#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watano wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa ya kughushi vyeti vya udereva vinavyotolewa na chuo cha veta na leseni za udereva.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza Wilbroard Mutafungwa amesema kuwa walipata taarifa kutoka kwa raia wema juu ya uwepo wa waharifu hao ambapo askari polisi walifanya ufuatiliaji na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: Spotileo-176...
HabariLeo: habarileo/
DailyNews: dailynewstz/
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
30 июл 2023