Тёмный

Wakazi Vs Godzilla - Yupi Kadhihirisha Kuwa ni Master wa Fresstyle? 

TimesFMTZ
Подписаться 534 тыс.
Просмотров 378 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

12 июн 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 645   
@oswardmkalawa9666
@oswardmkalawa9666 3 года назад
Who else still coming here 2021 for the king zilla R.I.P KING
@ReggaeAndHipHop
@ReggaeAndHipHop 11 месяцев назад
Who else is here after the Khaligraph diss to Tanzanian Rappers.. Keep Resting King Zilla 😇
@ericdenis507
@ericdenis507 11 месяцев назад
me and you both fam😂
@husseinm758
@husseinm758 11 месяцев назад
uyu jamaa maneno mengi amna kitu ziller is killer😂
@godfreyzacharia
@godfreyzacharia 4 месяца назад
Angekuwa hai ilikuwa ni hiit big song r.i.p zilla
@paulmpokwa6792
@paulmpokwa6792 5 лет назад
Who else came here again after the sad news? RIP King...
@kapuchu16
@kapuchu16 5 лет назад
good kenyan music ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-oKgU1oh42TA.html
@asiaasia8443
@asiaasia8443 5 лет назад
Wee unajiita sijui kaza sijui kazi. Kumamako ujui kitu nenda shule mamae wewe. Zilla king of tz 😍😍😭😭R.l.P 😭😭😭😘😘😘
@anthonyngereko2216
@anthonyngereko2216 5 лет назад
Nani bado huwa anarudi hapa kucheki ufundi wa Zilla bila yakujali mistari ya Wakazi aliyokujanayo mifukoni,R.I.P Godzilla.Ngonga like hapa👍
@nazzer0815
@nazzer0815 4 года назад
mwanangu nakujibu leo mzee zilla no one like R.I.P
@jofumzee8222
@jofumzee8222 4 года назад
R.i.p zila hakuna kam yy
@elibarikilukasimakala5534
@elibarikilukasimakala5534 2 года назад
😁
@careenevance1535
@careenevance1535 Год назад
zilla moto mwingine
@joemoen194
@joemoen194 Год назад
Mara kibao huwa narudi
@tekashlee8894
@tekashlee8894 4 года назад
In the loving memory King Zillah RIP
@esamtz2461
@esamtz2461 4 года назад
Zilla Atengwe !.. Mistari ilikua Kwenye Damu Hatumii Nguvu Yani Easy Afu kizaziii ✊🏿
@ruthp8684
@ruthp8684 5 лет назад
Et vijana wengi wanaochana kwa hasira kama hawa wamekimbia mimba....duu R.I.P. King ov freestyle 😭
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Год назад
Wakazi hizo ni written freestyle; Zilla hizo ndo skills freestyle... R.I.P
@sweetbertntinabo4698
@sweetbertntinabo4698 Год назад
S/o salasala S/O stakishari. Real HIpHop. Love, unity, n everything.. Will play this all day long
@calvindonalds5373
@calvindonalds5373 7 лет назад
zila is just chillin yooh... wakazi easy man, that's free styling
@wachugypsumtz5089
@wachugypsumtz5089 4 года назад
R.I.P King Zilla....We miss u Bro
@slickpointer
@slickpointer 6 лет назад
Hahaha Zilla Killed It.... He be On some ish dho...🔥🔥🔥
@abdallahramadhani2621
@abdallahramadhani2621 7 лет назад
Acheni mapungufu yake kama binadamu Tucheki Nini anachofanya kwenye game Zilla kwa freestyle anaweza sana na frestyle zake zinaeleweka Ni misamiati tu yakawaida ambayo mtu yoyote akisikiliza ataelewa Wapo wanajojua zaidi yake,tatizo linakuja namna ya ku frestyle ili waeleweke na misamiati yao migumu Mala nyingi wanatumia maneno magumu sana kwa mtu wa kawaida kuelewa inakua shida. Wakazi ana HIts song Ngapi? Zila ana Hits song ngapi?
@mark-richardopanga6185
@mark-richardopanga6185 7 лет назад
Zilla achagui beat na hcho ndo knachomfanya yy fund kulko huyo wakaz...! big up Zilla!
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 3 года назад
Godzilla Genius wa freestyle! wakazi kaja na mistari ya kujipanga 😁😁😁
@benimagaya7966
@benimagaya7966 5 лет назад
R. I. P King Zilla.. Mwanga Wa Milele Mwangazie
@kulwamsafiri4273
@kulwamsafiri4273 3 года назад
R.I.P zilla
@shafiikanyinyi4285
@shafiikanyinyi4285 5 лет назад
Wakazi n maku dat not free style, King Zilla ndo anapiga free style. Rest in paradize bro
@erickezra
@erickezra 4 года назад
R.I.P Godzilla mwamba hana spare kuma una kubaliana na maneno haya dondosha like
@ramcymosungu4700
@ramcymosungu4700 4 года назад
R I P king kaka zizi, Gd zilla,, broo amepanic Zizi hasthaste,,, R I P
@michaelanthony7470
@michaelanthony7470 7 лет назад
tofaut ni zila ali piga mitindo huru,wakazi amechana mistari alioiandika...
@edwardpatrick8170
@edwardpatrick8170 3 года назад
2020 still rap style hakunaa kama King zillah🤛🤛
@stevetegemea3219
@stevetegemea3219 Год назад
RIP.Zilla..
@mchiadarsizm1052
@mchiadarsizm1052 5 лет назад
Zillah alikuwa Mnyamwezi 😂😂 dah R. I. P Godzilla
@jeremiahmasunzu3437
@jeremiahmasunzu3437 4 года назад
Huyu Zilla labda wangemuwekea Niki Mbishi ...wakazi uwezo kisigino.R.I.P zizz
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper Год назад
I TURNED IT BACK LONG LIVE KINGZILLA 🙏🏿
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Oh! Rest in peace King Zilla.
@shamamamalisa7134
@shamamamalisa7134 5 лет назад
Kama umegundua wakazi anatumia nguvu huku kasimama gonga like
@mwanahella9650
@mwanahella9650 5 лет назад
Tulikua na freestyle man Ngwer kaondoka we got zillar he's gone now😢 We're on pain jamani. Wakazi u btter respect wakubwa zako japo nawe una uwezo wako manina
@kimarogaspar3001
@kimarogaspar3001 4 года назад
Mwana Hella wakaz sio flexible. anaimba mistar yake.
@saydbarakismailiya1515
@saydbarakismailiya1515 5 лет назад
17/02/2019 pumzika kwa amani king zilla
@issackabely4528
@issackabely4528 6 лет назад
Honestly king zilla I really appreciate ya ma boi hip hop mitindo hulu ,staki shali upepo mwingii sanaaaaa team zilaaa aaaaiii
@rashidchibupa8428
@rashidchibupa8428 5 лет назад
wakazi bure kabisa mbona Kama Anatangaza taarifa ya habari respect kwa zilla r.i.p bro
@ramadhanmambea855
@ramadhanmambea855 7 лет назад
wakazi hawezi freestyle,,,,boya anachagua beat hana lolote amebakiza kufuga madevu....Kingzilla namb nyngne
@othumanmassanja5531
@othumanmassanja5531 4 года назад
(1)ngwea (2)Godzilla (3)fid q (4)stamina
@mwangaandrew1402
@mwangaandrew1402 4 года назад
Niki mbishi anakaa WAP hapo
@tekashiixine-to3nw
@tekashiixine-to3nw 4 года назад
Nikki mbishi hana nafasi
@godwinayo5133
@godwinayo5133 6 лет назад
wakazi anatumia nguvu sana kuchana bt zila anachana akiwa amerelax!!! big up zilla
@albertkarisa8620
@albertkarisa8620 7 лет назад
254 mtu tunajua ni King Zilla. halafu Wakazi jua mana ya freestyle. unachana written verses. Big up Zilla kwa kumtambulisha dogo ila ni ajitahidi.
@arthurfesto9026
@arthurfesto9026 5 лет назад
Kifo hakina huruma..Allah atuamshe Hukumu inafuata
@kibwamoko2207
@kibwamoko2207 7 лет назад
Wanazinguaaaaaa!!! wamenimalizia Mbs zangu tu
@allymk7263
@allymk7263 7 лет назад
wakazi writen,,, zilla king of freestyle
@alisaria5356
@alisaria5356 4 года назад
Zila juu uyo jamaa hakuna kitu pumbatupu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
hapa king zila hapa Albert mangwer rest in peace 💔🙏 awajamaa nashangaa media za bongo awampagi heshima king zila Kama wanavyo mpa ngwear
@chobaray
@chobaray 7 лет назад
Wakazi bado sana,
@raymondkombe5621
@raymondkombe5621 4 года назад
kweli ulisema "we gonna miss u when u gone" R.I.P king Zilla
@NgelaTZ
@NgelaTZ 7 лет назад
zilaa n babaaa laoo
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo Год назад
Kali sanaa
@samsonjfundy1896
@samsonjfundy1896 2 года назад
King wa freestyle Zilla,ulikua unaweza bro,RIP zila😭😭😭
@lazarolazaro5535
@lazarolazaro5535 7 лет назад
😁😁10:13 zilla asee .
@ahmedameir2500
@ahmedameir2500 5 лет назад
R.I.P zillah dah amesem watanimiss me when am gone na kwely tunamiss km unamiss Godzillah ngonga like
@davidamukowa2428
@davidamukowa2428 5 лет назад
Nam miss sana
@gsniffer3961
@gsniffer3961 7 лет назад
Zilla is still a King of free style
@saidhassan1096
@saidhassan1096 5 лет назад
Sasa huyo wakazi alikuwa anafanyaje hapo...?
@LumolaSteven
@LumolaSteven 3 года назад
Hakuna kama Nikki Mbishi kwenye freestyle Tz
@KhalidHashim-fs6in
@KhalidHashim-fs6in 21 день назад
​@@LumolaStevenchidi benzi
@mahamedriffa1062
@mahamedriffa1062 7 лет назад
Zilla Huna KITU Banaa... makelele nyiingi sawa sawa na Debe tupu..... big up Amazon swag bovu
@geofreyedgar4579
@geofreyedgar4579 5 лет назад
Zilla noma sana R.I.P Brother
@e-production8655
@e-production8655 7 лет назад
If I would be a producer of the show I wouldnt let Godzilla perfome under influence, Zilla cant battle with Chidi,
@edotraveller9557
@edotraveller9557 7 лет назад
swagger bovu big up bro
@msonjobadman8353
@msonjobadman8353 7 лет назад
always wakaz its the best uyoo zilla Ana stress za billnas Hana jipya zilla uyo
@msongecharles3007
@msongecharles3007 2 года назад
2022 continue resting in peace king zillah
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Noma sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@makassyzakir3505
@makassyzakir3505 5 лет назад
unajua wakazi haya mambo 😭😭😭😭R.I.P god zilla
@sixtuspeter8383
@sixtuspeter8383 7 лет назад
zilla is the best wakazi ni mwoga. zilla ame freesyle mara 3 wakazi hata mara moja. zilla alikua kama ana freestyle na katuni ndo maana aka relax sana. wakazi na kukaa kote chicago sijui alikua anafanya nn marekan au alikua anajifunza kingereza. wakazi ni mwoga sijapata kuona hajui kufreestyle angekubali tuu. zilla will always be the best rapper na yuko kwa game kitambo.wakazi hana hata ngoma ttu redion
@kaybuzohera8112
@kaybuzohera8112 7 лет назад
zillah kadata...na kama vile anakunywa gongo. alikuwa mkali sana siku za nyuma lakini kwa sasa kaisha sana nadhani ni kwakuwa ana stress nyingi mno.
@emmanuelrichard1598
@emmanuelrichard1598 7 лет назад
BIG UP WAKAZI,ZILLA ANAWENGE,HE TRYANA BE A SUCH A BOSS BUT TS JUST A DAWG
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 лет назад
wakazi muoga sana,. hana content..
@andrewamos6887
@andrewamos6887 6 лет назад
wakaz bnaaaa!!!! pga freestyle sio uimb sngs zako
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 24 дня назад
2024 hiphop rest in peace king ZILLA #tellaaxistz
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 5 лет назад
Free style sio kipimo cha Mc mzuri, na most of free style nyingi bongo ni tungo tayari pia hazibebi ujumbe, , emcee kibao marekani hawafanyi free style ila wamefanya mengi mpaka album zao zimefikia gold, platinum, niliwahi kumsikia Emcee wangu kipenzi kutoka Queens Bridge New York marehemu Prodigy of #mobbdeep akisema kuwa I'm, not a freestyle rapper but I make album.. Rip zila
@careenevance1535
@careenevance1535 Год назад
Muongo
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 Год назад
Lete point zako
@IsmailMasasi
@IsmailMasasi Месяц назад
Wakazi anaweza kuwa sio mkali wa freestyle ila vitu anavyoongea vina logic, una Rap au kufreestyle lakini vitu having make sense, wasanii wa Tanzania tunatakiwa kuwa Real kuwa inspired na vitu vyetu thats the meaning of REAL RAP
@husseinm758
@husseinm758 Год назад
2023 nimekuja kumjua uyo wakaz ni nan uyo wakaz ovyo kaz kuwa atack wasanii kisa kakosa tuzo TMA zilla super rapper R.I.P
@chiddymozart7383
@chiddymozart7383 7 лет назад
wakazi anajifaya kujua hip hop lakini hajui maana ya freestyle..
@muhyedinahmed8666
@muhyedinahmed8666 7 лет назад
CHIDDY MOZART Pata pesa ya ukweli kupitia online kufanya kazi kama part time Kirahisi, Pata mtonyo hadi 2500$ dollars ndani ya wiki tu.Haya mwanangu kama vipi fanya u-join hii link👉 casheast.com/?id=43782
@movieclip4456
@movieclip4456 7 лет назад
+Muhyedin Ahmed oy naje em fanya kunidip or kuni sms afu nikucall
@ukashamajaliwa1280
@ukashamajaliwa1280 5 лет назад
Zilla mkali bwana kwa freestyle hakunaga zaidi yake Wala badala yake
@khalfanhamisomar9205
@khalfanhamisomar9205 3 года назад
King zilla ulikua mwamba sana bradhar R I P king zilla,,
@salimsaid2588
@salimsaid2588 11 месяцев назад
Daaàh binadamu wabaya sanaa alipokuwa hai mulikuwa hamumfatili,,,,,,,leo hii khali graph kafanya mujee na rip zaki nafki 😢😢
@lorderpray6465
@lorderpray6465 7 лет назад
zilla amna kitu alafu kalewa..... wakazi Umetisha sana Bro
@zabronadamsony870
@zabronadamsony870 7 месяцев назад
Zilla kila leoo❤ now 2024 but R. I. P 💔😭😭
@dicksound1838
@dicksound1838 7 лет назад
Big up to you ma nicca #Wakazi
@albertpike5893
@albertpike5893 10 месяцев назад
Am really sad indeed sikuwa najua Godzilla alituacha RIP MY BOY MAY GOD TAKE EASE ON YOU BROTHER . level ya zilla labda the late Ngwair Wakazi you came with written lyrics this is freestyle brother anyone can tell you had this in written and that's why UMEKUWA una stammer
@daviddaniel7464
@daviddaniel7464 9 месяцев назад
Sala Sala in the house..we mic yu bro
@eduardobabou3022
@eduardobabou3022 Год назад
King zila King wa Sala Sala ♥️♥️♥️♥️
@jayloveofficial8428
@jayloveofficial8428 5 лет назад
zila mkali anacha vi2 vyahapo hapo siohuyo wakaz anacha nyimbo alizoandika
@raygunmaterial1344
@raygunmaterial1344 7 лет назад
WAKAZI KWA ZILLA KUMBE MUOGA HIVOO !!! KAWAIDA SANA
@sharifabdallah835
@sharifabdallah835 7 лет назад
wakazi vs niki mbishi Bifu yao ilikua tamu Sanaa jpo mbishi alim MurDer all in All tz abt CHALLENGES
@nickybrian1512
@nickybrian1512 5 лет назад
My king zila tisha sana 1oo..
@rockynnko1930
@rockynnko1930 7 лет назад
Zizy u da best...wakaz ajifunze...
@clementlugendo5225
@clementlugendo5225 7 лет назад
wakazi umeua mzazi,,,,,,bonge la diss tract oooh myyyy geeeez
@alicenyellah908
@alicenyellah908 2 года назад
Oooh brilliant zilla my idol
@silaskulwa5224
@silaskulwa5224 7 лет назад
Godzilahh nyamaza huuwezi mzik wa Wakazi... Wakaz popote ulpo agiza cokacola ya bard ntalipa mimi!!!
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 5 лет назад
R.i.p king zilla walikua hawakuwezi kwa free style
@obbymlatino6068
@obbymlatino6068 7 лет назад
zilla piga kaziii ninja usishindane na wasiyo jua fanya music
@jumakimtanange8177
@jumakimtanange8177 5 лет назад
R.I.P zilla 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hassanlunguya5372
@hassanlunguya5372 7 лет назад
zila kwenye freestyle yuko poa na wakazi anavitu vingi vya msingi ila aache ujuaji kila mtu amueshim mwenzie kwenye engo yake
@nickson3473
@nickson3473 5 лет назад
Godzilla alikuwa na big dream But alionewa sana alikuwa na hasira kali
@tonmaroni974
@tonmaroni974 6 лет назад
ilo libonge LPO Vzuri akin kichwan Jaman du!
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Npo 2023 nasikiliza Dah R.I.P Godzilla in peace Mwamba ulikuwa unajua
@samuelgoodlight9294
@samuelgoodlight9294 4 года назад
u go miss me b4 am gone...rip goat we miss you
@basheer4278
@basheer4278 7 лет назад
zilla on 🔥🔥🔥🔥🔥
@UlimeA
@UlimeA 7 лет назад
zilla kweli ni zilla anafanya freestyle sio wakaz kaja na mistar toka kwako zilla anatoa hapohapo
@andrewamos6887
@andrewamos6887 6 лет назад
WAKAZ DOLO!!! MC UTACHAGUAJ BEAT BNA panda na beat acha ushari
@basilmnyagala2299
@basilmnyagala2299 7 лет назад
zilaa n Genius lakn cio kwa NIKK mbishi....wakaz bado thanaa kwa freestyleee ajpange ivo tyuuuu
@wemadoktarmichael6448
@wemadoktarmichael6448 5 лет назад
Madawa ya kulevya sio mazuri kabisa cheki sasa yuko kama chizi yaani kaenda studio kalewa
@jabbydux
@jabbydux 7 лет назад
wakazi kapaniki kinoma,,, zilla is more relaxed! but zilla uzungu mwingi! but u r dope
@MultiMbongo
@MultiMbongo 7 лет назад
uzungu mwingi na wakati hajui anajiabisha sana bora awe anaongea kiswahili wes cos,i got my own dileckta, i work on m y own from the street,aibu aibu,aibu
@obbymlatino6068
@obbymlatino6068 7 лет назад
Emma Bright FLB true dat
@vicentykikoti5936
@vicentykikoti5936 7 лет назад
af mtangazaji anapendelea kwann I'lo linachagua biti
@ezekielmichael3854
@ezekielmichael3854 5 лет назад
Tutakukumbuka brother
@imrannassib1011
@imrannassib1011 5 лет назад
U kill it wakazi #stakishari
@husseinm758
@husseinm758 11 месяцев назад
2023 i here after khaligraf kasema wakaz amna kit ni kwel rapper gan anachagua bit but ziller best rapper R.I.P
@breymbasa3451
@breymbasa3451 Год назад
Wakati hakuweza kuingia moto wa zz na hatoweza daima ndo ishakuwa hvyo R.I.P king zz
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 года назад
Zila Moto wa mbalii Hakuna Atakae fikia level ya Zila
Далее
Мой инстаграм: v1.ann
00:13
Просмотров 75 тыс.
Разоблачение ушные свечи
00:28
Просмотров 644 тыс.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 59 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
WIKI 10 ZA MAANGAMIZI : UNTOUCHABLE NA RICH MONSTER
13:00
Дрифт на самолёте
0:16
Просмотров 1,2 млн