Yani kama wananchi wagadafi walipewa kila kitu ila bado wakaangukia mateso kwa propaganda za kipuzi acha kila watu waishi maisha yao mana hao wamarekani wanajikuta ndo kila kitu ila wanafiki2
Nakushauri kwa uhamie huko Korea ya kaskszini. Maana anahadithia ni mtanzania. Na sio mmarekani. Hawezi kuwa na poproganda. Hajakusimulia uwongo, Ila hali halisi. Na nchi yetu Ina mtumishi wake halisi unaofahamika na mataifa mbali mbali.
@@charleskombendugu yngu fanya yko hawa watu wasikuumize kichwa hawa nadhan kma s watoto watisini bs ni 2000, mana watoto wa hii miaka ii wanavojikutia wao wanajua kila k2
Passport ya Korea Kaskazini ipo na inatolewa japo ni ngumu kuipata. Lakini pia kwa kuwa idadi kubwa ya Wakorea Kaskazini hawapati fursa za kutoka nchini, pasipoti za DPRK hutolewa kwa nandra sana.
Acha kudanganya watu mpuuzi wewe korea kaskazini ni taifa bora lenye kila kitu,uhuru wa kweli,teknelojia yao kama wao,inajitegemea,tatizo lenu waandishi kanjanja mnasikiliza bbc ,na cnn kwanza ndipo mnakuja kuropoka nanyi kwetu!
Msimulizi unapotosha kwa maslahi ya nani? Kabla hujasimulia jambo lolote, lifanyie utafiti kwanza. Waulize watu waliowahi au waliopo katika nchi hiyo. Acha kusimulia kwa kufuata simulizi za uongo za magharibi. Punguza kutumia akili za watu wengine, jitahidi kutumia akili zako.
Yaani mpumbavu. Arizona gari, anasubiri mtu kumwambia hiyo treni. Kila nchi inajulikana na Korea ya kaskszini ndivyo ilivyo. Hapa Tanzania wanakuja Korea ya kusini tu sio kaskszini. Na sababu hawaruhusiwi hats china wanaenda maofisa kwa mambo maalumu.