Тёмный
No video :(

WAZIRI SILAA NILIPIGWA MIMI | BIBI AMWAGA MACHOZI HADHARANI | MGOGORO WA ARDHI MWEKEZAJI NA WANANCHI 

RAI TV
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

MAMA AMWAGA MACHOZI HADAHARANI SAKATA MGOGORO WA ARDHI NA MWEKEZAJI MOROGORO - WAZIRI SILAA AFUNGUKA
Wananchi katika kijiji cha Kikundi Wilayani Morogoro Mkoani Morogoro wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaonea huruma juu ya ardhi yao ya asilia inayomilikiwa na Mwekezaji wa Kampuni ya Uluguru Cooperation ambaye ameshindwa kuiendeleza.
Wakizungumza katika mkutano wa kijiji wa tarehe 09/07/2024 mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa wananchi hao wamesema kuwa wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya fedheha ikiwepo kupigwa na kuchomewa makazi yao na mwekezaji huyo .
Aidha Waziri Silaa amewataka wananchi hao kuandika barua ya maombi ya ardhi huku akiwasihi kuacha kujiundia kamati ili kuchangisha kuratibu mazoezi ya ardhi.

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Месяц назад
Awamu ya wawekezaji. Awamu hii tunakuja na itikadi ya kibepari ambayo ina amini tajiri akipata atanufaisha maskini. Kwa nchi kiafrika ina feli sababu matajiri wengi ni wabinafsi. Mawazo yangu turudi kwenye mfumo wa kijamaa.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Месяц назад
Mama samia atakusaidia nini. Mtetezi wa wanyonge magufuri kashakufa mama samia analea wezi analea wazembe kiujumla hatufai
@MpumaLanga-vc4zh
@MpumaLanga-vc4zh Месяц назад
Mawazo yako hayo
@IreneEdmond
@IreneEdmond Месяц назад
Umechoka ugali wa nyumban?
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Месяц назад
Ni maoni yake labda ana bifu nae huwez jua huwez lazimisha ampende​@@IreneEdmond
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Месяц назад
Si umfate tu MAGUFULI tu huko aliko😮
@josephudoba5563
@josephudoba5563 Месяц назад
Waziri Mimi wazo langu mshauriane muwekezaji kulipa ridhi ya pori asilo tumia ni kuhujumu uchumi wetu fikirieni Kwa kina
@MOHAMEDALLYSAIDMamayangu
@MOHAMEDALLYSAIDMamayangu Месяц назад
Waziri saf san🎉
@josephudoba5563
@josephudoba5563 Месяц назад
Ni kwanini ulipie kitu usicho zalisha
Далее