Тёмный

WANAODAI YAFAA KUWATUMIA MAJINI KATIKA MAMBO MBALIMBALI, SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL ATOA UFAFANUZI 

ALIBAANA TV
Подписаться 3,7 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

FATAWA ZA SHEIKH SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 468   
@pinogreentv4337
@pinogreentv4337 4 месяца назад
Mimi ni Mlokole Ila huyu shekhe nitavaa kanzu nikaswali kwenye msikiti wake naomba mnambie msikiti wake uko wapi ana roho wa Mungu shekhe Amenyooka
@allywaziry6419
@allywaziry6419 4 месяца назад
Fika temeke maeneo ya mwembe Yanga uliza hapo alhikma..!!!!
@sammganga6865
@sammganga6865 4 месяца назад
Hakuna mlokole wa kufanya hivyo, acha kupumbaza wakristo, pambaneni na ndugu zenu majini
@MikidadiHussein-d8m
@MikidadiHussein-d8m 4 месяца назад
Hana msikitini
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 4 месяца назад
Karibu katika njia ya haki, Allah akutangulie InshAllah uitamke shahadah
@Herson-yw6cn
@Herson-yw6cn 4 месяца назад
Karibu sana ktk dini ya haki
@saidmuhd611
@saidmuhd611 4 месяца назад
Nampenda sana Sheikh Abdulqadir, Allah azidi kutunufaisha Kwa maarifa na hikma yako
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 4 месяца назад
Huyo dkt sule anajifanya na bii kwasababu ya jina lake anajifananisha na nabii suleyman ,hiyo ni shirk.mungu amuongoze
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 месяца назад
NASAHA nzuri kwa DR SULE,ikiwa ana masikio na asikie!!ila naona majini wanampelekesha ili wamzamishe kwenye bahari ya ushirikina!! ALLAH AMUONGOZE,
@otaibonny8835
@otaibonny8835 4 месяца назад
Sule hawezi kuskia, anajaa kibri, na hawezi kushauriwa na mtu yoyote
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Месяц назад
Ameshazama kwenye ushirikina, anavaa Kwa ushirikina, anakula Kwa ushirikina analala Kwa ushirikina na kadha wa kadha Kwa ushirikina
@mohamedalirachidi380
@mohamedalirachidi380 4 месяца назад
shekhe sharif mashaa allah , Mwenyezimungu akuhifadh ina alihifadhi na sisi, umeongea kielimu zaidi na zaidi
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 месяца назад
Yaa Rabbi tunakuomba utuoneshe hakki tuweze kuifata na batili tuweze kuiepuka, shukran yaa sheykh
@Alibaana550
@Alibaana550 4 месяца назад
Allaahumma aamiin
@salhaali9284
@salhaali9284 4 месяца назад
Amin amin amin
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi 4 месяца назад
Allaahumma aamiyn
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 4 месяца назад
Aisha number please muhimu
@ISAALMASIHI9823
@ISAALMASIHI9823 4 месяца назад
Tumrudie Yesu ndiye njia ya kweli ndg zangu
@idalahow
@idalahow 3 месяца назад
ولا تتبعو خطوات الشيطان... Hizo mambo ya majini ni shirki ...ukora...hakuna mtu mjanja...watu wote wako sawa....
@RukiaMohamed-zd3uv
@RukiaMohamed-zd3uv 4 месяца назад
Huyu sheikh yupo vizur sana, na ana moyo wa dhahab Allah amhifadhi
@Arkhamz_95
@Arkhamz_95 4 месяца назад
Na jee utajiri na pesa anaotoa jinni anapata wap kam sio kudhulumu kwa wanadam ndipo ampelekee yeye mfuga majini na hiyo ni dhulma ya wazi...
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw 4 месяца назад
Hekma ya sheikh ni kubwa sana na huu ni muongozo mzur wa elimu
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 4 месяца назад
Ya Allaaah nimefurahi Sana shekh Abdulkadir. Kumjibu huyu mpotoshaji Allah akuzidishie Kila utakalo.
@nyamvulajollo5201
@nyamvulajollo5201 4 месяца назад
Allahumma Aamiin
@ShaabanSaid-g4f
@ShaabanSaid-g4f 4 месяца назад
Kupenda dunia ndio kichwa cha maasi yote
@RiyadhTvOnlineZnz
@RiyadhTvOnlineZnz 4 месяца назад
Masha ALLAH shk Shukran sana kwa ilmu na hongera kwa shk Suleiman kwa kazi kubwa ALLAH akubaarik
@Alibaana550
@Alibaana550 4 месяца назад
Allaahumma aamiin
@husseinhaji9550
@husseinhaji9550 4 месяца назад
Mashallah Allah akulinde Sheikh wetu
@AltamimSoud
@AltamimSoud 4 месяца назад
Asalaam Alaykum mie nachukuwa fursa hii kumpongeza sana alieuliza suali la maana sana na Sheikh umetuoa elmu ya hali ya juu Allah akuhifadhi yaana hawa viongozi wwngine wa dini wanajisahau kwemye elmu lazima kabla hujasema kitu kama hukijui basi soma kwanza ukizia kwanza usipoteshe umma tu Dr Sule jitafakari ssna kwenye hoja zako unawapa waislamu mkanganyiko kwa maneno yako
@ahz6907
@ahz6907 4 месяца назад
Yule yupo kwenye harakati za kutafuta rizki.hamna sheikh pale.
@alawiali3475
@alawiali3475 2 месяца назад
​@@ahz6907kuna shehena tu.
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 4 месяца назад
Sisi Waislamu kiigizo chetu ni Mtume wetu Muhammad Swalla llahu Alayhi Wassalaam, Dr. Sulle aliwahi kusikia Mtume Muhammad katumia majini kuendesha maisha yake, Laa Hasha Mtume Muhammad Swalla llahu Alyhi Wassalaam hajawahi kutumia majini wa aina yoyote katika maisha yake yote, Dr. Sulle umeteleza muombe Msamaha Allah, Sisi binaadamu hatujakamilika kila siku tunakosea, hakika Sheikh huyu amekupa nasaha njema, kujikwaa si kuanguka.
@salamanyale2226
@salamanyale2226 4 месяца назад
Mmmh ww nenda kasome mtume amesaidiwa n majini mpka kujenga mskiti ukaitwa masjidl jin uliza km hujui
@khalifamahondo191
@khalifamahondo191 4 месяца назад
kwani huo msikiti ni wa Mtume
@Sheba4651
@Sheba4651 4 месяца назад
​@@salamanyale2226 Nilipokua Makka huo msikiti niliuona, na una jina hilo, ila si kwamba majini waliujenga, umejengwa na wanadam, hapo kihistoria ndio pale Mtume anasoma Quran majini wakapita na kuambizana, Hebu tunyamaze tusikilize. Kisha wakaondoka kuenda kwa wenzao kuwapa taarifa walivyoisikia Quran ya ajabu.
@abuuhassani497
@abuuhassani497 4 месяца назад
Ushahidi gani
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 4 месяца назад
وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@SaidiMaulidi-d4l
@SaidiMaulidi-d4l 4 месяца назад
Shukran
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 4 месяца назад
Tunahitaji maelezo ya hoja na siomaoni tu ya Akili
@alafasyquran9806
@alafasyquran9806 4 месяца назад
hazin kubwa ktk african yutu Shekhe Abdulqadir Allah akuhifadh
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 4 месяца назад
Hawa ndio watu wakusikiliza sasa
@MuhammadMkoka
@MuhammadMkoka 4 месяца назад
Sule shekhe wa watu majaahil sule mala utamuona kwenye siasa za demo krasia mala kwenye dini sa shekhe gani ilo
@yusufsati8324
@yusufsati8324 4 месяца назад
kweli.onaona .mimi.nimetomali.lakini.siomaaliyangusukukabiziwa.niklimtu.mzufi.anapedwa.najini.mzurimimi.naogea.nikwelihuyu.shehbado.hajakota.nawo.jiwazu.wanapenda.kuka.nawewe.na.mmmiiskitini.pianiulizeminmi.jitakuhibumpa.wankusaidiailmundugo. huyu.sheh.haelezi. vizurimungu.ampe.toqik
@nejjadmatumla2699
@nejjadmatumla2699 4 месяца назад
Sheikh Sulle kazingua arudi tu kwa ALLAH. Anatupa mashaka hata upatikanaji wa mali zake
@kdrama_lovers406
@kdrama_lovers406 4 месяца назад
Allah ndiye mjuzi zaidi 😔
@abdullahijma2073
@abdullahijma2073 4 месяца назад
Mufti wa TZ should make a statement on this issue...its very disturbing.
@waziriboy9941
@waziriboy9941 4 месяца назад
Sheikh si huyo tayari keshamaliza, Kwa mufti Mbali saana
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 4 месяца назад
May be he knows nothing in this matter,
@SaidiMaulidi-d4l
@SaidiMaulidi-d4l 4 месяца назад
Mmmh Viongozi wa dini walio serikalini tz hatuwaoni kwenye mambo ya dini kama haya tunawaona kwenye maulid tu na kuandama kwa mwezi
@amaroo1220
@amaroo1220 4 месяца назад
It is not a Mufti Problem. The first word in Islam is "Read" and not "Mufti Read". Mufti already has enough on his plate.
@MultiSamrich
@MultiSamrich 4 месяца назад
Yeye mwenyew anavaa pete za majini
@TamimuMshare
@TamimuMshare 4 месяца назад
Mashaalah jazzakallahu haira mwenyezimungu amjalie kheri huyu shehe Yuko vizuri sana
@SurprisedDachshund-rc2fw
@SurprisedDachshund-rc2fw 4 месяца назад
Jifundishe kiswahili ww yemen
@FatinaRajabu
@FatinaRajabu 4 месяца назад
Ama.kweli.shekhe.huyu.ana.nasaha.nzuri.sana.Allah.mzidishie.kheri
@binfarhan879
@binfarhan879 4 месяца назад
Shekhe Maasha Allah umeeleza vizur sana, ila waliowashirikina watakuja na waseme haujajib kitu kwan walishapata fursa Sasa wajaiondoa. Wengine watadai ata mwanadam muovu haumjui ili pia la ajab tofauti ya Jinni haumuoni ila mwanadam nakuona ukiwa unashirik,unalewa,unaiba na inazini halafu ww iwe nana? Je Jinni akofanya ayo unamuona? Kua haujaeleza kitu ni madai ya Washirkina!
@shamsaalsalamy5159
@shamsaalsalamy5159 4 месяца назад
Shekh Abdul qaadil Allah akuhifadhi na akupe afya na nguvu ili upate kuwaongoza mashekh wetu , wanatutia aibu kuona wao wenyewe wanafanya vitu ambavo havipendezi kabisa. Yarab tunakuomba uwahifadhi mashekh wetu na uisimamie dini yako. Alhamdulillah.
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 4 месяца назад
Mashaallah . Nimefulahia jawabu la shekh wetu
@dullyahmedally9929
@dullyahmedally9929 4 месяца назад
Barakallahu fiik sheikh abdulkadir , Allah akuhifadhi yaa rab . Allah humma amiin
@SureBoy-o2t
@SureBoy-o2t 2 месяца назад
Mashalla
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 месяца назад
Halafu anatokea Mtu huko anawatusi Kina Fulani ni mawahabi. Huku huyo aliyesema Ndio yupo upande wa Dr.Sule na Sharifu Majini na wengneo....Na Anakwambia Hawa wana Makaraama...Na wao wanaona Ushirikina ni Mtu kuabudu Sanamu tu ya kuchonga.
@zeharaz4116
@zeharaz4116 4 месяца назад
Jini ni jini tu akiwa mzuri akiwa mbaya hapasi kumfuata
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 4 месяца назад
❤mashaallah tabarakaah ❤ Shukran Shukran Tumeelewa ❤
@fredducaunt
@fredducaunt 4 месяца назад
Sule kuna clip nilisikia anasema shetani ni jini alieasi Sisi kwenye Ukristu tunafundishwa shetani ni malaika alieasi Mungu 🤔 Sule anawapiga kamba hapo
@ALIFAAMADE
@ALIFAAMADE 3 месяца назад
Asalamu alaykum warehmatunlah wabarakatuh mashekh lakini mungu si amesema yeyote atakae nitukuza kwa siri mimi nitamtukuza kwa dhahiri na atakae nihasi kwa siri mimi nitamdhalilisha kwa dhahiri kabla ya kukutwa na umauti kwahiyo hiyo ndio kazi ya Mw. Mungu acheni tuyadhihishe yale tunayoyafanya ya siri.
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 4 месяца назад
Maamuma Allah sw atupe ilman nafiya, warzuqna fahma!
@YusuphRashidi-b1j
@YusuphRashidi-b1j 4 месяца назад
Na ww maamuma ni kwenye swala tu
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 4 месяца назад
@@YusuphRashidi-b1j una maanishaje! Huenda kwenye hili pia ni maamuma! Nielimishe
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 месяца назад
Km nabii alishafanya sio haramu kutumia majini bado hujaeleweka
@aminasaid6555
@aminasaid6555 4 месяца назад
We nae kayatumie sasa​@@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 месяца назад
@@aminasaid6555 mie sio muislamu
@MialanoMoussa-dr5be
@MialanoMoussa-dr5be 4 месяца назад
hoja sikwamba hawaonekani hiyo nielimu ambayo hauna njoo upige gotu tukupe elimu
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 4 месяца назад
Sule kapotea asitudanganye Sisi atutaki uchawa kwenye uislsmu wetu
@BernadetaZacharia
@BernadetaZacharia 3 месяца назад
Jamani hakuna ndini nzuri kama wakilsto ndini haina makando kando hii ndini ya waisramu ni dini ya wafuga majini nyie munao ingia kwa mbio za mwenge na wapa pole
@omaryabdul6992
@omaryabdul6992 4 месяца назад
Bakwata wapo wpi ndio mambo kama hya wajitokeze kuyakataza na kuyapiga vita mana uislamu upo mbali na ushirikina na washirikina
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 4 месяца назад
Haki imekuja na uongo umejitenga hakika (batili) uongo ni wenye kujitenga na kutoweka ikija haki, uongo ni giza na haki ni nuru
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 4 месяца назад
Majini mboni viumbe km sisi wanadamu tu vinaitaji Elimu tuyache tu
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Месяц назад
DR. SULE AMEDHALILIKA SANA, HESHIMABYAKE IMESHUKA KATIKA UISLAAM.
@AdamPaulo-x2k
@AdamPaulo-x2k 3 месяца назад
Msidanganyane yote ni uongo dini hii ya uislamu ndo dini ya mpinga kristo
@alawisaid280
@alawisaid280 4 месяца назад
Dr suley ana kaujeuri flani atajizima data na ndio kupotea kwake
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 4 месяца назад
Sasa kama ni dhambi Allah atanihukumu. Mimi nawatumia Majini na sio Mashetani
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 месяца назад
Watu wanafeli kupata pesa kwa njia ya halal wanakuja na story za majini kazikweli
@rashidmsita6588
@rashidmsita6588 4 месяца назад
Hakuna mwanadam ana elmu ya kufahamu jini m baya na jini mzuri, Ila jini ana maarifa hayo so manake jini ana ujuzi zaidi ya binadam, Hii inatosha sana kujua hawa Ma sheikh waganga wa mitandaoni ni wapiga deals tu wapate pesa.
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 3 месяца назад
Huyo jamaa anaedai hayo ni mganga wakienyeji na ni sio shekh matapei tu hao
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 4 месяца назад
Sulleh aliongea ukweli. Ni vile tu aliweka kila kitu wazi. Majini walisilimu, ati wanakaa msikitini? Ni porojo ama ni ukweli?
@mkude
@mkude 4 месяца назад
Wewe unadini yako na sisi tunadini yetu,muombe mwenyeezi mungu akuingize kwenye dini ya haki ya kumtumikia yeye mungu Mmoja pekee,na sio miungu baba sijui mwana sijui mtoto.mwenyeezi mungu akuongoze
@Sheba4651
@Sheba4651 4 месяца назад
Unaongelea jini ama shetani. Shetani ana kiti cha enzi kanisani fungua bible usome. Ufunuo 2:12 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili. 13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
@TabuShida
@TabuShida 3 месяца назад
Wakristo ni watu waliopotea allah awaongoze
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 4 месяца назад
Shekh hana uwezowakujibu suali hilo analalamika tu😂😂😂😂😂😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 4 месяца назад
Hana uwezo nani kasema?huyu ni kigogo wa elimu sio wa mchezo mchezo huyu
@jumakhamis226
@jumakhamis226 4 месяца назад
😅😅😅😅
@kidasichambeo3062
@kidasichambeo3062 Месяц назад
Dr sule anatoa elimu yake wapi
@AmadHassanRashid
@AmadHassanRashid 2 месяца назад
Allah hakupe kherry kwa helimu lnshaalla
@salamanyale2226
@salamanyale2226 4 месяца назад
Shekh ameongea lkn bdo hajafafanua mjue kuna wa2 c mitume lkn wamepta daraja za uwalii ukiangalia kwanini Nabii Musa alkua mtume lkn Allah akamwambia akasome kwa mtu ambae n ktk kaumu yake ambae ni Alkhidhir na pia hyo Shekh Abdul kadir jaylan ikisomwa sera yake alkua akiskia saut za wanyama n si mtume kisha ukirud kwa Shekh Uweso Al qarniy ambae ni walii nae ndio aliepta karama mpka maswahaba wakaambiwa wakimuona wamwambie awaombee maghfira na Uweso hakua Swahaba sasa kuna vi2 pia tusipotezane kuna ibada ukizifany Mungu anao uwezo wa kukujulisha majini wazur n wabaya na pia akakuelewesha sauti za wanyama hayo yote Mungu anampa yule amtakae kwahio shekh bdo hajaongea ila wa2 wajue ibada yako ndio inayokupandisha daraja mpka kuona au kuskia vitu ambavyo wengne Mungu awezi wasklizisha
@hashimabdulqadir4984
@hashimabdulqadir4984 4 месяца назад
kwahiyo dr sule ni walii tumfuate 😂😂
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 4 месяца назад
Shukran shekh kidogo nimelewa maana duu mtihani huu harafu anaenda kuweka hoja na ndacha yes yy jinn mungu aniepushe kwenye mdahalo hu😢😢😢
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 4 месяца назад
Asslm alykm ukhty wangu haya sio maneno mema,Allaah atusamehe
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 месяца назад
Umeelewa kuwa na jini Karin eee
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 4 месяца назад
Mariam number please muhimu
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 4 месяца назад
Ndacha ni kichuguu,na Doctor Sule ni MLIMA MREFU WA KILIMANJARO
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 4 месяца назад
Wakati kuna Aya zinasema Allah alituma malaika kufundisha uchawi na maduka ya shirki mbagala wanauza ndugu zenu😅
@MfaumeYahyaMfaume
@MfaumeYahyaMfaume 3 месяца назад
Nyie amufaamu dokt sure akujifananifa nanabibii
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 4 месяца назад
Kwanza mujuwe kua huyu Sheikh Aaarif ni Sheikh na Doctor Sule ni Sheikh pia
@mohamedsalat1066
@mohamedsalat1066 4 месяца назад
Sasa wewe unaweza fananisha sheikh abdulkadir na sule
@fawziyahassan5714
@fawziyahassan5714 4 месяца назад
NASAHA NZURI KWA SULLE MPOTOSHAJI
@AbduSumwa
@AbduSumwa 4 месяца назад
Hiyo dini ya majini, pambaneni na majini yenu hayo.
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 4 месяца назад
Sheikhe kuna vitu hata wewe hujui kuna watu wanasomeshwa dini na masheikhe wa kijini alafu ndo ushindwe kujua huyu jini ni mbaya au mzuri... hata wew bado kapige goti usome
@hashimabdulqadir4984
@hashimabdulqadir4984 4 месяца назад
hamna mahusiano baina ya jini na bindamu hata awe jini anaswali na kufanya mema jini wao wakokivyao na sisi tuko kivyetu
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 4 месяца назад
MASHALLAH MASWALA YAMEJIBIWA KIELIMU
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 месяца назад
Wamejibiwa kuwa wewe una jini Karin na Kila Mwislamu anaye
@mkude
@mkude 4 месяца назад
​@@paulmushi2428hata wewe unae huyo ndo anaekuamrisha mabaya ndo maana hutaki unaona ugumu kuja kwenye haki kwenye uislamu,emu mshinde huyo jini njoo kwenye Uislamu
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 4 месяца назад
​@@paulmushi2428😅😅😅 Paulo mgonvi wewe
@aminasaid6555
@aminasaid6555 4 месяца назад
​@@paulmushi2428mtu yoyote,sio muiislam tu usijitoe fahamu
@aminasaid6555
@aminasaid6555 4 месяца назад
​@@LastdayJesu4153unafki
@aligedi2869
@aligedi2869 4 месяца назад
Dr sule punguza sokomoko.
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 месяца назад
Ila Waislam Tunachukiana Sana Wallah, Yani Eti Muuliza Swali, ameshindwa kumtaja Dr Sule... Duhhhh 😮😮😮 Lakini angekuwa ni kafiri kauliza, ngemtaja mpaka Ubini wake...
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 4 месяца назад
Kwanza kuna aya gani ya Quran inayokataza kutowatuma Majini ama Hadithi gani ya Mtume inayokataza kutowatuma Majini?
@amirbalali6483
@amirbalali6483 4 месяца назад
Soma surat jinniy utajua ndugu
@LatifaMwandu
@LatifaMwandu 4 месяца назад
Mashaallah umeongea kwa akili kubwa sana.allah akubariki huu ndio uislam bwana .siku moja nataraji kuona tanzania tunaswali idd pamoja mwezi wa kimataifa sioni km inapendeza
@maulidimaden8374
@maulidimaden8374 4 месяца назад
Alhamdulillah Rabbil Aalamiin. Allah aendelee kukutunza kukubariki kukullinda na kukuongoza ili tuendelee kunufaika nawe Sheikh wetu AbdulQaadir
@hasnakid
@hasnakid 4 месяца назад
Aameen
@hassankweka844
@hassankweka844 4 месяца назад
Kweli ukiipenda Dunia sana utaangamia
@octaaalyiii9539
@octaaalyiii9539 4 месяца назад
Hakuna jini mzuri bhana, ni sawa useme mwizi mzuri au mwizi mbaya ukishakuwa mwizi n mwizi upotoshaji unaendelea tu,
@adamhashim3352
@adamhashim3352 4 месяца назад
Sasa mada ni mwizi au jini
@BilaliNuhu
@BilaliNuhu 4 месяца назад
Huna elimu nyamaza kimya
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 4 месяца назад
Ndugu Wapo,na nduomana ,Aya Inasema wameumbw majn na Bnaadam Waje kuabudu Allah,sw ,Soma Quran yk,Uckatae,ila Kufta mjin Haifai na kutumlia hii unakuja shrk,kw Sababu tumeumbwa Lengo Moja Kuja Kuabud Allh
@khamissaidbakhmes5308
@khamissaidbakhmes5308 4 месяца назад
​@@BilaliNuhu😅😅😅
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 месяца назад
Sasa nyunyi mnamsikiliza Mpuuzi Mmoja asojitambua,Yeye nu Mchawi mtu anajisifia wanawake wanamtongoza huyo unsmuona yuko sawa??!Msameheni kama mlivyo msamehe Harmonize asemalo halijui Nae amekuwa Mpenda KIKI ya Mitandaoni,
@NurdeenMuhina
@NurdeenMuhina 4 месяца назад
Maashaa Allaah tabaarakallaah majibu mazuri Sheikh wetu Allaah akuongoze kwenye kheri
@drsaeedherbs
@drsaeedherbs 4 месяца назад
Alafu mambo msiyoyajua kaeni kimya mawahabi ninyi mnazingua sana dini hii ingepita mikononi mwenu watu tungekwisha kabisa
@East_Africa_120
@East_Africa_120 4 месяца назад
Na wewe ni mshirikina
@GhaniaRashid-p4n
@GhaniaRashid-p4n 4 месяца назад
Majibu mazuri sheikh Mashallah
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 4 месяца назад
Watu wa bidaa fuateni sunna
@salimkarisa2849
@salimkarisa2849 4 месяца назад
MashaAllah jazaka Allahu khair. Sheikh umeeleweka vizuri sana. Mwenye anataka afuate mwenye hataki akisema yeye yuko na elim kushida mtume S.A.W basi yeye bila shaka amepotea, inafaa arudi katika njia ya haqi.
@abdullahluwali3156
@abdullahluwali3156 4 месяца назад
شكراً بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
@laylayl5166
@laylayl5166 4 месяца назад
Mwenyezi mungu akulinde sheikhe wetu sahihi kabisaa
@elbattawy2864
@elbattawy2864 4 месяца назад
Mashekhe wa bara wengi wanaganga njaa, Dr sule hii habari ya majini na pete ni katika biashara zake ndio mambo yanayomueka mjini
@vitalcool9266
@vitalcool9266 4 месяца назад
Wengi watakupinga sababu ni wapiga Dili,ila ndo ukweli
@AishaSaoud-m4i
@AishaSaoud-m4i 4 месяца назад
Naam wa kwetu aarif shu quli shukran jazaqa Allah khayra ❤
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 4 месяца назад
Kuna jini nasheitani
@ABDULSWAIBU-qu2vw
@ABDULSWAIBU-qu2vw 4 месяца назад
Ukwelidoktasuleamekosea anashindwanasisiwanafunzi hatakulhuwallahuahadu inatoshakutomshilikishamungunachochote kwelikilamtuangalienjiayake
@MariamUmande
@MariamUmande 4 месяца назад
Watu wa maulid ndio wanapenda kutuniya majini au kutumika na majini
@wardalwena5846
@wardalwena5846 4 месяца назад
Maulid yanahusika vp hapo acha uzwazwa na akili mbilikimo
@maase2023
@maase2023 4 месяца назад
Inafaa kutumia majini kwa kazi za ulinzi kama unavoajiri walinzi wengine au unaajiri mbwa kukulindia! Kuwa na umbile tofauti haliingii kwenye shirki hata mara moha! Shirk itaingia tu iwapo utawaabudu tu!
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 4 месяца назад
Hiyo ni shiriq
@maase2023
@maase2023 4 месяца назад
@@HappyKiteboarder-du9th kwa kuwa tu umesikia neno jini ndio unasema shirk ukisahau kuwa jini ni kiumbe kana viumbe wengine tu! Huo ni uchache wa ilmu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 месяца назад
Allah atuepushe na atulinde kwa uwezo wake
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 4 месяца назад
Hujajibu bado
@faiditv5535
@faiditv5535 4 месяца назад
Huyu bado ajui kitu mnamuuliza TU
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 4 месяца назад
We unajua Nini, hata kuchamba hujui
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 4 месяца назад
Anajua sana tu ila hatak kuwafungulia mlango huo man walo wengi sio wajuz wat watapotoka san .ndio man anakwepa kwenda huko.
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 4 месяца назад
Jibu swali
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 месяца назад
Kwahio ,Doctor Sule anatumia mashetani ,wala sio majini ,Maana jinni ni viumbe na vya Allaah na hawaonekani,wakwake Doctor Sule madamu anawaona hao ni mashetani wa kujitengezea mwenyewe
@KingastSalu-ws3zu
@KingastSalu-ws3zu 4 месяца назад
Watakiwa utoe aya na hadith inayosema haifai sisi kushirikiana na majini ikiwa mtume saw asema majini ni ndugu zetu hata Tukil tusiwasahau.... Sasa ikiwa mtume asema majini ni ndugu zetu kuna ubaya gani kumtumia Ndugu yako....Mawahabi n
@JumasKaboma
@JumasKaboma Месяц назад
😊
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 4 месяца назад
musi seme waislam wanaluusu majini tu ayo mambo yapo atamakanisan yapo makani yanaitwa kanisa lasheitwan Mombasa lipo pia wapo atawaklsto wentekutumia ayo mambo sijupeleki mbali nenda mbea nenda msumbiji kaio iyo nitabia zawashilikina tu sio waislam atawaklsto wapo tembeen Dunian muone
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 4 месяца назад
Sheikh hili jambo lina mushkeri, Dk sule anasema Jini mzuri au mbaya utamjua kwa kazi zake. Kwa hivi sasa matokeo ya kazi ndio kipimo cha kumtambua huyu mbaya na huyu Mzuri. Naona msingi alioweka Dr. Sulle ndio unatakiwa kujibiwa.
@faiditv5535
@faiditv5535 4 месяца назад
Sasa yeye ndio nani si vina Adam TU
@jumaalhadi4274
@jumaalhadi4274 4 месяца назад
Sheikh amejitahidi kama alivyojitahidi sule bado hatujapata jibu la kutushibisha...sheikh amejaribu kuunganisha aya na aya akachanganya na ufaham wake kama alivyofanya sule kuhalalisha hoja yake..ila mm nashauri anayekubali kwamba yafaa kutumia majini atueleze pia faida na hasara na anayesema haifai pia atueleze faida na hasara...asili ya kila kitu ni halali mpaka allah alipokuja kutuwekea mipaka ya kuharamisha baadhi ya vitu na hakutuharamishia kutumia kitu isipokua kitu hicho kina hasara kwetu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 4 месяца назад
Kamsikilize bachu alifafanua vizuri hata mimi huyu sijamuelewa huenda anajua ila kumukinaisha mtu na hoja ndo hajui
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 4 месяца назад
Yye Hajahalalsha juma faham,alchosema Yye n kupnga kua Hakuna Bnaadam kutumlia majn,km nhvyo tutakufur bure,,lkn Allah Amemleta Nabii kua Kiongoz na vyeo vyao,lkn wafuac Wa Huyo Nabii Allah hawakuwafunukia upeo Wa Elmu Zaid,Ndio mna Allah kaumba Majin na Bnaadam Waje Muabud ,Sasa ikiwa Tumeletwa Lengo n Moja Muomba risk Nan atakua ,Lazma mtafakar na nyny aklzenu
@Elecovid
@Elecovid 4 месяца назад
Safi sana
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 4 месяца назад
MashaAllah,Allahu Akbar, Shekhe wallah Allah. Akulpe Ujraa Mwema,kw Kutoa Fatua Ya Maneno yk Mazur Tena Maneno ya Allah Uloyatoa Quran,Allah Akuhfadh na Elmu Yk hyo,Hamdullah MashaAllah,Hta Bna Adam Anaweza Akakutendea Wema Kumbe Nafsn Mwke yupo na Roho Dhaifu,Amekosea Dr Sule,Ht Majin Huwajui Nasfs yeo ipojee,Allah Peke,Lait Allah Angetufunulia Nafs tukaziona Huyu na yule wallah Ndugu zangun Tungekmbianaaa,Turejeen Kw Allah ,Hakika Shetwan Aduiw Mubin🙏🥲,Wamaghalakatu Jinni Walinsi Ilaa Liayaabud ,Hakumba Majin na Bnaadam ,Icpokua Waje Kumuabudu Allah Bc ,inatosha ,cc Bina Adam Na Majin Tumeletwa Lengo Kuja Abudu Allah na Kufanya Yalo Kher,Anaeombwa Utajr Risk N Allah Pekee,Hana Mshrkaa
@drsaeedherbs
@drsaeedherbs 4 месяца назад
Sasa mazungumzo yake ukiyatizama ndani nimtu ambae Hana elimu nahayo Mimi sitaki mjadala nawala nisitafutwe namtu
Далее
Debate: Muhammad Shaikh vs Mufti Abdul Baqi (Urdu)
2:58:29
NAMNA YA KUOKOKA NA HASARA
1:30:54
Просмотров 10 тыс.