Тёмный
Charles Kombe
Charles Kombe
Charles Kombe
Подписаться
Thank you for continuing to stay close to this channel!

If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, join a community of 100k thousand and grow! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here at the home of untold stories! Please subscribe because untold stories are on the ground!

To Support this Channel:
Mobile Money/Airtel: +255 782100209

___________________________________________________________________________
Watch our videos

MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax

For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
Комментарии
@robertkyara6872
@robertkyara6872 4 часа назад
Inayosomwa mashuleni mbona haina huu uhalisia?
@111dudi
@111dudi 5 часов назад
Nyerere hakutaka fikra zaidi ya fikra zake. Mpaka anatoka aloiacja Tanzania masikini sana. Mungu amrehem Mwinyi aliyeleta ruksa, nchi ikaanza kuendelea.
@111dudi
@111dudi 8 часов назад
Mwinyi mungu akurehem kwa uadilifu wako
@111dudi
@111dudi 8 часов назад
Yakumbukwe mazuri ya Titi. Mwl hakupenda mtu awe mjuaji zaidi yake, wala apendwe na watu zaidi yake, wala kuona mtu anaendelea. Alitaka kuzunguukwa na masikini na wanaomkubalia kila kitu. Viongozi wengi wana tabia kama hii. Walioshiriki ktk kupigania uhuru Nyerere aliwatupa, wakafa hawajulikani,akawaweka watu wake
@ramrashid7859
@ramrashid7859 8 часов назад
Inamaana kuna watanzania waliopo gambia na kalibian islands .... Kizazi chake kitakuwa kipo
@Olivapascal
@Olivapascal 11 часов назад
No 1
@Olivapascal
@Olivapascal 11 часов назад
Umegaili
@NickyNickz
@NickyNickz 12 часов назад
noma hii kaka🙃😏
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku День назад
Tunachomshukuru Nyerere nikwamba alituletea uhuru lkn alivyowachapa baba Zetu kisa Kodi ya kichwa hata mm nisingependa
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku День назад
Nyerere bhana alikua mbabe sana
@user-mi2zp7wb4x
@user-mi2zp7wb4x День назад
Atatoroka lazima kabsaa
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 День назад
Nimejifunza tuwena upendo duniani ni mapitio,pamoja machifu yao yote majigambo wote hawapo duniani.Pendo na kusameheana kwa kila jambo nikitu chema hapa duniani.
@SimoniFabiani
@SimoniFabiani День назад
Mhuu hakika dunia inamengi ya kusitajabu
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 2 дня назад
❤❤❤
@MaryamNassor-bx9zl
@MaryamNassor-bx9zl 2 дня назад
HAYA DICTITA ANGEKOMBA AFRIKA?JE WEWE NA MM TUMEFANYA JAMBO LIPI LAUHURU LIKAJULOKANA?
@DisimassMassawe
@DisimassMassawe 2 дня назад
Kweli hyu mzee ni noma
@kingsleymanyama5150
@kingsleymanyama5150 3 дня назад
Mwalimu alikuwa na maamuzi ya kizalendo sana
@davykisabo875
@davykisabo875 3 дня назад
Hata katiba tuliyinayo Nyerere ilimlinda naweza kusema alijitengenezea
@JabirAlly-ny1zv
@JabirAlly-ny1zv 3 дня назад
Mto nail ndio hatari
@user-og4ox5jb4v
@user-og4ox5jb4v 3 дня назад
Sokonne alipigwa risasi na waliokuwa kwenye pikpiki
@SaudaOmar-k3i
@SaudaOmar-k3i 3 дня назад
❤❤❤❤
@SaudaOmar-k3i
@SaudaOmar-k3i 3 дня назад
❤❤
@JuniorMasanyiwa
@JuniorMasanyiwa 3 дня назад
Yaani huyu mwamba nibalaa, hayupo wakumfanana aisee
@MashakasudiMohammed
@MashakasudiMohammed 3 дня назад
Ni hatari
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 3 дня назад
Pia polisi wanahitaji elimu. Polisi waliotajwa hapo ni wa vyeo vya chini sana. Elimu elimu, na tena elimu. Na sisi wananchi tunahitaji elimu ya Sheria ili tuweze kuelewana na vyombo vya dola.
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 3 дня назад
Kwa maoni yangu tu. Ukiwashiwa taa na police simama.
@SaidSwalehe-dr9ku
@SaidSwalehe-dr9ku 4 дня назад
Nyerere laanatullah ndiye kafanya mpaka sasa maendeleo yawe hafifu nchin Tanzania jamaa mbaya sana ana roho mbaya kweli kwel Allah ampe adhabu mpaka kufufuliwa
@samwellnnkosimbahakamatiki6494
Hata mia mbovu 😂😂😂😂😂😂😂
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 4 дня назад
Tuna jeshi la polisi lenye askari wa hovyo kabisa
@charlesassey5642
@charlesassey5642 5 дней назад
Serikali inahusika moja kwa moja kwasababu, kama.gari ilikamatwa na kuachiliwa kwann waje waitafute tena moshi ??? Pili hao polisi kwann walifyatua risasi kwa kumlenga sehemu za kifuani badala ya kumjeruhi ??? Huo ni uongo wa serikali inavyoonekana serikali ilishakuwa na nia ya kumuua na wakaamua kununua gari iliyofanana na gari ya marehemu ili waweze kuwa na sababu ya kujitetea !!! We know it was political assassination
@yahayamtonga9762
@yahayamtonga9762 5 дней назад
Nyerere kama nikweli mungu atamlipa bi titi na atamfikiria Nyerere Kwa aliyo mfanyia means harakati mwenzie
@MwitaTv
@MwitaTv 5 дней назад
Kwa hilo nyerere Alikosea sana kutaifisha nyumba za Huyo mama, alimkatili sana , Hakufikiria na yeye alijiona mungu,kwa sababu kiongozi mzuri huwa anakubali kukosolewa, Pamoja na kwamba nyerere alikua na Mazuri yake ,Hapo alikosea sana 😢😢😢,mungu amlaze mahali pema Bibi titi mohamed ,ni mengi ameyafanya mazuri
@honomaria7279
@honomaria7279 5 дней назад
Hakuna maendeleo bila mabadiliko
@user-ym5dc1iz9e
@user-ym5dc1iz9e 5 дней назад
Mzee Taqadir
@RamadhanSeleman-he3ss
@RamadhanSeleman-he3ss 6 дней назад
😢
@hezronmkalawa5563
@hezronmkalawa5563 6 дней назад
Hiyo kwa Sasa tukumbuke kenya
@JasonTumsifu
@JasonTumsifu 6 дней назад
Husisahau kuleta video nyingini akitoka gerezani 😊
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 7 дней назад
Si kila rafiki ni rafiki isipokuwa huwazi au huna fikra kinyume na snachofikiria yeye.
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n 7 дней назад
Mbona nyumba za kawaida tu
@ClaveryKaboyele
@ClaveryKaboyele 7 дней назад
Nimezaliwa 1960. Nimefurahi na historia hii. Naamini labda pia ma-bus ya MTEI EXPRES ni ya yeye. Nimeishi pia Arusha sana. Big up Mzee Mtei.
@AhmedSaid-v3r
@AhmedSaid-v3r 8 дней назад
Suiiiiiiiiii
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 8 дней назад
TUNDU LISSU alisema Nyerere sio mungu... Nyerere alisema kwamba ccm sio mama yake
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 8 дней назад
Na ili ujue kuwa ulikuwa ni mpango wafungwa wote wawil waliohukumiwa kifo walikuja kuachiwa kwa msamaha wa raisi kikwete... Mungu anajua ya siri na ya dhahir na anahukumu juu ya hayo yote...
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 8 дней назад
Polisi walijua wanamuua nan na nan aliewatuma pia alijulikana... Siku alipouawa alikuwa ametoka kuonana na mrema pale kizi hotel...
@MalangaMartin
@MalangaMartin 8 дней назад
Tanzania nchi yangu
@user-po3lo6tb6d
@user-po3lo6tb6d 8 дней назад
MUNGU ATUSAIDIE
@LazaroNyakamande
@LazaroNyakamande 9 дней назад
😭😭😭😭
@user-gt2sc9rp2h
@user-gt2sc9rp2h 9 дней назад
Hapana
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 9 дней назад
Tulidanganywa sana kisasi ni kwa Mungu ni uwongo inabidi watu km hawa wawe wanashughulikiwa ioasavyo
@user-qz6vn5mo3w
@user-qz6vn5mo3w 10 дней назад
Nyerere alikuwa mpigania uhuru wa wa Efrica kambona alikuwa na Ilimu ya kuwahi angepata mpaka Leo tusingekuwa na ardhi.
@user-qz6vn5mo3w
@user-qz6vn5mo3w 10 дней назад
Alibabaika na maisha ya ulaya alikuwa na elimu nzuri ila alikuwa anataka kujitajirisha kwanza kabla ya kuangalia elimu uliyoipata itawasaidia nn wandugu zako