Nchi hii Bado tuna watu ambao hawajutambui waziri ndio unagalagala chini ? Kama kilichofanyika wametekeleza sera ya chama Cha ajabu ni nn sasa mpaka mama mzm unalala chini
MIMI NILIWAHI KUMPA ZAWADI MNGONI ALIFANYA HIVYOHIVYO MI NILIKUWA NASHANGAA KWA VILE NILIKUWA SIJAWAHI KUONA. NILIPOULIZA KWA NN ANAFANYA HVY NIKAAMBIWA HAPO AMETOA SHUKRANI KUPITA KIASI. C HAPO TUU NIMEONA MARA NYINGI. KABLA HAMJAANZA KUMPONDA MUWE MNAULIZA KWANN AMEFANYA VILE. MTAPATA MAJIBU.
KILA KABILA WWANASHUKURU KITOFAUTI WENGINE WANAPIGA MAGOTI WENGINE WANAKUMBATIANA WENGINE KM ALIVYOFANYA DADA YETU JENSTAR MHAGAMA. WALA HAJAKOSEA HUYO NI MNGONI ULIZENI WANGONI WATAWAAMBIA MAANA YAKUFANYA VILE
DUH SIYO KWA NYOMI HILI!! 😂😂😂 NA HII NDIYO NGOME YA WAKATOLIKI PERAMIHO... TAA YA KIJANI IMESHAWAKA... HAPO BADO KANDA YA ZIWA, DAR NA PWANI YOTE... WAVIMBA MACHO WASUBURI VUMBI LIWATIMUKIE 2025 HATA CHA MJUMBE HAWAPATI... DAADEKI 😂😂😂😂😂
HILI ALILOFANYA WAZIRI WA AFYA NI SAHIHI HUWA WANAFANYA HIVYOHIVYO. WANGONI WOTE WANAFANYA HV. HIYO NI SHUKURANI YA MWISHO. WAKIPEWA KITU KIKUBWA HUWA WANATOA SHUKURANI KWAKUFANYA HIVYO TUSISHANGAE NI KAWAIDA
NDIO SHIDA YA KUCHAGUA MACHAWA NA WATU WASIOKUA NA UWEZO.INABIDI MTU AJIZIME DATA ILI AFANYE UJINGA.HELA NI ZA WALIPA KODI NA SIO ZA RAISI.WAACHE UJINGA HAWA VIONGOZI WASIOJITAMBUA.
Kanisa uwanja wa kanisa kwa lugha ya biblia kutoka kitabu cha Ufunuo 17:1--- hii inaitwa kanisa kufanya ukahaba na serikali Maana viwanja ni vingi kulikua hakuna umuhimu wa kufanyia mkutano kanisani na raisi akaanza kuomba kura kwa usmchaguzi wa serikali za mitaa hichi kitu hakikubaliki kimaandiko