Тёмный

"WANAPEWA RUSHWA NA SPIKA TULIA" CHADEMA MBEYA WAMUUMBUA TULIA //WAMTANGAZIA KIHAMA UCHAGUZI UJAO 

Baharia TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Asante tumekuelewa mwamba
@SubiranTimo
@SubiranTimo 3 месяца назад
Nakukubali sana hongera sana
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
Safari hii chadema mmejipanga. Kwa hali hiyo yeyote anayetegemea kupatav ushindi zaidi ya chadema aandike maumivu kwakweli.chadema chukuen maua.
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 2 месяца назад
Uwa najiulizaga kaswali hivi Kuna kamtu sikaelewi umuri sikaelewi kanacheka au kanalia sikaelewi kaisilam au kaklito au kachawi sielewi kalizaliwa au kalichomoka sielewi kadunia au kakuzimu je mnakajua? Mungu kapige laana ya kuchukiwa na Wacha mungu Mimi sijui
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 месяца назад
Nakukubali sana Kamanda
@kassimhamis-rs8lq
@kassimhamis-rs8lq 2 месяца назад
Huna sera kalime
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 2 месяца назад
Mama Ako ndoo anasera
@floraflora5717
@floraflora5717 3 месяца назад
❤❤❤❤🎉kwei
@MwatijaFikoti
@MwatijaFikoti 3 месяца назад
Nimependa kaka.
@DicksonAmbilikile
@DicksonAmbilikile 3 месяца назад
Hamuwezi chadema hamna jipya
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 2 месяца назад
Ogopa Sana mtu anayeuma meno
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 3 месяца назад
Yaan hawa..uwongo utawamaliza na vyeo hampati na kufilisika
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 2 месяца назад
Kama mnaweza kupata ushahidi wa tulia kutoa rushwa mnamshitaki na kutoa ushahidi juo kwenye umoja wa mabunge duniani ambapo yeye ndio Rais na huko watamtaka atoe utetezi wa tuhuma zake . Kule sio kama dodoma ambapo wanapewa maelekezo ya nini wajibu au wasijibu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Hajataka vyeo hiyo ndiyo siasa tuombe Amani tu Tanzania siasa mchezo mchafu
@kassimhamis-rs8lq
@kassimhamis-rs8lq 2 месяца назад
Yani huwa nachoka kuwasikiliza Hawa jamaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Mtaiweza Ccm mmeanza kusambaratishana wenyewe kwa wenyewe
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 месяца назад
Wewe huna habari na kinachotokea ndani ya CCM?!? 😂
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 3 месяца назад
Tadeo hawa si waongo CDM NI WAKWELI SANA LABDA EEWE UNA MASILahi na ccm
@lucasmungaya938
@lucasmungaya938 3 месяца назад
Msisahau kuwaambia makamanda wajiandikishe september
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 3 месяца назад
HASAVIJINI NIWEZIMNO
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 месяца назад
Hali mbaya kwako China
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co 3 месяца назад
Na kweli ngedele wemezidi?
@evelina9621
@evelina9621 3 месяца назад
Kaza.mwendo.umalize.safarikwenda.ukulu
@BernadethaCharles-sv3oy
@BernadethaCharles-sv3oy 3 месяца назад
Mbona mmeanza mapema kutaka kuweka mpira kwapani kwa kuanza kuweka fake stories?
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 3 месяца назад
Pigeni sera msiongelee ujinga
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 месяца назад
We ndo mujinga kuifuatilia ujinga
@TwahaShehe
@TwahaShehe 3 месяца назад
Acha upimbi
@evelina9621
@evelina9621 3 месяца назад
Ujinga.ulikuwawatu.wasilnde.kura.hakiwa.sawa.tangu.zama Ni.ccmwalikuwa.wanal>nda.kura.nakusindikaKwenye.wana.lala.mpaka.matoke.yatangazwe.jumlisha.kila Kata.zote.imekuwaje.sasa.hizo.hatu.nani.katoa.hizo.hatua.mia.zamani.haikuwep O
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Yatatoka Majimbo 2 na Tulia atachukua kama anaokota
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 3 месяца назад
Kwa mazuri yapi aliyafanya katika uongozi wake? au kwa kubariki kuuza bandari zetu?
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 3 месяца назад
Mbeya mko vizuri na moshi
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 440 тыс.
UCHAGUZI 2025 UMEANZA KUJADILIWA JESHI LA WANANCHI TZ.
27:34