Тёмный
No video :(

MAKADA 8 WA CCM WANAOWEZA KUMRITHI SAMIA URAIS MWAKA 2030; BASHUNGWA, NCHEMBA, BITEKO, MAKAMBA, NAPE 

DAY 2 NEWS
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

#CharlesWilliam #Zungu #Day2NewsTV

Опубликовано:

 

16 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 360   
@jworld1480
@jworld1480 5 месяцев назад
pole[pole luhaga mpina majaliwa kasim
@ChristerShao
@ChristerShao 8 месяцев назад
Hakuna mwenye sifa.Mungu atatujalia kwa wakati ukifika.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
January ndiyo hatakiwi kabisa aluyechukua pesa za wastaafu za nssf mwizi huyo na sasa kwenye umeme umemshinda unakatika hovyo hakuna anaemtaka
@exaudswai
@exaudswai 8 месяцев назад
Kweli ya Mungu Akuna hata mmoja hapo
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 8 месяцев назад
Mtanzania yoyote anawazia Mwigulu, nape, makamba kuwa raisi wa Tanzania 🇹🇿 ni hamnazo! 😂
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 8 месяцев назад
Bora kimei .... Awe kuja raisi...
@mgazawagaza7501
@mgazawagaza7501 8 месяцев назад
​@@aliyageorge6794katka hao wte rais Wang ni dotto biteko
@estheronesmo1704
@estheronesmo1704 4 месяца назад
Hapo hakuna wa kumpiku Paul Christian Makonda
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 9 месяцев назад
Paul Makonda ✓
@EFOMAL
@EFOMAL 4 месяца назад
Mtu wa maana kabisa. I save the comment
@user-pw2cm8ep1z
@user-pw2cm8ep1z 20 дней назад
Makondaa ni kamanda👍👍👍
@westonmbeyela9811
@westonmbeyela9811 2 дня назад
Wakati utafika jamani Mungu atatenda maajabu yake bado mapema sana tufanye kazi
@user-gd1lx7jm3y
@user-gd1lx7jm3y День назад
Utabiri wamwanadamu si kweli tumuachie mungu tu
@abubakarally3413
@abubakarally3413 9 месяцев назад
Makonda yupo wapi mbona hamujamuweka au wanamuogopa
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 9 месяцев назад
Makonda ni Mzalendo wa kweli! Anatusalimia vizuri!
@nassoropigauwa2503
@nassoropigauwa2503 9 месяцев назад
Hapo ni MPINA BITEKO NA LABDA KWA MBAAAAAL TULIA ILA THE BEST NI MPINA
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 8 месяцев назад
Hussein Bashe?
@AndrewMosore
@AndrewMosore Месяц назад
Tumchague mtu anaejua shida za wananchi Makonda anatufaa na Majaliwa (waziri mkuu)
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 9 месяцев назад
Wasijisumbue sana mamlaka hutoka kwa Mungu wote haohwana wito kama huo
@memorymakweta8253
@memorymakweta8253 9 месяцев назад
Gwajima....na.... paulo harafu
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 9 месяцев назад
Mwigulu haafai ata kidogo
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 20 дней назад
Mh Majaliwa tu
@kagombaEnok
@kagombaEnok 13 дней назад
Bashungwaaa anatosha
@omarikessy2339
@omarikessy2339 8 месяцев назад
Hapo anayefaa ni mmoja tu Bashungwa pekee yake,wengine nasikia ni wezi
@askwarysiay635
@askwarysiay635 9 месяцев назад
Mwaka 2030 ni mbali sana lolote laweza kutokea. Wako wapya wanakuja kwa kasi sana na uwezo mkubwa
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 9 месяцев назад
Mwiguru hata akinilipa mil 5 nimpigie kura simpi
@aloycebabene6239
@aloycebabene6239 9 месяцев назад
Mwigilu hamna kitu
@estonhaule9253
@estonhaule9253 7 дней назад
Only nchemba.
@norahfrank
@norahfrank 8 месяцев назад
Hapo namwona mmoja tu .kijana aliyebeba hofu ya Mungu.
@EdwardSumila
@EdwardSumila 4 дня назад
Makondayukowapl
@ericlyamuya9303
@ericlyamuya9303 8 месяцев назад
waziri mkuu sijamuona hapo Kama kweli tunampenda Sana nilishajaribu kuuliza kuhusu wazir kuwa raisi na kwa maoni nilioyapata atapita kwa kishindo
@mgazawagaza7501
@mgazawagaza7501 8 месяцев назад
Kam tunatak rais kutok CCM bas hamn zaid ya majaliwa kasim majaliwa full stop
@muddynkatira8089
@muddynkatira8089 8 месяцев назад
Labda mpina kidogo ila hao wengine Allah atunusuru nao maan Hilo nigenge
@froma3732
@froma3732 28 дней назад
Atabakia kuota mchana
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 25 дней назад
makonda pekee ake ndiye anaefaa ,ingawa hajatajwa kama anaewania nafasi hiyo.
@davidmeyasa8232
@davidmeyasa8232 2 месяца назад
8:07 mkitaka CCM iwake weka jafo au makonda
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 5 дней назад
Jemba havai hata kidogo
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Urais sio sheria bali nikuangalia maswala nchi
@ELITE779
@ELITE779 8 месяцев назад
Hapo hakuna hata mmoja mwenye sifa za kuisaidia Tanzania
@borcherwilliamborchert3090
@borcherwilliamborchert3090 8 месяцев назад
Hata anaeiongoza hovyo kbs Tena hata bure
@godsson5954
@godsson5954 9 месяцев назад
MPINA ANAFAAA
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Huyu yuko sawa ila bado kijana sana bashungwa asubiri
@MwesigePoul-bg4jd
@MwesigePoul-bg4jd 3 месяца назад
Hafai mwigulu.
@bahatilaizer8706
@bahatilaizer8706 8 месяцев назад
Dr Biteko upo sawa mh
@judicalosika7642
@judicalosika7642 8 месяцев назад
☑️
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 месяцев назад
Hapo mpaka moshi mweupe uwake kwani kuna mtu alitegemea Magufuli angekuwa Rais uongozi unapangwa na mungu tu
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 6 месяцев назад
Rais ni makonda subir wakat utaongea2
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 10 дней назад
Bora dotto
@SilahMasima-pi7bn
@SilahMasima-pi7bn 2 дня назад
Hamns. Kitu hapo labda luhaga na majaliwa wengine wapigaji tu
@shabanishemzize5655
@shabanishemzize5655 2 дня назад
Mimi hapa. 2027
@AkashiChile-pk1cn
@AkashiChile-pk1cn 9 месяцев назад
Machako tu abaki mama
@MosesLeuna
@MosesLeuna 9 дней назад
Muda ukifika tutazungumzia Hilo mnajua nani atafika mda huo muofipeni mungu
@bekabakari7394
@bekabakari7394 9 месяцев назад
Tumpate kiongozi kama Magufuli sio wale Waliotimuliwa na magufuli
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 9 месяцев назад
Mwigulu hafai kbsaa
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 3 месяца назад
Yaan hata iyo nafas alonayo kwasas haimstahl kabisa
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 14 дней назад
Mwigulu sio mwanasiasa na hafai kua kiongozi hata kidogo chondechonde wtz
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 7 месяцев назад
Mtoa posti utafiti wako bado hautoshi endelea zaidi na zaidi maana hapo mi sioni hata mmoja.
@shabanishemzize5655
@shabanishemzize5655 2 дня назад
Sabaya
@shabanishemzize5655
@shabanishemzize5655 2 дня назад
Barabara vip soni bumbuli kwashemsi korogwe
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 5 дней назад
Hilo lote ni genge la mafisadi kwanzia kiongozi wao
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 9 месяцев назад
❤uchambuzi wa kihuni huo hapo angalau yupo mmoja tu dr biteko wengine wote hawafai kabisa kabisa
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 9 месяцев назад
HATA NDIO MAKOSA MAKUBWA TUNAYOMKOSEA MUNGU WATANZANIA .MAMLAKA HAIWEKWI NA WANADAMU. BALI MAMLAKA HUTOKA KWA MUNGU MUNATUPA KAZI KUBWA SANA YA KUWAOMBEA REHEMA KWA MUNGU KWA MAKOSA YENU YA KUMWINGILIA MUNGU KAZI YAKE YA KUWEKA MAMLAKA. SAFARI HII MTAYANYWA WENYEWE HATUTAOMBA REHEMA KWAAJILI YENU
@frankjohn8706
@frankjohn8706 9 месяцев назад
Wahuni wapotelee mbali uongozi ni jambo.la ki Mungu
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 9 месяцев назад
Makonda sijamuona,na Sabaya
@MathiasMongo-jk9so
@MathiasMongo-jk9so 9 месяцев назад
1.Philip Mpango 2.Hussein Mwinyi
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 3 месяца назад
Hawafai kbx
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 14 дней назад
Mungu keshachagua raisi 2030.
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Hapo ni biteko tu ama waziri mkuu majaliwa aombe
@edmondnduwimana769
@edmondnduwimana769 9 месяцев назад
Hakuna hapo
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Huyo tamaa tu hafai kutetea wananchi kuwa rais sio kuwepo ikulu tu kuna kazi za wananchi taja mtu mwenye kujali wananchi
@Jal210
@Jal210 8 месяцев назад
Majaliwa apewe first priority
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 17 дней назад
Njama za makamo wa raisi kutaka kujiuzulu kumbe kuna watu wanautaka umakamo alafu wamuuwe samia ili wa weze kurithi kisheria uraisi
@deogratiashaule8958
@deogratiashaule8958 9 месяцев назад
Ni mmoja tu anatosha kati ya hao wote , ni Dotto Biteko
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 8 месяцев назад
Mnyarwqnda hawezi
@GabrielMwakasege-sx9wv
@GabrielMwakasege-sx9wv 3 дня назад
Mbona makonda ayupo
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 9 месяцев назад
Askofu gwajima yupo wapi
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 9 месяцев назад
Wanaofaa urais 2025; 1. Mhe. Philip Mpango 2. Mhe. Polepole 3. Mhe. Biteko 4. Mhe. Makonda Wazalendo wa kweli!
@day2newsTV
@day2newsTV 8 месяцев назад
Hao wote unaowataja wanamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kugombea mwaka 2025. Tujadili kuhusu 2030.
@shabanishemzize5655
@shabanishemzize5655 2 дня назад
Ridhiwani KIKwEETE
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Jaffo yuko vizuri sama
@user-uy1qu5oo7y
@user-uy1qu5oo7y 8 месяцев назад
Majaliwa kassim ni chaguo la watanzania zaidi ya hapo hakuna mwingine
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 18 дней назад
MAJALIWA PLEASE
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 8 месяцев назад
Polepole na majsliwa
@davidmeyasa8232
@davidmeyasa8232 2 месяца назад
3:26 umemsahau Waz iri jafo yupo vizurii sana
@rabsonased7106
@rabsonased7106 9 месяцев назад
Katika Hawa hayupo hata moja Ila ni makonda
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 месяцев назад
Akimaliza.mama.samia 2030.anaingia gwajima atajitokeza kama magu
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 9 месяцев назад
Watanzania tumuombe MUNGU tu katika hili tusikurupuke atoke kwenye kinywa cha MUNGU
@Jambo693
@Jambo693 9 месяцев назад
Mfumo wa serikali tatu . ZANZIBAR , Tanganyika, TANZANIA. Tukutane 2030.
@JosephMsanga-vl3ug
@JosephMsanga-vl3ug 9 месяцев назад
Lait kama Ungali jua mwivi Atakuja lini Nyumbani Mwako Ungali kesha ili kumkabili!! Lakini Hujui!! Nashauri kama Macho ndo Yanaona Huko!! Basi Yamepofuka kasa. Basi kayawekeni Yabandia.
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 8 месяцев назад
Hapa hakuna mzalendo hata mmoja wote majizi tupu. Hatuwezi fika hata kidogo.
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 8 месяцев назад
Sisi tunaomba nakuomboleza mbele za mungu mumba mbingu na nchi amvalishe viatu vya magu nyie mnaonesha sura za watu mnatushawishi atakuja km magu ambaye hakuna aliyejua kua atakua rais mungu tunayemuimba sikama mwanadamu yeye niwatofauti hana upendeleo ndie atatupa raisi
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 8 месяцев назад
Majaliwa ndo anafaa mwigulu nimwizi makamba hafai tulia hafai bashungwa daa
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 9 месяцев назад
Umepuyanga bro
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 месяцев назад
Uongozi unapangwa na mungu tunaomba amani Tanzania
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Huyu abaki nyuma tu japo anafaa urais sio
@ntegrity277
@ntegrity277 9 месяцев назад
Biteko, bashungwa, nchemba, makamba na Nape hapo hakuna Raisi! Raisi atatoka nje ya hao kama atatoka ccm lakini nje ya Raisi yupo! Naweza kuwa mimi
@ushindiministry2556
@ushindiministry2556 9 месяцев назад
Wapi Makonda, Ndugai, , na MZEE wa sukuma ndani hao ndiyo wagombe nitapiga kura ya ccm
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 7 месяцев назад
Tamaa itamponza
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 месяцев назад
Chemba Makamba Nape hamna kitu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
Huna Innocent Bashungwa hana Makundi yeye na Biteko
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Jaman hapo ni watano tu majaliwa:bitteko: bashungwa:makonda:polepole:mpango.
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 18 дней назад
Mpango hamna
@nunikayuni6394
@nunikayuni6394 8 месяцев назад
Hamuna kiongozi hapo anaeweza kuiongoza taifa hapa
@maryluhaga1589
@maryluhaga1589 7 дней назад
Mbona kama yote majambazi tu
@petermboje5839
@petermboje5839 4 дня назад
Huyu hapana hatoshi wapinzani watapata nafasi
@joelsumaye8162
@joelsumaye8162 8 месяцев назад
Kwa hapo labda Dotto kidogo, wengine ni changamoto
@emmanuelsalala-xu1xj
@emmanuelsalala-xu1xj 8 месяцев назад
Makonda???😅😅😅
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 9 месяцев назад
Nahisi Bashungwa ndio anamvuto na wasifu wa kuwa Rais
@gabrielsasi4636
@gabrielsasi4636 8 месяцев назад
Leteni bashe
@nghomanohosea9251
@nghomanohosea9251 9 месяцев назад
Tulia, bashiru, biteko, makonda, majaliwa, pole pole, kwa nafasi hiyo ya rahisi wanafaa Sana,
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 8 месяцев назад
Biteko anazo sifa Zote.Wengine hapo siwafamu vizuri
@judicalosika7642
@judicalosika7642 8 месяцев назад
​@@davidpallangyo114✔️
@user-uo8ut8fv6i
@user-uo8ut8fv6i 2 месяца назад
Kama mama etusamia sema mama inatakiwa wanaopiga asiwaonee uruma wakipiga nayeye awapige asiwaonee uruma mama ukopoasana
@epimackjohn461
@epimackjohn461 7 месяцев назад
Hawa wote ni afadhali ya YOMBO au KIGWENDU kama hakuna MWINGINE Zaidi yao ,
@yuenwilington835
@yuenwilington835 8 месяцев назад
Hapo sijaona kabisa jamaa yangu,bola samia aendelee.
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 8 месяцев назад
Kasm majaliwa tunaomba awe raising was tanzania
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 9 месяцев назад
Kulia kwa tulia
@emmanuelsalala-xu1xj
@emmanuelsalala-xu1xj 8 месяцев назад
Ni Dr Hussein Mwinyi,hao wengine mhuu😊😊
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 8 месяцев назад
Mwigulu hafai kabisa kuwa Rais wa Nchi hii kwani ni dikiteta hatufai kabisa.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
Urais wa Yanga.
@davidmeyasa8232
@davidmeyasa8232 2 месяца назад
Uliitaja hawafai hata Mmoja
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 9 месяцев назад
Mnapoteza mda wenu
@ChristerShao
@ChristerShao 7 месяцев назад
Hii nchi naona tumeichoka kuna majina ya kitajwa unaona ni utani.
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 9 месяцев назад
Mwigulu hafai kabisa
Далее
ROLLING DOWN
00:20
Просмотров 7 млн
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53