Тёмный

WAHA KIGOMA WAKUBALI KUWAIGA WACHAGA KUANZA KURUDI NYUMBANI KILA MWAKA,WAKUTANA KUJADILIANA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@Danielsj-c1o
@Danielsj-c1o 9 месяцев назад
Safi sana.Waha tumekuwa nyuma wakati mwingine si makosa yetu ila mgawo wa keki ktk taifa letu ktk swala zima la maendeleo kama vile miundombinu na elimu tuliachwa nyuma.Hata hivyo tunajaribu kuchechemea wakati wenzetu wanapaa. Mfumo ni mgumu kwetu maana tuliachwa mbali na wenzetu waliwahi viwanja. Tunaomba Mungu na serikali iendelee kutuonaona.
@shabanikitula645
@shabanikitula645 9 месяцев назад
Anaitwa Stephan Nkenguye nilikuwa naye Monduli jeshini SS Nkenguye
@oscarbatricko3327
@oscarbatricko3327 9 месяцев назад
Hii imeenda vailo zaidi bigup Ayo Tv
@irakazaeriekim4753
@irakazaeriekim4753 9 месяцев назад
Mwakore ndabashimiye chane yaani kipindi kizuri san❤
@denniskado3990
@denniskado3990 9 месяцев назад
Tatizo wanalogana.. wanawivu mbaya😂😂😂
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 9 месяцев назад
Shida uchawi mwingi utapataje hamu ya kurudi nyumbani??
@SamwelSimon-cb6oy
@SamwelSimon-cb6oy 9 месяцев назад
Nimeipenda sana hiii
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 9 месяцев назад
Wewe acha kubisha kubali tu jirani yako mchaga kakufundisha kurudi nyumbani kama umejifunza nje ya nchi lamda umejifunza ushiga
@MejasonMzazi
@MejasonMzazi 9 месяцев назад
Kigoma waha wanajitambua sana, ila wamanyema wengi ni vilaza, hawajui mchana wala usiku. Wengi ni wa Kigoma mjini, lakini wamepatelekeza kwao kutokana na imani potofu za kishirikina.
@mcback4384
@mcback4384 9 месяцев назад
Hawa waha wa nyakitonto wameona lami imefika hapo nyakitonto sasa wanataka kuwa kama wachaga 😂😂😂 subirini ifike kidiama nyie waha 😅😅
@Drbilallyhealthcoach
@Drbilallyhealthcoach 9 месяцев назад
Koment zako nyingi inaonekana ni mtu mwenye dharau na ushenz ndani yako
@mcnyoka
@mcnyoka 9 месяцев назад
🔥
@ntibashimadicksonmathiasna2915
@ntibashimadicksonmathiasna2915 9 месяцев назад
Jirani Tatizo uchawi 😢😢
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 9 месяцев назад
😅😅😅😅 Mpaka msiba ndo kuludi
@alexchungu6263
@alexchungu6263 9 месяцев назад
Mnarudi kwenu, nani atatukopesha vyombo
@Ibrah__
@Ibrah__ 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 sawa WAHA
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 9 месяцев назад
sawa mashemeji zangu 😅😅😅😅
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 9 месяцев назад
Arusha siyo kwa Wachaga plz
@Amunicychanel
@Amunicychanel 9 месяцев назад
Huyo mmeru cyo mchaga
@benshark3212
@benshark3212 9 месяцев назад
Wachaga kelele tu, makabila yote wanarudi kwao
@InnocentLyimo-oz6kd
@InnocentLyimo-oz6kd 9 месяцев назад
Wakina nan wanarudi zaidi ya wachaga
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 9 месяцев назад
acha asira
@calabash4221
@calabash4221 9 месяцев назад
​@@InnocentLyimo-oz6kdnakubaliana na wewe
@alexmalisa2198
@alexmalisa2198 9 месяцев назад
Kelele?..... Uje na wewe ndio utajua kuwa ni kelele au vipi Sometimes inatakiwa kukubali tu kuachwa nyuma, ili tuweze kwenda mbele
@GwankoTv
@GwankoTv 9 месяцев назад
HONGERENI
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 9 месяцев назад
Wachagga sio wenyeji wa Arusha ni Kilimanjaro 1 dingi hatuiji mtu ni asili yetu iko tangu kale hatuiji,
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 9 месяцев назад
ukienda dar wanajuwa wote Ni wa chaga Wala uslaumu
@zaburi2386
@zaburi2386 9 месяцев назад
Hv kuna muha mweupe 😂😂
@mcback4384
@mcback4384 9 месяцев назад
Waha ni weusi karibu 90% mweupe wao mikoa mingine anachukuliwa kama mweusi, wapo kama watu wa Mara nao kukutana na mweupe ni ishu
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 9 месяцев назад
We tako mwafrika hujui rangi yangu????
@LenatusPosiano-hi7tk
@LenatusPosiano-hi7tk 9 месяцев назад
Kigoma tatizo uchawi sana
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 9 месяцев назад
Nyumbani ni kigoma shida tuna loho mbaya sanaa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 9 месяцев назад
Sema una roho mbaya wewe
@raymondsabassinduhije8702
@raymondsabassinduhije8702 9 месяцев назад
hii ina miaka 3 afu ayo jitahidi kutoa kilichojadiliwa ndani
@mcnyoka
@mcnyoka 9 месяцев назад
Acha uongo hii ni ya 28.12.2023
@ponsianaermandus5955
@ponsianaermandus5955 9 месяцев назад
Niwaafrika
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 521 тыс.
UNAAMBIWA HII NDIO SABABU YA KUITWA 'KIGOMA UJIJI'
11:21
Florence Robert - Kik Ikala (Official Music Video )
8:34
MAKALA RFB KIGOMA
15:54
Просмотров 1,4 тыс.