Тёмный
No video :(

Waziri Jumaa Aweso Amsweka Rumande Meneja wa RUWASA. 

Ngasa Tv
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

Waziri wa maji Jumaa Aweso amewaagiza polisi kumkamata na kumweka rumande Meneja wa RUWASA wa Wilaya ya Kondoa Mhandisi Falaura Kikusa mara baada yakubainika kushindwa kutekeleza mradi wowote tangu aingie ofisini kwa kipindi cha miaka minne.
Waziri Aweso ametoa maagizo haya mara baada ya Mbunge wa Kondoa Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara Dk.Ashatu Kijaji kulalamikia utendaji kazi usioridhisha wa wakala wa usambazaji maji na usafi wa mazingira Vijijini RUWASA katika eneo hilo hivyo kuwasababishia wananchi kukosa maji safi na salama yakutumia na pia hali hiyo inasababisha kuongezeka kwa magonjwa ya kuambukiza.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA Ngasa Online Tv
⚫️ Email: ngasamedia@gmail.com / WhatsApp 0716909567 / Call 0716909567
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: / playlist
list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb
⚫️ BUNGENI DODOMA: / watch
v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B
⚫️ SIASA : • Video
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma
ngasamedia@gmail.com
WhatsApp: +255 716909567
Call us : +255 716909567
thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.
#sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv

Опубликовано:

 

24 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@amehassan8792
@amehassan8792 Год назад
Nakubali san kaz yako mh.wazir wanyooshe wababaishaj tunatak maendeleo
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 года назад
heeee manina miaka minne heeeee shez lifungwe kabsaa ilo jama miaka io io minne ambayo kakosesha watu majinshez
@AwesomeCaptainxx
@AwesomeCaptainxx 2 года назад
Waziri tunaomba uje Mwanza(bulale )st. Kigoto, yani maji mara moja kwa miezi 3 ziwa lipo hatua 300mt. Kama inawezekana turuhusu tuvute maji kutoka ziwani kwenda majumbani.
@priscasway3492
@priscasway3492 2 года назад
Mweshimiwa njooo mpaka huku Arusha
@aminamissanya8250
@aminamissanya8250 Год назад
waziri aweso kama Mungu amekuleta kondoa naomba uende kijiji cha masange tunakuomba usirudibila ya kutusaidia tafadhali
@mako331
@mako331 2 года назад
Kumbe bado tunao wenye roho ya uchungu wa mateso ya Wananchi. Rip baba Magu wapo vijana wanaofuata nyayo zako
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 года назад
Raisi ajae baadae jamaa namkubali sana
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 2 года назад
Huyo Mhandisi ni muhujumu uchumi kabisa
Далее
Ahadi ya Yanga kupata uwanja ipo pale pale
32:01
Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania
9:25
Просмотров 25 тыс.