Pastor may God bless you,am Miriam from Kenya,tangu niaze kusikiliza mahubiri yako ukristo wangu umechange my kids wamechange, you have been sent by God to help His people,am very thankful for your sermons
Kwamajina naitwa Balinaba Abeli hakika nimebalikiwa namafundisho yako nimeamini Mbaga wewe ninabii wamungu make hua nikitazama mafundisho yako nahisi kamavile nina fundishwa namungu wetu hakika mungu anazungumuza nasi kupitia kinywa chako nakuombea Mbaga mungu akupe maisha malefu sana naikiwezekana natoa lobo ya uaiwangu ili mungu akuzidishie
Pr ubarikiwe sana. Ila ninaombi moja kwamba ufundishe na somo kuhusiana na mafuta ya alizeti, tangawizi.lakini pia na solution maana kuna makosa mengi ya kiafya tumeyafanya.
Amin PR.Mbaga ,Baba yetu wa mbinguni azidi kuyatimizA mapenzi yake kupitia kwako na akazidi kukuangazia nuru ya uso wake na kukuhifadhi na kukufadhili.
MIMI PASTOR WILLIAM KAPETA,MIMI NAKUKUBARI SANA, SIJAWAHI KUMSIKILIZA PASTOR ANAETOKEA KANISA LA SABATO,LAKINI PASTOR MBAGA NI ZAIDI YA KANISA LA SABATO, HUYO PASTOR ANAVITU VYA ROHONI SIJAWAPATA SEHEMU, MIMI SIANGALII DINI, NAANGALIA VITU VINAVYOWEZA KUNITOA NA KUNIPELEKA MAHALI PA MAFANIKIO, MUNGU AKUPEPE NEEMA ZAIDI, IPO SIKU UTAKUJA KUHUBIRI KWETU, MIMI NIMEKUPENDA, NATAMANI NICHOTE VYOTE ULIVVO NAVYO
Msimamo wa kanisa la Waadventista Wasabato kuhusu chanjo za Korona UMEBATILISHWA wakapatiwa mwito wa kuwa wa kipekee. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UboEMJ6BR2I.html