Тёмный
No video :(

Wammetibua Putin! Amewatandika, Huu ndio undani wa Grain Deal - Na Dj Sma 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 328   
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
Alafu kuzuia ngano yote hio kuja Africa bado tumpinge Putin, support for Russia forever❤
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Год назад
Good Dj sma nakupendasana bro vidonge bilamaji navipatabilakinyongo wewenimzalendo waafrica❤❤ from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda wanaurusi gonga 👊👊👊 tujuane❤❤❤
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Utruki naionea huruma Kama alisadiwa alitaka kupindiliwa mrusi akamsadia Leo na kuendelae atalia hii makala zako ❤ djsma nimevijua vitu vingi Sana
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Geographic position ya turkey inambeba kuwa na manufaa Kwa pande zote so sio rahisi hivyo ,
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Год назад
Uchambuzi Wako naupenda Sana. Mungu akubariki, pamoja Sana..
@methodjasson2159
@methodjasson2159 Год назад
well done dj sma nasikiliza toka Burundi for real unafanya vizuri sana,pole kwa uchovu wa kiakili maana umesema umechoka sana❤❤❤
@mwasakaseti8139
@mwasakaseti8139 Год назад
Thaanks jdsma,, from katavi Europe kimeshaumana,,, sasa kwetu waafrika tujiimarishe kifikra tuache utegemezi usio na tija kwa vizazi vijavyo.
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 Год назад
Nimefurahi sana yaani umewaambia kabisa huu mtaa is not western street waende huko wakadanganywe na western mainstream media
@simonmshani804
@simonmshani804 Год назад
Hongera Dj Sma makala zako zote nazifuatilia, nipo DODOMA Tz
@abdulfatahmohamed8008
@abdulfatahmohamed8008 Год назад
From dar good work unafanya Ila mrusiii babalao
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Год назад
Shukran saaaaana SNS Na DJ
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Год назад
DJ smaa NAKUBALI sana FROM PEMBA nawakilisha na pole SANA na changamoto za kuandaa matirioe ❤
@sylvestermhoni5637
@sylvestermhoni5637 Год назад
Hakika uko vizuri mwamba, keep it up.
@user-sp7ug6sf4t
@user-sp7ug6sf4t Год назад
Asante sana kwa ujumbe.Hua inaniumiza sana waafrika kutoelewa hii mbinu ya NATO kuua nchi maskini.Mara nyingine hua nawaskiza waafrika wenzangu wakiongea but these children are ignorant,hawaelewi mchezo unaoendelea.Kinachonitia moyo ni kwamba Kuna watu kama ww ambao wanaelewa vilivyo.Asante kwa kazi yako.
@abduljuma7807
@abduljuma7807 Год назад
Asante sana mrusi ana takanini tena ushauri asimame kuirekebisha Dunia hasa Afrika tuwakatee wazungu
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 Год назад
Kazi yako nzuri nimeipenda nipo cape Town big up
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 Год назад
Hongera Sana dj nimekupa vizuri Kama mdau wa SNS kgm
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Год назад
Hahaha mzee wa mikwara Teeeck Dj 55. Sawa mchambuzi. Noma sana
@Hamad-gy2og
@Hamad-gy2og Год назад
Nakubali sna uchambuzi wako bg up👊
@shau78
@shau78 Год назад
Putin hakosei. kila kitu anapatia tu. wengine wote ni vilaza kasoro Putin. alafu huyo McGregor hujawahi kumsahau DjSma. yeye ndie chanzo chako kikuu cha kuaminika. super sana mzee wa facts.
@tarickmpemba6007
@tarickmpemba6007 Год назад
mashallah nimependa ulivoanza na Asalam aleikumu❤
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Год назад
W/salam Smaa tuende kazi
@davidjohn4239
@davidjohn4239 Год назад
Umetisha kinoma bro🙌🙌
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
❤djsma tulete ya fetha na mbadala wake na mazara yake
@nsusabudda2951
@nsusabudda2951 Год назад
Asante
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su Год назад
Dj sms👏👏👏 upo vizurii....nakusikiliza kutokea hapa Geitaa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Kuna wakati mtu mmoja aliwahi sema Edorgan ni kigeu geu sasa nimeamini baada ya kupewa hela kasahau kila kitu
@abdulgwelo7150
@abdulgwelo7150 Год назад
Nakuelewa sn dj smaa
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Год назад
Uko vizuri DJ
@innocentmtemba433
@innocentmtemba433 Год назад
Dj sma hongera kwa kutuunganisha kwenye makala amaizing kweli wewe Ni fuse okey Kuna hii inansu ya dola kuadimika je ndiyo inaondoka au kuanguka or ndiyo Ina imarika Mrusi ameshinda kwenye mipango yake?
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Год назад
Safi sana mr DJ ❤❤❤ 🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪💯
@shafiibakar704
@shafiibakar704 Год назад
Ali b nasikiliza from zanzbar
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Год назад
Asante sana
@onesmojeremia9713
@onesmojeremia9713 Год назад
Wakiendelea hivi jamaa atapiga nyuklia kabisaa.
@water_music40
@water_music40 Год назад
mimi ni mtanzania. 😂😂😂😂 kenya ndugu zetu wamepata ngano, hadi putn ameitaja inchi ya kenya. Watu wanasema kenya inchi ndogo wajue sasa kenya sio nchi ya mchezo mchezo....
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d Год назад
Acha kuleta za muamba ngozi Kenya so lolote kwa mrusi hapa Africa mashariki Tanzania ndo Nchi kinara tunao julikana na mrusi toka Enzi na Enzi Bali Kenya Ni wasaliti mlio fuata Siasa za America ndo maana Mrusi Aliwataja kwa Njaaa na Siku zote Njaa Ni Sifa mbovu kabisa hivyo Kenya hamna lolote Viva Tanzania Alluta continue Tanzania Nguvu moja Kama Simba wenye Nchi.💪💪💪💪Kenya Ni Njaaa kwa kwenda mbele Pumbaav.😮😮
@mahadmatebe9775
@mahadmatebe9775 Год назад
Kutoka dsm tuandalie makala faida ya uturuki kujiunga Europe mpaka edo garn atake kujiunga
@jumajames1767
@jumajames1767 Год назад
Nakukubali sana mwamba
@jumaothman5019
@jumaothman5019 Год назад
Duh makala nzuri
@shakzystone1112
@shakzystone1112 Год назад
nakubal brother
@josephmahona
@josephmahona Год назад
Nakubari Sana big brother ✊
@JosephatMasunga-bl4vb
@JosephatMasunga-bl4vb Год назад
Makini
@enockzuber1860
@enockzuber1860 Год назад
Smaa uko🔥🔥🔥🇹🇿
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Год назад
Waleykum Salam
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Binafsi Putin namuona ni bonge la kichwa duniani
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Год назад
Hassani nakupata nikiwa manyara mirerani
@SaidiAlly-jy6be
@SaidiAlly-jy6be Год назад
Kijana nimekukubali upo vizuri
@abdallahmanirakiza175
@abdallahmanirakiza175 Год назад
Bick up Dj Sma❤ iam from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Год назад
Mzee baba kipala chenye akilinyingi anza kokote pale tutakuelewa tunaokufatilia tangu mwanzo🎉🎉🎉🎉❤.
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Год назад
Kka nakubali makala yako from Kenya Mombasa respect
@KasalambaJuma-tc8yt
@KasalambaJuma-tc8yt 8 дней назад
Kaka nimekuelewa sana kuhusu uchambuzi huu hongera kwa ufanisi wa KAZI Yako mungu akubaliki🫡🫡
@SalfAly
@SalfAly 4 месяца назад
Saf sana,mr,putin for what u do on western in battle field
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
DJ Sma nakubali sana vingine wasivosema siraha zao zinaangamizwa huko Ukraine wao wamebaki kupiga propaganda kwenye media zao za kimagharibi
@josaphatjames1367
@josaphatjames1367 Год назад
Watching from 🇸🇪
@mariammasunga8410
@mariammasunga8410 Год назад
Unachambua vizuri sana tunakuelewa sana hongera sana tunakushukuru sana tunaomba utuandalie makala ya ulinganifu wa silaha za mrusi na silaha za wa magharibi jinsi zinavyo lingana na kutofautiana kiubora shukrani Kwa uchambuzi mzuri
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Год назад
wewe ndo mwenye abari za ukweli ndani yake mungu azidi kukupa akili zaidi yani unafanya nijisikiye raha sn 🇨🇩 nipo kongo d r c uvira
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Год назад
Nilikuwa nasubiria huu uchambuzi
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Год назад
HAPO SAWA KWA LEO
@francismichael1258
@francismichael1258 Год назад
Nakukubali sana mtu wng, kapige mishe hilarious usitusahau
@jumaruhizoh9669
@jumaruhizoh9669 Год назад
Uko vizuri sana unalikiwe
@rajabumurondegwa6097
@rajabumurondegwa6097 9 месяцев назад
Mimi ni rajabu kutoka London nafutahiya malezo yako unachsmbuwa habari vizuri sana
@robinsonswai5929
@robinsonswai5929 Год назад
Dj Smaa ...ubarikiwe sana..kiUmri wewe kwangu ni Dogoo..bu ki Institution your my Boss...wewe ni mpekenyaji wa Infi..wala hulaumiwi labdsmpumbavu...una Hekima kubwa sana..Mungu akupe nguvu kwani unatimia nguvu nyingi sana KuReseach na kutuhabarishs..kama ni elimu wewe ni an Institution my bless will be conveyed on in you life bro get cool
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 Год назад
Kaka hongera sana maana nauona uzalendo wako
@KaswarraKabagambe-gu1zm
@KaswarraKabagambe-gu1zm Год назад
Your are number one my friend
@user-ix4fv2nj2v
@user-ix4fv2nj2v Год назад
Putin mtu wa miakili mingi mungu mpe maisha marefu❤
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Год назад
Asante kaka mimi nakufuatilia nikia burundi
@shuaibsalim9816
@shuaibsalim9816 Год назад
I follow up RU-vid channel Redacted and most what you talk about Dj sma checks nakuaminia sana bro..continue enlighting us
@user-je6xm3zf3d
@user-je6xm3zf3d Год назад
Safi Sana Nasikilizia Toka Mwanza Mjini
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Hawakujua au maksudi tu maana kuvunja huo mkataba nchi za magharibi wameyataka
@MohamedHasan-kt4lw
@MohamedHasan-kt4lw Год назад
Nakubali asilimia 💯% ya uchambuzi wko, ila mbona Putin haichukuhi hyo Odessa kma alivyo chukua majimbo manne???
@ballackenock
@ballackenock Год назад
Kaka Djsmaa255 chukua 🌹🌹🌹🌹
@josephmaina8338
@josephmaina8338 Год назад
Good job .... From Kenya
@cizaamissiamissi6182
@cizaamissiamissi6182 Год назад
Dj Sma ❤❤❤❤
@user-qw1th7yp4t
@user-qw1th7yp4t Год назад
Asalam aleikum warakhmatullah wabarakatu kwema ukweri kabisa nakusikiliza nikiwa south Africa ndani ya cape Town
@jumaciza461
@jumaciza461 Год назад
Top news ❤🇧🇮
@user-tm5jl5ym8q
@user-tm5jl5ym8q 28 дней назад
Dj mimi nina kukubari vizuli sana mola hakujaalie afya njema
@niyonzimabakari
@niyonzimabakari Год назад
Mpaka kieleweke 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@erickrakitic9113
@erickrakitic9113 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@abdulfatahjuma5355
@abdulfatahjuma5355 Год назад
Safi sana Dj sma
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Год назад
Kutoka Mwanza,nakubali mzee,kazi nzuri sana,Sema tupia namba ya muamala ili ukichoka tu tunakupoza na muamala.big up sana
@djsma255
@djsma255 Год назад
soon naweka 🙏
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Год назад
@@djsma255 💪
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
@dj sma nlikuwa naomba utueleze Ni kwanini mturuki ndio anaetoa au ndio anaepeana ruksa ya inchi kujiunga na NaTo na sio America au UK E.t.c
@n.dvillagirl3272
@n.dvillagirl3272 Год назад
Putin anajuwa kuukocha moyo wangu🇩🇰🇨🇩
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 Год назад
Ok big up
@AbuunumanBakar-pf8lw
@AbuunumanBakar-pf8lw Год назад
Kaka una habar nzur hadi unyama hongera
@andrewmwabenga-qn8ew
@andrewmwabenga-qn8ew Год назад
👊 hizo mtu wangu big up sana, for real nikikusikiliz na kisha kuskiliza stream media nazidi kufunguka, hofu yang kwa turkey 🇹🇷 maana naamini ana uswahiba na putin pindi akiruhusiwa kuingia umoja wa ulaya hatakua mvujishaji wa siri kweli!!! Amani toka Bongo 🇹🇿
@KijaSayenda-jo4iy
@KijaSayenda-jo4iy Год назад
Sawa
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga 19 дней назад
Dj smaa Africa ni yako
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Год назад
Walisema purtin haiwezi vita na hamaliziwezi hapa ni wapi nauliza hivii hapa ni wapi?
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Год назад
Jifunze kiswahili
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Год назад
@@miltonjohn9779 Nakijua vizuri tu, tena kuliko wewe nikujuze tu kama hujui hapo hautumiki mdomo, kinachotumika ni vidole gumba vyote viwili, nawe ushajua kwamba hujui chukua hiyo ukajifunze nawewe
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 Год назад
Nilikuwa nakusubiri ndugu yangu habari zako zenye utafiti wa kina god bless you
@FaizaJeizan
@FaizaJeizan 6 месяцев назад
Hongera kwa kutujulusha mungu akubariki
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Год назад
Safi sana
@antonydorian1402
@antonydorian1402 Год назад
Safi dj sma🤝🤝💪
@katyamoses2754
@katyamoses2754 Год назад
Wewe ndio masta plan wetu dj hakuna kama wewe
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Shukran bro, kazi kubwa unafanya, dah!
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu Год назад
One love Russia,daima tupo pamoja nawewe.laur from Tanzania
@Hija.F.A
@Hija.F.A Год назад
nice you...
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Год назад
Bro mwenye MaIQ yake hapa mjini👏👏👏👏👏
@nafuutayb8452
@nafuutayb8452 Год назад
Dj smaa endelea kutoa vidonge bila maji wasaliti wote hii vita itawamaliza, mungu akulinde hongera sn
@user-qm7wy2ms4r
@user-qm7wy2ms4r Год назад
Nakushukuru ndugu tupo pamoja nashiba Bila kula ufafanuzi wako mzuri.nasikiliza kutoka msumbiji.mungu ambariki Putin.
@abdulmohamed4156
@abdulmohamed4156 Год назад
Yaani mpaka mwaka ukimaliza Russia hajamaliza vita sitaamini tena wakati alisema mwanzo anamaliza vita mwezi tu😂😂😂😂
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Год назад
Ur da best of da best bro from🇿🇦🇿🇦
@OfficialBANNYTz
@OfficialBANNYTz Год назад
YEAH THIS IS DOPE UKIRUDII NA HUU MKUTANO WA AFRICA NA RUSSIA
@nsubiraphael8514
@nsubiraphael8514 Год назад
Kaka uko vzr ubarikiwe
Далее
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 27 млн
ПОЁМ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
2:04:11
Просмотров 1,1 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 27 млн