia gesi peke yake wameifanya nchi yao kua Taifa kubwa Duniani, Waarabu kupitia mafuta peke yake wamezifanya nchi zao na raia wao kua na maendeleo na Maisha mazuri. Lakini Afrika tunamali nyingi sana kushinda hizo nchi, lakini tumeshindwa kuleta maendeleo na kuwafanya Waafrika wawe na Maisha mazuri.
@MariamMuhammed-fo5gp
@MariamMuhammed-fo5gp День назад
Gesi hiyo😊
@yusufsaidi8221
@yusufsaidi8221 День назад
wekeni vizuri, kichwa cha habari cha taarifa yenu!
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 22 часа назад
Daaa utajiri huu jaman
@Ushauri235
@Ushauri235 2 дня назад
Nchi hii wasomi wake kazi yao kubwa ni kula broiler na kwenda semina ila mambo kama haya hawafanyii utafiti kabisa
@Lameck-f5i
@Lameck-f5i 2 дня назад
Umepiga kwenye mshono❤
@DaudFataki
@DaudFataki 2 дня назад
Baadhi ya mafisadi wameshalusha picha ulaya sio kwaajili uataifa tena
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 дня назад
Wanainchi mjihadhali wenye pesa watakuja kununua hayo maeneo ili fidia iwakute wao😂😂😂😂😂😂
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 День назад
Gesi
@Patriotism-x3v
@Patriotism-x3v День назад
Waandishi nao hawana weledi wa vichwa vyao vya habari, hiyo ni rasilimali ya nishati, ambayo Kwa asilimia kubwa ni gesi, ni uwekezaji tu hapo ufanyike. Msiripoti as if ni maajabu ya supernatural power, mtwara inautajiri wa gesi, ni vile tu sijui tumerogwa na nani, hatu utilize kabisa utajiri huu😢
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 День назад
Muda sio mrefu wananchi watafukuzwa kutoka hapo na serikali
@ricksonrickson2676
@ricksonrickson2676 День назад
Jaman mimi sielew, hayo ni mafuta yamechanganika na maji au gesi na maji. Pls mwenye kujua anipe jibu pls
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 часа назад
Huwez elewa km huda D chemistry
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 дня назад
Hiyo ni volcano gesi hiyo inatoka chini,hatari
@GeorgeMushi-ft4xm
@GeorgeMushi-ft4xm 2 дня назад
Utajiri wa gas huwoooo
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 дня назад
Gas ya ntwara hiyo😂😂
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 День назад
kuna gas nyingi hataree mtwara ikosome hapo
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 День назад
Mtwara kuna gas asilia.hakuna maajabu hapo.imepata Mahali pa kuvujia.
@Niika870
@Niika870 День назад
Usinywe ni Gesi hiyo wewe😂😂
@kaminambeho
@kaminambeho 2 дня назад
Hapo kuna gesi
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u День назад
Io ni gesi babaaa ni utajiri huo
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 дня назад
Sasa hayo maji yako safe kweli kunywa I say!!???
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 День назад
Hapo hapakosi gesi asilia
@Rachel-94tz
@Rachel-94tz День назад
Vyalipuka wap wakat wao ndo wanawasha moto,,😮taharuk Gani wakat wanacheka tu
@suleimanh1826
@suleimanh1826 День назад
Na wewe kawashe hapo kwenye bomba kwako tuone kama utawaka
@Rachel-94tz
@Rachel-94tz День назад
@@suleimanh1826 ndo watengue kaul Sasa
@emmanueljohn7253
@emmanueljohn7253 День назад
Nachojiuliza ikiwa maji yanatoka pale kwanini moto hausambai wakati maji yanatiririka
@LatifaCharles
@LatifaCharles День назад
Ko ulitaka moto usambae ili iweje🙄🙄🙄🙄
@alibinjuma793
@alibinjuma793 День назад
Futa hilo
Далее
МАЛОЙ ГАИШНИК
00:35
Просмотров 556 тыс.
МАЛОЙ ГАИШНИК
00:35
Просмотров 556 тыс.