Тёмный

Wanene Tv Studio Session Presents:P The Mc (Produced by Goncher) 

Wanene Tv
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 135 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 314   
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG 4 года назад
Sirudi nyuma na hakuna iyo nafasi maana kila nilicho kunya nilisha flash Kama umeisikia hiyo neno gonga👉 👉like moja kubwa matata🇹🇿🇹🇿 xanaaa
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 4 года назад
Wanene wapo next level Sana sijui wa Bongo wanaelewa .Ebwanae iko poa Sana P mc ni MKALI Sana
@dennardleonard1228
@dennardleonard1228 Год назад
HII NDO KALI KULIKO ZOTE AISEE
@officialkim139
@officialkim139 4 года назад
Punchline 100..huyu ndo kaumiza kichwa sasa kwenye uandishi tofauti na wengine🙌🙌🙌🙌
@chamballaally8767
@chamballaally8767 4 года назад
P Mawenge ni mkali kuliko wote hao wanaomshindanisha nae. Ananata na beat yoyote na msikilizaji unaenjoy . Wengine wakirap km wanaongea tu na wala hawaendani na beat . Mtazamo wangu .
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar 4 года назад
Qmmmake hakun session kali kam hiii wanene tv
@sanakwachabasco5959
@sanakwachabasco5959 4 года назад
Ushabiki usiwafanye mkanijua zaidi ya Mother. Gonga Like Kwa BOMBRONX 🔥
@festohaule1499
@festohaule1499 3 года назад
Yeaah...mawenge always best rapper in TZ..ni mchanaji wa level za juu kabisa na punchline kali flow kali..salute sana sjutii kukufuatilia mziki wako🙏
@elimukwetu6991
@elimukwetu6991 4 года назад
Kuna kipaji na kipaji maalum, P the MC ni kipaji maalum.
@yessekindi4625
@yessekindi4625 4 года назад
P Mawenge ameanza kunilazimisha nimpe sikio langu, am a fan @PMawenge✌
@kelvinbeezy1942
@kelvinbeezy1942 4 года назад
Wanaishi kwa washikaji na wanadeka 🐐🐐🐐😁😁😁😁
@aboukipande8152
@aboukipande8152 4 года назад
W A N E N E ☠ Weka mbali na watoto. Wapili kukoment weka like kwa Wanene
@saidymohammedy9143
@saidymohammedy9143 4 года назад
Young lunya kelele nyingi
@dingoomagawa6950
@dingoomagawa6950 4 года назад
Hii umeitendea hakiaa zaidii Father
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 4 года назад
Jamaa kachana tofauti na anavyochanaga yan kachana kimbele zaidi💥💥💥💥💪💪
@rayaazamtv6958
@rayaazamtv6958 4 года назад
Mama mawenge mwanao kaua huku,,,,. Njoo uone japo hajamuua Unju hahahh
@albanbros6705
@albanbros6705 4 года назад
Ni noma mzee.
@dennardleonard1228
@dennardleonard1228 Год назад
SICHOKI KUISKILIZA HII
@edymoney5895
@edymoney5895 4 года назад
Kama unamkubar huyuu jamaa gonga like hapa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Wanaishi kwa washikaji na wanadeka😀😀😀
@bernardnyutu6726
@bernardnyutu6726 2 месяца назад
Jembe zaidi ya john deer pia niko strong sina fear..... bars on bars
@stuartikonko1941
@stuartikonko1941 4 года назад
Kwasasa ivii ndio kuchukua namba moja 👊👊👊👊👊
@hassansamata5995
@hassansamata5995 4 года назад
Unjuuu mkali wao..Tena brother rap
@dachdwoe
@dachdwoe 4 года назад
Suddenly.........Mawenge is in my top 5
@amanimakovya2228
@amanimakovya2228 4 года назад
Like uchebe wa nash maalim
@thomasamon3793
@thomasamon3793 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🎙🎶 you ate that Mic P wewe ni hatari
@slimflows
@slimflows 4 года назад
From kenya nipe like ya huyu king
@Elcapitano_maestro
@Elcapitano_maestro 4 года назад
P mawenge babu hufai🙌🙌🙌 hii umefokaa Ile mbaya
@shedrackkessy5853
@shedrackkessy5853 3 года назад
Umetisha mzazi noma sana
@noahpapy2277
@noahpapy2277 4 года назад
Umetisha sana kaka uyu baba aoo mawenge
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 4 года назад
Noma sana mzeeee....Kitemi sana.
@abdallahnassor4080
@abdallahnassor4080 4 года назад
P kama amepania sanaa aseee ametisha
@youngkiddy7869
@youngkiddy7869 4 года назад
Duh jamaa mkali sana anaweza nimemkubali
@mwitamathnyamosi7847
@mwitamathnyamosi7847 4 года назад
acha tu! Duh! umenikumbusha ngwair
@mohamedkayaya1443
@mohamedkayaya1443 2 года назад
Yoooooo people weck up yooooo kill it.....
@salminmhando1316
@salminmhando1316 4 года назад
wanaishi kwa washikaji na wanadeka
@jmanrapture9311
@jmanrapture9311 4 года назад
Kumamake uyu mwamba anaweza
@hassankambwili957
@hassankambwili957 4 года назад
Hatari we mzee
@paulmtalemwa8806
@paulmtalemwa8806 4 года назад
Unju kakufunikaaaa sanaaaaaa
@bamatv651
@bamatv651 4 года назад
Ushabiki usiwafanye mnanijua zaidi ya MOTHER
@lovetonny0793
@lovetonny0793 4 года назад
Kiukweli unastahili crown, am proud of u
@deospackle2158
@deospackle2158 4 года назад
Nimeshapagawa kama nimechanganya mbege na nyasi🔥🔥🔥
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 года назад
we nikama rambo kweli maana unatumia kuteleza
@kivengisanga4417
@kivengisanga4417 4 года назад
Mamaaeee.... Hiii yenyewe!
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
Nilijua tu utaua we jamaa ni nyoko
@saidjaphar1377
@saidjaphar1377 4 года назад
Duhhh haya mauaji ya kimbari mzee.
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 4 года назад
Wangap wame watch zaid ya mara moja
@ebrahood9151
@ebrahood9151 4 года назад
Baada ya Unju ni HII #nuffrespekt P
@andrewkaingu8342
@andrewkaingu8342 3 года назад
Huyu jamaa ni mkali apewe crown ya rap huko Tz
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 4 года назад
Hiii imeweza kuweza Zingine sijazielewa Ghafla mawenge is on my top list
@benestherjr6691
@benestherjr6691 4 года назад
Kaua sanaaaaaa
@gnmbi
@gnmbi 4 года назад
Mawenge heshima yangu hunayo
@afroblack8505
@afroblack8505 Год назад
Yoooooo. Tanzania mmebarikiwa hip hop. Much love toka Kenya.
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 3 года назад
Huyu jamaa moto wake sio wa nchi hii
@juniornsale4081
@juniornsale4081 4 года назад
Dope sanaa, Bars zake ni nomah kuliko izo za wengine zilizopita.
@chamballaally8767
@chamballaally8767 4 года назад
Umeona ehh!
@johnbrain3263
@johnbrain3263 4 года назад
Truee
@eliezerthepreacher2423
@eliezerthepreacher2423 4 года назад
@@chamballaally8767 Mex Cortez????
@swedymrisho6094
@swedymrisho6094 4 года назад
nomaaa kabisaa
@michaelmasijah724
@michaelmasijah724 4 года назад
Uandishi uliotukuka,,, #Mawenge
@tariqkihemba6998
@tariqkihemba6998 4 года назад
Duuuh noumaa sanaaa
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 года назад
Mamamake n 🔥 sn Mawenge, sema nn ulkuwa ujipange umfunike Unju coz alivyokinukisha hapa bdo hajatokea wa kufunika..
@OSOONLINETV
@OSOONLINETV 4 года назад
Mzee skiliza vizuri....skiliza punch line sio beat
@oswardemil4039
@oswardemil4039 4 года назад
Unju aliua sana, mpaka now bado alitemkalisha
@johnbrain3263
@johnbrain3263 4 года назад
Jamaa kamficha unjui..line zimesimama
@amonijajila1218
@amonijajila1218 4 года назад
Live
@bennyframa4505
@bennyframa4505 4 года назад
@@oswardemil4039 mamameeee!!! Unju hajafika hapa acheni ufala. Unju kachana beti 6 sijui....oyaa sikia flows babu mistariii mingiii...uyu quma kauwaaaa
@kizzkevin1197
@kizzkevin1197 4 года назад
Kweli weni Rap
@babasari2333
@babasari2333 4 года назад
Bro nimeskiza wanene .TV bro yours it's hot for real I can say your the best nd bars sio mchezo 100% talented ngumu
@idrisahussein6654
@idrisahussein6654 2 года назад
Hawakuwezi
@blaisejongo9723
@blaisejongo9723 4 года назад
Waje na mrapper wengine kam mwana fa
@issaalamry5823
@issaalamry5823 4 года назад
Wanaishi kwa washkaji alafu wanadeka😜
@migstranger8142
@migstranger8142 4 года назад
Ngoma kali. Flo kali. Kikosi kazi. 🔥
@makodmpozluckas9354
@makodmpozluckas9354 4 года назад
Sound iko live ka ya raggea na dance Ni shapagawa kama nimechanganya mbege Na nyasiiiiiii
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 4 года назад
Kama unapenda simulizi za kihistoria Karibu kwenye channel yetu
@emmanuelanthony8715
@emmanuelanthony8715 4 года назад
Hii ndio balaa kuliko zote
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 года назад
Bdo nkuona mtoto wa mziki wa lunduno walianzsha styleyao hao jmaa we unatakiwa kuja na mziki mwingine kbisa huko utamezwa na mamba hao
@mathiasmsese628
@mathiasmsese628 4 года назад
tisha sana
@oswardemil4039
@oswardemil4039 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊🏿👊🏿🔥👊🏿
@danilopato8472
@danilopato8472 4 года назад
Wanaishi kwa washikaji wanadeka 😄
@homatv3709
@homatv3709 4 года назад
mimi sivuti manyasi , ila manyagi na boost ........
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 4 года назад
SAFI MR P THE MAWENGE BUT TERA BYTE UWA NI KUBWA SANA KUZIDI MB
@emmanuelmlule9101
@emmanuelmlule9101 4 года назад
Nomaaa sana Mawenge
@allimwakalebella3789
@allimwakalebella3789 4 года назад
Nakubali
@BONGO_TANZANIA
@BONGO_TANZANIA 4 года назад
Kalii sana
@xantitle5128
@xantitle5128 3 года назад
Uki poaah
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 4 года назад
Noma sana
@princegabriel3770
@princegabriel3770 4 года назад
nshapagawa kama nimepiga mbege na nyasss #kiboko_ya_unju 🤣🤣
@jumaissa6229
@jumaissa6229 4 года назад
Huyu jamaa ametisha sana ila mdundo hamjamtendea haki
@Animaltuntu678
@Animaltuntu678 4 года назад
Hunampango wowote fala2ww
@benjabomphe5166
@benjabomphe5166 4 года назад
mmoja mmona sana kwa rap
@bongeone
@bongeone 4 года назад
Pmawenge nakubali
@mickeytv3691
@mickeytv3691 4 года назад
Anajua
@samwelthomas3801
@samwelthomas3801 4 года назад
mamaee mtu mbaya mawenge
@dingiiman8654
@dingiiman8654 4 года назад
kaaa nimechanganya mbege na nyasii
@ramadhanirashidsadallah2956
@ramadhanirashidsadallah2956 4 года назад
Jamaa kauaaaaa
@katurevo9943
@katurevo9943 4 года назад
Mawenge mmoja ya best hiphop artist in Tz🔥🔥🔥🔥
@qudratv9169
@qudratv9169 4 года назад
Wanene mmefanya kitu cha maana
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 года назад
Uwezo huo kwanikk mbishi ww Bado
@mohamedkayaya1443
@mohamedkayaya1443 2 года назад
Nomaaaaaaaaaa
@josephjoshua4126
@josephjoshua4126 4 года назад
Mleteni NYENZA MC
@millermzeiyaa324
@millermzeiyaa324 4 года назад
Duuuuh nooomaaaaa
@gibsonbuzoya9339
@gibsonbuzoya9339 3 года назад
P-the Mc duuu una balaa zito
@hanskidd2290
@hanskidd2290 4 года назад
Maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenge 🔥
@bryanjonathan6312
@bryanjonathan6312 4 года назад
P the emcee ....masta!! Hii kitu ni shdahh
@ricaldocovers2311
@ricaldocovers2311 4 года назад
Umeua
@rahimutwentyseven5435
@rahimutwentyseven5435 4 года назад
nnomaaaaa
@youngshoo2283
@youngshoo2283 4 года назад
BEST SESSION EVER
@jacksonmunuo5232
@jacksonmunuo5232 4 года назад
Niki sanga boy nilicho
Далее
Wanene Tv Presents: DaVinci CodesFreestyle Challenge
5:34
Baba Msaliti - P Mawenge (Mwingi Wa Habari Album)
3:41
Dakika 10 Za Maangamizi : P The MC
11:31
Просмотров 250 тыс.
P Mawenge - Customer Care Ft Dj Gold & Foby
3:15
Просмотров 325 тыс.