Тёмный

WAFUGAJI KUTOKA NANJA NA MTI MMOJA WAPATIWA MAFUNZO UVUNAJI WA MAJANI. 

OLDONYO MEDIA
Подписаться 320
Просмотров 484
50% 1

Hapa ni katika Kata ya selela Wilayani Monduli Ambapo Wafugaji 30 kutoka vijiji vya Mti mmoja na Nanja , Wamepatiwa Mafunzo kwa vitendo kuona Upandaji utunzaji na uvunaji Wa Chakula cha mifugo yaani Majani.
Mafunzo hayo Yalianza katika Gala la kuhifadhia Majani, Mashine za kusaga Magunzi, Mashine za kuchanganya mashudu Na vitu vingine katika kiwanda cha Manyara Animal feeds Factory, eneo la kigongoni Mto wa Mmbu Ambapo Wafugaji hao kutoka kata za sepeko na Lepurko walielekezwa namna ya kuhifadhi na kutunza Majani baada ya kutoa shambani.
Mafunzo hayo yametolewa na Mkurugenzi wa Maasai Stoves Kisioki Moitiko Ambapo amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwasukuma wafugaji kufuga kisasa hasa katika utunzaji wa chakula cha akiba cha mifugo ambayo kwa upande mwingine inaweza kuwa biashara.
Mafunzo hayo pia yalihitimishwa katika shamba linalolimwa Majani Ambapo hapa kila kitu hufanyika ikiwemo ukataji, kufungwa pamoja na kupatikia na hatimaye kufika kwenye Gala kwa ajili ya kuhifadhi.
Wakizungumza Wafugaji hao mara baaada ya kutembelea shamba la nyasi kata ya selela Wameshukuru Mkurugenzi huyo Kisioki Moitiko kwa kuwafungua Fikra, na kukiri kwenda kuwa mabolozi Katika Maeneo hayo.

Опубликовано:

 

24 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@yamatlemomo542
@yamatlemomo542 26 дней назад
Kazi nzuri sana
@nalemutangoitiko9781
@nalemutangoitiko9781 26 дней назад
Incredible work the daughter of the savannah
Далее
Majani ya Juncao kuwa mkombozi kwa wafugaji........
4:46
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 2,9 млн
Dit lees je tussen de regels door in het nieuwe akkoord
21:28
Kilichomfanya Mrisho Mpoto  aingie kwenye kilimo.
24:36
Is groene waterstof de toekomst?
7:02
Просмотров 8 тыс.