Тёмный

Wachezaji Watano Tajiri Duniani Waliofilisika Vibaya/ Namba Moja Itakushangaza! 

Charles Kombe
Подписаться 185 тыс.
Просмотров 334 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Hapa nimekuletea wachezaji watano ambao walifilisika pamoja na story zilizopelekea kufilisika kwao ikiwemo baada ya kuachana na wake.
Kabla sijaenda mbali zaidi katika nafasi ya tano, nikukumbushe kulike, kusubscribe pamoja na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupewa taarifa kila nitakapoweka video mpya.
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 173   
@charleskombe
@charleskombe 10 месяцев назад
Umeifurahia video hii? Kama ndio fanya kusubscribe, kulike na kushare. One love❤
@georgehamisi1232
@georgehamisi1232 9 месяцев назад
Uffp
@georgehamisi1232
@georgehamisi1232 9 месяцев назад
Uffp
@georgehamisi1232
@georgehamisi1232 9 месяцев назад
Uffp
@georgehamisi1232
@georgehamisi1232 9 месяцев назад
Uffp😊
@TheOmiedohmusic
@TheOmiedohmusic 8 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Us7QuENLySQ.htmlsi=yqA92PePAJC2b2S5
@fredrickogando3706
@fredrickogando3706 7 месяцев назад
Nimejifunza jambo Moja tu, FEAR WOMEN 100%
@allymjige4545
@allymjige4545 9 месяцев назад
Mwanamke Yoyo analenga mafanikio yake tu, akisha yapata, aliyemfanikisha hana maana tena, anadiriki hata kumnyanyasa na kumkejeli mbele ya watu ambao mwanzoni walikuwepo lakini walikuwa akimtumia kama malaya na kumdiscuss vijiweni. Wewe uliomheshimisha anakuona mbuzi tu, tuweni makini na hawa watu wanaume wenzangu.
@TheOmiedohmusic
@TheOmiedohmusic 8 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Us7QuENLySQ.htmlsi=yqA92PePAJC2b2S5
@VictorFungo-b6n
@VictorFungo-b6n 7 месяцев назад
Ishi na mwanamke kwa akili
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
NDIO WALIVYO UKIWADHARAU UKAWAFANYA KAMA MALAYA NDIO WANAKUHESHIMU UKIWAHESHIMU WANAKUONA MJINGA TENA FALA.
@Rajkumar-gz4qr
@Rajkumar-gz4qr 6 месяцев назад
Sasa tukuwe makini namna gani, Hawa watu hawatabiriki bana
@masesasule1314
@masesasule1314 6 месяцев назад
😅😊​@@salimmalaka256
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 10 месяцев назад
Mwanamke ni kiumbe hatari sana!
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Na ndio ikateremsha aya nzima kwenye Quran yao tu na mtume wetu akasema wanawake ndio wengi wataingia moto mwenye ze mungu awasameh
@benjo_brighter
@benjo_brighter 10 месяцев назад
Vyanzo vingi vya maanguko ya kiuchumi kwa wanaume,yanatokana na matatizo ya ndoa 🙌
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 9 месяцев назад
Uko sahih kaka daaaa mie ndoa yang imeniletea umaskin sana daaaa mke wang alikua akigombana kdogo na mim lazima aseme tuachane tugawane
@othmanali7408
@othmanali7408 3 месяца назад
Kk we acha tu apa nilipo nimechanganyikiwa ata sielewi .
@benjo_brighter
@benjo_brighter 3 месяца назад
Pole sana ndugu
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 10 месяцев назад
Wanawake walio wengi ni mashetani sana yani akishawishiwa tu na mwanaume mwingine tayari anakusariti 😢
@jumaally920
@jumaally920 7 месяцев назад
Wahenga walishasema tuishi nao kwa akili. Mwanamke ni kiumbe mwenye roho mbaya sana hasa akishapata mtu anaemshika masikio. Huwa hana huruma hata chembe
@MamaShazma-o3o
@MamaShazma-o3o 6 месяцев назад
😅😅😅pole umeachwa nini
@amanrashid7061
@amanrashid7061 6 месяцев назад
Oya wewe Hussein naoana unatoa ushauri utasema umeoa😅😅
@FadhilaJuvenary
@FadhilaJuvenary 6 месяцев назад
Nyie ndo mnatusababisha loh zetu zigeuke
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Kweli lakini sio wote asilimia kubwa sio waaminifu
@omaryabdallah-l6w
@omaryabdallah-l6w 9 месяцев назад
Tusiwaamini sana wenziwetu
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 9 месяцев назад
wanawake si watu wazuri kabisa hebukana na wanawake
@SlayoThomas
@SlayoThomas 7 месяцев назад
Mwanamke ni chanzo Cha matatizo yote dunia na alianzisha hayo matokeo pale Eden.
@lothmollel4519
@lothmollel4519 8 месяцев назад
Dahh!!mwanamke sii wakumpa asili Mia kabisa
@SUPERMANAGERVIBEZ
@SUPERMANAGERVIBEZ 10 месяцев назад
SUPER MANAGER HAPA,! NIKO KIGALI RWANDA DUUUH HII SIMULIZI YAKO INAUMA SANA NDUGU MWANDISHI WA HABARI.!
@sabitintaganda9115
@sabitintaganda9115 10 месяцев назад
Hhhhhhhaa😂SUPER MANAGER MY REALLY COUSIN mambo niaje ,, hakika maisha nisawa sawa na nakete zikichezwa kwenye draft,Mambo mhimu yakuzingatia pale unapocheza huo mchezo unahitaji kuwa _(1). makni sana (, 2 .) kujuah nimtu gani unacheza naye, yuko vip kwenye draft (3) vip huyo mtu anaupenda mchezo huo au anaenjoy mchezo tu kwani watu hao wanasifa yakujitapa pale wanapo shinda ,(4) huyo mtu ukimshinda au akikushinda anaweza kukununulia soda au chupa yamaji,Mtu huyo akiweza kufanya hivyo jua tayari mchezo wa draft anaupenda kutoka moyoni ,Nasiyo kutaka kuonekana akicheza tu,Hivy basi Ndoa inaufanano wake halisi ,Nawengi wao tena wanaume hatuoi wake zetu tulio chaguliwa na dear Papa(God) ,Tunajikuta kutembea nao au kuzaa nao lakini wanawake hao nisawa sawa na panyabuku ,kama hajakuibia atakuharibia kila kitu namwisho hatima yako utakuwa muokota makopo na hakili yako itakuwa sawa sawa nayakitoto kichanga kinacho lelewa kwakudula zamwenyezi Mungu,Ushauri wangu tuwe makini sana naviumbe hivyo tunao chagua kuishi navyo maishani mwetu,
@JumaRama-y6c
@JumaRama-y6c 2 месяца назад
maisha yanahitaji umakini Zaid yayote hakika hatobaki salama alyemuamini nakumpenda mwanamke Kwa moyo wake wote
@laslimited6619
@laslimited6619 10 месяцев назад
this is very serious the players need to be carefully with their money
@donwilliamstechnology2052
@donwilliamstechnology2052 3 месяца назад
Hatari Sana
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 8 месяцев назад
Wanawake wengi ni washirikina Sana na wakipata nafasi ya kuwasiliana na Ibilisi mwenyewe mjadala huwa ni kumuangusha Mwanaume tu, Ndo maana Yesu hakuoa
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 7 месяцев назад
wew nawe yesu awowe ni binadamu wa kawida wew una baba na mam yesu ana baba bali ana mama tu kawa hyo yesu ni malaika
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
​@@sakinasakina1286wewe ni muislam au una jiongelea tu
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Au nyinyi ndio munao sema yeso ni mungu
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps 3 месяца назад
Pesa talent ni kama power it's comes and goes
@mosesmusumba9100
@mosesmusumba9100 4 месяца назад
Noma sana
@salumchuma7762
@salumchuma7762 7 месяцев назад
Nice one
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Thanks 🔥
@nzimbikathusinjuma8200
@nzimbikathusinjuma8200 7 месяцев назад
Hakuna pesa mingi duniani
@salimramadhani740
@salimramadhani740 9 месяцев назад
😢😢😢
@alisheemaka1884
@alisheemaka1884 6 месяцев назад
Alafu wanadai eti kila mume aliyepata mafanikio ujue kuna mwanamke nyuma yake.Ujue siyo mke bali mama mzazi ndiyo anayetajika kwa hayo mafanikio.
@leonardpeter8944
@leonardpeter8944 9 месяцев назад
Mwanamkee ni aduii asiye tumia silahaaa 😢😢😢😢
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 9 месяцев назад
Yaan kaka hujakosea aiseee inauma sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
SILAHA ANAYO TENA ANAIJUWA KUITUMIA NI KILE KIDOMO CHA CHINI KINAMEZA KILA KITU 😂😂😂😂
@AbubakarMohamed-rc7vk
@AbubakarMohamed-rc7vk 3 месяца назад
Aiseeee tusitumie help vibaya
@mushimalik7354
@mushimalik7354 10 месяцев назад
Asamoh mzee ajafirisika mzee
@onemedia5010
@onemedia5010 10 месяцев назад
Fuatilia vizuri kilichomtokea. Angalia link mana mtangazaji kaelezea vizuri na yuko sahihi
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 10 месяцев назад
Badala ya kusikiliza kwa makini na kuelewa, wewe unawahi kubisha 😢
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 месяцев назад
wachezaji wengi wa Africa hawana Elimu ya Maarifa wanatakiwa wasome
@yasirshee3152
@yasirshee3152 7 месяцев назад
Mwafrica ameghafilika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
SIMBA MWENZANGU KILE KIDOMO KIDOGO KINAKUMEZA WEWE NA ELIMU YAKO 😂😂😂😂😂😂
@Rkdigtech
@Rkdigtech 10 месяцев назад
❤❤❤❤nice
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 8 месяцев назад
Biblia haikukosea iliposema"Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili" kila mwanaume aliyemweka mbele mkewe kuliko waza,wake alipoteza radhi ya wazazi na kufikwa na majanga makubwa maana mke hatoi radhi kwa mume radhi zote hutoka kwa wazazi tu.
@josephthamaini8013
@josephthamaini8013 5 месяцев назад
Let's all be sober in all deals
@kimandoro7432
@kimandoro7432 10 месяцев назад
Watanzania hawana elimu lakini ni wajanja uwezi kumdhurumu mtu kiboya ivyo
@DanielJoseph-cv8bz
@DanielJoseph-cv8bz 7 месяцев назад
Kweri kabisa me huwezi kinaweza kuchimbika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
HAWANA ELIMU NA UJANJA PIA HAWANA UBISHI TU 😂😂😂😂😂😂
@RamazanJapheth
@RamazanJapheth 5 месяцев назад
Wanawake wabaya
@muttae2
@muttae2 4 месяца назад
Wachezaji wa Arsernal wawe makini sana make wako wengi kwenye list yako.
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 9 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏
@RashidMtoi-o4k
@RashidMtoi-o4k 10 месяцев назад
Maisha Yana Mambo Yake
@IsmailiMbogo
@IsmailiMbogo 9 месяцев назад
Asamoah hawezi kuyumba alipiga pesa sana
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Kwani hazishi mabillionea wangapi wamefilisika
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu 7 месяцев назад
Ujana ni kitu hatari,,kiburi cha ujana na jeuri ya ujana ndio inayosababisha kufanya mambo yasiyo na mwelekeo ,,UNAPO ANZA KUPATA FEDHA NYINGI UNAANZA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA WANAWAKE USIO WAJUWA NA MATUMIZI YASIYO NA MPANGILIO
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 7 месяцев назад
Asamoh ajafirisikia. Hapo muweke Gaucho
@254pendi
@254pendi 8 месяцев назад
God above all
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 8 месяцев назад
Wanawake ni shida
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Tusi wakajeli sana hao ndio mama zetu na ndio njia yetu ya peponi
@user-cc2mi1mr5r
@user-cc2mi1mr5r 10 месяцев назад
Shetan alivo tupwa dunian kiumbe chakwanza kuongea nacho hapa dunian ni mwanamke kwamjibu wanaandiko ss bas ndungu zangu tuwe makin sana nawanawake uwez juwa walipanga nn juu yetu ukisona mandiko mwanaume nimeunbwa mwanamke ajaubwa tena nimeunbwa kwamfano wangu jaman wanaume tuwe makin shetan anaye onekana kwenye pacha lako lauso nimwanamke elewen ivo
@MaulidHassan-yf5sy
@MaulidHassan-yf5sy 5 месяцев назад
Ni hatari sana
@KhamisMikate
@KhamisMikate 5 месяцев назад
Hatar
@hassanabdulrahim5912
@hassanabdulrahim5912 7 месяцев назад
Wanawake ni nyoka....mama mzazi pekee ndio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli
@halimsaidi9567
@halimsaidi9567 3 месяца назад
Mwanamke wa kuamini ni MAMA tuh
@juniornicholaus-qr7kz
@juniornicholaus-qr7kz 9 месяцев назад
Mwanamke kashindkana
@tobadinamhegele8055
@tobadinamhegele8055 7 месяцев назад
Ndio maana Mliambiwa muishi nao Kwa akili
@josephlorri431
@josephlorri431 10 месяцев назад
Kuna msemo kuwa '..kwa kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake ' sijui maana yake
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 10 месяцев назад
Mwanamke Ni mama Ako mzazi
@Mr_Mosha
@Mr_Mosha 9 месяцев назад
Mama yako mzazi sio hawa wanawake unaowaoa
@bakarially2277
@bakarially2277 7 месяцев назад
Tuombe Allah atupe mwisho mwema.
@ahmedaljabri5891
@ahmedaljabri5891 7 месяцев назад
Wengi hapa wana laumu wanawake, ninalo sema wacha uzembe na kiburi cha maisha. Familia yako ni wewe kwa hiyo ukiachilia kamba ita kutoka mikononi.
@PriscusTesha-g2q
@PriscusTesha-g2q 10 месяцев назад
Gian ajafilusika acha kupotosha
@Chachaamos-lh4xo
@Chachaamos-lh4xo 5 месяцев назад
Pia
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj 4 месяца назад
WANAWAKE ISHINI NAO TUU KWA WEMA LAKINI.....
@abdallahyusuf7641
@abdallahyusuf7641 7 месяцев назад
Mwanamke sio wa kumuamini hata kidogo sumu yake ni zaidi ya nyoka . Haya ni mafunzo makubwa sana kwetu
@ElishaErnest-xd9qt
@ElishaErnest-xd9qt 3 месяца назад
Sio milioni moja mkuu apo umetupiga kamba
@OrbitMicrofinance-pe7ob
@OrbitMicrofinance-pe7ob 9 месяцев назад
Mapenz yanalankleez Dunia
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 10 месяцев назад
Maisha hayana formula, huruma nayo na sifa vinaponza
@marybukuku1494
@marybukuku1494 7 месяцев назад
pole sana kama kwako mtu Akimrudia Mungu kachoka sana jitathimini sana ulicho kisema na pia nakupa pole sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
POLE YA.NINI??? KAMA KWELI ALIMREJEA MUNGU BAADA YA MATATIZO ULITAKA ASISEME?? AU
@StanleyWachuka
@StanleyWachuka 4 месяца назад
Better kuwa single
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 3 месяца назад
Nimejifunza hakuna mahali mwanaume ameoa ili aje kumdhulimu mke wake wanaume tusaidiane
@RoyceAlly-in5sb
@RoyceAlly-in5sb 5 месяцев назад
Wanawake ni upuuzi na umasikini duniani
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 9 месяцев назад
Ndio maisha ya mtafutaji
@josephojwang5445
@josephojwang5445 7 месяцев назад
Usicheze na pesa utalia baadaye
@UpendoTonny
@UpendoTonny 10 месяцев назад
KILA MWENYE MATATIZO NA KUFILISIKA KATAJWA MKE 😂😂😂😂😂😂😂😂
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 9 месяцев назад
Asilimia kubwa mwanamke anahusika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
KAWATAJA HAO WATANO WEWE UNATAKA ATAJE WATU WOTE WALIOFILISIKA NA SABABU ZAO??? 😂😂😂😂 IFANYE WEWE HIYO KAZI KAMA UTAIWEZA.
@Francisosinga
@Francisosinga 8 месяцев назад
Gyan ako Sawa bado
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 5 месяцев назад
Bora tubaki single tu.
@RoberthBilikule-mt4yn
@RoberthBilikule-mt4yn 7 месяцев назад
ila mapenzi yananini hamani??😭😭😭💔💔😷😷
@burugugatitu6101
@burugugatitu6101 7 месяцев назад
Wewe kweli wamjua asamoah gyan?
@richardsimon2464
@richardsimon2464 7 месяцев назад
Sijasikia aliefilisika kisa matatizo yake binafsi ila kila mmoja nasikia ni mwanamke tu,kuna nini cha zaidi kwa hawa viumbe😢😢😢😢
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
WANA KIDOMO CHINI KINA ANZA KAMA UFA KIKIWA KIKUBWA KINANZA KUMEZA KILA KITU PESA MAGARI NYUMBA VIWANDA MASHAMBA 😂😂😂😂😂 OGOPA BRO.
@abdallahyusuf7641
@abdallahyusuf7641 7 месяцев назад
Kama nikitanguliwa na mke wangu kwenda kwa mungu sitarajii kuoa mke mwingine tena . Nitanunua tu
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Brother wewe ni muislam chunga maneno yako usije ukakufuru
@wazirbashir7626
@wazirbashir7626 9 месяцев назад
Bila Ronaldinho Gaucho list hii inakosa mashiko
@nesbitmiriti4366
@nesbitmiriti4366 4 месяца назад
Nimeshtuka kuona picha ya mandla "bullet "masango 😂juzi tu amekua randers.
@akidashekue163
@akidashekue163 6 месяцев назад
Wanasema kuoa ni nusu ya dini
@tegemeojosia831
@tegemeojosia831 4 месяца назад
Wanawake sio watu
@mchapebenson2610
@mchapebenson2610 9 месяцев назад
hina sikitasha sana hizi kwai hizi sheria na wapa pole waanga wote
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 5 месяцев назад
Ndomaana mie Nina account yangu ya Siri ambayo mke wangu sijawahi mwambia ila tu anazo hati za viwanja tu
@bilalijuma527
@bilalijuma527 7 месяцев назад
Ndoa sasa sio Dili
@sammwasomola953
@sammwasomola953 4 месяца назад
Mwanamke ni kiumbe hatari sana,na tumeambiwa tuishi nao Kwa akili saana
@BunuAbumau
@BunuAbumau 5 месяцев назад
Wana wake wote akili yaho iko matakoni 😂😂😅😅
@juliusjembe-gi4cf
@juliusjembe-gi4cf 7 месяцев назад
Aki wanawake walaaniwe kabxa hata bibilia ina xema tukae nao kwa akili chunga xana hao ni viumbe tofauti
@bernardoloo2023
@bernardoloo2023 8 месяцев назад
Sidhani Paul merson amesota😂😂
@GeraldMagome
@GeraldMagome 3 месяца назад
Ninoma
@othmanmbarouk8499
@othmanmbarouk8499 8 месяцев назад
bora uniue sio unidhurumu unishushe chini nianze moja aisee mchanga lazma ukufunike mapema
@RoberthBilikule-mt4yn
@RoberthBilikule-mt4yn 7 месяцев назад
mapenzzi bas
@galetmwakyambiki1763
@galetmwakyambiki1763 5 месяцев назад
Wanawake ni kiumbe hatari zaidi ya nyoka koboko
@publicdesiremediatv1763
@publicdesiremediatv1763 4 месяца назад
Nimeji funza kwamba ndoa ni mkataba tuu hakuna mapenzi
@augustinejacobs9657
@augustinejacobs9657 7 месяцев назад
ukienda ugenini na upo tayari mkubwa usioe kama una maokoto ya kutosha
@starfordochieng5303
@starfordochieng5303 4 месяца назад
Africans
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Ni ukosefu wakuto jitambu na kujisahau kuwa wewe ume ubwa na alie kuumba ulimsahau dini ni ya kiislam ilio tufunza kila kitu na yenye maadili mazuri ya kuishi ulimwenguni akiwa utaya zingatia na kuyafata
@RediasMwaihola
@RediasMwaihola 3 месяца назад
Mwanamke ni ndugu na shetani haijalishi ni nani
@RonnieBertin-f7f
@RonnieBertin-f7f 7 месяцев назад
NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI KWENYE VIDEO HII KWENYE DUNIA HII KITU CHA KWANZA MUOGOPE MUNGU NA KITU CHA PILI MUOGOPE MWANAMKE AU WANAWAKE MY ADVISE
@jumamganga5136
@jumamganga5136 6 месяцев назад
Kwa vile sina mke,sitaoa teeeeena,
@koreakorea1525
@koreakorea1525 6 месяцев назад
Wanawake shetani kabisa jasho lako wanaila bila huruma shetani wao
@BarakaCostantine
@BarakaCostantine 5 месяцев назад
Mngu wng
@ABUBAKARMAULID-kl7ok
@ABUBAKARMAULID-kl7ok 4 месяца назад
Ndoivooi
@erickopondo3424
@erickopondo3424 3 месяца назад
Mwanamke shetani, never trust a woman
@meashack
@meashack 7 месяцев назад
mwana mke kiumbe dhaifu lakini madhara yake makubwa mno.
@StephenJames-r7x
@StephenJames-r7x 7 месяцев назад
Mpand ngazi hushuka😂😂
@Jospato862
@Jospato862 4 месяца назад
Fear women
@JohnMathias-vf2hy
@JohnMathias-vf2hy 7 месяцев назад
Wanawake tuishi nao Kwa akili
@AlmasRisasi
@AlmasRisasi 4 месяца назад
Ronaldo atak kuowa
@rajabukat7042
@rajabukat7042 7 месяцев назад
Haujafafanua zaid ni kip kinachopelekea wachezaj hawa kufilisika,ingawa stor yko inahusisha mapenz zaid
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 месяцев назад
ANAELEZEA WALIVYO FILISIKA WEWE UNASEMA KIMAPENZI ZAIDI 😂😂😂😂😂😂
@issatuwile2525
@issatuwile2525 8 месяцев назад
Nimeamini mwanamke pekeee dunian ni mwaminifu mama tu c mwingine
@bakarially2277
@bakarially2277 7 месяцев назад
Tuishi na kwa akili sana hawana huruma kabisa
Далее
UCHAWI WA MESSI SI MCHEZO !!!
12:55
Просмотров 1,2 млн