😢😢😭wanllah sijapatapo kumsikiliza na kumuelewa shekh yeyote ispokua shekhe nasoro bachu Allah amlipe maripo makubwa mno juu ya mawaidha yake yanayoishi kiboko ya washirikina na wapenda vya kuzusha
MashaAllah,Allah amjaaliye sheikh Nurdin kishk maisha marefu na afya njema,Allah amrehemu sheikh Nassor bachu na amjaaliye Jannatul firdaus iwe makao yake
wallah moja ktk mashekhe walionitoa gizani na kunileta ktk nuru ni huyu kipenzi wa waislam si tu Tanzania au est Africa lakini arabuni na kwengine duniani ni sheikh nasro bacho Allah amrehemu na wanachuoni wengine wote wa dini hii tukufu.
Duh kumbe tupo wengi nassor bachu nampenda kuliko maelezo natamani ningalihudhuria darsa zake moja kwamoja...mana huyu jmaa aliiisimamia haki kisawasawa na anajua kufanya daawa..maashallah huyu jamaa ni jamaa aliejaaliwa b
Ya Rabiii muweke Sheikh nasoor bachu katika pepo ya Firdausi nuzulah ya Allah msamehe Kwa yake mapungufu kwani hakuna Alo kamilika ispokuwa wewe amiin 🤲 ya Allah
Allah nimlinzi mkubwa kwawaja wake na tunakuomba utujaalie kher nyinyi sisi pamoja na masheikh zetu, na vilevile umlehemu Sheikh wetu Nassoro Bachu, pamoja na marehemu wengine waliotangualia mbele za haq, Allahuma aamiin.
INNALILLAHY wainna ilayhi raajiun. Ukiskiliza Daawaa ya Marhoum Sheikh Nassor utahis kua kama imerikodiwa masaa machache.. DUA YA MWENYE KUDHULUMIWA MALEZI YA WATOTO AHKAAM JANAIZ RIYAADH SWAALIHYN... Allah amjalie nuru ktk kbri yake.....
MAASHALLAH SHEIKH NASSOR BACHU Al maaruf SIMBA WA MIMBAR AFRIKA MASHARIKI NA KATI ALLAH AKUWEKE PAMOJA NA WEMA WALIO TANGULIA Inna lilah Wainna Ilayh Raajiuun.
😭😭😭Sheikh Bachu allah akupe kheri na baraka huko uliko nawapendeni saaaaaaaaana pamoja na al Akhi kishki MaashaaAllah Machozi yanitoka😭😭 nafuraha inaniongezeka saaaaana MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah
Allah amjalie both masheikh wetu kishki na mkongwe sheikh wetu mwalimu mwetu sheikh fetheran nassor bachu.....walai I never us d to get tired of his daa'wah Allah hifdhak wote maa sheikh wetu inshaAllah 🙏♥️
Alhamndulillah waswalatu wassalam ghalaa sayyidina MUHAMMAD (s.a.w) waghalla alihi waswahabihii al iqram.......Yaa Rabbi mwenyeezi MUNGU wetu mtukufu uliyeumba mbingu na ardhi pmj na kila kilichomo, Ya RABBI nakuomba msamehe makosa yake sheikh NASSOR BACHU, umsamehe makosa yake, umtanulie kaburi lake, umueke jirani na kipenzi chetu MUHAMMAD (S.a.w) pamoja na wema waliotangulia, umvishe mavazi ya peponi na umjaalie pepo ya daraja la mwanzo kuwa ni makazi yake! kisha mjaalie na umlipe kheri sheikh NURDIN KISHKI pamoja na familia yake, umfanyie wepes ktk kila jambo lake, umzidishie subra pale anapokwazika au kuchoka, umjaalie kizazi chema, umpunguzie machofu na kila jema nlilosahau kulisema haa Rabby uwajaalie na utuongoze sote waislam kuyafanyia kazi wanayotukumbusha......uwarehemu maiti wetu wote waiotangulia na maiti wa kiislam, utusamehe makosa yetu ya vizazi vilivyopita tulivyopo na vitakavyotokana na sisi.......tujaalie kudumu ktk ibada sisi na vizazi vyetu......amin yarablghalamin....
Wallahi machozi yamenitoka Allah akupe nuru shekhe wangu sichoki kusikiliza maneno matamu kabisa ya shekhe wangu naona kama yuhai Allah akupe pepeo amin
Sas hiz video zilifutwa ee au zulikua hazijawekwa youtube Mashallah mwil unanisisimka watu wanavomfurahikia Sheikh nurdin kishk😍Nimefurah kumuon Sheikh Nassor bachu kipind amekuf mim nilikua nimdogo Mama ang alilia Sana alikua nimpenz wake Sana anamfatilia sana Sheikh Nassor Bachu Alhmdulillah Allah amlaze pema pamoja na wema😭😭😭😭😭👐
Masikini bachu wallahi bachu hata hakuwa na mikogo kama mliyoendanayo nyie na paka leo hajapatikana wa kuvaa viatu vyake inshallah tunamuomba Allah atupatie mfano wake wallahi masheikh sasa hivi wengi wanapambana na dunia tu.
Umma wakiisilamu Nafurahi saana nikiwaona mmeshikamana pamoja alafu nampongeza saaana mtangazaji wa sheikh kishki kumbe ukonae muda mrefu tangia Almarhuum Sheikh wetu Bachu Nae mungu amjaalie kwakuifanya kazi ya dini kwa muda mrefu na ajaalie tukiwa peponi InshaaAllah Awe ni mwenye kupendeza na mwenye milk ya vizuri vingi kuzid ss maamuma. Minanapenda woote jamani #_bi_idhnillah allah awakinge na hila za wanaafiqi wa ndani ya uisilamu na walionje ya uisilamu 🤲Allahumma Taqabbal duaaaa🙏
Allah akurehemu shaykh nassor bachu wasia uliompa nordin kishk haufuata baada kwa sasa amekuwa Ansari sunn baada ya kuwa salafiyyah Allah amuongoze kama alivyokuwa nassor bachu mtu wa sunnah
Kwa hakika alikua chuma cha mawaidha. Kama mwenyewe shekh kishki. Allah amuhifidhi shekh bacho huko aliko. Na pia akuhifadhi shekh Kishk duniani na akhera
ss ww unaeomba namba yake c umeshaambiwa kuwa alishafariki? Hebu tumieni akili hii ni record ya zamani sn ila imeuplodiwa asaiv , walikuja sheikh kishk na timu yake nakumbuka alikuja mpk masjid sahaba akatoa mhadhara na marehemu alikuwepo pia
Mchango wa sheikh nassor bachu katika dini hii ya kiislam afrika mashariki Allah ampe qauli thabit na pepo ya firdausi kama mtume alivyosema ukimuombea dua ya pepo tafadhali muombee dua ya firdausi