Beat by: Goncher Vocals recorded by: Sarthak Tale at Wanene Studios Mixing and Mastering: Mboks Camera 1: Humphrey Hubert Camera 2: Vin Balavad Camera 3: Hope Syvester Light & Grips: Rogat Kirenga Directed by H
Ckuwahi kuwaza wala kufkiria kama HAMIDU anaweza kuchana au ku_freestyle kama hivi ila daah ameua sana na from there he's my BEST RAPPER kwenye hii kitu BONGO..Saluute Katahya..Salute Putti..Saluute Msizwa CKUPINGI tena kivyovyote
26 life hujawai kuniangusha Mzee Baba kaza kaza uko safi sana na hii ni kazi nzuri sana. Nitafurai sana siku ukitoa mzigo na Nikki Mbishi maana wote ninyi ni wakali sana
yaa naelewa wanene nn mnachofanya....itasaidia sana kwenye kukuza tasnia ya hiphop.wapo wengi wenye uwezo wa kufanya km ivi...mungu awezeshe ili inshaallah🙏🙏💪
Sometimes anavuta wida / ili asahau shida / a mute sana maskani ye anacheck na mida / hata kama ana njaa anazuga ameshiba / ili mradi tu asikutangazie shida / 🚬🚬🚬