Тёмный
No video :(

WANASIASA 20 MATAJIRI ZAID TANZANIA HAWA APA/VIONGOZI WA CCM NA CHADEMA MATAJIRI ZAID TANZANIA 

Best Yao
Подписаться 185 тыс.
Просмотров 398 тыс.
50% 1

asante kwa kuangalia video hii.Kama kuna kitu unapenda kuchangia tafadhari andika maoni yako kwenye koment hapo chini.Ni matumaini yangu kwamba umejifunza kitu ambacho hapo mwanzo ulikuwa hukifahamu sasa ili na wenzako wapate kujua elimu hii mpya tafadhari shea video hii kwa ndugu jamaa na marafiki leo.Na kama ni mara ya kwanza kuangalia video tafadhari SUBSCRIBE channel hii ili usipitwe na kila video mpya inapotoka.

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@qasammawa5310
@qasammawa5310 2 года назад
Mpumbavu,wee,acha kufezehesha viongozi wetu
@niahpike8593
@niahpike8593 5 лет назад
duh kama ni kweli inauma sana kiukweli inauma saaana ianumwa saaana ,,ikiwq ni alfajiri ya SAA kumi na !oja na dakika 28 nimeingia uku sijui kufanya nini maana mudi yote imekata ya kwenda kibaruani kubeba mizigo ili nipate walau 1000 ya kula
@ramlakassim2014
@ramlakassim2014 5 лет назад
kila MTU ni tajiri sana!, Mara tajiri balaa!.....nani mkali wao sasa....ushauri: stick to what u know(that's gossip), hayo mengine waachie wenyew Forbes na The Richest.
@deogratiesshinyanga3272
@deogratiesshinyanga3272 5 лет назад
Ongeza facts mkuu tujue wanamiliki kiasi gani? by numbers pia kuna wanasiasa wengi matajiri umeacha kuwata mfano Mo Dewji mbunge wa zamani wa Singida. Vinginevyo itaonekana unachafua watu jitahidi kutafuta ukweli kaka yaani Mizengo azidiwe na Sugu tafuta ukweli boss wangu eti Musukuma amzidi pesa Mbowe kichekesho
@samweljuma585
@samweljuma585 4 года назад
Sijui kama mtoa taarifa amemaanisha alichotoa! mimi nadhani anataka kusikia watu watasema nini kuhusu mawazo yake.
@florakijole6675
@florakijole6675 5 лет назад
Matajiri wako kimyaaaa. Sijaona Hata mmoja hapo
@johnmbwaike434
@johnmbwaike434 5 лет назад
sawa sawa lakini lakini taarifa zako hazijajitosheleza nakushauri unapo toa kitu uwe na taarifa nazo kiundani
@barakamwangama8012
@barakamwangama8012 4 года назад
sijamwona Nyerere hapo.
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 5 лет назад
Sikupingi.lakin kwa kikwete kusema kachota hela zote akiba unauhakika na hilo.angalia sheria utaishia pabaya kisa kupata like nying
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 3 года назад
Hizo ni kwa fikra zako tu hujafanya utafiti Mh, Salum Khamisi Salum Jambo unamweka wapi au unajua tajiri ni wale walio piga pesa za wizi tu na hawa wenye Biashara zao binafsi hawaingii kwenye hii listi kuliko Sugu si bora ungemweka Tundu lisu anaishi Ubelgiji kalipwa mkwanja mrefu na Mabeberu ruzuku za chama wanakula yeye na Mbowe mbona husemi hayo.
@nsogaemmanuel7607
@nsogaemmanuel7607 5 лет назад
usipotoshe umma wa watanzania na taarifa zako zisizo na ushahidi.
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 лет назад
acheni urofa nyinyi akuna tajiri apo tajiri museveni uhuru kenyata mugabe,tz akuna mwanasiyasa tajiri eti magufuli mbona mnachesha,mngesema kiongozi bora apo sawa.
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 4 года назад
Mkikosa la kufanya mnabuni vitu ili kutumalizia bando
@tugesyegemwakatumbula8125
@tugesyegemwakatumbula8125 5 лет назад
hapo kwa Kikwete umeenda haraka sana ebu ludia
@mustafamatu5508
@mustafamatu5508 5 лет назад
Wawe tu sis inatuhusu nn kila MTU na maisha yake cku zinaenda
@breackychangwe8781
@breackychangwe8781 5 лет назад
Mshamba wew hakuna mbunge tajiri APA Tz kama nimrodi mkono acha kudanganya watu
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 лет назад
Nimrod mkono hamzidi Rostam Aziz au Muhammad Dewji
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 5 лет назад
Mkono ninoma na bongeni haingii wala avuliw ubunge
@babujuve1464
@babujuve1464 5 лет назад
Niaibu kubwa sana na fezea kwa nchi kama hii masikini ina mabeberu wenye pesa alamu na wanafumbiwa macho.
@hamoudrushenya8650
@hamoudrushenya8650 5 лет назад
Babu Juve ww ni muongo..huna data tosha za hao unaowaita matajiri.
@aminamodi8927
@aminamodi8927 5 лет назад
HAPA NI CHA MTOTO KENYATA RAIS ANA BILION 4 DOLLARS HAWA WOOOTE WANA AKIBA TUU YA KESHO MSEVEN KAMPUNI ZOTE ZA SIMU ZAKE MKEWE HOTELS XOTE ZA KIFAHA ZAKE HIZO NDIXO HABARI NENDENI Google click viongozi matajiri duniani uone moto
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
@@aminamodi8927 Mseven ni kufuru huyo baba! Hizi Mali zinazotajwa hapa zilizoorodheshwa kwa Hawa wote kwa mseven zinaweza kuwa zake peke yake au zisimfikie
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 5 лет назад
Wote wachunguzwe na Interpol.
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 года назад
kwa ali hassan mwinyi nakataa kabisa yule mzee hana ela yoyote kawaida sana
@abbiecox1
@abbiecox1 5 лет назад
hii inaonyesha namna watu wanavyoitumia ikulu na nafasi zao kisiasa kujinufaisha
@habarizotemedia3798
@habarizotemedia3798 4 года назад
Ukisikia uongo ndo huu sasa yaani mbowe mnamuonaje nyie mapimbi yaani sugu na lema ndo wamemzidi mbowe anayemiliki radio kadhaa na maghorofa Zaidi ya 10 south Africa pia kwa mujibu wa Forbes mbowe anamiliki bank 15 dunia nzima acheni upotoshaji fanyeni kwanza utafiti
@severineg.mshana2632
@severineg.mshana2632 5 лет назад
Huna DATA za kutosha, fanya utafiti zaidi. Kama umetaja wastaafu, mbona MO hayupo?
@issahemed6583
@issahemed6583 5 лет назад
Severine G. Mshana tikitmaja na limoo
@florencesinkala4765
@florencesinkala4765 5 лет назад
Mo nimwana sissa?
@sdawalokole9489
@sdawalokole9489 5 лет назад
Mo siyo mwanasiasa
@aminahussein8733
@aminahussein8733 5 лет назад
Ni mwanasiasa alikua mbunge wa singida kumbe hamjui
@abednego3876
@abednego3876 5 лет назад
hujielewi ww.
@mjeshimsofe9730
@mjeshimsofe9730 5 лет назад
Kwamba Lema kamzid Tajiri Nimrod mkono? Rage? Ndugai? Mawazi kibao waliopiga escrow Kagoda epa wako wapi
@hamisijuma436
@hamisijuma436 5 лет назад
Achawawe matajiri sana wanazitafuta
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952 5 лет назад
Huwezi weka utajiri kwa hisia namna hii. Tunataka tuone tajiri with figures. Ni tajiri kwa kumiliki dollars ngapi. MO Ndo tajiri Afrika mbona hayumo kwenye hii list 📃
@mtotowaspurs
@mtotowaspurs 5 лет назад
Mengi pia hayumo kwenye list, ooops Mengi sio mwanasiasa, ni mpiga debe tu
@ramadhanshaban2096
@ramadhanshaban2096 4 года назад
kwa hiyo habari hii inatusaidia nini watanzania ndio maana tunataka katiba mpya na mabadiliko ya kiuongozi na chama ili tunyooshe mstari
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 года назад
Hawana utajiri Wana moto was jahanam unawasubiri kwa wizi wa Mali ya wananchi.
@bahatisamwel1147
@bahatisamwel1147 5 лет назад
Huyu boya anatoa wap hii research? Hv toka lini Zitto na Lema wakawa matajiri? Kumbe huwajui wanasiasa wenye mikwanja yao hapa nchini ee?!!!! Usipotoshe watz
@dommycash1
@dommycash1 5 лет назад
Mchochezi mkubwa wew
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 лет назад
Ndio.ufahari.wenu.aw.ndio.ilani.yenu.yachama tunakufa uku.zanziba.sasa.kila.nyumba.mwezi.inalipa kodi.eti.kisingizio.taka.looo.poo.ndio.dubeii.namarekani.asenteni.matajiri Msojua.shidazawananchi.wenu.ccm.oyeeee
@lucassabida5471
@lucassabida5471 5 лет назад
Wewe ni mjinga mkubwa na unaonekana kutaka kuchafua watu bila sababu. Unaposema ana hela ndefu una maana gani? Unaposema mzee mkapa anamiliki hela za kutosha bajeti ya Tanzania kwa miaka saba una maana gani? Mbona hatuzioni hizo hela? Mbona anaishi tu kule Lushoto kwenye makazi ya kawaida? Acheni kudalilosha wazee wa watu. Wewe ni mjinga mkubwa sana na huna adabu kabisa. Umetumwa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 лет назад
Ukiskia uchochezi ndio huu lakin watu km hawa hawashikwi
@rahabujohn2691
@rahabujohn2691 4 года назад
Sumaye anautajir gani amechoka choka tu,hata serikalini anatapatapa kama mfa maji hana mwelekeo
@zumbaabiyah3184
@zumbaabiyah3184 5 лет назад
...hv v online TV uCHwaRa, vnatumalizia turned banDo zetu, TCRA ,police waadilifu wa tz mpo wp Jamani? Yaan mnajua mpk mali za RAIS wangu...! we n nani bhana Nchi hii? ok we endelea tu na ufukunYuKu wako, c unaitesti sumu kwa kuiramba.!
@dobidotz3696
@dobidotz3696 4 года назад
Mbowe hawezi shika namba 20
@tixboymusiciantz
@tixboymusiciantz 5 лет назад
Mpaka sasa upo hatian jisalimishe kituo cha police popote ulipo
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Hahahahaaa
@magrethmallya4577
@magrethmallya4577 5 лет назад
Porn sixx videos
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 5 лет назад
hapa ndo utajuwa Wizi mkubwa unaofanywa na wanasisa wa inchi na viongozi waserikali utapo taka kuhoji vyanzo vyao vya hizo pesa na utajiri wao
@daudiamiri6482
@daudiamiri6482 5 лет назад
Mbona marehemu Nyerere hayupo?amakweli ndiye raisi muadilifu pekee
@abednego3876
@abednego3876 5 лет назад
nje ya mada
@devidpanja115
@devidpanja115 5 лет назад
muache baba apumzike shut up
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl 2 месяца назад
Hivi Hawa utajiri wao umetokana na nini?
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 5 лет назад
Hahahahah we jamaaa mwongo sana. Kwa Raisi Magufuli umeficha aiseee. Wewe ni mwongoooooo kbsaaaaa unachonganisha tu
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 лет назад
Uongo ni mwingi sana japo umefanya utafiti wako
@rojasrodm1971
@rojasrodm1971 5 лет назад
Me nasema hawa ndo waloitafuna nchi yetu nusra waiuze
@lucassabida5471
@lucassabida5471 5 лет назад
Wameitafuneje? Wakati wao wanatafuna wewe ukifanya nini? Tabia ya watu wavivu kazi yao kilaumu tu
@hafidhnassor444
@hafidhnassor444 5 лет назад
Anamiliki LUNCH..lazima tajiri
@rodajndaba1149
@rodajndaba1149 5 лет назад
We fala
@angasenswai4384
@angasenswai4384 5 лет назад
Mbona sijamuona Mohammed au yeye sio mwanasiasa
@jameswissa9981
@jameswissa9981 3 месяца назад
We jamaa hizo taarifa zako unazitoleaga chooni? Eti Pesa za mkapa ni zaidi ya Bajeti ya Tz miaka 7! Ww unajua bajet ya Tanzania wewe? Hata huyo tajiri namba 1 hafikishi bajeti ya mwaka mmoja tu ya Tz. Hebu acha kudanganya watu..
@chazjerome9999
@chazjerome9999 5 лет назад
JE TAKWIMU ZAKO NI SAHIHI????ANGALIA SHERIA ISIJE IKAKUMALIZA KWA UWONGO WAKO
@saidimalindi3889
@saidimalindi3889 5 лет назад
chaz jerome ..awa..nimatajiri..bila.ya..shaka
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 5 лет назад
Wewe unamiliki vyombo vya habari 10 Apartment 3 nyumbani kwako
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 лет назад
Nimecheka sana nilipomuona mzee wa vijisenti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 5 лет назад
ww unafanya mambo bila resach ina tcra na polisi wakufuatilie utupe ukweli wa haya
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 года назад
mwache tuu si tutaenda central kum pelekea uji haha
@nyerere1259
@nyerere1259 5 лет назад
Mshamba mkubwa we mwandishi Mbona mi umenisahau
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 5 лет назад
😂😂😂amekusahau🙆‍♂️🙆‍♂️
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 5 лет назад
Huna fact
@florencekashaija7539
@florencekashaija7539 4 года назад
Mwingine, vijipesa chumba na sebule na mkweche wa gari,anataka vichwa vya watu viwe madaraja akanyagie.
@Hamadybendera
@Hamadybendera 5 лет назад
Acha Kutuekea Vitu Vya Uongo upate viewers
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 лет назад
Bajeti ya Tz miaka 7 Mkapa atakuwa tajiri wa Kwanza Africa
@dobidotz3696
@dobidotz3696 4 года назад
Sio Africa tu Bali ni dunia nzima
@man.lule.585
@man.lule.585 5 лет назад
Huu ni uongo, Hemed Shabibi mbona ayupo?
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 лет назад
Chenge naweza kukubali kwasababu alituibia
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 5 лет назад
Tuchukulie ni kweli ningependa. Sana ku-verify ukweli huu! Hata hivyo, tupe orodha ya wanasiasa mashuhuri masikini 20
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 года назад
Nyerere
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 5 лет назад
Wote wizi tu!
@scayroad8500
@scayroad8500 5 лет назад
MAJITU YANAMILIKI MABILIONI WANANCHI WENU TUNAKUFA NJAA MUNGU ATAWALAANI YOTE HIYO NI JASHO LETU
@robathzingu1650
@robathzingu1650 5 лет назад
Wengi kweli ni matajiri hata kwa kuangalia kwa macho tu. Lakini, wengine haieliweki kwa nini umewaita matajiri na kwa vigezo gani wewe. Mtu kumiliki gari Toyota Verossa unamwita tajiri? Rudi, jipange na njoo kisayansi zaidi ili utulishe taarifa za namna hii zilizoshiba zaidi...!!
@mbondochristopher6678
@mbondochristopher6678 5 лет назад
roba lth zingu
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 лет назад
Kuna watu wanasema huyu mtoa post atakamatwa!? Acheni ujinga nyie ndio mnawapa watu spirit ya umasikini! Mimi nikiambiw tajiri siwezi kuchukia! Sasa mlitaka aseme ni masikini wakutupwa wakati wanahela?
@zachariabwire636
@zachariabwire636 5 лет назад
Umelipeleka ki siasa zaidi ukakosekana ukweli,i hebu nawe tujajie huo umaskini wako, humiliki nini?
@promisecobra5071
@promisecobra5071 5 лет назад
kikubwa kutafuta wala sio kuogopa usajil walionao watu wengine, hata wewe ukiongeza bidii unaweza kuwa tajili mkubwa sana
@clausemsemwa3704
@clausemsemwa3704 5 лет назад
Ni tajiri balaaa manaake mini?
@baumbachogero9410
@baumbachogero9410 4 года назад
OK
@amourmohd4233
@amourmohd4233 4 года назад
aisee we jmaa skupend unaandika t unavojiskia aisee ww kuma
@adilhaj6719
@adilhaj6719 5 лет назад
Aaaaa wkifa watakwenda nzo
@tzaphin1975
@tzaphin1975 5 лет назад
Adil Haj Kazi kweli kweli,,, Kwani wee ukifa utakwenda na ................ vyakoooo????😀😀😀
@amosmoses7800
@amosmoses7800 5 лет назад
MBONA YULE ALIEWAIBIA WATANZANIA TRILIONI 1.5 HAYUMO? KWA MIHELA HIO HUYO JAMAA ATAKUWA AMEWAPIKU WOTE WALIOMTANGULIA
@Vabusiness
@Vabusiness 5 лет назад
Ungefungamanisha orodha yako na majina ya kampuni au biashara wanazomiliki vinginevyo sioni ukweli kwa baadhi ya majina uliyoyaweka humu
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 лет назад
Vincent Augustino ila kwa walio wengi ni sahihi😁😁😁
@Vabusiness
@Vabusiness 5 лет назад
@@theresiakaruhanga9502 Mmmm. Utajiri haujifichi
@dobidotz3696
@dobidotz3696 4 года назад
Hakuna mtanzania hata mmoja alie na utajiri wa kuizidi bajeti ya serikali hata kwa miezi sita. Kua makini na takwimu zako.
@lucassabida5471
@lucassabida5471 5 лет назад
Hivi TCRA mnasubiri nini kumshughulikia huyu?
@allyntunda963
@allyntunda963 4 года назад
Hizi taarifa sio za kuamini kirahisi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 лет назад
Utafiti wko sidhani kama ni sahihi
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 4 года назад
Huu ni uhuni hakuna ushahidi wa kutosha
@edwardcabanga6083
@edwardcabanga6083 5 лет назад
Fanya utafiti upya uwezi kuniacha mimi hapo
@erickdaimon8636
@erickdaimon8636 4 года назад
Shabibi unamuweka wp?
@manmacho6529
@manmacho6529 5 лет назад
mbona awatumbuliwi?
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 5 лет назад
HIVI NDIVYO WANAVYOKUWA WIZI WANYANGANYI TU BURE HAWA HAWATOINGIA KWENYE UFALME WA MBINGUNI KWA UTAJIRIWAO NAFSIZAO ZINAWASUTA KWENYE UTAJIRI WAO MMMMMMMM 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👹👹👹👹👹👀
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 лет назад
Bado Mo
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 5 лет назад
Mmekosea listi wengi hawapo
@alexphilmon1270
@alexphilmon1270 5 лет назад
Kuna akina kishimba Ngereja wako wengi tuu mbona
@edsonfelix8986
@edsonfelix8986 5 лет назад
Washenzi wakubwa ninyi hamfai hat akidogo
@lucassabida5471
@lucassabida5471 4 года назад
Hizo hela za mzee Mkapa unazosema ni mara saba ya bajeti ya nchi ziko wapi? Na alizokula kikwete unaushahidi nazo? Mjinga sihitaji hata kuangalia
@iwambimpya1924
@iwambimpya1924 5 лет назад
Acha ushamba wewe anza na wa mwisho unaenda wa kwanza hapo haina hata mvuti
@raymondprosper7790
@raymondprosper7790 5 лет назад
Sio kweli Huna data wewe
@happydaniel7485
@happydaniel7485 5 лет назад
Sasa Manji nae tajiri, unajua ww mtoa habari hizi huna vigezo vya kuwa mwanahabari. C ni juzi tu NBC wamemtaifisha mali zake kwa kushindwa kuwalipa madeni wanayomdai zaidi ya bil.25 alizikopa sasa kuna tajiri hapo halafu sio Diwani kwa taarifa yako. Nimemuongelea huyo tu kini hao wote ulowataja umekoseakosea sana tu.
@aliabdallah2220
@aliabdallah2220 5 лет назад
waache watumie tu
@allyorry3882
@allyorry3882 5 лет назад
Uongo una 70%! Hakuna lolote, porojo tu hizo!
@saidimalindi3889
@saidimalindi3889 5 лет назад
Ally Orry ..kwasababu..wewe..aupo...duniani...watu...wanakula...nchi..wewe..pinga..mkofi..ccm...watu..pesa..tu
@fredyshayo1342
@fredyshayo1342 4 года назад
Simba Spot Clup
@fredyshayo1342
@fredyshayo1342 4 года назад
Simba
@petercley6230
@petercley6230 5 лет назад
we ni boya, rudi shule
@jeniphajohanes4312
@jeniphajohanes4312 5 лет назад
mbn weng wabunge
@kawiliabdul1476
@kawiliabdul1476 5 лет назад
Mmelewa nyinyi
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 5 лет назад
Mwngne mmechapia
@eveliusdaniel7587
@eveliusdaniel7587 5 лет назад
Nonsense
@signtv9848
@signtv9848 5 лет назад
Ufalaaaa
@songoyijilala3776
@songoyijilala3776 5 лет назад
Data za uongo tupu
@mbondochristopher6678
@mbondochristopher6678 5 лет назад
sign tv
@geofreylutalala7065
@geofreylutalala7065 5 лет назад
Hizi taarifa si za kweli kwani wewe ndio unawatunzia hazina zao???????
@iranangole7007
@iranangole7007 5 лет назад
W unawachaje mo kweny rekod hii aujawa makin
@paulomollel8536
@paulomollel8536 5 лет назад
mo ajachukua atta kumi ya mtu
@majanimoremi5542
@majanimoremi5542 5 лет назад
Hopeless
@jescampolo2899
@jescampolo2899 5 лет назад
Uongo mtupu
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 5 лет назад
Yaan vyanzo vyako ni fake na wewe si mwana habari wala hakuna ukweli wowote
@georgejohny6422
@georgejohny6422 4 года назад
Wasenge kweli afu mnatoaga taarifa za uongo
@tanzaniayangu25
@tanzaniayangu25 5 лет назад
Muongo mkubwa wewe
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 5 лет назад
Huu ni uchochezi Utafungwa bure
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 12 млн
HAWA NDIO MAMILIONEA WENYE UMRI MDOGO TANZANIA
5:26
Просмотров 146 тыс.