Тёмный

WATAFICHIKA HADI LINI? FUATILIA YA TIGO, LISSU, NA SERIKALI YA TANZANIA 

SK Media Online TV
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Watu wasiojulikana, waendelea kujulikana!

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 17 дней назад
Lisu ni Lulu katika taifa letu, viongozi wa serikali wangekuwa wanafaham umuhimu wa huyu kiongozi wasingewazia kumuuwa ili waongoze kirahisi, Asante sana mh Lisu.
@wilibertwilibrod8289
@wilibertwilibrod8289 17 дней назад
Kweli kabisa kaka
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 17 дней назад
Acha Mungu aitwe Mungu siku za mwizi ni arobaini tu
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 17 дней назад
Mungu yupo,watajulikana tu
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 17 дней назад
Mungu akubaliki Sana Mwandishi na Mheshimiwa Lisu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 17 дней назад
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 17 дней назад
Freedom is coming tomorrow. Na yajayo yanafurahisha,Mungu mkubwa sana tu!
@NeemaKyarua
@NeemaKyarua 17 дней назад
Mungu hujibu Kwa wakati wake na wakati wa Mungu ni sahihi
@suleimankanjara7810
@suleimankanjara7810 17 дней назад
Akina m na jeshi lake watafamika sasa inge kuwa vizuri hii kesi ikasikilizwa haraka kabla ya uchaguzi
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 17 дней назад
Dunia siku zote imeyumbishwa na makundi ya siasa, dini, kutengeneza makundi yanayojiona bora kuliko makundi mengine, maisha haya ni mafupi kwa wote, wala hatuna nyumba ya kudumu, auaye naye utamshangaa anakufa...
@songombingo108
@songombingo108 17 дней назад
Hakika
@BonifacyMadaraka
@BonifacyMadaraka 17 дней назад
Tundu Lisu ni hazida kubwa kwa nchi hii kuliko hata dhahabu na gesi tuliyonayo.MUNGU amembariki saana.
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 17 дней назад
Ngurumo Mungu akukumbuke
@agro-millenium9526
@agro-millenium9526 17 дней назад
Ahsante mtunzi
@YonahMwamwaja
@YonahMwamwaja 17 дней назад
Kweli kabisa mzee wangu ngurumo hiini akili kubwa saana walikuwa na malengo mabaya yakumuua tundu antipasi RISU wameaibika saana sikutegea makonda yupohivyo.
@albertmbise2670
@albertmbise2670 17 дней назад
Makondo na Magufuli walijua kucheza na akkli za wananchi hasa wa hali ya chini
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 17 дней назад
Lissu ni sauti ya hakki
@omuze1290
@omuze1290 17 дней назад
Sasa hakika nimeamini kuna makaburi ambayo yamepambwa na kumeremeta kwa nje na kuheshimiwa sana LAKINI marehemu wa makaburi hayo wako wanaungua moto kuzimu! 😢😢😢😢😢
@knight6757
@knight6757 17 дней назад
Ukweli maisha huelea !!
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii 14 дней назад
Lisu Mungu akulinde sana haya yanafichuka kwa sababu yauongozi wa dhuruma kwa wananchi wanyonge, Asante Mungu kwakusikia kilio cha watu wa hali yachini, wanyonge hawana ham na nchi yao, hatuna ham na bunge wala serikali mahakama ndohivo twende wap
@LeahSangawe
@LeahSangawe 17 дней назад
Kweli Damu ya mtu haimwagiki bure. Tanzania aibu tupu..Si lila mtu wa kuua kama kuku. Wamezoea sasa. Mambo hadharani. Sema baba sema Mungu kakupa nafasi ya pili kuishii ili mashetani wajifunze jambo.
@wasengaswillah
@wasengaswillah 10 дней назад
Pole sana mweshimiwa Lisu, ukweli mimi sikulala siku mbili usingizi, nilikuwa nikilala nashituka naingia mtandaoni kusikia kama bado mzima?😭 Hakika Mungu ni mwema ukweli usiyo na shaka umeanza kujulikana! aibu yao watu waliopanga na kutekeleza mauaji yako, ukweli huwa haujifichi ni swala la muda tu!, Mungu asaidie kila kitu ili wote walio husika wawajibishwe.😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 17 дней назад
Halafu eti wanaotuongoza wanajiita wenye utu,maadili,wenye hofu ya mungu na watenda haki.Hivi wenye hofu ya mungu na maadili wanafanya jinai?
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 17 дней назад
TIGO hatuna imani nao na wafumuliwe, washenzi wakubwa
@daviddsouza735
@daviddsouza735 17 дней назад
Usitegemee tofauti kubwa kwenye kampuni zingine za simu
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 17 дней назад
Bashite amepatikana na simba machachari.
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 17 дней назад
Mimbo mzuri sana
@emmanuelwambura9413
@emmanuelwambura9413 17 дней назад
Nakupongeza sana ninaishauri juu ya huu wimbo Tanzania Tanzania....sijui nakufikishiaje
@SPRF_Tele_Health_Studio
@SPRF_Tele_Health_Studio 17 дней назад
Nilichogundua ni kwamba! Kama humpendi mtu fulani kwa chuki na kwa vyoyote vile hutowezi kumpenda mtu huyo, mbali na kusikiliza chochote anachosema mtu huyo hata kama kina mantiki; hasa kama mtu huyo anaingilia masilahi yako!
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi 17 дней назад
Munga akubalik
@kastulideemay6721
@kastulideemay6721 16 дней назад
Kumekucha, hakuna jambo litakalo baki sirini kwa wakati wote....!
@AthumanDauda
@AthumanDauda 15 дней назад
Siku zote haki uchelelewa lakin haki naukweli aufi niliwambia damu zawatz zilizomwagika miaka yote zitanena
@HassanWasiwasi-lq1kh
@HassanWasiwasi-lq1kh 17 дней назад
Nimeifuatilia hotuba hii ya mwamba katika channel za RU-vid tofauti tofauti nimegundua kuwa wamekata sehemu nyingi muhimu za hotuba, duh 😢😢😢. Mh: ngurumo hongera kwa uzarendo wako 🎉.
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 17 дней назад
Walisema hawajui ulipo, au huu ni utaratibu wa akina spika, maana kuna spika mmoja pia alisema hajawahi kusikia kama kuna watu wanatekwa au kuuawa.
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 16 дней назад
Mtangulizi wake alisema hajui alipo Lisu. Yalipo msibu, aliokuwa akijikomba kwao hawakumtetea. Angalau alokuwa akiwabeza walimtetea.
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 17 дней назад
Kumekucha!!!
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 17 дней назад
Upele Umepata Mkunaji
@neemanziku5403
@neemanziku5403 17 дней назад
Yan mkuu mambo yaliyokatazwa na magufuli kwa sasa yote yamerudi, mashulen,Mahospitalin na ktk ofisi mbalimbali dharau zimerud kwa kas
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 12 дней назад
Mbona mjadala wako hauhusiani na mada iliyopo? Mada iliyopo haihusiani na kusifu na kutukuza watu.
@fikiaupeo
@fikiaupeo 17 дней назад
Hii inchi itakombolewa na mawakili😢😢
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 11 дней назад
JinAi haifi ndiyomaana Babilon yasiku ile ilianguka ndiyomaana farao yamiaka ile ilianguka kwahiyo hAta serikali yawashenzi tz itaanguka vibaya ajabu tukokushuhudiya siyomdamrefu
@wilibertwilibrod8289
@wilibertwilibrod8289 17 дней назад
Tigo tuanze kuchoma laini zaoo
@alfredsotoka2852
@alfredsotoka2852 17 дней назад
Nimependa wimbo huu
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 17 дней назад
Sauti lisu
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 17 дней назад
Ujinga wako ni mzigo kwa taifa
Далее
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
Просмотров 5 тыс.
7 Days Exploring An Underground City
20:35
Просмотров 42 млн
Свинья неудачник ( Liar's Bar )
24:01
Просмотров 700 тыс.
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
MZEE WASIRA AKIZUNGUMZIA MAANDAMANO YA CHADEMA
26:33
Просмотров 29 тыс.