Тёмный

Wakenya mpakani Namanga wanunua petroli Tanzania huku wahudumu nchini wakilalamikia kukosa biashara 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Madereva katika eneo la mpaka wa kenya na Tanzania sasa wanaelekea nchini Tanzania kununua petroli na dizeli ambayo inauzwa nafuu nchini humo. Aidha, wakenya wanaouza bidhaa hiyo mpakani wanalalamikia kupungua kwa biashara kutokana na kuongezwa kwa bei ya petroli na dizeli ambayo inauzwa sasa kwa zaidi ya shilingi mia mbili kwa lita.

Развлечения

Опубликовано:

 

19 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@chichiresian9645
@chichiresian9645 10 месяцев назад
Great, tutahamia huko .
@myfriends289
@myfriends289 10 месяцев назад
Nimefuata petroleum Tanzania nikapata mrembo Sasa kwaheri Kenya....😂
@alphageorge5563
@alphageorge5563 10 месяцев назад
Hata mlipoishiwa US$ mlikimbilia Tz
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 10 месяцев назад
Church rats government haoni aibu kwa hili linaloendelea
@saitotigeorge654
@saitotigeorge654 10 месяцев назад
Mafuta ya Tanzania inaharibu magari 😂😂😂
@wilhardtarimo386
@wilhardtarimo386 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂nimecheka
@saitotigeorge654
@saitotigeorge654 10 месяцев назад
@@wilhardtarimo386 wanatafuta tu njia yakutuchafua lkn ndio hvyo wanakosa 😂😂
@chibudangote0126
@chibudangote0126 10 месяцев назад
NATAFUTA URAIA WA TANZANIA
Далее
Наше обычное утро 💕
00:42
Просмотров 2 млн
Papa Francis atembelea chimbuko la Uislamu
0:47
Просмотров 81 тыс.
Maamuzi ya CHADEMA baada ya Sugu kuhukumiwa
1:51
Просмотров 63 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 412 тыс.