Тёмный

WACHENI UONGO MAULIDI SIO KUMSIFU MTUME || Muhammad Bachu || 19 October 2024 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 4,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
Chapa kazi shekh muhammadi Allah akulinde na naamini anakulinda na ndimi za wazushi na kwakuwa umesimama na hakki wamechukia jambo hiloo sana.
@isaack100
@isaack100 2 дня назад
Shekh bhachu wee.kkkk sawa basi wakati wa mtume hakukuwa na haja ya kugawanya tawhid.lakini baada ya quran kukamilika hata maswahaba hawakuwa na haja ya wao kugawa tawhid
@AdanHassan-g7w
@AdanHassan-g7w 3 дня назад
Assalamu alaykum shekh Muhammad nasoro bachu wallahi twakupenda Sana Kwa ajili ya Allah wewe ni ni muhimu Sana Kwa umma huu haswa Africa mashariki Allah akuhifadhi daima wewe ni Mfasaha Sana ume elimmisha umma mkubwa Sana (watu wengi Sana) I love you soo much may protect you
@isaack100
@isaack100 2 дня назад
Wallahi bhachu unakiburi.ati anailmu kidogo kwa sababu amekuuliza aqsamu tawhid
@kingnkomi1789
@kingnkomi1789 День назад
Weee jipange kujibu siku ya kesho bacho mungu ndio muweza inshallah
@amaniamokachielmorisho1007
@amaniamokachielmorisho1007 3 дня назад
Mansha Allah vzr Sana sheikh kipenzi Allah akuepushe wazushi wote akupe umri mrefu namwisho mwema
@SahimAbuAyyub
@SahimAbuAyyub 2 дня назад
Mashallah allah akupenguvu katikulingania kwako
@RamonGichero
@RamonGichero 2 дня назад
Mnapenda pesa rahisi rahisi za kupiga porojo wazeni Sayansi wazeni vitu vya msingi
@hamisshaban7274
@hamisshaban7274 3 дня назад
*SEMA UJUI*
@mamuking257
@mamuking257 3 дня назад
Masha Allah Mohammed banchu
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 3 дня назад
Utakufurisha wat wee jamaa
@kingnkomi1789
@kingnkomi1789 День назад
Hiyo sio Kweli mungu hawezi kutia motoni mtu kwa sababu ya kusherekeya siku ya kuzaliwa mtume Muhammad s.w.
@warshysaid8564
@warshysaid8564 8 часов назад
Hayo maneno yķoo c quran wala hadithi
@SuolFat
@SuolFat 3 дня назад
Wewe jamaa acha uhuni elimu huna
@abdulkrimalawi7165
@abdulkrimalawi7165 3 дня назад
Ww una elimu ganii ndugu yangu allah akuongoze kwenye haqqi
@SuolFat
@SuolFat 3 дня назад
@@abdulkrimalawi7165 haya ni majitu Alisha sema mtume s.a.w kuwa watakuja watu watajifanya ni watu wa dini Ila sio ni waharibifu ktk dini ndio mtoto wa bachu na mawahabi wenzie
@mohamedbinyusuff1007
@mohamedbinyusuff1007 2 дня назад
Nauliza bachu kwani wewe ulipotolewa kwa jela umetoka kwa amri ya kupingana na waislamu wenzako tu ama ni nini Uislamu n Mmoja tu acha kutenganisha watu kuna harakati mingi sana ya ki dinii yafaa kufanywa ebu tafadhali achana na hizi mada zako au hakuna ujualo isipokua kupinga maulidi
@RamonGichero
@RamonGichero 2 дня назад
Hawa Maubwa wa kiwahabi kilasiku Wana hangaika na Maulidi wazeni na kuzeni Sayansi Dunia inakimbia kasi jamani acheni usenge mnabishania Mambo yasiyo ya msingi
@warshysaid8564
@warshysaid8564 8 часов назад
Hao ni mambo ya msingi sana kwenye dini
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 3 дня назад
Tupo pamoja ndugu yangu
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 3 дня назад
Allah akuhifadhi
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 дня назад
Endelea kubwabwaja hela inazidi kuingia kutoka Maka!.
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z 3 дня назад
Naomba kuuliza nijibiwe kama itawezekana inshllah ni kwann mtume saw kasema ان كل محدثة na كل بدعة na kwann hakusema ان كل محدث na كل بدع na maneno hayo yanatumika katika lugha na katk kur an ukisoma suratul an biyaai aya ya 2 allh anasem ما يءتيهم من ذكر من ربهم محدث katumia neno محدث na ukisoma suratul ahkaaf aya ya 9 allh anasema قل ما كنت بدع من الرسل katumia neno بدع naomba majibu la swali langu hilo inshllh
@MohamediAwadhi
@MohamediAwadhi 2 дня назад
Tatizo bidaaa zimezidi sana mpaka ulifika sehemu ulitupa Baraza injee wew nasoro
@AmeDude-x2b
@AmeDude-x2b 2 дня назад
Shekh wng huna mada nyengine leo kweny jamii yt kuna mambo mengi yasio faa lakin ww ukiamka ukilala maulid
@KhalidAli-nk5qh
@KhalidAli-nk5qh 2 дня назад
Bachu unatugawa na hili utaenda kujibu mbele ya allah
@warshysaid8564
@warshysaid8564 8 часов назад
Unajigawa mwenyeo dini c ya watu kwamba iende watu wanavyo taka ni ya Allah subhannahu wataala
@idrisanalinga9756
@idrisanalinga9756 6 часов назад
Jigawe ww na wenzio machizi mnaopenda uzushi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 дня назад
Wallahi billahi sio kumsifu mtume, njoo Lamu ujionee kama ni kusifu ama ni mchezo ya kitamaduni na sherehe za kila aina kama Lamu culture tu
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 2 дня назад
Mnahangaika tu😂😂😂😂😂
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 дня назад
Picha uloweka na comment yako hayaendani
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 2 дня назад
Wenye akili ndio wataelewa
@Sautighuna-j2k
@Sautighuna-j2k 3 дня назад
Wataelewa tu pole pole😊
@isaack100
@isaack100 2 дня назад
Bhachu hebu toa khutbah moja faida ya kumsifu mtume ndo tujue kama wamsifu mtume.kwani clip zako nyingitu lakini clips za sifa za mtume hujatoa
@kdjkakdjkada66556
@kdjkakdjkada66556 3 дня назад
Tarombeta la kiwahabi, endelea kupayuka.
@ابومعاذاحمدناصر
Moyo wangu unapata utulivu nikizisiliziza clip zako shekh muhammad Allah akuhifadhi
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 2 дня назад
Huna mada kila siku ni maulidi tu
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 3 дня назад
Masha Allah
@amaniamokachielmorisho1007
@amaniamokachielmorisho1007 3 дня назад
Nakupenda Sana Mimi Niko inci Rda mjini kgl
@IbrahimaIassineJuma-fl6wm
@IbrahimaIassineJuma-fl6wm 3 дня назад
Assalamo Alaykum mm nipo Msubiji asante sana
@ZogoMtaani
@ZogoMtaani День назад
Jee watu walimsifu mtume ?. Ndio . Jee wapo watu walimtaka ruhsa mtume wamsifu na mtume akawaruhusu ?. Ndio . Jee maswahaba walifanya vikao vwa kumsifu mtume wakati wa mtume bila ya kumtaka ruhusa mtume?. Ndio walifanya hivyo . Jee mtume aliwapa zawadi walio kunsanyika kumsifu ?. Jawabu ndio ? Sasa maulidi yana asili na ushahidi . sasa tuangalie mawahabi na. Bid'a zao . Jee mkusanyiko wa musabatul qur'an ulikuwapo . Hakuna ?. Jee muqtadhwi ulikuapo ?. Ndio ? Jee kulikua na kizuizi ?. Hapakua . Oooh mawabi kwa hilo wapo katika upotofu tena upotofu wame utia katika qur'an bila ya shaka ( kulingangana na msimamo wao ) wamejitia motoni . Hhuyu kijana ameshindwa kujibu suala la kuhusisha juzuu moja kwa kila usiku wa ramadhani katika swala ya tarawehe . Nani kahusisha hilo ? Jee lilikuwepo wakati wa mtume . Halikuwepo . Jee kulikua na kizuizi cha kufanya hilo . Hapakua . Jee kulikua na muqtadhi . Maskini . Kwa hivyo mawahabi kwa hilo wapo katika : بدعة ضلالة . Tena bid'a yao ni mbovu sana . Kwanini ?. Kwa sababu hizi : 1: Wameitia katika swala . 2: ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani . 3: wameitia misikitini . Ama suala la : تقسيم التوحيد . Na kutumia aya ambazo hazihusiani na suala hilo la utatu. Huko ni kupotosha qur'an na kuonesha ujinga . Hiyo aya aliyo ileta kama ushahidi wa utatu ulio rithiwa kitoka kwa wakristo hiyo ndio itakayo mtoa roho wakati akikubali. Kufanya mjjadala na mwanamke au mmoja katika vijana wadogo wa twariqa masufi na ashaira . Jee yupo tayari tumpe mwanamke amtoe roho ?. Au mtoto mdogo ?. Bachu kasome bado . Kwenye tauhidi ukija na aya uhakikishe umejiamini sana . Kwa sababi utatolewa ladu
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp 3 дня назад
Kwani huna elim nyingine ya dini uliosomeshwa we ni maulidi tuuu maulidi na wewe kilasiku😁😁😁 Tufundishe basi hata kuoga janaba twahitajia elimu nyingine haya maulidi sio kumsifu mtume ni kukusifu wewd tushakubali endelea na mambo mengine basi maulidi hayatakuf sababu ya uchache wakk wa elimu😂😂😂
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 дня назад
Analipwa huyo kutoka maka ,Hapingi bure bure.
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 дня назад
A/ alaikum , mimi nauliza swali kwann ukiwauliza wanaofanya maulidi wanasema matwari yalianza madina wakati wanampokea Mtume( sw)
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
Hawana hoja hayo matwari yalipigwa na akina nani na sababu yake ilikua ipi masufi hawana hoja na Kila kukicha watakua na jipya ndo ujue hawana lolote,,,na watwambie nguzo zake ni zipi
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 дня назад
​@@hassanWanjikuMayahud wameshauteka uislaam.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
@@IsmailSanga uislamu ni dini ya mwenyezi mungu na alisema atailinda Sasa ukisema uislamu umetekwa n mayahudi nakushaangaa Imani yako bro
@khalifaobo5715
@khalifaobo5715 2 дня назад
Akili ndogo bachu asema maulid yameletwa na makafiri ili wapendwe.haimo akilini hio vipi kafiri amtangaze mtume kuwa kazaliwa bali watatafuta jengine la kuwapoteza waislam wasahau kuhusu mtume na uislamu, sasa kwa akili yako wafikiria mtume anakumbukwa kuja duniani na kutangaza uislamu ama kinyume???
@warshysaid8564
@warshysaid8564 8 часов назад
Dini c akili zako binafsi ucfuate mkumbo mashia wao wenyewe wanasema kuwa ni waislamu lkn vitendo vyao ndio vinawatoa ktk uislamu
@LASSUH4947
@LASSUH4947 3 дня назад
Yaani ki mtazamo tu utajua bachu bado ana pigo za kihuni kwa kwly mtu mcha mungu hawi hivyo yaani mbwembwe nyiiingi kujiramba midomo sauti za istihzaai hana utulivu kbsaaaaaaaaaa kwa muonekano tu acha kwenye elimu huko ndo kbsaaaaaaaaaa kwa hapa wazanzibar wenzangu tumepigwa hamn kitu zaid ya balehe tu
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 дня назад
Wewe hilo halikuhusu, chukua ma'arifa kisha wewe utulie usioneshe balehe
@jmbwambojr-zj2gq
@jmbwambojr-zj2gq 2 дня назад
kujiramba mdomo ??? ndo uhuni??? 😂😂😂 hata rais anafanya hivyo
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 дня назад
@@jmbwambojr-zj2gq Huyuu ana matatizo sas masuala ya kujilamba midomo yana athari gani🤔
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 2 дня назад
Chukua Maudhui Sheikh ..Huyu anasema kweli sasa Binadam hua hatupendi kuambiwa kweli .
@YunusMakame-l6n
@YunusMakame-l6n 2 дня назад
Mpuuzi tu we nani alokwambia kujiramba mdomo ni uhuni
@kingymod
@kingymod День назад
mwanaharamu wewe badala la kushuhulikia matamasha na nyimbo wee ndo kwanza unakandamiza maulidi .......
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo День назад
sheikh haujajibu ikiwa kila bidaa upetevu ?towa hoja kasema mtume ?
@SaidMadai
@SaidMadai 3 дня назад
Uyu mgonjwa 😂 bidaa hhh ww izo anga co saiz yk elimu huna adabu huna ss jikanyage zaid ujinyee mara hii baada y kukojoa
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
Alafu mbona masufi na nynyi vitoto vya DJ SAID hamna adabu kama humskizi mtu usimtusi tulia wengine wafaidi wee endelea kufuata upepo na Hawa za nafsi hakuna sheikh wa kisufi anaweza ilm ya sheikh bachu na mtabaki kuduwaa sababu yenu ni ubwabwa tu hakuna ilm uzushi mtupu n matusi kama waalimu wenu
@mohamedomary2887
@mohamedomary2887 3 дня назад
Hivi kwanin wewe kazi ya kufanya huna maulid sisi hatuachi kumsheherekea mpaka mwisho wa dunia
@ZogoMtaani
@ZogoMtaani День назад
Tauhidi yenu mawahabi ni tauhidi iliyo wekwa na wakristo .
@latif15
@latif15 2 дня назад
Muhdathat sio maulidi , Fahamu zako ni ndogo sana kama kichwa chako. Muhdathat ktk dini ni kuongeza au kubadilisha matendo ktk nguzo za dini mfano kusali rakaa tatu sala ya alaasiri au kutoa zaka baada ya kupita mwaka kuongeza kitu ktk shahada haya ndio Muhdathat na ndio Bidaa. Kutambua mazazi ni wajib kwa muislamu.
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 3 дня назад
Tuache yote: Munajua huyu Muftiy Mkubwa sana Duniani ambae ni Mtaalamu wa fani mbali mbali za dini na ni Mwanazuoni Mkubwa: ukimuona tu unajua kwamba huyu ni Mtu mkubwa sana yaani, tena utajua kwamba ni Mtu mchamungu Mwenye hekima na heshima na adabu 😂
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
Hakuna hata mfano wa mtaalamu wa dini kama mtume salallahu alayhi wasalaam na katika ukubwa hio mbna sifa ya Allah bana huyo mtu wa kawaida ila ilm yake pekee
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 3 дня назад
Shekh full kiburi
@SaddamMuhammad-fn9js
@SaddamMuhammad-fn9js 3 дня назад
Ikiwa huna jambo zuri la kuzungumza bora kunyamaza.
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c День назад
MARA WANAWEZA KUTOKEA WENGINE WAKASEMA ZIPO AINA 5 ZA TAUHID NA USHAHIDI WATATOA
@RamonGichero
@RamonGichero 2 дня назад
Ndo maana Iran anawapiga bao mnabaki kutukana Kafiri Kafiri kumbe nyinyi hamtaki shule
@AshrafThiney-x9z
@AshrafThiney-x9z 3 дня назад
Nyinyi hamjui kitu maulidi yanafaa kisheria
@KhalidAli-nk5qh
@KhalidAli-nk5qh 2 дня назад
Kanzu uliyovaa bidaa na kufia uliyovaa bidaa
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 дня назад
Wapalestina wanauwawa badala waislaam tukae tufanye nini wenzetu waokoke na madhila wanazo fanyiwa na mayahud nyie mnabaki na Maulid.
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 3 дня назад
Wakiristo walimsifu nabii Issa mpaka wakavuka mipaka mwisho wakapotea.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
Na masufi wakipitiliza wanaelekea huko hadi kufanya kufru
@MunahyaMubaraka
@MunahyaMubaraka 3 дня назад
Tumefahamu na tutafanyia kazi inshaallah pia tusisahau kuwaombea ndugu zetu watu maulidi kwan tuliotoka uko tunajua ugumu wake uko wapi kwan ni kam iblisi vile yale madufu yanavyopigwa utasema baikoko 😂😂😂 ila naiman mbel ya allah hakuna gumu inshaallah allah atuongoze kwa7bu wot ni kitu kimoja kwan wawez kuacha unachokipnda kwaajir ya allah.....
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 3 дня назад
Tuko pamoja
@MohammedSalmin-f3l
@MohammedSalmin-f3l 2 дня назад
Maulid, ni bidaa,, ni kweli hayana , umuhimu...
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 3 дня назад
SU'AALA JU WAYNI MAULUDI NI Sherehe ya mazazi ni Ibada?
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 дня назад
Mm ntasema c ibada sababu Kila ibada ina sharti zake na nguzo zake masufi watwambie sharti za kuswihi maulid na nguzo zake ni zipi,,,swala mtume alifundisha nguzo zake sharti zake hadi mwisho watwambie ili tujue wako sawa bila hivyo itabaki bidaaa n haina hoja
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 3 дня назад
@@hassanWanjiku بارك الله فيك
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 дня назад
Wahabi wahuni tuu .wanasema madufu yanaruhusiwa kwa wanawake tuu kwavile ndio waliompokea mtume madina.kwanini wakwenu hawapigi? Au ni ukaidi?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
Akuna umuhimu wa Jambo hilo so ibada tumekeep bize na kusomesha dini kuliko upuuzi huo atapiga mwenye kutaka katika arusi asipotaka akuna ubaya
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 дня назад
@@AbdulIssa-o7e kama nilakipuuzi kwanini mtume asiwakataze wale wanawake kupiga dufu?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
@@fadhilimusa9732 ni Jambo lililofanyika wakati ule mtume awakuwa wenye kurudia fanya hayoo lakini kuna wanao sema hakupigiwa dufu ni Jambo lenye hilafu na kupiga dufu so maulidi imeruhusiwa kwa arusi na wapigaji kwa masharti kama hivyo wanawake wadogo Tena wasibaleghe.sasa ninyi mmemgeuza misikitini mwa kupiga madufu so na wapigaji mijibaba na midevu yao kabisa mtume amekataa mwanaume kujishabihusha na mwanamke na mwanamke kujishabihusha na mwanaume kivitendo vyovyote vile mavazi tabia, haramu na kasema Allah amewaraani watu haooo Sasa na nususi za dufu kama zilikujia kwa wanawake wasichana wadogo ni makosa mwanaume anaingia katika hadisi hii someni masufi mnatupa shida sana dini mmemfanya ni sehemu ya burudani tuuh na mashekh zenu washashukilia bendera hiyo Sabu watazuiaje washafungua mlango wa bidaa ibilisi anawachezea sana muda mwingi hamuwazi ilmu mnawaza ngoma na matwari so dini au kusomeshwa watoto tahweed na sunnah ninyi mwajualo kuimba na kucheza tuuh
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 дня назад
Shekh wangu wanawake wa kissunnah wanapiga labda ww hukuwah ona na huqwz ona maana wanapiga kwa heshm 1- wanakaa ndan chumani 2- humo hatoruhusıwa kuıngıa mwanaume 3- Sauto zao hazıtıkı njee Ndıoo maana huwez kuwaona na ndıo unasema hvyooo
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 2 дня назад
@@twaibumikidadi7377 hayo nimatakwa yako kwani mtume alipokelewa chumbani? Wakat wanampokea mtume kulikua hakuna wanaume?
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 3 дня назад
Waache na uongo wao wewe shughulika na mengine
Далее
Mmoja asilimu daawah inaendelea
1:19:52
Просмотров 3,4 тыс.
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,9 млн
Наши дети захватили кухню!
00:59
Просмотров 230 тыс.
HIVI HUU UJUMBE ULIFIKA MAMBRUI ??
7:34
Просмотров 6 тыс.
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,9 млн