Тёмный

WAZIRI MWIGULU ASHIKWA NA KIGUGUMIZI CHA GHAFLA BAADA YA KUBANANISHWA NA SPIKA TULIA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

WAZIRI MWIGULU ASHIKWA NA KIGUGUMIZI CHA GHAFLA BAADA YA KUBANANISHWA NA SPIKA TULIA...
Bunge la 12 mkutano wa 8 kikao cha 8 kimeendelea leo 22 sept 2022 Bungeni Dodoma.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Год назад
Huyu waziri mama si amtoe tu anaonekana hata kujieleza kigugumizi sana mama amuweke professor Asad yule jamaa anajua hlf anahofu na mungu sana
@aishaalbalushaishabalush8291
mmmmh unamtoa mdokoz unamueka jambaz ?
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Год назад
Kwenda msikitini au kanisani haina maana ni mchamungu.
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Год назад
Mpina kazi nzuri ndio mambo tunayoyaitaji maswali kama ayo siyo tozo
@mussamusa8027
@mussamusa8027 Год назад
Aisee nihatali Sanaa hatuna wazili wa fedha hapa tumepigwaa
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 Год назад
Mwiguru Ni jinga
@salvatorymheziwa1053
@salvatorymheziwa1053 Год назад
Safi sana mama tulia namkubali sana anajua Sheria na kanuni jumlisha msimamamo kopi ya ndugai hiii
@joesimba
@joesimba Год назад
3:02 kigugumizi kinaanzia hapa
@fatumazuberi9842
@fatumazuberi9842 Год назад
🤣🤣🤣haki ya Mungu hii ni aibu inaonesha jinsi gani hajui wala hana uwakika mana c kwa kigugumizi hiki aibu kubwa🤣🤣🤣🤣
@chasbizzo9285
@chasbizzo9285 Год назад
Mh..TULIA AKSON 🔥WEWE NOMA NAKUKUBALI PGA KAZI MAMA UNA UELEWA MKUBWA ZAID YA BAADHI YA MAWAZIRI MINGU AKUSIMAMIE MAMA@akson tulia
@stn4873
@stn4873 Год назад
Tuliiiiiiaaaaaa umetuliiiiiiaaaa mnooooo🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
Umeona alivyomlinda?
@JP-lx1le
@JP-lx1le Год назад
Tumpe urais huyu mama
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Год назад
Mimi nampongeza sana sana Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuliachia Bunge lifanye kazi yake bila kuliingilia na ndio maana Mh. Spika anatendea haki kila ukweli liwe la Serekali liwe la Mbunge hakuna kupendelea.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
Wewee, mbona ameshindwa kutoa nafasi watu aendelee kuchokonoa mambo, amemlinda bila kuwa na jibu la kueleweka. Bunge zima limepiga meza kuashiria kuwa waziri anashindwa kutetea hoja ya MH Mpina.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Год назад
Hujanielewa ungenielewa ungeona kuwa unachasema wewe na mimi ndio hicho hicho ila wewe umeona karibu mimi niona mbali.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Год назад
@@margarethsolomon9823 ila unadhani mimi nakushangaa nyie wenye majina kama yako tumeshawajuwa na kuwazowea tunajuwa mnateswa na nini baadhi yenu.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@abuumuhammad7133 Haaaaa! 🤷🏽‍♀️🤷 Mbona sikuelewi? Jina langu linahusishwa vipi na kumlaumu spika kuhusu kubana watu wasiendelee kuhoji. Kwani Tulia Akson ni aje labda. Mimi niko na Mwigulu na Mpina. Aisee sikuelewi, pita tu kushoto.
@barakalusajo2297
@barakalusajo2297 Год назад
Mwigulu hamna kitu hapo!!!!!!
@sulleysonmishlay8253
@sulleysonmishlay8253 Год назад
Haelewiiii kabisa yeyee MWENYEWE ,uwizi ni kitu kibaya sana ,ndiyo kinachomfanya apatekigugumizii
@samuelmwangu3301
@samuelmwangu3301 Год назад
Anatia huruma mheshimiwa
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Год назад
Mdogo mdogo tutaelewana tu,,, hata maandiko yanasema,,, Mungu atayafichua yaliyofanyika sirini,,, yeye ni mtetezi wa wanyonge,,, mnadhani kilio cha watanzania maskini tena hohehae MUNGU hakisikiii
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
😂😂😂 uyu mama nimempenda bule kwakwer
@emmanuelshavunza4314
@emmanuelshavunza4314 Год назад
Hadi aibu,, waziri kigugumizi ivo kweli? Anajua tozo tu.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Год назад
Lakini pia bunge lisiishie kusema mjibuni Mpina..bunge liende mbali zaidi kwa maslahi mapena ya nchi. Lichunguze ukweli wa jambo hilo.
@privamushi2512
@privamushi2512 Год назад
Hii ndo serekali yetu ya Sasa na huyu ndo mshika ufunguo wa kibubu Cha fetha, viongozi wetu wanapiga hela nchi hii halafu mzigo mkubwa unatupiwa mwananch wa hali ya chini "TOZO" RIP MAGUFULI huyu ndo alikuwa kiongoz mzur kwenye taifa letu,, Ni Nan ambaye hamjui mwigulu mchemba huyu ni fisadi mkubwa sna kwenye nch hii
@legendmmari8094
@legendmmari8094 Год назад
Aaaaa no ndio mchumi wetu tena Dr kweli mama hebu mtoe huyu mtu hii ni aibu Sasa ndio anatuwakilisha huko kwa wenzetu alafu akaulizwa swali kama hilo na anapata kigugumizi hicho wote tutaonekanaje
@franktangeki9342
@franktangeki9342 Год назад
MWIGURU CHEMBA HIYO NAFASI HAIWEZI KABISA MNALAZIMISHA TU SIJUI KUNA SIRI GANI YA MWIGURU CHEMBA KUWA WAZIRI WA FEDHA ?
@manenoramadhan1432
@manenoramadhan1432 Год назад
Hamna waziri hp
@emanuelmalisa8237
@emanuelmalisa8237 Год назад
Hicho kigugumizi sio chabure kuna swali hapo? Spika nae anafukia fukia?????
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Год назад
Umeona eeh? Na huyu waziri ameshapwaya Sana mbona na mama Ana mwacha tu. Hiyo wizara hatuhitaji mwanasiasa Bali mtaalamu Kama Dr Kimei ..! Why?
@aishaalbalushaishabalush8291
umeonaee anajua huyo ndio katumwa na samia kuwaibia watanzania baadh yao waviongoz wanagawana matilion si ndogo yaani nipesa yakulipa maden ya miaka yote na change inabaki ila ndio hivo wameshayala na rais wao wa mchongo
@aishaalbalushaishabalush8291
@@pastorgodwinchengula7848 nahuyo mamako ndio anapenda waiz sasa na anajua masirah wanayo yapata na hao wezi
@djfunk255
@djfunk255 Год назад
Yayayayayayaya😂
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Год назад
Mpina watamwelewa tuu, maana ni upigaji kwa kwenda mbele,RIP JPM 😭😭🤔💪
@williammsigala6950
@williammsigala6950 Год назад
😀😀😀😀😀
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Год назад
Kwa nini hatokei jasiri akawapiga risasi mwigulu,nape,na makamba ili nchi irudi kwenye truck ya kupiga atua mbele kama alivyo iacha aliyo ianzisha mzalendo wa kweli
@ismailyusuf3543
@ismailyusuf3543 Год назад
Alafu naibu spika unamuachia nani ? Yule ndio awe wa kwanza 🤣
@robertempire9542
@robertempire9542 Год назад
Tozo zimeanza kuonyesha rahana mdogo mdogo....
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Wew mwiguru ndiyo mwizi wa kwanza , spika wa bunge mbona unamuacha kiholela huyo.
@rashidaly5008
@rashidaly5008 Год назад
Itakua mama anakula nae maana kila manyago yote lakn hafanywi lolote tozo zote hizo anafanya kwa maslahi yake tu na mama yupo tu
@aishaalbalushaishabalush8291
hilo ndio jibu nandio maana alimteuwa akamtoa asieiba akamueka huyo mwizi mwenzie
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
✔️✔️✔️✔️💯
@babyrasta9685
@babyrasta9685 Год назад
Trab na trat ebu Mwigulu mjibu tulia bd hajaelewa ndo nini trab na trat? Mwigulu umezidi Magu aliekuweka chemba cijuhi alikuldsha vip uyu Mama, du cina huwakika km ww hata nusu ya Mbg utaiona
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Год назад
Kwa Kigugumizi Hichi Kuna wizi hapa
@furahamsabaha4238
@furahamsabaha4238 Год назад
Mbabaifu sana huyu jamaa watanzania tuko wengi sana kwanini? Huyu !!
@noelmbise9157
@noelmbise9157 Год назад
Da nimecheka mpaka basi kumbe ni mbumbu hivi ndio waziri huyu mama hii ni aibu kubwa
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Год назад
MUNGU hadhihakiwi,,, acheni kuwaonea watanzania maskini na wanyonge, mtapata laana
@oliversimpliskimariokimari3510
Zakayo kabananishwa😅
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
😂😂😂😂 atari
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Год назад
Hapa hakuna waziri nahii ndiyo shida ya kumpa mtu cheo au nafasi isiyo kuwa yake
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
Amesomea mambo ya fedha lkn nadhani alikuwa dawati la nyuma sana.
@ngumbosanga5359
@ngumbosanga5359 Год назад
Shida ya watanzaniya Kila anaewekwa madalakani mnaona hafai kwanchiya tanzania hata akiongoza malaika mtasema hafai acheni kulalama fanyenikazi fursa zipo nyingisana za kuwaingiziakipato
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
😏😏😏😏
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Vipi tena Kigugumizi , kuna nini nyumba ya panzia wizi mtupu
@reginashirima6460
@reginashirima6460 Год назад
Jehovah word is mighty to save
@noelkiwike1939
@noelkiwike1939 Год назад
Mwiguluuu😆😆😆😆😆
Далее
Modus males sekolah
00:14
Просмотров 11 млн