Тёмный

Watoto 12 wa Mzee Mwinyi (6 wa kiume,6 wa kike), watajwa kwenye wasifu wake,Elimu na mengine yatajwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 245 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 189   
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 7 месяцев назад
kichwa kimeodoka ...Allah akujalie rehma na maghfur unako kwenda yarabb akusamehe makosa yko na kukubalie mema yko na pepo janat fardous iwe makazi yko yarabb ..wewe mbele na sie nyuma yko .Allah atupe mwisho mwema yarabb 🤲
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 7 месяцев назад
Ameen
@sangokipozi4611
@sangokipozi4611 7 месяцев назад
Allahumma Ameen ya Rabbal Alameen🤲🏾
@sangokipozi4611
@sangokipozi4611 7 месяцев назад
Ameen
@safiaothman5175
@safiaothman5175 7 месяцев назад
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
@aishadotto3640
@aishadotto3640 7 месяцев назад
Allahuma amiin 🤲
@Mohamudnoor5821-gw5qg
@Mohamudnoor5821-gw5qg 7 месяцев назад
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun,Allah amjaalie Qauli thabit na pepo yenye darja,Amuepushie adhabu za qabri na fitna za masihul dhajjal
@kudratshabaan5257
@kudratshabaan5257 7 месяцев назад
Amiin
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc 7 месяцев назад
Mwenyezi mungu amueke mahari pema baba yetu
@magrethmswahili9397
@magrethmswahili9397 7 месяцев назад
Pumzika kwa amani mzee wetu mzee ruksa bila wewe sisi maskini tusingekuwa na tv baba upokelewe na upate pumziko la milele amina
@frankgama1374
@frankgama1374 7 месяцев назад
R.I.P Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wetu Mstaafu Awamu ya Pili ya JMT, Mwenyezi Mungu aendelee kukupatia Pumziko la Milele Amen 🙏🙏🙏.
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 7 месяцев назад
Mungu akampe kauli dhabit,na amuepushie na adhabu ya kaburi, na akampe pepo daima.Inna Lilah Wainnailah Rajuun. 🙏
@omaryjumaa7730
@omaryjumaa7730 7 месяцев назад
B.
@tataii6520
@tataii6520 7 месяцев назад
Rais Mwinyi ni moja kati ya Marais waliokuwa na moyo mweupe na safi mno kuwahi kutokea
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 7 месяцев назад
Mwenyezi Mungu amuondoshee adhabu ya kaburi
@CeciliaMdemu-co7fo
@CeciliaMdemu-co7fo 7 месяцев назад
We will miss you our lovely Dad.
@marysona9999
@marysona9999 7 месяцев назад
Pumzika Kwa amani baba yetu Mwinyi😭😭😭😭😭Kwa hakika umekuwa hadithi nzuri kwetu tunaosikiliza huu wasifu wako tangu miaka hiyo ya ASP! Asante Kwa kazi zako katika Taifa letu la Tanzania😭😭😭Pumzika kwa amani baba.
@jenisalanga6097
@jenisalanga6097 7 месяцев назад
M/Mungu amlaze mahali pema peponi,bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.AMINAA 🙏🙏🙏🙏
@ConfusedBallet-vq5ht
@ConfusedBallet-vq5ht 7 месяцев назад
Inalilahi allah akusameh makosa yako ya siri na zahir
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 7 месяцев назад
Wazazi wangu wamenihadithia kuwa mzee. Alifanya vzuri sana katika uongozi wake watu walikuwa pagumu mnoo mzee kikwete rais mstaafu umebaki wewe tz tunakutazama kwa ushauri mkubwa Mungu mkuu akutie nguvu
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 7 месяцев назад
Eeee nani kikwete hata marehem hasemei vibaya tuu tuendelee kumuimbea
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 7 месяцев назад
Maisha ya watu wa hali ya chini sana,watumisgi walikua na maisha magum hd mavazi,Mzee wetu Mwinyi ndie alieruhusu nguo za mitumba kuingizwa Tanzania,mungu akurehemu baba ulijali watu wa chini pia.
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 7 месяцев назад
Amina.
@ChrestinaTina-jl9cs
@ChrestinaTina-jl9cs 7 месяцев назад
Mbele yake nyumba yetu, Amin. Mwenyez Mungu amrehemu, Amina😢😢!!!.
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 7 месяцев назад
اللهم غفله ورحمه واسكنه فى الجنه❤❤❤
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 7 месяцев назад
اغفر له*
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 7 месяцев назад
@@shifaaal-baity4503 shukran sana
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 7 месяцев назад
Masha Allah blessed ume Tangaza vizuri sana Mungu akuinue zaidi na zaidi amin
@Habiba-tq8jm
@Habiba-tq8jm 7 месяцев назад
May Allah grant him janatul fridausi😢😢
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 7 месяцев назад
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya yako
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 7 месяцев назад
Innalilah wainaileh rajiun Sisi ni ALLAH na kwake tutarejea Mwisho mwema YAA ALLAH 😭😭🤲🤲🤲🤲
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 7 месяцев назад
Maisha ni Hadith tuu na leo tunakumbuka maneno yako, na hadith yako inasimuliwa yoote ni ya kheri tunakutabiria mema na ulipo kosea Allah akusameh pamoja na sisi ya Rabbi Atusameh
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 7 месяцев назад
Innalillah wainnailaihi rajiun, Mwenyeez Mungu amrehem Insha'Allah na amsameh makosa yake. Amjaalie kaburi lake kua miongoni mwa nyumba za peponi Insha'Allah.
@MariamMkoko
@MariamMkoko 7 месяцев назад
Pumzika kwa amani baba yetu
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 7 месяцев назад
Apumzike kwa Aman mzeee wetuuuuu.Tulikuprnda Mwenyez MUNGU Amekupend zaidiii
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 месяцев назад
Angezikwa hukohuko mkuranga km alivyotaka
@kiri5807
@kiri5807 7 месяцев назад
Watajiitaje kuwa WaZnz bila ya makaburi ya babu zao . Hayo ni matayarisho ya mjukuu wake kuja kushika uraisi . Ukitaka maendeleo weka target miaka 30 ijayo .
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 7 месяцев назад
​@@kiri5807😂😂😂😂😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 7 месяцев назад
​@@kiri5807Exactly wanafumba watu ili wawe madarakani mpaka vinyinginya
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 7 месяцев назад
​@@kiri5807Zanzibar watu wote wahamiaji km Marehemu,mm mwenyewe Mzaramo wa Zanzibar
@KamaalAli-w2c
@KamaalAli-w2c 7 месяцев назад
Allah amsamehe Makosa yake. Inna lillah wainna ilayhi raajioon
@lyrics_forum
@lyrics_forum 7 месяцев назад
Ukiona Hadi Wananchi wa Hali ya Chini Wamehuzunishwa na Kifo cha Rais wao hatakama Amestaafu Jua Aliishi vyema na Alitenda haki kwa Kila Mmoja. Pumzika Salama Rais wangu, Nimezaliwa Zama zako, Msalimie Mwamba Magufuli na Kamanda Nyerere Waambie Legacy zao bado zinaishi. Tunaendelea Kuteseka na Umeme huku.
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 7 месяцев назад
Alikuwa mzuri mno, haki ilikuwa ndio neno lake. Kulikuwa na fulsa kwenye uongozi wake
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu 7 месяцев назад
Tutamkumbuka.daima
@GetrudaSelestin
@GetrudaSelestin 7 месяцев назад
Mung amlaze mahar pema pepon amina
@Abuu_Mundhiri
@Abuu_Mundhiri 7 месяцев назад
Kumbe hii nchi nikongwe sana😢😢
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc 7 месяцев назад
Tulimupemda sana lakini mwenyezi mungu kamupenda sana
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 7 месяцев назад
Ila ukiachana na siasa bora mzee wetu alokua nazo pia alikuwa ana umakini wakuchajuwa wake pisi kali😊
@DativaDaud
@DativaDaud 7 месяцев назад
Ela
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 7 месяцев назад
@@DativaDaud upo sahihi
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 7 месяцев назад
Mwenyezi Mungu amrehemu
@kingbayzo1497
@kingbayzo1497 7 месяцев назад
Pumzika kwa amani baba
@janempunga3195
@janempunga3195 7 месяцев назад
Pumzika kwa amani mpendwa wetu
@firdaus7428
@firdaus7428 7 месяцев назад
‏ إنا لله وإنا إليه راجعون
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 месяцев назад
Hakika sisi ni m/mungu na kwake tutarejea
@ConfusedBallet-vq5ht
@ConfusedBallet-vq5ht 7 месяцев назад
Allah akupe safari njema
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 7 месяцев назад
Mungu amrehem amlaze pema peponi yarrabi 😭😭😭
@Izonecommunity
@Izonecommunity 7 месяцев назад
Alikuwa ni Al-Haji Dr Ali Hassan Mwinyi, kama itakuwa nimeielewa vizuri wasifu wake.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 месяцев назад
na wanae wameshakuwa Wazee Safi kabisa
@salimkassim6020
@salimkassim6020 7 месяцев назад
Hayati Alhaji 😢😢
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 7 месяцев назад
Wow amafanya mengi sana.Apumzike kwa Amani
@lilianurio9781
@lilianurio9781 7 месяцев назад
Birth mate wangu, R.I.P baba yetu
@asizaasiza5684
@asizaasiza5684 7 месяцев назад
Pumzika kwa aman mzee ruksa
@saidahmed7462
@saidahmed7462 7 месяцев назад
Inallihahi wainailihi rajiun 😢allah amueke pahali pema penyewema peponi
@NemaSalimu
@NemaSalimu 7 месяцев назад
Mungu amuweke mahala pema peponi Rais wetu mwinyi
@rithaurassa
@rithaurassa 7 месяцев назад
Polen wote wanafamilia, Mungu awatie nguv,Apumzike Kwa AMAN RAIS WETU Jana makuu na m2,
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 7 месяцев назад
الله يرحمه ويغفر ذنبه
@KhadijaAndrea
@KhadijaAndrea 7 месяцев назад
Poleni.sana
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc 7 месяцев назад
Baba yetu Mzee mwinyi alikua mushauri wakeli na ndipo katwambia maisha ni hadhi
@TheresiaMoyo
@TheresiaMoyo 7 месяцев назад
Mungu akupokee Kwa wema wako pumzika Kwa amani baba yetu
@aviwaomar439
@aviwaomar439 7 месяцев назад
Vijana zaeniii mmemuo na Mzee alivotumia mayai yake vzr
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 7 месяцев назад
Kuzaa siyo shida kijana shida ni jinsi ya kuwalea ndo mtihan Sasa mzee yeye alikua na uhakika wa maisha wakula had vitukuu Sasa utashindwaje kuzaa Sasa?? Huo ushaur washaur kina kikwete na viongoz wa serikali
@aviwaomar439
@aviwaomar439 7 месяцев назад
@@EzzyEddy-il3ce kwa hio kwa kua huna uwez utupe mbegu buree zaa kwa mujib wa uwez wako
@binuriathassan9969
@binuriathassan9969 7 месяцев назад
Allahu akupe Kaur thabit na upumzike kwa amani
@omargargaar5611
@omargargaar5611 7 месяцев назад
Inna wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu nakukumbuka kwa mazuri ulio tufanyia Allah akusamehe kaburi lako Njana firidous
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 7 месяцев назад
Mmmmhhh!!!!!! Sawa
@KijaLimbu-qk9cc
@KijaLimbu-qk9cc 7 месяцев назад
Mungu auweke mwili mahali pema xhujaa wetu.
@Faines-qj1nt
@Faines-qj1nt 7 месяцев назад
Pumnzika kwa amaniii
@TeresiaKidese
@TeresiaKidese 7 месяцев назад
Apumzike kwa Amani mbinguni
@KhadijaAndrea
@KhadijaAndrea 7 месяцев назад
mungu.amlaze.mahali.pema.amin
@matatomlik1846
@matatomlik1846 7 месяцев назад
Allah ampe kauli thabiti ya rabb 🤲
@sangokipozi4611
@sangokipozi4611 7 месяцев назад
Allah Amjaalie pepo ya daraja la juu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiuun
@SultanVilla-hi9os
@SultanVilla-hi9os 7 месяцев назад
Hadithi nzuriiiiiiiiiiiiiii
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 7 месяцев назад
Leo tunatrend wana sns hongera sana 🎉
@husnasalim9614
@husnasalim9614 7 месяцев назад
Allahu akupe kaulidhabiti
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 месяцев назад
Hapo kuowa umetudanganya aliowq wake zaidi ya hao bi khadija wtt wake 2 bi siti wtt 7 na walobaki alizaa kwengine
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 7 месяцев назад
Kweli??
@SalmaMuhsin-k6x
@SalmaMuhsin-k6x 7 месяцев назад
Allah akupe kauli thabiti amin
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 7 месяцев назад
Kuranga kisijuu ndugu y2 kabisaa huyoo ningefurahi kama angezikiwa kwao kwnye chimbuko lake
@leokamil6284
@leokamil6284 7 месяцев назад
Wanalinda madaraka
@MonaDhmn
@MonaDhmn 7 месяцев назад
Innalilahi wainnalilahi rajiun
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 7 месяцев назад
Alikuwa mtu Muhimu na Nyerere aliona ubora wake
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 7 месяцев назад
kidume haswaaa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 7 месяцев назад
Kumbe hata digrii Hana....Lakini Kawa rais wa Tz. Hekma. Utu.na tabia njema ulikuwa ndio Msingi wa viongozi waasisi wa taifa letu. Eti Leo u_ Dr. Ndo imekuwa sifa ya Ma rais wetu... Eee Mola mfanyie heri
@samsonmweta5040
@samsonmweta5040 7 месяцев назад
Hata hao wa phd, walivyozipata inatia shaka
@merrystephano2903
@merrystephano2903 7 месяцев назад
Mwenyezi mungu ukurehemu
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 7 месяцев назад
Allah ampe makaz mema
@abdallakajenje6131
@abdallakajenje6131 7 месяцев назад
Allah akupe pumziko jema,Amin
@aidanmaganga7051
@aidanmaganga7051 7 месяцев назад
Kumbe mzee ni wa bara
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 6 месяцев назад
Wewe ulidhani ni Mpemba ?
@SalumKitogo
@SalumKitogo 7 месяцев назад
Inna lirah wainnailaih ilaih rajiun
@AminaNgumbi-c8z
@AminaNgumbi-c8z 7 месяцев назад
Mungu akurehem Mzee wetu, sote wamwenyezi mungu na kwake tuta rejea🙏
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 7 месяцев назад
Nimependa jumla ya watoto hakika umeacha familia ya kutosha .ujenzi wa Tanzania utaendelea vizuri,.
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 7 месяцев назад
Innallillah waina ilayhi rajiun😊
@jafarikideghesho6509
@jafarikideghesho6509 7 месяцев назад
Inna lillaih wainna illaih rajiuun. Allahumma ghufrillahum warhamhu waskanuhu filjannat. Allahumma thubituhum wafil qauli thaabit
@MussaMulinde-pg1rp
@MussaMulinde-pg1rp 7 месяцев назад
Inalillah wa inalillah rajihun 🙏
@RajabuBojo-j2l
@RajabuBojo-j2l 7 месяцев назад
Kumbe wa kisiju pwan vwana
@leokamil6284
@leokamil6284 7 месяцев назад
Ndio nashangaa wameenda kumpeleka Zanzibar
@gemmamwajombe3169
@gemmamwajombe3169 7 месяцев назад
Li nimeamini Mzee Mwinyi alikuwa ni mwema kwa kiwasaidia yatima hili limenifurahisha Sana Mungu ampungizie adhabu ya kaburi babangu
@SosomaMpini-f2m
@SosomaMpini-f2m 7 месяцев назад
Iv ata kusoma hujui ata picha tuu taja watoo wote acha kuluka sawa
@mtumpole8446
@mtumpole8446 7 месяцев назад
Innallillah Wainnallillah Rajiun
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 7 месяцев назад
Wala hakujivunia vyeo hivi wala kusikika akijigamba
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 7 месяцев назад
Allah amrehemu
@MAALIMU
@MAALIMU 7 месяцев назад
Innallillahy wa innaillahy rajouny mwenyezimungu ampe kauli thabit. NB Msomaji nahisi amekosea middle school ni darasa la 5-8 na siyo nne
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 7 месяцев назад
Vizuka nyuso waziiiii
@gladwelltailor
@gladwelltailor 7 месяцев назад
Rest in peace 🛐✝️🙏🏾
@kabee-v3s
@kabee-v3s 7 месяцев назад
@mwajohari4385
@mwajohari4385 7 месяцев назад
Allah ampe qauli thaabit
@AshaKabelwa
@AshaKabelwa 7 месяцев назад
Innalilahi wainnailayhi rajhun . katangulia Nasi tunafuatia akuna anayejua keshoyake tutazidi kukuombea inshaalah.
@JoseMalugu-b3m
@JoseMalugu-b3m 7 месяцев назад
😢😢
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 7 месяцев назад
Ila mzee mwinyi sijui kwanini hakuoa mke mweusi hata mmoja
@abuusuheil
@abuusuheil 7 месяцев назад
Amelelewa na kukulia na Waarabu
@leokamil6284
@leokamil6284 7 месяцев назад
Mngemzika tu Mkuranga alikozaliwa
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 6 месяцев назад
Hakutaka kuzikwa kwao, alisema eti yeye ni mzanzibari
@zeynabsayid2941
@zeynabsayid2941 7 месяцев назад
Kumbe sio mzazibar?😢
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 месяцев назад
Wazanzibari ni watu wa pwani, na Zanzibar ilikuwa inaishia Morogoro ingawa kwa sasa hali ipo tofauti, tambua hilo.
@michaelkisselar5691
@michaelkisselar5691 7 месяцев назад
​@@rayisadesigns2646😂😂😂😂😂 usichekeshe watu msibani. Dah. 🤣🤣🤣
@RajabuBojo-j2l
@RajabuBojo-j2l 7 месяцев назад
Kumbe wa kisiju
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 месяцев назад
Ni Mndengereko Mzaramo, hakika ni mswahili safi wa Pwani na ni mtanzania halisi.
@DariaLukasilayo
@DariaLukasilayo 7 месяцев назад
Pumzika kwa amani babu
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 7 месяцев назад
Lakini katiba ya Tanzania ni ngumu kuelewa yaani mwinyi alikuwa raisi Zanzibar na huku akiwa makamu wa rais wa Tanzania kwa wakati mmoja
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 7 месяцев назад
Enzi hizo ilikuwa hivyo
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 7 месяцев назад
@@rizikibakar3186 na sasa kukoje
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 7 месяцев назад
Ngoja nizae niishi miaka kama mzee mwinyi kubana bana mayai ndo mana tunakufa mapema
@MamiAkejoo
@MamiAkejoo 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
Далее