"hakubaliki home nabii hio haifanyi nisiwe napambana kwa mana asiefanya kazi asile. Natafuta mkate men asokaza aambiwe kwa kauli ilochachama sio liwalo na liwale Ukizama ni jiwe na kwa kuwa boya Haiwez fanya uibuke" Wa kiafrica Shaolin
Baba na wanawae naona like father like son ... daa Nikki hicho ndicho kizazii chakoo na cio hao tuuuu tupo wengiii em fanyaaa kuwashikaaa mkono wote wanao afuuu iwe full album utakayo Fanya na kizazi chakoo au iwe hata mixtep maaana naskilizaa daily maraper wapya wote umewainspire sasa washike mkono we ndo mzaz wao mzee kama hivooo na kina Stan . Uje kina boshoo, chuma,nala mzalendo,matrix,kakiva, Jaco jeezy,barz write, kado kitengo,yaaan daaa ni wengiii broooo
1 Mucho 2 Stan rhymes 3 wakiafrika 4 Unju Nikupanga tu hizi namba ila hilo balaa lililofanyika humo ni hatari.Mdogo wangu Wakiafrika ahsante nimeona techniques.
A very good time for HIP HOP in Tanzania. Nafeel Kuna Ma-MC wamoto Sana sasa hivi. Safiiii.... Humo ndani naona Nikki ni wa mwisho..... Machalii wamekaza sana
Bars is wah we like Nikiwa booth sichani ,nafanya upasuaji!! Bongo sio ya Dulla (planet) Kicks ka paranawe!! Ukizama ni jiwe na kua boya haikufanyi uibukee!! Zoom outter focus!! Mifugo mingi so I gotta overgraze
hongeren sana wanene tv. kwan mumetuaminisha kuwa munaturetea mikwaju mikal na vichwa makin. kibwa na cha msing wakusanye wasanii wote wa tanzania ili wasiikose fulsa hii ili iwawekee alama hata kizaz na kizaz. najua weng wao hawajapata shavu la kutosha na hawajulikan, ila kupitia wanene watajulikana na kuwa wasanii wakubwa sana. kwan wote wanafanya vizur sana. asante sana,