Тёмный

WANAKIJIJI''TOKA MWAKA 1970 WAZIRI YEYOTE HAJAWAHI FIKA KIJIJINI WAKWANZA KAWAWA,NDALICHAKO WAPILI'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Waziri wa elimu sayansi teknolojia na mafunzo ya ufundi Prof Joyce Ndalichako ametoa mchango wa mabati 72 na mifuko 50 ya saruji kwajili ya ujenzi wa Kituo cha afya katika Kijiji cha Marumba kata ya Muhunga wilayani Kasulu Mkoani Kigoma jambo litakalowasaidia wakazi wa kijiji hicho kuacha kutembea umbali wa kilomita 50 kufuata huduma za afya .
Waziri Ndalichako ametoa mchango huo katika harambee ya kuchangia ukarabati wa kanisa la mtakatifu Agustino kijijini hapo kanisa ambalo lilianzishwa tangu mwaka 1945 ambapo zaidi ya shilingi million 20 zilipatikana.
Aidha wakazi wa kijiji hicho wameeleza kuwa ni takribani miaka 70 sasa tangu hayati Waziri Rashidi Mfaume kawawa kufika kijiji hapo hakuna kiongozi yoyote mkubwa aliyewahi kufika ambapo waziri Ndalichako amewahidi kuwa kuanzia sasa viongozi mbalimbali wataanza kufika kijijini hapo.

Опубликовано:

 

15 сен 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 160   
@princeramsay6638
@princeramsay6638 4 года назад
Nakushukuru millardayo kuonesha kijiji chetu mungu akubalik
@musasimba3689
@musasimba3689 4 года назад
Nikisema katika media Mirradiayo ni Namba moja piga kazi waonyeshe kijiji Kama hawana mbunge du!
@bahatihamokazana2usileweus254
@bahatihamokazana2usileweus254 4 года назад
Nikweli kabisa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 года назад
Ilitakiwa kila mbunge anayegombea kwenye eneo flani akakae huko alikogombea,siyo wanajazana mjini tu
@erickfene1642
@erickfene1642 4 года назад
hongela umi mwalim kwa kwenda kijiji cha marumba nashauli kila wazili afike kijiji cha marumba
@alexmmary8887
@alexmmary8887 4 года назад
duuuu na mm ndio mwanakijiji ambaye nina smart hapa kijijini kote haijawahi tokea tokea1970
@gladymndala1061
@gladymndala1061 4 года назад
Alex Mmary 😂
@josetambali4122
@josetambali4122 3 года назад
Duuuuu
@petermbalawata1102
@petermbalawata1102 4 года назад
Nakbl bro millardayo 🔥🔥
@mudystarog1381
@mudystarog1381 4 года назад
Aisee poleni Sana ndugu zangu wa kigoma kwa changamoto mnazozipata
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Kiukwel baadhi ya viongozi wakishapata madaraka wanawasahau wananchi wao😬 inauma sana
@hasanially9294
@hasanially9294 4 года назад
Mashallah uko powa sana
@hasanially9294
@hasanially9294 4 года назад
Habari hazikupiti mashallah
@idayagangs124
@idayagangs124 4 года назад
Watu wanafumukiana vitambi mijini kazi kwelikweli
@michaelkabeta7974
@michaelkabeta7974 4 года назад
Duuh viongoz wamejazana mjini tu
@hapyness2504
@hapyness2504 4 года назад
Millardayo kazi nzuri proud of kigoma
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Kanisa Hongra kwa kazi nzri ya kuhudumia jamii,
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Kwa kweli mko vzr ndgu zangu kwa mambo ya maendeleo msiogope Mheshimiwa RAISI RAISI wetu na mawaziri wa awamu hii wako vzr jiandae na ugeni pamoja na misaada kama YOTEEEEE VIVA JPM
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 года назад
Mawazili mme lala! Kazi ya kuisaidia Tanzania kama inawashinda vile! But the people of Kasulu they're so smart. God bless them!
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Ivi ata rahisi nyny mwamjuwa kweli jamani poleni sana wakija kuomba kura mwawapa wanafki hao
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 года назад
Yaaani,,inauma jamani😭😭😭 et tangu 1990 kawa waziri wa pili kufika huko marumba,VERY SAD
@kelvinvitalis175
@kelvinvitalis175 4 года назад
Inamaana mpaka wahitaji waziri aendee kijijini kwao inamaana hata mb'unge wao hawamfahamu hatari viongozi wajibu wenuu sasa ni hupi watembeleeni wananchi itakua safi Sana
@allyrussinga3703
@allyrussinga3703 4 года назад
Hyo kwakuwa imerushwa ktk mitandao lakini vijj vingi sana vipo namna hii au zaidi tz yetu
@mamachris6811
@mamachris6811 4 года назад
Vijiji ni Vinci sana Viongozi wawajibike kwa ngazi zao
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 года назад
Duuu balaa poleni kwa kweli 🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️
@japharikarume7887
@japharikarume7887 4 года назад
safi sana
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 года назад
Sura zao nzuri kweli km hawaishi kijijini!
@agathaagustino2820
@agathaagustino2820 4 года назад
Hinayo karisana vijijihivi tunakushululu kwakufika nyumbani karibu sana
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Zito je yupo ubeligiji au ujerumani
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 4 года назад
Hongereni Wana Marumba
@kbpfurniture4358
@kbpfurniture4358 4 года назад
Aisee nimefurahi sana kuona leo kijiji chetu kimekumbukea, nakumbuka toka nizaliwe ndio mala ya kwanza kuona kiongozi mkubwa anafika kijijini kwetu, hadi leo ni na miaka (26) dah?
@kbpfurniture4358
@kbpfurniture4358 4 года назад
Na sikuwahi kusikia eti kuna kiongozi aliwahi kuja kwetu, binafsi niwaombe viongozi watujengee sekondari pamoja na kumalizia zahanati, tutafurahia sana sana, tunateseka sana wana Marumba,
@hiralidismasi6164
@hiralidismasi6164 4 года назад
asante kawhata
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 года назад
Ama kweli kigoma wamesahaulika kimaendeleo Jamani inauma sana , Ni mbunge gani mliyemuchangua ambaye hatatui kelo za wananchi wake. 2020 msimupatia kula chagueni mwingine ambaye atawatatulia kelo zenu.
@giftgodson5603
@giftgodson5603 4 года назад
zito kabwe
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 года назад
Kweli ni zitto kabwe au umenidanganya.
@giftgodson5603
@giftgodson5603 4 года назад
nadhani ni yeye ila huyu waziri yeye ni mbunge wa viti maalum huko lakini alie na jimbo nadhani ni zito labda nisahihishwe kama nimekosea
@arexmerck2324
@arexmerck2324 4 года назад
apana sio zito kabwe yure nijembe yye anaongoza kgm mjini iro nijimbo riko chini yambunge mwingine Kasul
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 года назад
Arex Merck Alex sikubaliani wewe zitto katika jimbo lake kawafanyia nini wananchi wa ujiji pesa za jimbo anasunda yeye na familia yake leo unasema eti ni jembe sikubalini na wewe.
@mrholela7906
@mrholela7906 4 года назад
Watu wa Kigoma nadhani Mzee kaongea ukweli wa moyoni .... Kigoma kiukweli duuh cjui km tuko wapi !??
@felixmuzambele9031
@felixmuzambele9031 4 года назад
Mawaziri wengi wa Kigoma hawapendi ktumbelea Kigoma iwe kikaz au kwa mapumuzko, wabunge wanakaa Dodoma na Dar wakuu wa wilaya wapo maofisin hawajui kero za wananchi wao,hawatoki maofisin,n ss Kigoma vijijin hatujamfaidi Magufuli kwa miaka hii mitano sabubu ya uongozi wa chini huku ni mbovu.
@ManaseBuhanza-cl1lc
@ManaseBuhanza-cl1lc Месяц назад
Saratani ya tanda nchi wakina mama ,hususa titi ya kansa kimbembe tena wapaswa kufanyiwa uchuguzi zaidi
@hawasaid8262
@hawasaid8262 4 года назад
Arafu nimekipenda ichokijiji
@isaacvtv547
@isaacvtv547 4 года назад
Kasulo hoyeeeeeeeee!!!!!!!!
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Hongera sn Wazari hiyo ndio faida ya Mama kupewa nafasi kubwa,sifa ya huruma na Upendo. Mawaziri inakuwaje hawajafika? Mkuu wa wilaya pia wananchi hawakujui?? Bado hamjaelewa Kamanda wetu JPM anataka nini
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Ndio shida ya kukaa vijijini, haiwezi kuwa Kama mjini lkn angalau mpate vitu muhimu Kama umeme,maji, elimu Bora na zahanati jmn.
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 года назад
Kigoma yangu
@salamaseif4032
@salamaseif4032 3 года назад
Poleni xana
@markoernest4958
@markoernest4958 4 года назад
Vijiji vingi Tz huu nd uhalisia wake
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 4 года назад
Harafu uchaguzi ukikalibia waanza kuja kuwapatia vijihela nakuwasahaurisha yaliopita
@deokimena5168
@deokimena5168 4 года назад
Place of Domicile!!!! Umenikumbusha mbali sana!!
@jumaigoti8676
@jumaigoti8676 4 года назад
Kijana akija mjini. Harudi tena marumba.
@maxcharles5436
@maxcharles5436 3 года назад
marumba ndoo nimesoma apo nimekulia apo
@pinnawilson825
@pinnawilson825 4 года назад
viongozi wengine ni wasaliti jamani.........poleni ndugu zangu....
@athumanmrisho1762
@athumanmrisho1762 4 года назад
Ayo tv unakipaji
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 4 года назад
Mawaziri wote mnapaswa kufika hapo sio hao 3 tu. Inaonyesha dhahiri hawana Mbunge pia. Inasikitisha sana Juhudi zote anazofanya Mhe.Rais. Mnakisahau vipi kijiji hiki?
@kamicholo2669
@kamicholo2669 4 года назад
Hii kali wabunge kila mwezi washukuwa pesa daa inasikitisha
@centywid9051
@centywid9051 4 года назад
wasaidien
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 года назад
Jamaniii huko sasa ndiyo anatakiwa apelekwe joketi 💃💃💃
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 4 года назад
🤣🤣punguza sauti wanakisarawe wakikusikia watakuroga🤣🤣🤣
@dottopeter3187
@dottopeter3187 4 года назад
Hataree
@nooras6404
@nooras6404 4 года назад
Eleweni zito ni mbunge was Kigoma mjini wakasulu ni pita selukamba
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 4 года назад
Kwani kufika tu kunasaidia nini?
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 3 года назад
Huko kweni cmlimchaguwa zito kabwe
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 года назад
makubwa kumbe ratio ramani ya tanzania hawaangali ndio maana hawafiki maeneo y'a nchi hawajui waziri wa elimu gawa ramani
@robertjagad5826
@robertjagad5826 4 года назад
tunavijiji vingi tanzania hii msilete mchezo, ndo maana kukawa na center huko kweingine wakuu wa wilaya na ma katibu kata inatosha otherwise mmmh tunavijiji vingiiiiii
@mamachris6811
@mamachris6811 4 года назад
Kweli kabisa so rahisi Waziri akafika kila kijiji Muundo wa Serikali na vyama upon vizuri Uwajibikaji ndio la msingi
@madawakemikali776
@madawakemikali776 4 года назад
Heri ya nyie sisi wezenu ( kijiji cha Nyang'wambe - taarifa ya mikese) tangu tupate uhuru,,inasikitisha.
@jafaringogomela1658
@jafaringogomela1658 4 года назад
Mwenzangu kwa kina kizigo ngogomela , nitafute ndugu yangu
@madawakemikali776
@madawakemikali776 4 года назад
@@jafaringogomela1658 ....nitakutafuta ndugu yangu usijali
@yusrahamad1085
@yusrahamad1085 4 года назад
tunamsubr Mh JPM atalipokeaje tariff hii
@cydemanchester2368
@cydemanchester2368 4 года назад
Ningesimuliwa ningebisha sana
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 Год назад
tangia uzaliwe ndio kwa mara ya kwanza ndalichako anakuja hapo kwenu hei!wajameni Huyu ndalichako mboni kachelewa kuja huko.angekuja wakati unazaliwa eti😀
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 4 года назад
Mmmmh kuna vijiji vinasahaulika jamani hamna wawakilishi huko wabunge n.k? Nimejiskia vibaya mtu unajihisi hata kama haupo tanzania, maskini na hiyo zahanati nani atawaletea madaktari na manesi sasa kama miaka miaka yote hiyo hamna kiongoz amefika huko😢
@FlorenceDDR
@FlorenceDDR 4 года назад
Aww 🥰
@nestorycharleskelegwa526
@nestorycharleskelegwa526 4 года назад
Ahsante sana Mirad Ayo Tv sub sisi hapo ni home coz Serikali ililala fursa ni nyingi ktk kijiji hicho cha Marumba! Asante Joyce Ndalichako tunamtegemea Philipo mpango naye mda wowote
@nestorycharleskelegwa526
@nestorycharleskelegwa526 4 года назад
Viongozi mtu kwao kwanza!!!
@nestorycharleskelegwa526
@nestorycharleskelegwa526 4 года назад
Kauli yako kwa wazee wetu uilinde uikumbuke kama ilani ya CHAMA TAWALA
@msafiriiddy3135
@msafiriiddy3135 4 года назад
tatizo huko ni mbali sana bwana mpaka kunatisha sikai hata kwa kupewa nyumba ya bure
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 5 месяцев назад
HAKUNA HAJA YA ONGERA.. kama miaka yoote iyo hawajaja wamekuja mwaka wamwisho,, kazi nikazi tuu na nijukumulao viongozi kuwatimizia wananchi wa malumba. (Napo hakuja kwa ziara ya serikali)👁
@nusulaally6379
@nusulaally6379 4 года назад
Hiii sio haki kbx jmn wa2 mpk wamekuwa wabb nawamm hawawajui insikitisha🤔🤔
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 4 года назад
Duh..jamaa tangu azaliwe hajawahi kumuona..ila leo tu ndio ameckia kama kaja
@joshuanyamweru8410
@joshuanyamweru8410 2 года назад
Wanamarumba oyeee
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 4 года назад
Hivi jamani hicho kijiji Wanainchi wake hawakupiga kura!? UKWELI inauma mpaka huruma sana..
@mhthesamemh7303
@mhthesamemh7303 4 года назад
Duh 😷😷😷😷
@Chiefmukama
@Chiefmukama 4 года назад
Naiona nyumba yetu ileee
@kojjagulimuyesenga8025
@kojjagulimuyesenga8025 4 года назад
Kagoma ni Burundi sio Tanzania
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 года назад
Mbuge wenu yuko wapi jamani
@kanjanjamwimikes9228
@kanjanjamwimikes9228 3 года назад
Ndalichakoo ?? haendagii?
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 4 года назад
Eti livumbi lekundu Kama hili,, Poreni sana jamani.
@mbingaheaven9899
@mbingaheaven9899 4 года назад
Kwa nn vumbi jekundu africa tuu?
@fantsonmpango7742
@fantsonmpango7742 4 года назад
Mama mpaka povu
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 4 года назад
Dah kudadeki olewako upelekwe kufanya kazi huko
@deustutu1162
@deustutu1162 4 года назад
viongoz wanakula baga mjin polen sana ndugu zetu
@lodrickmwambene8722
@lodrickmwambene8722 4 года назад
Naombeni mimi hiyo kazi
@lodrickmwambene8722
@lodrickmwambene8722 4 года назад
Magufuli naomba kazi ya ukuu wa wilaya kasulu sina degree ila hiyo kazi nafanya lol
@rahmamgoo7518
@rahmamgoo7518 4 года назад
Viongozi tunawachagua lakini hamtutendei Haki walah hadi huruma
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 года назад
Daah kwan huko hakuna mbunge
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 года назад
Hivi Zitto kabwe alisha fika huko??
@witnessmsigwa3845
@witnessmsigwa3845 4 года назад
Umeambiwa waziri sio mbunge
@luizabahati5198
@luizabahati5198 4 года назад
Dah...nimeshtuka Sana...hata sio kidogo Yani watu wanamjua hayati Kawawa Tu?OMG uongozi ni dhamana nadhani hata viongozi WA level ya chini kabisa hawapazi sauti kuikomboa maramba na waliofanikiwa/kubahatika kutoka maramba wameisahau maramba.HONGERA BABA PAROKO USIZIMIE MOYO
@centywid9051
@centywid9051 4 года назад
hadi huluma viongoz munaenda kubeba kura zen tu
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 4 года назад
Sasa mmeanza kufanyia mikutano yenu hata bila haya kanisani
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 года назад
Viongozi liangalieni hili
@samoramdemu2834
@samoramdemu2834 4 года назад
POLENI WATU WA KIJIJI CHA MARUMBA KASULU KIGOMA, KWA KUTOMUONA WAZIRI YEYOTE TANGU 1970.
@isaacvtv547
@isaacvtv547 4 года назад
Zittooooooooo yuko wapiiiiiiiiii!
@charlesmassawe6321
@charlesmassawe6321 4 года назад
Zito cyo wazir,ni mbunge.
@titoedward9772
@titoedward9772 4 года назад
kwan jimbo lake hilo jimbo la vuma mbunge mzigo
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Hamna mbunge wa kuwatetea huko????
@yessecharles3155
@yessecharles3155 4 года назад
Zitto ni mbunge dar tuu jmn dah
@sulleyjones6321
@sulleyjones6321 4 года назад
Acha ujinga kuna wabunge wa kigoma mjini na vijijini Zitto ni mbunge wa kigoma mjini
@kamicholo2669
@kamicholo2669 4 года назад
Musiwape kura washezi hao daa mama shukuwa uongozi uwasaidie
@jumaigoti8676
@jumaigoti8676 4 года назад
Isaka rudini kwenu mkaboreshe kwenu.
@dianambobotowimbomzuri6795
@dianambobotowimbomzuri6795 4 года назад
Nj
@bernardalethace5281
@bernardalethace5281 4 года назад
Kasulu fanyeni ujinga tn kumrudsha gwanko wenu
@mrholela7906
@mrholela7906 4 года назад
Wanafaidi wengne
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 года назад
rais tafuta kabila linalotokea katika kijiji icho kama yupo katika serikal yako basi mpeleke huko marumba nae akale vumbi miaka yote hiyo wananchi wapo kama hawapo tanzania
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 4 года назад
Naona uko kasulu kuna baba levo?
@gm7045
@gm7045 4 года назад
Hii ni ukweli kabsa! Niliona Masanja tu akiwa anawacheki akili.
@tgeofrey
@tgeofrey 4 года назад
Nyie ndio mawaziri achananeni nao
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 4 года назад
Viongozi nyie Mungu anawaona!
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 4 года назад
Mmeona uchaguzi uko karibu ndio mmeanza mambo yenu ya kundanganya wanaichi
@saidhassan1104
@saidhassan1104 4 года назад
Zitto yupo wapi
@zenobyomary9482
@zenobyomary9482 4 года назад
Zito hahusiki apo ndg yy anhusk kgm mjn na ap yup mhuska
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
@@zenobyomary9482 Kuna mbunge wa kijijini na mjini? Mie najua mbunge ni mmoja
@hemedindunguru5021
@hemedindunguru5021 4 года назад
Napataga tabu sana kuelewa vichwa vya habari za bongo kwani ukisema tangu 1970 ni mawaziri wawili tu ndio waliotembelea kijiji hiki utakuwa umekosea mkuu
@juniorbenito709
@juniorbenito709 4 года назад
Hemed Wa 2 tangu mwaka 70/nikama hakuna
@juniorbenito709
@juniorbenito709 4 года назад
Tena kaletwa na baba paroko kwl
@hemedindunguru5021
@hemedindunguru5021 4 года назад
@@juniorbenito709 hv junior 2 na 0 ni sawa
@maricelajohn4241
@maricelajohn4241 4 года назад
Bora hata nyie mmekumukwa Mimi hata kabila langu halijulikani utasema ni wakimbizi ukimwmbia mtu mm ni mmbugwe anakushangaa, mmbugwe! Ndiyo nini? Kwakweli najiskiaga vibaya sana, wambugwe tunaishi mkoa wa mayara wilaya ya babati vijijini.
@gloriousn6425
@gloriousn6425 4 года назад
Maricela John mayara ndo wapi?🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🙄
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
@@gloriousn6425 alimaanisha Manyara. Ilikuwa Arusha wakaitenganisha maana Arusha ilikuwa kubwa
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 4 года назад
Me mwenyewe ndo nalisikia leo hilo kabila
@rashidkajara4328
@rashidkajara4328 4 года назад
Maricela John wakikuulza waambie ni jamii ya warangi nawafahamu ni ndugu zangu nami ni Wa babati vjjn kata ya Magugu tarafa ya mbugwe na ndo mnakopatkana kwa wingi
@maricelajohn4241
@maricelajohn4241 4 года назад
@@rashidkajara4328 kweli brother
@edgarkituli8208
@edgarkituli8208 4 года назад
Kutafuta kura 2020 vipi hapo? 😁😁😁
@maengashema320
@maengashema320 4 года назад
Kampeni hizo haiwezekani miaaka yote hamna kufika uongozi hzo propaganda
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 4 года назад
Kwani miaka iliyopita hapakuwa na kampeni!?
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 4 года назад
Dah kweli Ona wanavyoshangaa Ujio wake. utafikiri wameshukiwa. na mtume inasikitisha sana mawaziri
@philberttheophil606
@philberttheophil606 4 года назад
Labda wanaogopa ushirikina hapo
@janethezekieli5852
@janethezekieli5852 4 года назад
Barikiwa Sana waziri Wa elim
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 4 года назад
Acheni kuichagua ccm wanakazna kuijenga dar es salaam huko mkoani mnadanganywa tu
Далее
KIBU DENNIS ATOROKA NCHINI, ATIMKIA ULAYA JIONI HII
2:38
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 1,1 млн
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 1,1 млн