Тёмный

WAKILI ANAYEWATETEA MADADA POA PETER MADELEKA AIBUKA MAHAKAMANI WAKISHINDA KESI WALIPWE 

Bongo Touch
Подписаться 738 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@severinimkini4116
@severinimkini4116 Месяц назад
Hongera sana Madeleka. Haki la wewe ni Mzalendo, wanyooshe hao wanaopindisha taratibu za ufanyaji kazi kwa maslahi ya vyeo vyao.
@user-ss6ey3ge1d
@user-ss6ey3ge1d Месяц назад
Tokomeza umayala ayo ya sheria ni yako tokomeza umalaya ndio muhimu kwa taifa hili
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Месяц назад
Wakamatwe pia mashoga na wasagaji ili tuamini tunafuata sheria.
@EzekiaMbuba-ix8br
@EzekiaMbuba-ix8br 8 дней назад
Madeleka anajiamini sana kwa sababu anaijua sheria
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 21 день назад
Huyu Jamaa anaakili sana sana, MNAHOJI BILA KUJUA SHERIA HATETEI KUHUSU UMALAYA NA KUJIUZA ANACHOSIMAMIA NI SHERIA JUU YA WALIOKAMATWA wakihusishwa na kujiuza pia DC hakutenda haki kwenda na camera ni udhalilishaji ilihusisha mpaka mpita njia tu unajikuta unakamatwa unawezaje kumtambua mtu anayejiuza kma wewe sio mnunuaji. Furahi na Cheka kwakua halijakukuta.
@PeterMchomvu-gv1bq
@PeterMchomvu-gv1bq Месяц назад
Hakuna kosa mtu kuuza mwili wake polisi wahamie mitaani wanyoa kiduku😂wakamatwa waondoa plet number
@DullaMimi
@DullaMimi День назад
Kwili kabisa uyo akimu ache kazi makama ni jengo la uma simtu binafsi
@robertzingu9889
@robertzingu9889 Месяц назад
Mmh, hii kalikali kwelikweli. Yaani polisi hujui unamkamata mtu kwa kosa gani badala yake unawaburuza tu watu na kuwaweka selo?? Huu ni u - polisi au uhuni na ujambazi tu? Je, ni kwa kuwa tu umepewa amri na Mkuu wa Wilaya? Bongo tuna kazi kwelikweli!!
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Месяц назад
Alafu mnasema police wakenya hawana akili kumbe wanajua Sheria 😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Nchi hii tumekubali kufanywa hivyo ndio maana tunaburuzwa tu
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
​@@deogratiusyudatadei5658Wanajua Sheria na wanajua wakiua watu watapelekwa Mahakama za Dunia za Haki za binaadamu kama walizopelekwa wale walioua Rwanda .Kwa hiyo wanajua mipaka yao ,hata hapa Tanzania ni vile hawajadhuru raia la sivyo huwa Dunia inaona .Kumbe Raisi Ruto Jana aliamuru Jeshi liingie barabarani lakini wamegoma maana wanajua wajibu wao na wanajua hatma yao itakuwa ni Jela
@mwajabuYusuph
@mwajabuYusuph Месяц назад
Hii game GG haitoii😮 man
@UstadhiRai
@UstadhiRai 7 дней назад
Huyu wakili anaoneka siku za mbeleni atatetea ushoga wakili shoga huyu
@Ntabalibabbutuga
@Ntabalibabbutuga Месяц назад
Kweli kabisa
@jilumbabathold6769
@jilumbabathold6769 27 дней назад
Wakili nakukubali mm mkazi wa Mwadui njoo ututetee Wahanga wa Mwadui
@NellyDibaling
@NellyDibaling Месяц назад
Uyu jamaa ni mtu na nusu anajua anacho kifanya
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
TEMBEENI MADADA POWA HAWAJAWAHI KUISHA TAUNI...HAMUYAJUI MACHAKA NYIE
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Месяц назад
Makahaba wanaisaidia sana serikali dhidi ya ubakaji,maana wasiojua kutongoza wanaonyesha hela tu na kupewa huduma ,
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Месяц назад
Siyo kweli
@SalmaSuleiman-ir7zt
@SalmaSuleiman-ir7zt Месяц назад
Selikali hainakazi yakufanya kwasasa madada powa tokaenzi za
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Месяц назад
Tunajenga Utamaduni gani kwa taifa kama watu watakuwa wanajiuza kutakuwa na madada watakaokuwa tayari kujenga familia
@devangandhl2255
@devangandhl2255 Месяц назад
Wakili uanwatetea watanzania wote itakuwa hatari kukamatana kwa mavazi na sehemu na muda ya ulilokuwa
@azizimtege
@azizimtege Месяц назад
Ivi kumtetea malaya hujui kama ni kumkosea mungu au huyu wakili hana dini? Anajionesha kuwa yey hajitambui Mmmmh
@ZawadiHaidary
@ZawadiHaidary Месяц назад
Usiihusishe sheria na dini
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 Месяц назад
Je yesu pia alimtetea Malaya??? Hakuna aliyemsafi , Soma kilichotokea Italy mpaka serikari nzima ikajihuzuru
@richardrobert2203
@richardrobert2203 20 дней назад
We mwenyewe Malaya,,,
@PeterJustin-ke5mk
@PeterJustin-ke5mk Месяц назад
Samahn naomba namba za wakiri peter madereka
@SofiaNdundu-ty3jz
@SofiaNdundu-ty3jz Месяц назад
We wakil taira ww
@wisebigalaleftfwambo7928
@wisebigalaleftfwambo7928 Месяц назад
😅
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
NLIKUWA NAKUKUBAL ILA KWA HILI UMEJICHAFUA KUNA WATU WA MAANA AMBAO UNGEWEZA KUWA SAIDIA MAHAKAMAN SIO HAO😢😢😢😢
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Месяц назад
Kajichafua kwa lipi sasa. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio unakurupuka tu kukamata watu.
@kalebomawande6057
@kalebomawande6057 Месяц назад
Kizazi cha rutu yaani Sodoma na gomola kibeliti kinawahusu
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Месяц назад
Uyo akimu atakua ni ccm asie elewa shelia na aki
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 Месяц назад
KUNA WAJINGA WANATOA MAONI YA KISHABIKI BADALA YA KUSOMA SHERIA NA NINAWÀSHAUTI WANATOA MAONI YA KISHABIKI WAKASOME SHERIA ZA NCHI.WASOME CLIMINAL LAW,CLIMINAL EVIDENCE,CLIMINAL INVESTIGATON ZOTE WASOME PIA WASOME KATIBA YA NCHI INASEMAJE WASITOE MAONI YA KISHABIKI
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 26 дней назад
Ila kazi ya wakili ni mbaya wakàti mwingine unatetea wazinifu kweli ogopa siku ya kiama utakuja ulizwa na mungu hawo wale mijekedi na wakirudia wanyongwe pamoja na mashoga wanyongwe itungwe sheria madadapoa na mashoga wanyongwe ili iwe fundisho
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Месяц назад
Wee wakili Subirikdg utavuna ulicho kipanda unatetea zinaa pumbavu bora miye nisiyesoma
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele Месяц назад
Pumbavu kabisa unatetea uovu yaan unaongea ujinga, Hawa mawakil tukae nao chonjo kumbe Hawa makil ndio wanaoharibu maadil shenzi kabisa wakil kenge
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Месяц назад
WAKILI uwe upande wa neno la MUNGU amri ya 6 inasema USIZINI ...Wacha MUNGU wote tunakushangaa
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 Месяц назад
Hii sio nchi ya kidini
@msafirithomas7751
@msafirithomas7751 Месяц назад
Kweli nimeamini hizi ni reasoning age wakili na akili zake anatetea upumbavu huu is very sad kabisa mungu wewe atakuhukumu
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 29 дней назад
Hana hata haya anajiona Yuko Sawa mungu atakuuliza utakapofika mbele ya hukum yake
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 8 дней назад
Wakili ana mtete mtu yeyote, hata wewe ukiwa na shida utatetewa.
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Месяц назад
Weewe wakili unayetetea umalaya mungu anakuona
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
YAN KWEL UNATUMIA TAALUMA YAKO KUTETEA UKAHABA
@issashekh4726
@issashekh4726 Месяц назад
Hii nchi inahitaji watu makini sana
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Месяц назад
Ipo haja police wapewe eleimu zaidi
@HussenMkisi
@HussenMkisi Месяц назад
Huyu hakimu analana
@user-nn2hl1tw3z
@user-nn2hl1tw3z Месяц назад
Huyu wakili na yeye ni malaya vile vile kama hao anao watetea
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Месяц назад
😂😂😂kumbe na ww umeona eee😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Месяц назад
Wewe mwenyewe na mamako malaya umezaliwa mkunduni
@mohddelo
@mohddelo Месяц назад
Huyu wakili anatetea machakudoa ni shoga
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Месяц назад
@@mohddelo wewe ndio shoga kenge wewe tena kuma
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Месяц назад
Hawa mapolice nao wanatumika vibaya, yaani unakwenda kuwakamata watu bila kujua unawakamata kwa kosa gani, hii ni aibu, nakuomba sana kaka Madereka wanyooshe hao watovu wa nidhamu.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Watanzania bhana kwa hiyo hamjaona kosa, mawakili Mungu anawaona
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Месяц назад
​@@edsonnelson4464 ww onyesha hilo kosa
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Месяц назад
Wewe ni ziro pita huna akili
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 Месяц назад
Nishoga huyo wakili Unatetea umalaya
@makindimbo1851
@makindimbo1851 Месяц назад
Mungu akusamehe kwa hujui unachokisema..
@ZawadiHaidary
@ZawadiHaidary Месяц назад
Nyie hamjui nini anachokipigania hapo
@FredrickMnyakiwele
@FredrickMnyakiwele Месяц назад
Ila kweli tukiwambia mawakili wa chadema mkapimwe akiri mnakataa
@makindimbo1851
@makindimbo1851 Месяц назад
Pole kwa ufahamu wako mdgo....hao waliokamatwa ni chadema...
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 29 дней назад
Wakili anatetea yeyote yule,hata CCM wakimhitaji anawatetea ni kazi.
@user-vv6ox9xh9k
@user-vv6ox9xh9k Месяц назад
Nashuhudia Dunia inavyomalizwa na wasomi 😅
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Месяц назад
Sijaona wakili mjinga Kama huyu unatetea jambo ambalo limeharamishwa na mungu au Hana dini huyu?
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 8 дней назад
Wewe ni mangapi unaya Fanya ambayo ni haramu.
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Месяц назад
Mjinga ww angelifanya mama ako je
Далее
Я НЕ ОЖИДАЛ ЭТОГО!!! #Shorts #Глент
00:19
PORTAL SPAMMER🤬🤬🤬| Doge Gaming
00:19
Просмотров 1,9 млн