Тёмный

Watoto Wanne Wamefariki KWA AJALI Manyara 

Asili Digital
Подписаться 305
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Wanafunzi watatu pamoja na dereva wamepoteza maisha kwenye ajali ya gari dogo aina ya Coster iliyokuwa imebaba wanafunzi wa shule ya sekondari Endasak ililyotokea jana majira ya AsubuhiAgosti 31,2024 katika eneo la Gajal Wilaya Babati na kusabibisha Majeruhi na vifo vya wanafunzi.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe.Queen Cuthbert Sendiga ametoa pole kwa wafiwa wote na wale walio pata majeruhi na kusema kuwa ajari hii imesababishwa na madereva wa magari makubwa kutokuwa makini pindi wanapokuwa wanaendesha.
Tazama video zaidi • Mazishi ya Kijana alie...

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@IvanyRespicius
@IvanyRespicius 18 дней назад
Duh jamn poleni sana
@AsiliDigital
@AsiliDigital 18 дней назад
Asante sana.
@WatuShazi
@WatuShazi 18 дней назад
Jaman chunguzen sana madereva wa rwanda wanasababisha sana ajar. Wanaongea nacm. Sana wazembe sana
@AsiliDigital
@AsiliDigital 17 дней назад
Asante Kwa maoni yako.... Subscribe na weka kengele ili uwe wa kwanza Kila tutakapo pandisha Habari na Matukio mbalimbali...
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 18 дней назад
Poleni sana jamani
@AsiliDigital
@AsiliDigital 17 дней назад
Asante sana, Subscribe na uweke kengele ili uwe wa kwanza kutizama matukio na habari mbalimbali.
Далее
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Muthoni wakirumba shed tears akiariria Bishop Ben
9:37